Nimelewa Naomba Mungu nisamehe/niwezeshe nisifanye tena jambo hilo, unipe ufahamu wa kukumbuka na kuliweka moyoni neno lake. Amina
@marianaduncan63306 ай бұрын
Kuongeza neno lako mwenyewe si sawa,ila ukipigia mstari ili kuweka kumbukumbuku si machukizo,
@rehemamtarimarehemamtarima6 ай бұрын
Asante watumishi Kwa kutufungua mbarikiwe sana
@AgnessIbrahim-nt1kr6 ай бұрын
Kwa kweli mambo ni mengi hapa Duniani Mungu atupe tu maarifa yake ili tusiangamie, kila aliye na roho Mtakatifu tayari kashajua na kuelewa maana Roho Mtakatifu huyafunua yote na kutufundisha pia
@gospelmissionarytv12126 ай бұрын
Neno la Mungu ni lile lililo rohoni sio karatasi...bibilia kama ni yangu...ni yangu inisaidie ndio maana nachora ndio nifanye study 📖...bora usiongeze au kufuta au kubadilisha neno. Lakini tufahamu kwamba ni lile neno lipo kwa rohoni mwako litakuokoa sio vitabu na kurasa...Weka neno rohoni...sio kwa vitabu.
@revojomo6 ай бұрын
Vizuri sana , hii imekaa vizuri sana iwe endelevu mchungaji Kuna kitu cha ziada
@shuhudazakweli34066 ай бұрын
Amen
@fridafrancis19606 ай бұрын
Ni kweli nilikua nachora biblia kwa kalamu baadae nikakosa amani nikawa nakosa amani sasa hivi sichori kabisa
@endlessloveofchristlovewor99916 ай бұрын
Kupigia mstari NENO ni kulificha moyoni mwako. Psalm 119:11KJV Thy word have I hid in mine heart, That I might not sin against thee
@phestostanley40196 ай бұрын
Sijaelewa baba hapo , hilo jambo ni dhambi au ni kosa kuna kosa na dhambi ni vitu viwili tofauti
Asante kwa Somo WAALIMU. Lakini Mimi nadhani ni Uelewa tu, kama tukiweka mtazamo huo tutajikuta TUNAABUDU BIBLIA BADALA YA MUNGU. KUCHORA MAANDIKO HAINA SHIDA MAANA NENO LAKE YESU NI YALE AYASEMAYO AMBAYO YANAPOKELEWA MOYONI NA KUKAA. NDO MAANA ANASEMA; NENO LA MUNGU LIKAE KWA WINGI NDANI YENU. TUSIISHIE KATIKA BIBLIA MAKARATASI YALIYOANDIKWA NENO LA MUNGU BALI TUMWAMINI NA KUMPOKEA NDANI YETU YESU KRISTO NENO LA MUNGU LILILO HAI. BIBLIA KITABU NI KITABU TU, NDO MAANA KINAISHA, KINACHANIKA ,KINAIBIWA,KINAROANA MAJI NK.
@ruwaichingowi54816 ай бұрын
Kila andiko lenye pumzi lafaa kwa mafundisho, kuonya na kumkamilisha mtu. Hili ndilo lengo la andiko kumkamilisha mtu. Andiko ni kwaajili yetu, kutusaidia kukaa ktk ukamilifu. Kuhusu kuchora au kuto kuchora hapo mtu hafungwi. Maana tohara yetu ni ya moyo. Moyo ufanywe upya kwa Neno ambapo tunajua kwamba maneno ya Mungu ni roho. Nia ya Mungu ni kuubadilisha au kuutengeneza moyo wa mtu ufanane na yeye. Kwahiyo mtu anaweza kuchorea mstari biblia kwa lengo la kuweka msisitizo na kukumbuka.
@andrewnday91276 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe. Nawashukuruni kwa ufafanuzi wenu kuhusu mada hiyo. Je! Kuchora mistari ya Biblia ni dhambi?
@undjisangya38946 ай бұрын
Samahani sana maana nataka kujifunza zaidi watumishi Wa Mungu Kwa kuhuliza mambo mengi: Mada nyingine: Hatuwa Za kukuwa kiroho. Nitajuwaje kama nimepiga atuwa na Bwana kila siku?
@HelbethMlelwa6 ай бұрын
Siwezi kuacha kuchora ili nishike hilo neno kirahisi. Wala sijaongea neno lolote bali nimetafuta njia ya kulishika hilo neno
@zipporahmibei90076 ай бұрын
Amen
@qulasulle-hp1ni6 ай бұрын
Wanàosema mtu asichore au kupigia mistari maandiko ya biblia wanatuchanganya tu ! Kuchora au kupigia mistari Wala hakuna tatizo lolote! Huo ni mpango mkakati AMBAO humsaidia kwa urahisi msomaji wakati anaporejea kuisoma tena andiko husika ili kuiweka kwenye kumbukumbu zake!
@undjisangya38946 ай бұрын
Mada : jinsi ya kuhishi maisha matakatifu na kulishika NENO la Mungu.
@shuhudazakweli34066 ай бұрын
Amen
@vumiliawambula17166 ай бұрын
Amina Amina Sana watumishi wa Mungu
@Rashid-vm1fk6 ай бұрын
Amina
@HappyBuffalo-yt7wf6 ай бұрын
Hakuna dhambi yoyote biblia mtu kuchora mfano mtu anasoma biblia anaweka mstari ili akumbuke sasa shida iko wapi kulishika neno nikuliweka moyoni mwako nasyo kwenye karata hii nikuweka hofu ndani kwa watu Hakika hii zi ninyakati za mwisho 1timotheo 4:1 Nahayo mandiko mnayo soma yako kinyume na kuchora kwa ajili ya kumbukumbu 😂😂
@LydiaMugo-f1f6 ай бұрын
Nilikua Na Chola but sitachola tena
@undjisangya38946 ай бұрын
Mada nyingine: kuhomba Kwa Imani, Nitafanya je ili niwe ninahomba Kwa imani kila siku?
@carolinederi56906 ай бұрын
Apo kwa vitabu vya shule kuchora Kweli ni makosa coz huaga wengine baada yako watavisoma lakin kma kitabu ni chako waeza chora chochote
@medricksanga59256 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe, lazima kwanza tujue utofauti wa neno la Mungu na maandiko matakatifu andiko ndio hayo maandishi lakini neno la Mungu ni yale maandishi moyoni mwako yaliyofafanuliwa na Mungu kwa ajili yako katika specific issue am so sad with you, biblia yangu haiwezi kunifanyi mtumwa jitoen katika hayo mautumwa elewen biblia, Mungu awatokee jmn
@Rashid-vm1fk6 ай бұрын
Nashukuru sana kwa kuwa wa kwanza kuiangalia
@PascalinaMoshi-ul9wi6 ай бұрын
Sawa kaka
@queenesther26396 ай бұрын
Mtumishi nimekuelewa Yale maandiko ninayoyakariri ndiyo YALIYO moyoni na huyataja kirahisi nikiomba au nikiongoza Mtu Ñeno lkn niliyoyachora Tu PASIPO kuyakariri huwa nasahau hata yapo kitabu gani
@emanueljustin98056 ай бұрын
Naomba msaada kwa kazi hizo za kujipatia kipato, je nisahihi kuzifanya au nimachukizo. ??? - kukodisha vyombo vya mziki katika mashelehe , matamahasha n.k - kujenga nyumba za wageni (Gest) ili upangishe - kuajiliwa kwenye viwanda vya pombe, sigala n.k Naomba msaada wa ufafanuzi????
@queenesther26396 ай бұрын
Hiyo Biblia mliyo nayo utadhani NI ya kwangu! Hahaha ! Majuzi hapa nilikuwa najiwazia mwenyewe Je! Hizi rangi High writer NI ziliundwa harari Kwa Biblia Tu! Au tunachorea Biblia PASIPO kujua hata haya marangi yanatoka wapi?! Au labda Tu NI kuzimu!!
@queenesther26396 ай бұрын
Kuna Pastor alinipa Biblia yake nisome Neno fulani nikaona Biblia yk iko plain utadhani mpya nikamuuliza mbona haina hata kamsitari kamoja ambako amechora?! Akacheka tuu nadhani hakupenda kunivuruga sasa leo nitamuuliza dhahiri kwa kushare naye hii KZbin,... Naye anasema soda si nzuri kwa watakatifu Je! Ninyi mnasemaje?
@shuhudazakweli34066 ай бұрын
Ndio sio nzuri kiafya
@sarahmdindile43016 ай бұрын
Kiafya na kiroho pia haifai
@undjisangya38946 ай бұрын
Watumishi Wa Mungu: Kwa upande WANGU BIBLIA ninayo lakini sijuwi nikitu gani kinacho nizuhiya kuhisoma kila siku. Mada : nifanyeje ili niwe msomaji wa BIBLIA kila siku? Au wakristo wengi wanazo BIBLIA Lakini awazisomi ipasavyo ni Kwa nini? Mutusahidiye watumishi Wa Mungu ni nini tufanye ili kushida uvivu wakusoma BIBLIA kila siku.
@RodahAdonice-dz4sm6 ай бұрын
Anza kidogo kidogo zoea walau kila uamkapo soma mstari mmoja mchana na jioni na usiku kabla ya kulala unavyojizeasha taratibu utazoea kam ulivyo huwez kukaa bila kutumia sm yako na biblia fany ivo
@sarahmdindile43016 ай бұрын
Muombe Mungu akupe kiu yakusoma neno lake, harafu anzia kitabu Cha mwanzo , jowekee mkakati Kila siku usome walau sura mbili