ROMA - Derby (Paka & Panya) Feat Latifah

  Рет қаралды 293,419

VIVAROMA

VIVAROMA

Күн бұрын

Пікірлер: 1 000
@IddiMbwambo
@IddiMbwambo 6 ай бұрын
Makonda aliivamia mawingu,(Claus media) na panya wa kigoma zitto kabwe,na mtoto wa kambo ni makonda ,kama umemuelewa kama nilivo elewa Mimi gonga like
@MBEZICL
@MBEZICL 6 ай бұрын
Kama tungesema SU New york ingehamia Chato dah Roma nomaaaaa
@kingmawese
@kingmawese 6 ай бұрын
Dahhh mr president tutaanzisha chama cha wanaharakat tukupe uraisi amini utashinda uchaguzi❤❤❤
@mohoniajoseph9067
@mohoniajoseph9067 6 ай бұрын
Huyo Dada kwenye korasi amevua vibaya mno! Roma umetoa majibu ya maswali mengi sana tuliyokuwa nayo tangu ulipotekwa
@atenionesmo_A10
@atenionesmo_A10 6 ай бұрын
Ndomaana katika mabojiano alikwepa kujibu kila alipofanya interviw
@subirafelix7413
@subirafelix7413 6 ай бұрын
Uyo Dada 🎉🎉🎉🎉🎉ametenda haki🎉🎉
@geofreyhilmary9450
@geofreyhilmary9450 6 ай бұрын
"Mtoto wa kambo akapewa Toyi la Dar alichezee" Huu mstari bana
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 6 ай бұрын
makonda
@JonathanLugna
@JonathanLugna 6 ай бұрын
Mtoto wa kambo kapewa tena Arusha
@hakeemlionafrica6870
@hakeemlionafrica6870 6 ай бұрын
Ngoma kali sana brother wachane hao mwanangu wewe kweli ndio mwanahalakati kama 2pac unachokisema kwa Wale waelewa huyu mtu ni kichwa sana sio hadi Afe ndio muone umuhimu wa roma salute you my homie fight for us bro👊👊👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@TazamaelLuka
@TazamaelLuka 6 ай бұрын
"Bado vita havina Suluhu na Kupona ni Majaliwa " Kama Umeikubali hii gonga like twende pamoja
@frankkotte117
@frankkotte117 6 ай бұрын
Sikuweza kuisema pombe nilijua ningepaliwa...
@athumanfuko199
@athumanfuko199 6 ай бұрын
​@@frankkotte117😂😂😂😂Majaliwa labda Mwenyezi Mungu anawezajalia.
@ouweydalton7732
@ouweydalton7732 6 ай бұрын
WALIO JIONA WAZALENDO WALISOMA NAMBA YA KIRUMI UKIKOSEA MIUNDO MBINU TU UMEHUJUMu UCHUMI 🔥 🔥
@mkombozimkinde7554
@mkombozimkinde7554 6 ай бұрын
Ukikosoa sio ukikosea
@mkombozimkinde7554
@mkombozimkinde7554 6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@PoulFred
@PoulFred 6 ай бұрын
Hii nchi ngoja ninyamaze tu lakini niseme magufurification of Africa haitasahaurika na hakuna atakayejitokeza tena nchi hii kuwapigania wanyonge kama alivyokuwa magufuri never rip mzee baba
@MongooFabre-yg6xp
@MongooFabre-yg6xp 6 ай бұрын
Tayar nshaambiwa nihame uku maana tangu asubh n derby inapigwa tu volume 80. Sina tatizo na Ngoma zako maana zinataka utulivu kusikiliza.❤❤ 🌺 🌹 🌹
@NestymwampambaMwampamba
@NestymwampambaMwampamba 6 ай бұрын
Niyeye ROMA alie toa Album kali sana tumusapoti 💪💪💪💪🤝🤝
@ErickMwendwa-md2cz
@ErickMwendwa-md2cz 6 ай бұрын
Rest in peace JPM tulio wengi tunakuombea 😭😭😭😭😭
@JamesKing-s9s
@JamesKing-s9s 6 ай бұрын
Kama umekubali Latifah kapiga kolasi kali gonga like twende Sawa
@MICHAELEDWIN-fh5nq
@MICHAELEDWIN-fh5nq 6 ай бұрын
kama una mkubali roma gonga like hapa
@victoramin-o6q
@victoramin-o6q 6 ай бұрын
MKALI WA RAP
@kashiririrkaasongwisye9487
@kashiririrkaasongwisye9487 6 ай бұрын
Roma kwa huu wimbo Mbingu zinafunguka Mungu akubariki sana
@philipedward6090
@philipedward6090 6 ай бұрын
Hii Ngoma hatari sanaaaa keep it up broo Roma ww ni kama lenzi Kwa wasioona
@tmagoti
@tmagoti 6 ай бұрын
Mwanangu Ibra umeunguruma sana humu ndani. SOLIDARITY!!
@PizzoBeatz
@PizzoBeatz 6 ай бұрын
Hapa huyu paka ni nani mniambie tafadhali Watanzania 🇰🇪🇰🇪.. Kama unaamini hii albam ni kali zaidi ya yule muuza korosho like hapa
@maratvonline
@maratvonline 6 ай бұрын
Ruto😢
@user-pb3ub3gl4q
@user-pb3ub3gl4q 6 ай бұрын
Kamuongelea marehemu Magufuli kwa 90%, na Makonda kamuongelea kwa 10%(kuhusu kutekwa)
@AsaKazimoto
@AsaKazimoto 6 ай бұрын
Li magufuli kudadaek
@triphonechami1037
@triphonechami1037 6 ай бұрын
Paka Hayati Magufuli na panya ni Msaidizi wake
@frankkotte117
@frankkotte117 6 ай бұрын
Anadiss maiti huyu😂😂😂
@byamungurashidi85
@byamungurashidi85 6 ай бұрын
Congratulations to you my brother Roma tu nataka urudi tena Afrique. This is king byam's from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮 i'lk you so much my brother
@melomusictz1079
@melomusictz1079 6 ай бұрын
Huyu Latifa kaka nampa maua yake mapema 🌹🌹🌹🌹🌹
@BOB_SHEBY_NINJA
@BOB_SHEBY_NINJA 6 ай бұрын
Kweli huyu latifa ni mtu na nusu yan kiitikio ni kikali san
@GiftLuhanga-sl6vk
@GiftLuhanga-sl6vk 6 ай бұрын
Latifah kaua sana 🎉🎉🎉.Roma huyu mdada ulikutana nae wapiiiii maaana ndo kwanza anasikika na ametembea sana....kama mkongwe wa game.
@BOB_SHEBY_NINJA
@BOB_SHEBY_NINJA 6 ай бұрын
Kweli kabisa huyu dada apewe pongezi zake tu
@hhurbert
@hhurbert 6 ай бұрын
Paka paka tu mapaka Afe ndo Panya waongee. Ndo umejitokeza kumfunga Marehemu paka kengele. IZZO B ALimwambia Ridhiwan aongee na Mshua. Sasa ongea na mtekaji aongee na mama
@chrispinally2420
@chrispinally2420 6 ай бұрын
wale tunao mkubali Roma gonga like 👍🏾 tukisonga mbele 🤲🏾🤲🏾😅🔥🔥🔥
@sefoo8084
@sefoo8084 6 ай бұрын
Paka aliyemteka Roma sii ndiye aliyevamia MAWINGU (clouds fm)🔥🔥
@BOB_SHEBY_NINJA
@BOB_SHEBY_NINJA 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 6 ай бұрын
Fact 👍
@IsakaMgeje
@IsakaMgeje 6 ай бұрын
Hii ngoma sio Kali Ney wa mitego ndo sauti ya watu . Bro Roma acha makasiliko .Raisi Magufuri tulimkubali sana . Acha kufukua Makaburi . Mzee alikua the Best. Kile chama pinzani ndo kilikua kinakutumia
@minicooper9642
@minicooper9642 6 ай бұрын
The best kwako wewe Sasa Ney kajifunza kwanani kama sio kwa Roma? Yeye yamemkuta wewe na mimi tulimuona akivimba kwenye tv.
@kmotivation1130
@kmotivation1130 6 ай бұрын
Rest in peace Magufuli ulitenda vema na wema wako tuta ukumbuka zaidi, washenzi washenzi ndo hawajui wema wako
@simodash
@simodash 6 ай бұрын
Napenda the way Roma anaendelea kuwapa shavu Fresh Artist naamini mimi pia one day #NIPENIMAUAYANGUTHEALBUM❤🙌
@MwanduMagida-gv9od
@MwanduMagida-gv9od 6 ай бұрын
Walio jifanya wazalendo wakukosoa Maendeleo Walipewa kesi ya uhujumu uchumi🎵🎶🎶🔊🔥🔥
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 6 ай бұрын
Ngoja niwaambie ukweli watanzania iko hivi unaweza ukawa unamchukia mtu juu ya matendo aliyo kufanyia lakini ukawa unampenda kwa kazi alizo wafanyia walimwengu niseme tu Mungu akunariki Roma, Rest in peace Mzee wetu Magufuli ❤❤❤❤
@AffectionateBeagle-ni7ht
@AffectionateBeagle-ni7ht 6 ай бұрын
Nina saanaa
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 6 ай бұрын
Goma la kwenda hili Roma ila Magufuli atabaki kuwa Rais bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania ❤❤ Chorus ya huyo sister niiii fireeeee
@chumizola1847
@chumizola1847 6 ай бұрын
Ni kweli kabisa, RIP JPM
@adamjumaah2679
@adamjumaah2679 6 ай бұрын
R.i.p my president JPM😢
@gazzomaster9462
@gazzomaster9462 6 ай бұрын
Nimeitafuta hii comment Kwa mda mrefu
@SalminRahis-kd9sv
@SalminRahis-kd9sv 6 ай бұрын
Acha unafiki
@YunusYahya-gr6ks
@YunusYahya-gr6ks 5 ай бұрын
Unataka kuongea nn ww Nan kama magufuli nyie ndioo wanafki wenyewee Sasa Aya Sasa SEMA raisi wakoo boraa paka ww​@@SalminRahis-kd9sv
@miangijunior4358
@miangijunior4358 6 ай бұрын
Ishi Sana Bro ALLAH akufanyie wepesi katika Dunia na kesho Akhera Amiin 🤲
@mofaya4807
@mofaya4807 6 ай бұрын
Roma we mwanangu ila kwa magufuri mzee hapan 🙌
@samwelmeela8384
@samwelmeela8384 6 ай бұрын
Oyaaaaa Mwanangu Roma Mkatoliki umeua umemaliza kila kitu bablaii Huyo Panya wa kigomaaa 😂
@alexlucas1571
@alexlucas1571 6 ай бұрын
Wimbo Bora wa mwaka huu 2024 Ila aliemteka Roma au baaaaas😂😂😂
@onesmongenzi3471
@onesmongenzi3471 6 ай бұрын
Aliyevamia mawingu (maana yake aliyevamia clouds FM)
@user-pb3ub3gl4q
@user-pb3ub3gl4q 6 ай бұрын
Hhh kasema aliyeenda kuvamia mawingu(clouds media) ndiye aliyemteka inamaana Makonda
@innocentchristopher7571
@innocentchristopher7571 6 ай бұрын
Ndo alieteka mawingu hahaha
@athanaskimaro9664
@athanaskimaro9664 6 ай бұрын
😂😂😂😢😢 alie vamia malindi Bana 😅😅
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 6 ай бұрын
Huu wimbo mpaka uwe umepata A ya mathmati. Ndio utaelewa
@erricquejohansen
@erricquejohansen 6 ай бұрын
achana na hao wapenda michuzi... utakuta mtu anatoa macho eti wimbo mbovu.
@Tesha2000
@Tesha2000 6 ай бұрын
💞
@godfreynoya6670
@godfreynoya6670 6 ай бұрын
Hakika
@ibrahimmkala4336
@ibrahimmkala4336 6 ай бұрын
Kenya njooni hapa,this is now hiphop,si kuimba mapenzi na drugs saa zote,Hii ngoma unafaa kuiskiza kama mara 10 ndo ushike anasema nini,big up Roma,this is why i love Hiphop
@Tesha2000
@Tesha2000 6 ай бұрын
Tz wazee wa hip-hop ni roma, nay, dizasta,nacha wengne sijawaelewa ila nay na roma wajengewe sanam paleeeeeee makumbusho😊
@SadikiLogiru
@SadikiLogiru 6 ай бұрын
Ata lugha inawashinda wapuuzi wanarudi kuimba kilugha
@theclassicone7470
@theclassicone7470 6 ай бұрын
Kwani aliyemteka Roma si ndo aliyevamia mawingu.... Hapo sasa
@onesmongenzi3471
@onesmongenzi3471 6 ай бұрын
Clouds FM
@salimsemvua9318
@salimsemvua9318 6 ай бұрын
@@onesmongenzi3471 makonda ndo alimteka mwamba
@mwamwajaonline1881
@mwamwajaonline1881 6 ай бұрын
Clouds hiyo
@mossiewiser
@mossiewiser 6 ай бұрын
Naogopa mimi 😮😮 Arusha mpooo
@dismashaule1631
@dismashaule1631 6 ай бұрын
Huyu ndo msanii Bora wa Hip hop na mwana harakati kma Nay wa mitego. Ngoma kali na ujumbe mzuri lakini bdo saa paka shume kaondoka ssa ivi tuna paka jike
@VascoGabrielPaulo
@VascoGabrielPaulo Ай бұрын
nibora wangekuuua waripo feri kukuacha hai oya roma mkatorick sema nini mwanangu enderea kupiga ngumi kwenye mshono mwanangu huku tz wenzio tunachagua mwenyekiti tunaempenda then anakatwa jukwajuuu dah oya roma wewe ni mtu from kwa god💪💪💪💪💪
@mbarukally507
@mbarukally507 6 ай бұрын
Baada ya kusikiza huu wimbo nilisema kumanina Wallah Ngoma kali wazee
@hesaujames8004
@hesaujames8004 6 ай бұрын
Daaaaah bro nyimbo imebeba hisia sana 😢 big up sana
@worldrapamako3960
@worldrapamako3960 6 ай бұрын
😂😂❤Demu wangu ashazoea hip-hop sababu Kila akija geto playlist yangu ningoma za Roma round Moja naanza na mathematic, viva Roma, 2030 alafu nakojoa kwa Zimbabwe dk kama 20 Sasa naongeza albam my jmoc tare 8/6/2024 njoo ujipakulie pumbu na albam kama kifungashio😂😂😂
@dheGamingking1
@dheGamingking1 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MeshackKajela
@MeshackKajela 6 ай бұрын
Mathematics mwisho kaka😂
@NasfaOmary
@NasfaOmary 6 ай бұрын
Mbn akija Kwang anapenda afroest🎧🤣
@3malis
@3malis 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@KishoraKishoralimbu
@KishoraKishoralimbu 6 ай бұрын
Tisha saana mtaalam ikibidi funga na booster kbsaa yaan mpka asemeeee🎉🎉🎉🎉
@Dannny690
@Dannny690 6 ай бұрын
Tuliomjua Paka aliyevamia mawingu, tugonge likes hapa.
@laurent993
@laurent993 6 ай бұрын
Huyo paka alivamiwa clouds fm😅
@TmKt-kx7pq
@TmKt-kx7pq 6 ай бұрын
Wanaharakati walimsaka Ben hadi saa nane
@danielluvunzu553
@danielluvunzu553 6 ай бұрын
Ni wale wahasibu wa Daladala Asa hivi yuko na Wadudu wa A City😂😂😂😂😂
@kingsanya6860
@kingsanya6860 6 ай бұрын
ila roma ni moto wa utunzi
@EmanuelMrisho-gb5tt
@EmanuelMrisho-gb5tt 6 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/bGe0ommIn910oKssi=7eCqqIH_rV_cTze3❤
@exclusvetztv9011
@exclusvetztv9011 6 ай бұрын
the number one song in 2 days mrejee hapaa 1 in treding....
@japhethmwimba4849
@japhethmwimba4849 6 ай бұрын
Kwaiy paka ndo mwenda zake panya anatawala 😢😢😢mmd duuuh
@safarivahocha8077
@safarivahocha8077 6 ай бұрын
Ipo siku nyimbo za Roma zitatumika kufundisha historia ya Tanzania.
@saluuhans
@saluuhans 6 ай бұрын
Sure
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 6 ай бұрын
Labda somalia
@safarivahocha8077
@safarivahocha8077 5 ай бұрын
@@vincentcharles4385 Kwanini ndugu?
@KassimMbwana-m6i
@KassimMbwana-m6i 6 ай бұрын
Sema huyu dada Latifah ameua sana kwenye hii ngoma 🙌🙌🙌🙌❤
@Manjalino
@Manjalino 6 ай бұрын
Kali sana like nyingi team roma
@FredMwanguku
@FredMwanguku 6 ай бұрын
one love bruh, msemaji wetu katika harakatii za hip hop
@AbdulyMajaliwa-v4r
@AbdulyMajaliwa-v4r 6 ай бұрын
Panya wa kigoma waliyemjua wa like twende sawa😂😂😂😂
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 6 ай бұрын
Zitto Zuberi Kabwe😂
@AbdulyMajaliwa-v4r
@AbdulyMajaliwa-v4r 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂​@@abdulmohd6880
@godblessluvanda9808
@godblessluvanda9808 6 ай бұрын
Jepesi Kabwe😊
@Siitak-ccm
@Siitak-ccm 6 ай бұрын
Zitto mwinyi
@chanzoTZA
@chanzoTZA 5 ай бұрын
Zt
@dancemachinecrew6480
@dancemachinecrew6480 6 ай бұрын
Hii albam sio poa song zote roma ntakuja kucoment tena nkielewa nyimbo maana nmeamua kubadilisha playlist kwanza niweze kuelewa maneno yako
@stylishgenius9886
@stylishgenius9886 6 ай бұрын
Tukaskia kidoti ndio 🤱. Baby 😮😮😮 ,kama nawewe uliskia weka like
@streetpoint8340
@streetpoint8340 6 ай бұрын
Bado vita haina suluhu nakupona ni majaliwa sikuweza kusema pombe nilijua ningepaliwa!!!🔥🔥🔥🎵🎵
@peteressau-ul1rt
@peteressau-ul1rt 6 ай бұрын
Da❤ huyu mwamba hatari sana mno ,
@fredrickokoth1700
@fredrickokoth1700 6 ай бұрын
I love this song so much huyu mwamba mkali,na dada pia sauti iko on top
@HadijaallyAlly-vb2ui
@HadijaallyAlly-vb2ui 6 ай бұрын
Nyimbo 1 albam tatu za mr korosho kama unakubaliana namim gonga like twende
@mgungulem3187
@mgungulem3187 6 ай бұрын
Bigup Roma, hujawahi kuukosea heshima mziki wa jamii, uko vzr kaka
@lubokatimotheo
@lubokatimotheo 6 ай бұрын
Ukikosoa tyuu miundo mbinu umehujumu uchumi
@dennisisrael2187
@dennisisrael2187 6 ай бұрын
NGoma za mdau Yan nikisema nichungulie najikuta nmeckiliza ad mwsho one Love Viva Roma Viva
@JoshuaGodifrey
@JoshuaGodifrey 6 ай бұрын
Haya wale mashabiki wa Ile Album ya kumsifia Chifu Hagaya njoon hapa mtoe povo 💪💪💪 Roma
@CulbertFaustin
@CulbertFaustin 6 ай бұрын
Hiki kichwa hatariii😂 mungu akupe miaka mingi roma
@naimunaimu2312
@naimunaimu2312 6 ай бұрын
Roma siku moja ufanye colabo na tundu lissu. Mtaua Sana kwenye hiyo ngoma
@moodyramadhan336
@moodyramadhan336 6 ай бұрын
Ukiacha mashairi mzee flow's n hatar
@BOB_SHEBY_NINJA
@BOB_SHEBY_NINJA 6 ай бұрын
Big up sana bro Kwanza ujumbe mzuri Pili umetumia lugha ya kisanii Tatu umetoa kwa mda sahihi Nne umemshilikisha mtu sahii Basi gonga like kama na wewe umeyaona haya🥰🥰👍👍👍
@BOB_SHEBY_NINJA
@BOB_SHEBY_NINJA 6 ай бұрын
Hivi huyu latifa ni nani yan kajua kuuwa tumpe mauwa yake tu🥰🥰🥰🥰😅👍❤❤❤
@shijangosha7509
@shijangosha7509 5 ай бұрын
Kumwelewa huyu mwamba kunaitaji kichwa mwamba mm nakupa 🌹🌹🌹🥀🌺🌸yako kaka mungu akusimamie ktk safari yako
@davidnyaonge2035
@davidnyaonge2035 6 ай бұрын
Vita haina Suruhu kupona ni Majaliwa....Kwakifupi nchi hii inamuhitaji MAJALIWA roma kama nimemuelewa hapa
@HabibuRamadhan-h8z
@HabibuRamadhan-h8z 6 ай бұрын
Uko sawa
@awessomdugwa3482
@awessomdugwa3482 6 ай бұрын
Hahah ila harmonize😂
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 6 ай бұрын
Fact 👍
@mercymmari7198
@mercymmari7198 6 ай бұрын
Roma ngoma kali as usual, sema sijaelewa uhusiano wa hii ngoma na yanayoendelea kwa sasa!! Team Paka na team yenye vita😮
@othinielmnango4888
@othinielmnango4888 6 ай бұрын
Roma apewe maua yake, kama unampa huyu mwamba maua comment hapa au like
@YusuphKayanda
@YusuphKayanda 6 ай бұрын
Umetukosea kaka Kumbe kunamda hata saa mzima husema uongo😮
@jordanjonas8009
@jordanjonas8009 6 ай бұрын
Hiiiih ndo baba lao 🔥🔥🔥🔥🔥 umeuwa sana kaka
@theemayor1960
@theemayor1960 6 ай бұрын
from kenya; Roma kiukweli we ni🔥🔥 siku moja paka atatoweka na panya atatawala
@swafaayunus2916
@swafaayunus2916 6 ай бұрын
Kenya 🇰🇪 tunasema East Africa Roma Top 💯🔥
@yohanaleska3629
@yohanaleska3629 6 ай бұрын
Wewe baba unakiti chako heaven mkuu ..roma unajua wewe ndo msanii peke yako bongo niacheni tu niseme hvii..cjagathabika lakini..
@HassanRamadhan-cv8de
@HassanRamadhan-cv8de 6 ай бұрын
Goma ya 🔥🔥🔥🔥 adi uwe na D mbil ndio utaielewa
@WasafiWasafi-up6du
@WasafiWasafi-up6du 6 ай бұрын
Doooohhhh jameni hii ni moto tenaaaaaa ❤❤
@safarivahocha8077
@safarivahocha8077 6 ай бұрын
Roma asipewe tu Maua yake. Ajengewe sanamu kabisa.
@JonathanLugna
@JonathanLugna 6 ай бұрын
Huyu jamaa kweli ni mwanahabari na sio rapa Karibu nyumbani mwamba paka kashiba ili tudai katiba yetu
@kuyengathomas876
@kuyengathomas876 6 ай бұрын
Yaa ndo nyimbo tunataka sisi 🔥🔥🔥
@Kasongo242
@Kasongo242 Ай бұрын
Force à toi mon ami on est ensemble oza likolo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@geofreyanania1108
@geofreyanania1108 6 ай бұрын
Ebana eeeeeeeeeeeeee bonge Moja la Ngoma🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@DamasiMushi-bf6tf
@DamasiMushi-bf6tf 6 ай бұрын
Roma brother unajua kuimba ila mwache Jemedari JPM apumzike kwa amani Alikua mwamba😢😢😢❤❤❤
@rashidally6642
@rashidally6642 6 ай бұрын
Ok nyau nyau nyau atamfunga nani paka kengere😢
@ramadhanihassani5542
@ramadhanihassani5542 6 ай бұрын
Isee Roma nakubali sana ngoma zako paka katuzima Domo isee ninoma tuliyoikubali ngoma like angalau kidogo pamoja mkatoriki saruti zikufikie ulipo
@simonshengena-nt9ws
@simonshengena-nt9ws 6 ай бұрын
Daaah umeuwa Sana Kaka humu ndani ❤❤❤
@UswegeHamza-d8z
@UswegeHamza-d8z 6 ай бұрын
Huu wimbo umefanya nimefuta nyimbo zote za harmonize
@tato8979
@tato8979 6 ай бұрын
😂😂😂
@wa-mbeyaTv4725
@wa-mbeyaTv4725 6 ай бұрын
😂😂😂😂 subir comment ya harmonize kwa comment yako
@Sharmy_02
@Sharmy_02 6 ай бұрын
😂😂😂
@kadmc9124
@kadmc9124 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@hamismohamed3541
@hamismohamed3541 5 ай бұрын
😂😂😂
@zebdayleonard8599
@zebdayleonard8599 6 ай бұрын
Bado vita ina suluhu kupona ni majaliwa skuweza kuisema pombe ningejua ningepaliwa 😊 da
@daddymapesatv9878
@daddymapesatv9878 6 ай бұрын
Am always supporting good music 🎵 this song is 🔥🔥💪🙏
@Mastary97
@Mastary97 6 ай бұрын
Ya moto sana Ujumbe umefikaa penyewe😀😀😀😀
@IbrahimMkwama-m3n
@IbrahimMkwama-m3n 6 ай бұрын
Huyu mwamba sana Mungu akuwekee zaid... akujaalie kher na barka zaidiiiiiiiiii❤
@abdulsalim1069
@abdulsalim1069 6 ай бұрын
Mmmmmmh kaka we ni mtu na nusu bro👍
@pjkaseka
@pjkaseka 6 ай бұрын
Uandishi bora sanaaaaa... kweli Rona haikujengwa kwa siku 1
@hclever7731
@hclever7731 6 ай бұрын
Hii niliisubir sana Kam nawe uliisubiri gonga like😊😊
@kincreatives
@kincreatives 6 ай бұрын
Aliyemteka roma ndiye aliyevamia mawingu... Umeamua umtaje mzeee unacheza kama mwenezi 😎
@sulemohammed7820
@sulemohammed7820 6 ай бұрын
Roma mwanaharakati wa kweli tz
@fredkyeyo
@fredkyeyo 6 ай бұрын
Daah usanii kazii, IQ kubwa Roma, nmeanza kuchambua verse moja moja na bado hollaaaaa😂 Naombeni summary
@waridypeter5256
@waridypeter5256 6 ай бұрын
Oyaaa we roma ni roma wew kama unamkubali roma piga like apa
@butudeus9358
@butudeus9358 4 ай бұрын
Viva Roma wewe ndo mwanaharakati wa kweli 2030 wania Uraisi utapita bila kupigwa
@chogondizi7758
@chogondizi7758 6 ай бұрын
Bado vita vina SULUHU na kupona MAJALIWA....kama una D 2 huwezi kuelewa huu mstari
@otumanboniphace
@otumanboniphace 6 ай бұрын
Just genius. Natamani usome hii roma. Nmesikiliza ngoma zako mnoo. Nxt level
@josephtungu8936
@josephtungu8936 6 ай бұрын
Roma kaka miaka yote hujawahi kosea nakubali sana
@kiondosaimon6149
@kiondosaimon6149 6 ай бұрын
Kaka umetishaaa sanaaa, its all about black truth ❤❤
ROMA ft Abiud - Nipeni Maua Yangu (official Audio)
7:00
VIVAROMA
Рет қаралды 2,2 МЛН
ROMA - Nitasimama Tena Feat Abiud
3:43
VIVAROMA
Рет қаралды 226 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Derby Paka & Panya   ROMA
6:01
Prince materu
Рет қаралды 351
Derby (Paka & Panya) ft. Latifah (Lyrics Video)
6:01
VIVAROMA
Рет қаралды 153 М.
ROMA - Namuachia Mungu Feat Appy
4:00
VIVAROMA
Рет қаралды 108 М.
Rostam - Kaka Tuchati [Official Music Video]
5:00
VIVAROMA
Рет қаралды 5 МЛН
Viva Roma Viva
5:12
Roma Mkatoliki - Topic
Рет қаралды 130 М.
Young Killer Msodoki & Stamina ft Quick Rocker- Jana na Leo
4:56
Legendary Music-Tanzania
Рет қаралды 1 МЛН