WAANZILISHI WA KWAYA YA BARABARA YA 13 ULYANKULU KWA VIUMBE VYOTE WAELEZA WALIVYDHRUMIWA NYIMBO ZAO

  Рет қаралды 4,883

John Ngollo

John Ngollo

Күн бұрын

Пікірлер: 44
@EvangelisteMireilleMITAMBA
@EvangelisteMireilleMITAMBA Ай бұрын
Mbarikiwe kwa kazi mumefanya, ila mapenzi ya Mungu ni kwamba injili ihubiriwe kwa urahisi. Tuki protect ao protéger kazi mulizozifanya munazuia injili. Tutoe bure na Mungu atawalipa.
@hakizimanaelie8916
@hakizimanaelie8916 2 ай бұрын
Ndugu wapendwa Mwenyezi Mungu awabariki sana tungeomba muweze kuandaa vijana wengine waendeleze kazi nzuri sana muliyoyianza nyimbo zenu zote mulizitunga kwa ufasaha 9 /11/2024 Mungu awakumbuke kweli mulifanya kazi kubwa sana ❤❤❤
@EGUDIASAM
@EGUDIASAM 4 күн бұрын
Ni kweli mmebarikiwa na vipachi vya uhimbaji nautungaji hata kama mumeibiwa haki yenu thawabu yenu tayari iko mbinguni, sababu wengi mno wameubiriwa habari tayari tunayo, imepaki kwetu kuamwa wokovu tuingie mbinguni,na wa mguni awabariki sana.
@EGUDIASAM
@EGUDIASAM 4 күн бұрын
Na Mungu wa mbinguni awabariki sana
@raymondbahati7626
@raymondbahati7626 2 ай бұрын
Nyimbo zao zina bariki
@florencemeza6540
@florencemeza6540 7 ай бұрын
Nawapenda mnoo nyimbo zenu zimenibariki saaana
@isayahlesurwa307
@isayahlesurwa307 8 ай бұрын
Kweli mungu ni wa ajabu napenda sana nyimbo zenu.
@dennismogoi6843
@dennismogoi6843 5 ай бұрын
Hapa kenya napenda nyimbo zenu, rudi uwanjani Tena ninasubiri.
@kimeusk
@kimeusk 11 ай бұрын
Lovely ❤❤❤❤❤
@osmundmtavangu
@osmundmtavangu 7 ай бұрын
Mwandishi hukuandaa maswali vzr.Swali la kwanza ilitakiwa uulize kwaya ilianza mwaka gani? Pili ilitakiwa uulize walikusanyana vipi hadi kuunda kwaya Bora kabisa? Tatu mapato kidogo waliopata wameyatumia kufanya Nini? Nne hadi Sasa wangapi Bado wako hai?
@alexismuhoza3921
@alexismuhoza3921 8 ай бұрын
Nawapenda sana
@antonyndinga8890
@antonyndinga8890 10 ай бұрын
Tunasikiliza sana myimbo zenu kwenye mitandao, inabidi mnufaike
@AsterNsengiyumva
@AsterNsengiyumva 9 ай бұрын
Burundi turabumva cane ruyigi
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 2 ай бұрын
Huyo mama aimbe jamani.watunge nyimbo mpya
@salarose5980
@salarose5980 3 ай бұрын
duh natamani kuzipata kama hizo ,zilikua na upako sana
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Mungu awawezeshe Kwa kila Jambo pia tafuteni watu media
@HermaniMugabe
@HermaniMugabe 8 ай бұрын
Nami munipe namba hizi
@bensonjohn9633
@bensonjohn9633 Жыл бұрын
Mungu azidi kuwapigania
@WelldanneSiwatu
@WelldanneSiwatu Жыл бұрын
Ninalomba numéro ya hawa wa ndugu,niko RDS
@IrakozeReponse-mf2nk
@IrakozeReponse-mf2nk Ай бұрын
Kumbe hawo wajama bado wapo Tzt? Mimi nilikuwa nadhani kwamba wapo Australia
@HermaniMugabe
@HermaniMugabe 11 ай бұрын
Mutup zamazenu
@HermaniMugabe
@HermaniMugabe 8 ай бұрын
Kwakotiwa nyimbo hizo kwasautihii
@godlistenelisifa4441
@godlistenelisifa4441 29 күн бұрын
Sasa atujui wamebaki wangap mwandish jipange tna
@olaislukumay2208
@olaislukumay2208 8 ай бұрын
Sisis nibarua Wokovu ni lazima
@mhenitv
@mhenitv Жыл бұрын
Naomba namba ya Mr Edmund K Mukwiye
@frankkinyaiya.8217
@frankkinyaiya.8217 8 ай бұрын
Mwanamama Jovita Nyandu kazeeka MUNGU awalindee
@HermaniMugabe
@HermaniMugabe 6 ай бұрын
Mutupe wimbo inayosema Nakama vilemusa alivyo inuwanyoka
@DAUDIMACHIMU
@DAUDIMACHIMU 6 ай бұрын
hii ni kwaya ya TAIFA
@anissawinasi2579
@anissawinasi2579 11 ай бұрын
Kusema Kweli Mungu awakumbuke zahidi nyimbo hizo nilihanza kusikia tokea nilipo kuwa mtoto wa miaka 5 mpaka sasa niko miaka 30 bado nyimbo hizo zinazidi kunibariki. Niko Canada nyimbo hizo zinanibariki Kweli Kweli Mungu asimame upande wao
@JamesMoshi-xz8zk
@JamesMoshi-xz8zk 11 ай бұрын
Tunaomba uwaoji na hawa mapigano ulyakulu
@Mwinatv-yb6lg
@Mwinatv-yb6lg 11 ай бұрын
samahan naeza pata mawasilano ya hawa waimbaji
@erickmassanja4201
@erickmassanja4201 3 ай бұрын
Muendesha kipindi. Huna weredi wa kazi yako! Umeanza Intereview vibaya huna maswali yenye Logic. Any way .Hongera kwaya Ulyankuru
@HermaniMugabe
@HermaniMugabe 8 ай бұрын
Watupe nyimbo mupya tafazali
@HermaniMugabe
@HermaniMugabe 8 ай бұрын
Hakujawayi nyimbo kamahizi tafazali mutupe zoto
@HermaniMugabe
@HermaniMugabe 8 ай бұрын
Nipe wombo inayosema Nina ahadi Toka kwamungu Siku ikifika
@happinesstesha7061
@happinesstesha7061 7 ай бұрын
Watafuteni na wale wa mapigano ulyankulu jaman wapo wap
@HermaniMugabe
@HermaniMugabe 8 ай бұрын
Huyo huyo nfiyo ameimba
@HermaniMugabe
@HermaniMugabe 8 ай бұрын
Zawatuzaji
@HermaniMugabe
@HermaniMugabe 8 ай бұрын
Mindizo nyimbo zinanifufuwa kiroho
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Mbona wanajulikana tu serikali inawajua
@WelldanneSiwatu
@WelldanneSiwatu Жыл бұрын
Ninaitaji numéro ya hawa wa ndugu,ya WhatsApp,niko RDC
@EvangelisteMireilleMITAMBA
@EvangelisteMireilleMITAMBA Ай бұрын
Nahitaji pia
@Giftarrowfashion
@Giftarrowfashion 2 ай бұрын
Very poor presenter,poor introduction.
@osmundmtavangu
@osmundmtavangu 7 ай бұрын
Mwandishi hukuandaa maswali vzr.Swali la kwanza ilitakiwa uulize kwaya ilianza mwaka gani? Pili ilitakiwa uulize walikusanyana vipi hadi kuunda kwaya Bora kabisa? Tatu mapato kidogo waliopata wameyatumia kufanya Nini? Nne hadi Sasa wangapi Bado wako hai?
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
Maombi kama kuchoma uvumba - Bishop Zachary Kakobe
55:30
Nyumbani Habari Media
Рет қаралды 1,5 М.
PRAISE TV: KWAYA YA VIUMBE VYOTE DOCUMENTARY PART 1
8:29
PRAISE TV MEDIA
Рет қаралды 4,7 М.
SIMULIZI YA PASTOR SAM SEHEMU YA  9#trending #film #news
35:18
USHUHUDA WA MWANZO WA HUDUMA YA ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA ALIVYOTOKA KWA ASKOFU SWAI,
33:49
AGANO LA DAMU Part 1 -Zachary Kakobe
56:32
Nyumbani Habari Media
Рет қаралды 10 М.
Katika Viumbe Vyote, Barabara 13 - Wakati Ule wa Nuhu
6:26
Siro Jack
Рет қаралды 541 М.
NKINGA CHRISTIAN CHOIR - FULL ALBUM, SIFA NI ZA BWANA"
1:00:24
EMANUEL PETER TRUE GOSPEL CHANNEL 🇰🇪
Рет қаралды 150 М.
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН