BISHOP NA PASTOR WAPAMBANA KWENYE MADA YA KUOA WAKE WENGI.

  Рет қаралды 12,850

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Please subscribe to our channel ‪@StraightPathDawah‬ .

Пікірлер: 206
@HassoNalka-ei6fr
@HassoNalka-ei6fr Ай бұрын
ManshAllah Ustad Ramadha bin kuria Allah Akuhifadi na akuzidishie umri ili. Usaidie🤲🤲🤲🤲
@aminamahamud9333
@aminamahamud9333 Ай бұрын
I love this debate it's hot sana. Sheikh Ramadan keep it up
@alinurharun8468
@alinurharun8468 Ай бұрын
Jazakumullahu Khairan sheikh huyu daudi ataslimu jaribu vizuri ,he is a resource person
@rahilyas254
@rahilyas254 Ай бұрын
Ahsante bwana Ramadhan Allah akupe afya na umri mrefu uzidi kuelimisha watu Ameen
@fandere3745
@fandere3745 Ай бұрын
ManshaAllah,What a debate❕Sheikh make it a series 👏🙌,Part 2 plzz 🔥
@Wida_de_boss
@Wida_de_boss Ай бұрын
Yani huyu bishop ananifurahishaga kweli 😂😂😂😂😂 Allah amuongoze inshallah
@user-hu3uw4pd7y
@user-hu3uw4pd7y Ай бұрын
Allah akuhifadh sheikh Ramadhan na inshallah AK watasilimu wote
@minaniyasini7834
@minaniyasini7834 Ай бұрын
Allah aibariki kazi ya daawah Nawapongeza sana wahubiri zetu
@Baharia
@Baharia Ай бұрын
Jamani tunangoja part 2 mashallah mdahalo mtamu sana mpe hongera Brother pilot
@samxx411
@samxx411 Ай бұрын
Bishop leo hana majibu sana anadefend his dissertation tu kuhusu kuoa wake wengi na anaona bado shule yake bado ndogo ila namkubali sana yupo very friendly inshallah Mungu amfanye awe muislamu
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Ай бұрын
Suala siyo shule ila kukaririshwa mahubiri na mafungu ya wazungu, hiyo ni mipangulio ya maisha ya wazungu ya
@hanifa9153
@hanifa9153 Ай бұрын
Na pastor c asilim jamen amebakisha kidogo tu😂😂😂 allahumma bariki❤🤲
@arqam2020
@arqam2020 Ай бұрын
Napenda hii, Kimemramba Askofu hahah
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 Ай бұрын
Kiukweli nawapenda wote kwa ajili ya Allah. SLEIFIK HAJJIR from Zanzibar
@didasmajor9288
@didasmajor9288 Ай бұрын
Okoka ktk jina la Yesu, Kristo Yesu anakuhitaji
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M Ай бұрын
Kuokoka ni ni akhera sio duniani
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
​@@didasmajor9288waliokuwepo kabla ya yesu kuzaliwa waliokoka kwa jina la nani? Wazungu pia wanaokoka kupitia jina yesu? Maana yesu ni East Africa pekeyake, nchi zengine ukitaja yesu hawajui yesu ni nini
@Khalifaathumani-cy5om
@Khalifaathumani-cy5om Ай бұрын
😂😂😂😂Hawa ndio maaskofu??? Hawa wamechemsha. Allah awape mwongozo kamili inshallah.
@Shillingi
@Shillingi Ай бұрын
Kwani huyoo ambaye ww unamuamini siumwambie aje kama uko tayri ata ww karibu kenya
@Adm9464
@Adm9464 Ай бұрын
It seems Bishop Steven is confused because the only verse that talks about one wife is directed to the Bishop not the parishioners. So the Bible confirm the Islamic belief of polygamy.
@rahilyas254
@rahilyas254 Ай бұрын
😂😂😂
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M Ай бұрын
Dume uoe dume mwenzako but kuoa wake wawili ni haramu Wallahi Hawa wakristo
@didasmajor9288
@didasmajor9288 Ай бұрын
Elewa kuwa kiongozi wa wakristo wote duniani ni Yesu, usikariri maisha ya kizungu ukayafanya ndiyo utamaduni wa kikristo. Soma kanuni za Imani ya kikristo kabla hujatoa oni mgando
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M Ай бұрын
@@didasmajor9288 yesu mwenyewe ni huyo mzungu Brian decon na Kila siku alikuwa aliishi kuwaambia msimuambudu yeye ni actor na Kila siku yesu wenu ako TikTok akiwaambia mpite na like.kama basi maisha yenu kiongozi ni yesu ,basi msioe juu yesu hakuoa, 😂😂😂
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Ай бұрын
Wakristo wamechanganyikiwa hawajui Nini ni Nini Yani wapotu kufuata upepo
@softymoha5484
@softymoha5484 Ай бұрын
@@SheeMaryam.M 🤣🤣
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M Ай бұрын
@@didasmajor9288 si mnawaozesha kanisani sio siri
@Jingajinga64
@Jingajinga64 Ай бұрын
Assalamu Alaykum sheikh. Allahumma Barik
@halimaali3719
@halimaali3719 Ай бұрын
Amini yarabi mungu uko❤
@Natashaamina-u7w
@Natashaamina-u7w Ай бұрын
Mashallah sisi ntunawempenda sana ❤
@MWALIMUCHAKATV
@MWALIMUCHAKATV Ай бұрын
Sijamwona Daudi karibu miaka 10 na kitu. It's good to see him still soldering on. Yehova Elohim bless you both
@Adm9464
@Adm9464 Ай бұрын
Bishop Stephen is definitely caught off guard and is struggling to confront his pastor opponent. Either he hasn’t read the Bible in its entirety or he is ignoring the teachings of the Bible.
@AminiIlungajuma
@AminiIlungajuma Ай бұрын
We can’t wait for part two 😊
@josemu870
@josemu870 Ай бұрын
Barikiweni sana sana
@husha6372
@husha6372 Ай бұрын
Sheikh Ramadhan ungekwenda na daudi kule Bungoma Tomgaren Kwa Yesu wa TONGAREN am am AME Kwa maandiko
@user-wt4yk1wg4u
@user-wt4yk1wg4u Күн бұрын
Ramadhani please tell the bishop to read the whole verse. Corinthians 7varse 1 and 2
@ChadCommaz-bx6xf
@ChadCommaz-bx6xf Ай бұрын
My bishop is shivering today
@Adm9464
@Adm9464 Ай бұрын
Jameni Bishop Stephen seems stuck in a deep mud and has no way out.
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Ай бұрын
Huyo bishop msimueke na wasomi .. huyo ni mpiga debe .. fujo tupu maandiko zero.😅😅
@PaulRichard-vq9xz
@PaulRichard-vq9xz 12 күн бұрын
Mm nmemuelewa askofu yko correct saaaana
@AssumaniKibiriti
@AssumaniKibiriti Ай бұрын
Assalam alayikum warahmatulilah wabarakatuh kwa kweli bishop hajuwi maandiko wako wanampa somo longine alikuwa halijuwi 😂😂
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f Ай бұрын
😂😂😂😂kimemkuta Leo bishop aamini tu na awache upotofu😢
@Adm9464
@Adm9464 Ай бұрын
The two Christian pastors can’t agree with one another.
@AlexEinstein-by8wo
@AlexEinstein-by8wo Ай бұрын
Poligamy is humanity way to whitewash sin and legalize it with scriptures!!
@adanabdi5249
@adanabdi5249 Ай бұрын
Masha Allah.
@nurumuhamad3817
@nurumuhamad3817 Ай бұрын
Thanks sheikh
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ part 2 please
@arafatabubakar001
@arafatabubakar001 Ай бұрын
Bishop,rudi tena shule,bado twakusubiri...Wallahi nashangaa mpaka waikataa kile ulioenda kusomea😂😂😂
@salimbahatisha3003
@salimbahatisha3003 Ай бұрын
😂😂😂Bishop yuko hoi bin taaban....ety ah😅😂😂
@ramadhanrashid1040
@ramadhanrashid1040 Ай бұрын
Hee, huyu pilot yuko sharp.
@MWALIMUCHAKATV
@MWALIMUCHAKATV Ай бұрын
By the way Zipporah is the very lady mentioned as Cushite . The black Ethiopian, the cushite or medianite . It's the very woman
@rashidwalwanda1991
@rashidwalwanda1991 20 күн бұрын
Maashallah ❤❤
@warsameabdi9366
@warsameabdi9366 Ай бұрын
Bishop Huna Bahati...Biblia imekukataa..😂
@user-wt4yk1wg4u
@user-wt4yk1wg4u Күн бұрын
Basi kulingana na Bishop, anamaanisha mungu amekosea kuwaumba wake wengi kuliko waume? Ikiwa mungu hapendi polygamy, angeumba idadi sawa
@PaulRichard-vq9xz
@PaulRichard-vq9xz 12 күн бұрын
Mke zaidi ya mmoja huo ni uzinzi uliojificha ktka ndoa ya wake zaidi ya mmoja
@SusanWanjiku-yq6bk
@SusanWanjiku-yq6bk Ай бұрын
Harakisha nataka kuona ndacha na bishop nataka kujua maana ya kamungu kadogo
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Ай бұрын
😂😂😂 insha'Allah
@user-iz1er8vg7u
@user-iz1er8vg7u Ай бұрын
Mashallah
@RamadhaniRamadhani-yd4hq
@RamadhaniRamadhani-yd4hq Ай бұрын
Huyo baba ni mwalimu, ilifaa awafundishe maaskofu bibilia
@MWALIMUCHAKATV
@MWALIMUCHAKATV Ай бұрын
Hahaha eti Eve was just one of the many bones of Adam. Very funny argument
@MosesMaina-o7k
@MosesMaina-o7k Ай бұрын
Upload part 2 kindly
@emmanuelgongoro1014
@emmanuelgongoro1014 Ай бұрын
Mke mmoja hio ni uzungu...Mungu hakuadhibu walio oa wake wengi...uzungu ndio unao tawala makanisa mengi...
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
Hao wazungu wenyewe uacha wake zao uzunguni nakuja nchi za Africa kuoa wake wengine
@emmanuelgongoro1014
@emmanuelgongoro1014 Ай бұрын
@@fatumamwalimu5765 kabisa na ss wanatudanganya hapa
@mangofish9079
@mangofish9079 Ай бұрын
Bishop huwa unanichekesha kwa kweli sana napenda kukusikiliza unavyozungumza.
@jei_Ibrahim
@jei_Ibrahim Ай бұрын
Kama kuna muisilamu hapendi bishop uyo atakuwa na issue zake tu personal Rama ambia bishop waislamu tunampenda sana 😂😂😂😂😂😂😂
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Ай бұрын
Hawajui.kama.wanawakeawengi.kuliko.wakiume
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Ай бұрын
Sure!!
@imranbanda3963
@imranbanda3963 Ай бұрын
Today bishop goes to Sunday school
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Ай бұрын
Hapa hautawaona wale makafili wanaotetea mwanaume kuoa mwanaume mwenzake na kukataza mwanaume kuoa wake wengi wakristo hawajielewi ya ni wanakataza mwanaume kuoa wake wengi harafu wanaotetea ushoga na LGBTQ hatasijui wanaamini bibilia Gani au ukristo gani
@mobutu3884
@mobutu3884 Ай бұрын
Kwani wewe unajua Biblia inasemaje kuhusu ushoga? Au huwa mnaamini watu na sio Biblia? Wakristo wanaongozwa na Biblia na sio mihemuko ya watu, ndio maana wapo waislamu wengi sana mashoga ila quran sidhan kama inaruhusu ushoga, au unataka tuhoji uislamu kwa sababu wapo mashoga pia
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M Ай бұрын
Askofu tu ndio inasema mtu aoe bb mmoja Lkn manabii hakuna alie kuwa na bb mmoja Japo wao wanasema manabii niwazinifu ..... Bb mmoja lkn mahawara akonao akifa ndio unajuwa you were not alone😂😂
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p Ай бұрын
​@@mobutu3884biblia pia inaruhusu polygamy nyie mnapinga nyie mnaamua tu mnavyotaka wala hamfati bibilia
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Ай бұрын
​@@mobutu3884kwanza ningependa kujua wewe nimwanaume au mwanamke maana kama wewe nimwanaume utakua natatizo la nguvu zakiume na kama wewe nimwanamke utakua na wivu ndio inakusumbua nakama wewe nshoga huna tofauti na mwanamke au kama wewe nimwanaume unaogopa majukumu maana hueleweki kwani wete watatu wanosoma hapo wanasoma bibilia au nimanenoyao yakutunga ???
@ShahazaMarsha-jo9ct
@ShahazaMarsha-jo9ct Ай бұрын
New testament inapotosha,old testament ndio yenyewe na Qur'an
@alinurharun8468
@alinurharun8468 Ай бұрын
Naona bishop anajaribu kuficha msalaba wake
@RossaMengo
@RossaMengo Ай бұрын
Huyu brother dawood bado asilimu tu maana hapo ako sawa kabisa..askofu leo umekutana na pastor anakutoa jasho
@muhinabakali7377
@muhinabakali7377 Ай бұрын
Mdahalo mwengine mwambie huyo mchungaji aongee kixwa hili
@Therealkhalid254
@Therealkhalid254 Ай бұрын
Bishop ameishiwa hoja kabisaaaa.
@gechtv580
@gechtv580 Ай бұрын
So called bishop alijigamba vile amesoma na amewekwa chini vibaya sana.
@MohamedAli-ng9jg
@MohamedAli-ng9jg Ай бұрын
Bishop yani Ame'jam lakini Bado anajaribu kuuza Sura 😅 Kama so hizo camera, angerusha makonde hapo 😅
@husseinmoha7959
@husseinmoha7959 Ай бұрын
Asalamu aleykum
@hamisiomari6181
@hamisiomari6181 Ай бұрын
Walaikum salaam warahmatullah wabarakat
@martinchambala9399
@martinchambala9399 Ай бұрын
Watu kama huyu daudi sikunyingine hatumtaki anaongea kingereza wengine anatuacha solemba
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Ай бұрын
Bishop leo hataki kizungu leo haaaahaaha si amesomea Bible Theology, au amesoma kwa kiswahili 😁😁, kizungu hakipandi leo.
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 Ай бұрын
Hebu sema kwa kiswahil tusikie😂😂😂😂
@imranbanda3963
@imranbanda3963 Ай бұрын
Bishop for second wife
@MedpearlHealthcare
@MedpearlHealthcare Ай бұрын
Bishop Stephen gachochi kapigwa na butwaaaa
@user-to3wz6gv5n
@user-to3wz6gv5n Ай бұрын
Bishop rafikiangu leo ni kizungu 😂😂😂😂😂😂
@Alithoya-qr7di
@Alithoya-qr7di Ай бұрын
Bishop huko shule alikua anasoma bible gani anashangaa
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Ай бұрын
Lakini nyie wakristo mnang'ang'ania mke mmoja lakini wanawAke ni wengi kuliko wanaume! Na kadri siku zinavyoenda ndivyo tofauti ya ke inavyokuwa kubwa maaana na ndiyo wote wameumbwA na mwenyezi Mungu nani apate mume nani akose, hata sasahivi na nyie mna mabinti kama siyo mabinti ni dadAe zenu wanatamani kuolewa lakini wanaume hakuna
@omaar5693
@omaar5693 Ай бұрын
mzee anatetea mke m1 kwa utashi tu... adam alikatwa ubavu mmoja.. iyo ni uumbaji inausianaje ma ndoa. mama alitoka kwa mwili wa adam. tungesema hakupaswa kuwa mkewe... na watoto wao walioana ndugu... haimanishi ni ruhsa kuoana ndugu... ILIKUWA NI UUMBAJI NA WA WALIPOTOSHA MUNGU AKAWEKA SHERIA...
@Wida_de_boss
@Wida_de_boss Ай бұрын
Hebu ongea Kiswahili tuskieew😂😂😂😂
@alinurharun8468
@alinurharun8468 Ай бұрын
Bishop 😢😢😢😢
@samxx411
@samxx411 Ай бұрын
Naona Bishop ameganda kama ametiwa kwenye friji
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Ай бұрын
Kamungu.kadogo.mwenyewe.hujiita
@bashirmahero7021
@bashirmahero7021 Ай бұрын
Bishop anaona kivumbi😂😂😂😂😂 anaganda
@kassimabdilatif1802
@kassimabdilatif1802 Ай бұрын
Kukumbusha ndugu Ramadhan. Hii aya ya kuoa wake wanne ilipoteremshwa mtume Muhammad (s.a.w) alikua tayari ana wake tisa. Kuna aya nyengine inayomwambia mtume kuwa hana ruhusa ya kuongeza wala kuoa tena ikiwa yeyote katika hao tisa atakufa ama kuachika. Yaani Allah alimpa ruhusa ya kuendelea na hao wake alionao kwa kuwa tayari wameshaolewa. Kwa hiyo kama Mathalan kama katika hao tisa wake watano wangefariki wakabaki 4 mtume asingeruhusiwa kuongeza.
@saidissa8273
@saidissa8273 Ай бұрын
Mbona suali rahisi.hakuambiwa tisa.ameoa tisa.angetaka angeendelea
@user-vl1gn6xh5n
@user-vl1gn6xh5n Ай бұрын
Nimecheka saana 😂😂
@SusanWanjiku-yq6bk
@SusanWanjiku-yq6bk Ай бұрын
Bishop heri wanawake wengi badala ya ketembea inje
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M Ай бұрын
Unaambiwa uko solo, bwana akinyoria ndio unajuwa u were not alone😂😂
@user-te3ir8yh6k
@user-te3ir8yh6k Ай бұрын
Joseph njaa itakuua, nakuuliza unipe andiko moja Yesu mwenyewe aseme MIMI NI MUNGU,wacha kujipambaniza
@dickkagari8952
@dickkagari8952 27 күн бұрын
This bishop should do bible reading thoroughly before presenting himself to debate
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Ай бұрын
Huyu.asiyejuwaSwahili.naeAnamambo.eti.AnaaminiYesu.mwanawamungu.napiaMungu.yahn.kuanza.tu.haeleweki
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 Ай бұрын
Bishop huanzi leo kupingana mzee. UMESAHAU 6YRS AGO NA GERISHEN, YAHYA ETC. #Armie2Palestine #WorkForChange #WorkForPeace #WorkForKhilafah
@mohamedsoud3225
@mohamedsoud3225 Ай бұрын
Brother pilot we kweli umesoma unabishana kwa hoja ,so kwa ubabaishaji
@SuleimanJuma-dv8gt
@SuleimanJuma-dv8gt Ай бұрын
Huyo pastor ni zuzu hajui anachozungumza, yusakataa mpaka maandiko yakitabu chake.
@salamalsawaqi1206
@salamalsawaqi1206 Ай бұрын
Nyinyi mlisha telemshiwa kitabu inaeleza majibu yooooteeee ya kweli na ya haki kur'an lakini bado hamfahamu moto unawangoja
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f Ай бұрын
Mm nilikuwa nataka bishop nimsikilize vizuri leo lkn amekuwa ????nyingi tu kwn haya yametoka wp bishop utaiibika ww na kuna hao ma sister ambao hawailewi lkn ...... Mungu atuongoze maana iyo ni kufuru kubwa 😂😂😂😂😂😂😂bishop awe na mmoja masisters wasiolewe kweli huo ni ungwana???
@yabdul1782
@yabdul1782 Ай бұрын
😂😂Askofu kashaji kufunga kwa sentence za kwanza kusema "initially" ndio maana mungu ka tuma Manabi na vitabu za sharia! STOP SAYING WOMEN R BYPRODUCTS. That's degrading women n questioning the intelligence of the creator and his wisdom. Pastor ako na shida. Tht was God's wisdom at the time of Adam.
@halimaali3719
@halimaali3719 Ай бұрын
😂😂😂😂😂wewee
@AssumaniKibiriti
@AssumaniKibiriti Ай бұрын
Lakini sheikh watu uko mchokozi unatupa jiwe jizani kumwambia pasta anavaa kofeya ya wayahudi😂😂😂😂😂
@salhkasmm558
@salhkasmm558 Ай бұрын
Anajifananisha na mayuda
@hasinaalrahbi6681
@hasinaalrahbi6681 Ай бұрын
Huyu Bishop ni mgonjwa.
@mohamednurmohamed8812
@mohamednurmohamed8812 Ай бұрын
Brother Asalam Aleikum nakuomba tujaribu kutumia language nzuri tujenge heshima shukran brother ALLAH Barik❤
@buyuni1
@buyuni1 Ай бұрын
please do not provide a platform to these people to confuse multitudes
@bacteria5184
@bacteria5184 Ай бұрын
Sheikh ramadhan wape wageni angalau soda au maji au nimekuja saana ndugu zangu?
@abdulJambe
@abdulJambe Ай бұрын
Bishop ako na mke mmoja lkn mpango wa kando hawezi kosa
@adrisshagi1255
@adrisshagi1255 Ай бұрын
Oooh. Mr iskof. Naku salamiya kaka . And Ramadan Korea kaka. Asalamu aleykum.
@user-ev3pw5me1w
@user-ev3pw5me1w Ай бұрын
Hawataki tuowe wanawake zaidi ya mmoja lkn wako tayari kupigia debe tuowe wanaume wenzetu
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M Ай бұрын
Uoe dume mwenzako 😂😂😂 na wanawake rate Yao Iko juu kuliko wanaume na wanaweka mahawara nje
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 Ай бұрын
Nini swali kaini uliowa wapi ju, kulikuwa na watu wainne tu Dunia na alipo muuwa duguye alikimbia nyumba, na kwenda kuowa je aliowa wapi
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 Ай бұрын
😂😂😂Bibilia hapo iliwadanganya na unafaa uende kwa pastor wako umuulize hilo swali uone kama hatakukemea kwa sababu hakuna jibu
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M Ай бұрын
​@@yusufmwangichannel6692 aaah mwangi ATI kiî 😂😂😂 wallahi alhamdulillah kwa neema ya uisilamu
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Ай бұрын
Ndio ujue bibilia nikitabu cha story zajabatu
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M Ай бұрын
@@fredrickgitonga1972 alienda nchi ya Nondi
@SheeMaryam.M
@SheeMaryam.M Ай бұрын
@@fredrickgitonga1972 nchi ya Nondi alienda kuoa huko
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Ай бұрын
Ramadhani kama unataka debait ya kisomi njoo Tanzania kuna bishop anaitwa bishop ngonyani , fundi WA maandiko geneous , njoo na mada yyte unayojua wewe hasa ya Uungu wa yesu karibu Sana
@Smart_jarm
@Smart_jarm Ай бұрын
MAANDIKO YAPI HAYO YALIOBADILISHWA AU KUNA MAPYA?
@user-te3ir8yh6k
@user-te3ir8yh6k Ай бұрын
Endelea kuota mchana,andiko Moja pekee Yesu anasema "Mimi ni mungu"
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Ай бұрын
WrweKweli.umevurugwa.uungu.waYesu.Yesu.kawamungu.Innalilah.SubiriUfe.Nahuyo.giniaz.wako
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Ай бұрын
​@@SalmanMughal-lq5lt Mimi naamini Yesu Mungu , asilimia 💯💪, wewe kama huamini NI wewe kwani shida iko wapi amini unacho amini
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Ай бұрын
​@@user-te3ir8yh6k Narudia tena Yesu NI Mungu asilimia 💯💪 niache niamini nacho amini , Yesu hakuja kujisia Uungu wake Bali Kwa KAZI zake yatupasa kuamini
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Ай бұрын
Leo.msalaba.umedondokasiuon
@husseinmoha7959
@husseinmoha7959 Ай бұрын
Masha Allah
MAMBO YAMECHEMKA SANA ASKOFU AMIMINIWA MAANDIKO NA PASTOR
1:01:04
Straight Path Dawah
Рет қаралды 10 М.
PASTOR NDACHA AKUBALI KUWA YESU SIO MUNGU MKUU. (PART 2 B)
1:00:23
Straight Path Dawah
Рет қаралды 13 М.
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 45 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 121 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 935 М.
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 12 МЛН
Polygamy Debate Between Brother Dahud & A Bishop Part 2
1:01:04
The Early Church of the Lord Yeshua Nairobi
Рет қаралды 222
ALIYESILIMU AAMUA KUTOBOA SIRI😀
58:34
Straight Path Dawah
Рет қаралды 17 М.
WAKRISTO WAKIRI KUWA YESU (AS) HAKUWA MKRISTO BALI MUISLAMU
51:48
Straight Path Dawah
Рет қаралды 36 М.
NAMNA YA KUOKOKA NA HASARA
1:30:54
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 9 М.
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 15 М.
Mariamu Alimzaa Mungu Bila Kujua Maajabu ya Dunia kwa Wakiristo-Ustadh Shafii
17:26
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 45 МЛН