| VOL. 7 | SHETANI AMEWAPA WAOMBAJI PICHA ZA UHARIBIFU KWENYE KIOO IKIWA YEYE KAJIFICHA ROHONI.

  Рет қаралды 3,335

TENGWA TV

TENGWA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@WssWss-w3p
@WssWss-w3p 8 күн бұрын
Asante bwana yesu kwa hii injili.
@NeemaSulle
@NeemaSulle 9 ай бұрын
Amina
@LightMlaki
@LightMlaki 8 ай бұрын
Amen mtumishi
@fridamasagwa9095
@fridamasagwa9095 9 ай бұрын
Amen
@denisbongore3098
@denisbongore3098 11 ай бұрын
Ahsante Yesu asifiwe sana
@Neemakilimba
@Neemakilimba 11 ай бұрын
Ameen Ameen Asante YESU
@reginacasimiromatias
@reginacasimiromatias 11 ай бұрын
Amém Amém
@saramss7262
@saramss7262 10 ай бұрын
AMINAAA sana mtumishi barikiwaaa sana mtumishi waambiyee kufatana sio Vizuri hawa watu wana matatizo mazito BWANA Awasaidiye tena
@janetmsofe3789
@janetmsofe3789 11 ай бұрын
Amen mteule wa Bwana...injili hii ni kama ndio naanza kujifunza upya neno la Mungu
@Veronicaaugustine-nb1vt
@Veronicaaugustine-nb1vt 11 ай бұрын
Amina mtumishi ubarikiwe
@janetmsofe3789
@janetmsofe3789 11 ай бұрын
Mungu aendelee kukuinua mteule wa BWANA
@andrewnday9127
@andrewnday9127 11 ай бұрын
Hakika hii ni Injili ya Ufalme . Ubarikiwe Mwl Tengwa
@elinikundankya6976
@elinikundankya6976 11 ай бұрын
Ee Bwana Yesu wewe ni Mungu uonaye yote na pote. endelea kutupitisha kwenye moto na wala usituache Bwana tunaomba mpaka tutoke kama dhahabu. asante kwa injili hii asante kwa Mtumishi wako Mwl Tengwa.
@wilsonmkumbo3032
@wilsonmkumbo3032 7 ай бұрын
Mungu akubariki Mwl kwa injili hii ili iweze kueleweka kuleta nguvu ya mabadiliko ndani ya kanisa la Mungu
@GaneKaambwa-xy2is
@GaneKaambwa-xy2is 10 ай бұрын
Barikiwa baba hakika injili hii imeniponya
@janetmsofe3789
@janetmsofe3789 11 ай бұрын
Nakuelewa sana mwalimu
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 ай бұрын
Tusamehe kuhukumu wengine, tuwezeshe kuokoa watu toka rohoni katika jina la Yesu Kristo
@janetmsofe3789
@janetmsofe3789 11 ай бұрын
Hakika nibkwa huruma ya Mungu hatuangamii
@scholasticakariuki6775
@scholasticakariuki6775 11 ай бұрын
Asante kwa ujumbe jamani umetuamsha sana, tunashukuru.Yesu akubarike .
@marystellambogo2820
@marystellambogo2820 11 ай бұрын
Yesu nisamehe kwa hukumu nilizowahukumu wengine
@joycenyalembe7718
@joycenyalembe7718 11 ай бұрын
Amina sana kwa ujumbe huu.
@Elizabeth-em3bp
@Elizabeth-em3bp 10 ай бұрын
Sauti imeshuka sana.
@marianahermes6301
@marianahermes6301 11 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu Bwana azidi kukutia nguvu itokayo juu, Kwa injili hii ya uamsho na matengenezo ya kanisa.
@bonakimaryo1264
@bonakimaryo1264 11 ай бұрын
Amen and amen
@agnesnyangasa2262
@agnesnyangasa2262 11 ай бұрын
Yesu nisame palenilipo hukumu mtu yeyote Amen
@Williane-kq6ts
@Williane-kq6ts 11 ай бұрын
Haleluuuya.Lazima shetani apigwe sana.
@rahelkimario1497
@rahelkimario1497 11 ай бұрын
Amen MTUMISHI WA MUNGU.
@JacobMasimba-rc9ni
@JacobMasimba-rc9ni 11 ай бұрын
Hakika injili hii ndiyo yenye kuokoa.Mungu akutie nguvu mwl.Wetu mpenzi.
@agnessbruno3591
@agnessbruno3591 11 ай бұрын
Uturehemu BWANA MUNGU wetu. Nakushukuru BWANA kwa neno lako. unaturudi kwa neno lako, asante BWANA. Ubarikiwe mtu wa MUNGU amen
@helenmdee4004
@helenmdee4004 11 ай бұрын
Asante Yesu nisaidie niliishi neno hili
@shadrackmanase7503
@shadrackmanase7503 11 ай бұрын
Ooooh! Halaluyah, jina la BWANA litukuzwe.
@osianakingdom203
@osianakingdom203 11 ай бұрын
Amen Ameen
@gloryfidelis102
@gloryfidelis102 11 ай бұрын
Maneno haya ni mazito.Yesu turehemu kweli. 5:36
@AnnaLwanda-oj4jn
@AnnaLwanda-oj4jn 11 ай бұрын
Amina mtumishi sema kweli Ili tupone
@rehemasuleiman7469
@rehemasuleiman7469 11 ай бұрын
Ameen, mtumishi Asante Yesu kwa kumtumia mtumishi wako kwa nyakati hizi za mwisho
@andrewnday9127
@andrewnday9127 11 ай бұрын
Ni kweli tupo wepesi kutoa hukumu kwa wengine. Bwana Yesu turehemu pale tulipohukumu wakati hukumu siyo yetu bali MUNGU WA MBINGUNI.
@mariamyinga2141
@mariamyinga2141 11 ай бұрын
Amen asante Bwana kwa neema hii
@joycenyalembe7718
@joycenyalembe7718 11 ай бұрын
Ameen .... Utume ambao Bwana amekupa ni WA tofauti maneno Yaha kweli sijawahi yasikia ila nimefundishwa kuhukumu na jajimenti juu ya watu wengine kumbe kibazi kipo kwangu. Wakati Bwana alitaka niombolezee hiyo nafsi ya Bwana. Eee Bwana unihurumie kwa yote aliyohubiri Mtumishi Tengwa.
@gracemasele4167
@gracemasele4167 11 ай бұрын
Amen. Asante kwa neno linalotupatia hekima na maarifa.
@Williane-kq6ts
@Williane-kq6ts 11 ай бұрын
Asante Mungu kwa kutupa mtumishi anayetufungua kutoka kwenye uzao wa nyoka.
@agnesnyangasa2262
@agnesnyangasa2262 11 ай бұрын
Mungu akubariki sana ninakutakia maisha mema.
@DORISKIMATH
@DORISKIMATH 11 ай бұрын
Asante BWANA YESU Kwa kutupatia nguvu ya madiliko nisaidie nikuelewe unaposema nami ndani ya sanduku lako la Agano TENGWA
@AmosOkwachi
@AmosOkwachi 11 ай бұрын
Wanadam wanadam mmepatwa na nini jamani hamtaki kumgeukia mungu mtumish fanya kwa sehem yako na mungu akutie nguvu amen
@helenmdee4004
@helenmdee4004 11 ай бұрын
Ameeen ameeen ameeeeen ameeeen ameeeeen ameeeeen & ameeeen
@Neemakilimba
@Neemakilimba 11 ай бұрын
Yesu nifungue macho nione ,Nisamehe kila nilipohukumu wengine
@lazarodaniel-ts6uq
@lazarodaniel-ts6uq 11 ай бұрын
Akika INJILI hii lazima iturudishe njiani Mungu turehemu watoto wako
@Neemakilimba
@Neemakilimba 11 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊
@mariamyinga2141
@mariamyinga2141 11 ай бұрын
Bwana akutunze mtumishi kwaajili ya utumishi huo mkuu, na jina la Bwana litukuzwe kwa mataifa yote Hakika ni saa ya kurudi kwenye moyo wa Mungu duniani hakuna chochote cha maana kulinganishwa na ufalme wa Mungu aliye hai
@bitrismateleka
@bitrismateleka 11 ай бұрын
AMINA MTUMISHI.
@danielambonisye6261
@danielambonisye6261 11 ай бұрын
Hakika hiyo ndiyo injili ya Yesu Kristo aliye hai ubarikiwe na Bwana Yesu Kristo aliye hai mtumishi wa Bwana, nami, nasi tupewe neema ya kuyapokea na kuyashika na kuyatendea kazi ipasavyo kama mapenzi ya Bwana yatupasvyo kuyafanya.Maana mambo haya ni mazito sana
@estersamwel721
@estersamwel721 11 ай бұрын
Hakika niinjili
@salahsadi3908
@salahsadi3908 11 ай бұрын
Amina mtumishi Tengwa
@gloryfidelis102
@gloryfidelis102 11 ай бұрын
Maneno haya ni mazito.Yesu turehemu kweli. 5:36
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 8 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 47 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 15 МЛН
DARASA LA MUNGU NI TOFAUTI NA DARASA LA MANABII
19:21
TENGWA TV
Рет қаралды 662
TUNAVYOPASWA KUOMBA WAKATI HUU | MWL. AUGUSTINE HB. TENGWA
21:06
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 8 МЛН