No video

Wachaga| Ukweli kuhusu tabia zao| kabila kubwa| wasomi| chini ya mlima Kilimanjaro

  Рет қаралды 16,496

q voka

q voka

2 жыл бұрын

Пікірлер: 19
@annemlay11
@annemlay11 2 жыл бұрын
Umejieleza vizuri sana lakini wachaga sio wabinafsi bali hawana muda wa kupoteza hivo hujitenga na wazembe wanaoendeleza umaskini.
@natafutapesa9678
@natafutapesa9678 2 жыл бұрын
Daah msimulizi uko vizuri sana kaka ahsante sana kwa kutuletea historia za asili zetu Tanzania
@user-ih5nb9kv4y
@user-ih5nb9kv4y 6 ай бұрын
Simulizi yakoiko vizuri san kuna wachaga wengine hawajui kuusu koo zao kama mm. Nimejifunza mengi sana
@augustinomashallo8943
@augustinomashallo8943 Жыл бұрын
Me yangu mashallo
@ericangao2243
@ericangao2243 7 ай бұрын
Umejaribu kuweka wazi Lakin mengine sio kweli hasa koo na sehemu wanakoishi ..eti wabinafsi!!!..tunasubiri makabila mengine
@MariamHemed-zt8xo
@MariamHemed-zt8xo 3 ай бұрын
Wapare umewaachia wapii we huijui kilimanjaro vzur ndugu tuulize ss wazaliwa
@francismadoshi8529
@francismadoshi8529 11 ай бұрын
Kwa nini hakuna lugha moja ya Kichagga kama vile Waha, Wahaya na Wanyamwezi wana lugha moja.
@user-yz5zn4tr6i
@user-yz5zn4tr6i 9 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@germinmassawe3240
@germinmassawe3240 2 жыл бұрын
Ooog saaana
@jovithaabraham6375
@jovithaabraham6375 2 жыл бұрын
Umetuweza bro
@mariomsigwa9428
@mariomsigwa9428 2 жыл бұрын
Filihunja na eddy 💪
@emanuelurioh1431
@emanuelurioh1431 6 ай бұрын
Una ukabila
@francismadoshi8529
@francismadoshi8529 11 ай бұрын
Wewe unataka kudumisha ukabila tu!
@salumzuberi1379
@salumzuberi1379 2 жыл бұрын
Yenyew mzee... Af naomba picha na wewe..😁
@qvoka
@qvoka 2 жыл бұрын
Ucjal kaka
@gracemosha5634
@gracemosha5634 2 жыл бұрын
So kweli kwamba wachagga wanarudi Christmas kutambikia Bali ni kupumzika na kukutana na familia hayo mengine umeongezea.na Kila familia hutofautiana.
@NasserShayo-tn6vo
@NasserShayo-tn6vo Жыл бұрын
Tatizo hawajui wanapenda kusema VITU BILA UTHIBITISHO😂
@mbuyaelyaoni6266
@mbuyaelyaoni6266 Жыл бұрын
Nadhani ni vyema ukafanya tafiti sawasawa kabla jujatoa maelezo yako. Kuna mambo mengi umeyaelezea ambayo nadhani kwako ni ya kutunga, I mean fiction. Nina swali, je, hizi stori za ajabu ajabu unataka kumfurahisha nani?
@user-yz5zn4tr6i
@user-yz5zn4tr6i 9 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 46 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 59 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
MJUE MSUKUMA NA TABIA ZAKE
7:48
Mtembezionline
Рет қаралды 38 М.
CHIMBUKO LA WACHAGA KUMBE NI NDUGU NA WAYAHUDI KABILA LA YESU
6:19
Rethink Mars: Why Going to the Red Planet Is Risky | Revealed!
22:35
JR STUDIO-Sci Talk Malayalam
Рет қаралды 484 М.
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 46 МЛН