#Furaha ya BWANA tukitenda maagizo yake" 💪💪💪💪2023🙏🙏🙏🙏
@zaina3808 ай бұрын
👍👍👍👍
@weldersirinimakelemopeter46713 жыл бұрын
Hakika ukimtegemea mungu unachota furaha yake, maana yeye niwa Rehema mpole mnyenyekevu hana hasira. Ameeeeen barikiwa sanaaaaa
@maryshayo95743 жыл бұрын
Mungu awainue utukufu kwenda utukufu kwaajili ya utukufu wa jina lake
@loveyusufu34572 жыл бұрын
Wimbo mzur mungu azidi kuwapa ubunifu ameen.
@MuyamaBetwa22 күн бұрын
Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@kennytwinzi90323 жыл бұрын
Hakika...ni Furaha ya Bwana tukitenda maagizo yake👏👏👍👍
@emmanuelmwailimbu98433 жыл бұрын
Hii ndio furaha ya Bwana sasa hata mimi nimefurahi sana kuona kazi hii ikiwa ndani ya Chanel ya KZbin nimefurahi hakika Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu muendelee kuinuliwa juu sana
@johnsonayo3 жыл бұрын
Hongera sana Mtumishi kwa wimbo safi
@zaina3808 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@elizabethdenis27423 жыл бұрын
Mnapendeza sana watumishi wa Mungu.
@miriammollel17552 жыл бұрын
Amina Mungu wa mbinguni awabariki sana.
@NtimpirangezaFrancoise10 ай бұрын
Nawapenda sana tuna baba
@glorychris92972 жыл бұрын
Mmpendeza Sana na mnaimba vizur with displine dressing
@filothiasirizabongo57673 жыл бұрын
Hakika huu ndio ya Bwana
@AlexJoel-ec5eg Жыл бұрын
Mungu awabariki
@azizafikirini31972 жыл бұрын
Mubarikiwe.sana
@wilfredelimeleki45433 жыл бұрын
Mbarikiwe
@queenterzawadiamina25942 жыл бұрын
Amina mubarikiwe
@PeterSarakikya-bp8mo Жыл бұрын
Emanuel lyimbo uko wapi Mungu azidi kukuonekania
@daudimungure92793 жыл бұрын
Mungu awabariki na azidi kuwainua kila iitwapo leo katika huduma yenu ya uimbaji. Hakika kazi yenu ni njema na tunabarikiwa.