WAFANYA MAPENZI KWENYE NDOTO

  Рет қаралды 9,619

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Жыл бұрын

Пікірлер: 71
@TamariDusenge-oo5ig
@TamariDusenge-oo5ig Жыл бұрын
Amena,mchungaji Mungu akubaliki sana
@felisterligazio7151
@felisterligazio7151 Жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri mtumish, kiukweli sikujua lolote kuhusu mapambo
@eliyammari6382
@eliyammari6382 Жыл бұрын
Amina ubarkiwe mtu wa Mungu kwa kutufundisha habari njema. Mwenyenzi Mungu kipitia Mwanawe Yesu kristo atuondolee hayo malango ili adui shetani asitupate
@irenemuia2718
@irenemuia2718 Жыл бұрын
Amina Amina Amina ,😭😭😭😭Nani awaonye wanawake na Maeleni na mapambo YOTE ,mda ni mchache sana tunao HAPA duniani ,eee YESU tufungue macho ya ROHONI Amina
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 Жыл бұрын
Mungu nisaidie nifunguke kwa ajili yako. Nisije nikakukosea kwa kukukosoa vile ulivyoniumba. Vyombo vya uzuri visije pata kibali kwa mwili wangu. Niliona neno lako pekee.
@user-ue5qj2if5f
@user-ue5qj2if5f 8 ай бұрын
😊
@furahag3098
@furahag3098 Жыл бұрын
Hallelujah barikiwa sana mtumishi wa mungu 🙏
@tesco112
@tesco112 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@hasanygodda9242
@hasanygodda9242 Жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi ,,,amen
@naomiadam9570
@naomiadam9570 Жыл бұрын
Barikiwa Mwana wa Mungu maana nlikuwa najiuliza n wap tapata majibu ya maswali yangu ,,, Mungu akuongeze Imani usonge mbele
@didasdelphin
@didasdelphin Жыл бұрын
Mungu akubariki sana akuzidishiye Maisha mema good job
@fannyfamily-hf7bv
@fannyfamily-hf7bv Жыл бұрын
Amina MUNGU WA UMOJA akusaidie uzid kufanya kazi yake mtumish
@leontinebinlydi9459
@leontinebinlydi9459 Жыл бұрын
Usemayo nikweli mtumishi wa BWANA ubarikiwe sana 🙏🤝
@vivianalute644
@vivianalute644 Ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
@prophetferuzi7520
@prophetferuzi7520 10 ай бұрын
Barikiwa saaana man of God
@MaricelDelamino-mu6cm
@MaricelDelamino-mu6cm 4 ай бұрын
Nashukuru sana kwa hio somo mimi hizo ndoto zimenisubua sana tena miaka mingi.
@beatricekannonyele9167
@beatricekannonyele9167 Жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mzuri mtumishi wa Mungu. Je, kusuka nywele za kawaida ( za asili) bila kuongeza pambo lolote kama rasta, weaving , wigi nk je ni machukizo mbele za Mungu? Maana ninasuka nywele za kawaida ( nywele zangu za asili bila kuongeza) . Naomba nifafanulie hapo ili nipone mtumishi wa Mungu.
@user-tu9tj7gf7g
@user-tu9tj7gf7g Жыл бұрын
Hairuhusiwi
@paulinakiswaga7505
@paulinakiswaga7505 Жыл бұрын
Nyoa tuu uwe na aman ya moyo icje ikatokea unakosa unyakuo kisa nywele
@benjaminwafula
@benjaminwafula Жыл бұрын
Nani awaonye hao mi mwenyewe Niko na wife wangu Lkn ukianza Tu kusimulia mambo ya mapambo hutosikizwa KBS na wanaume pia wameingilia hayo mambo ya mapambo makanisani wanayaangalia Tu haya mambo wanaogopa kuwambia watu ukweli manake wanajua Kua watabakia na viti bila watu mungu aturehemu asanti sana Kwa mafundisho yako mazuri mwenye hekima Tu ndie anaeza kukuelewa
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 Жыл бұрын
Aaamen
@Muthonimk
@Muthonimk Жыл бұрын
Watu hawataki kuonywa lakini Mungu yupo Kwa aji ya walio wake
@marymalfarsi-vx9dr
@marymalfarsi-vx9dr Жыл бұрын
Amina mtumishi ubalikiwe sana ❤
@fatumaaybu8648
@fatumaaybu8648 Жыл бұрын
Mungu anisaidie😢😢nisije nikaukosa ufalme wambinguni kwaajili yakuendekeza milango ya Tamara😭😭😭
@michaeljm-dz7nh
@michaeljm-dz7nh 9 ай бұрын
Amen 🙏
@JasminJillo
@JasminJillo 4 ай бұрын
Amen mungu akubariki
@roselynemutimba8191
@roselynemutimba8191 Жыл бұрын
Amen be blessed mtumishi wa Mungu 🙏
@patriciachangawa1754
@patriciachangawa1754 Жыл бұрын
Hizo don't zote ulizo zitaja Mutumishi mm zote zishanipitia naomba mungu anisaidie zaidi katika toto hizi
@eliajames-mf6rx
@eliajames-mf6rx Жыл бұрын
Pamoja san mchungaji ❤❤
@leonardernest8528
@leonardernest8528 Жыл бұрын
Amen
@maglindaanyango
@maglindaanyango Жыл бұрын
Amen amen
@jennysabina8696
@jennysabina8696 Жыл бұрын
Mungu atusaindiye bila yeye sisi atutaweza Eee Mungu wangu nisaidiye🙏🙏😭😭
@happykapinga
@happykapinga Жыл бұрын
0:27 usimpe shetani nafasi, Kweli kabisa yaani, kwa jicho la kawaida huwezi kuelewa, kuna watumishi wa shetani kazi yao ni hiyo wanalala na watu kutimiza kafara zao mwisho wa siku unakosa mke au mume, na kuishi maisha yasiyoeleweka😢, Asante mtumishi
@Muthonimk
@Muthonimk Жыл бұрын
Mungu Akubariki
@didasdelphin
@didasdelphin Жыл бұрын
Good job
@veronicaleonard5246
@veronicaleonard5246 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🙏
@SafiAkinyi8361
@SafiAkinyi8361 Жыл бұрын
Amina 🙏 🙏 MUNGU AKUBARIKI 🙏
@FurahaExpress
@FurahaExpress Жыл бұрын
Mungu akubariki
@KhadijaG-yk1bf
@KhadijaG-yk1bf Жыл бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@patiencehumbled3519
@patiencehumbled3519 Жыл бұрын
Kama nashukuru Mungu kwa hili fundisho mtumishi nakuomba kila wakati uwe unaliweka uku youtube,
@YefthaKornelio
@YefthaKornelio 7 ай бұрын
Amen❤
@chausikumhozya1849
@chausikumhozya1849 Жыл бұрын
Ahsante sana mtumish Mungu akubarik
@scimarctv10
@scimarctv10 Жыл бұрын
Cheki Hawa Vijana Walivyotekwa angalia hii kzbin.infogwTZbsWsWvs?feature=share
@nananailla7723
@nananailla7723 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢 mungu wangu mtumishi wa mungu balikiwa waongea kweli
@mariangailo6873
@mariangailo6873 Жыл бұрын
Amina
@helbalchota9417
@helbalchota9417 Жыл бұрын
Mungu akubaliki sana cassian kwa kutufungua macho
@EliaCastoly-wf3wb
@EliaCastoly-wf3wb 9 ай бұрын
mungu tu ponye
@AloniShalom-iz8dl
@AloniShalom-iz8dl Жыл бұрын
Amen naamin ni kweli
@clarisbanza6066
@clarisbanza6066 Жыл бұрын
Kweli kabisa wanawake wa pagani awataki injili ya kweli kama hii 😢
@elizabethnyambura9427
@elizabethnyambura9427 Жыл бұрын
Mungu atunusuru,, ila mimi situmii mapambo walakutoboa skio au sehemu nyingine, sioti na tendo la ndoa Bali ni miaka 9 Sasa tangia nimalize shule ya msingi ila siku zote mimi huota tu na shule ile na maramingi twakimbizwa tunapotokea shule au wanafunzi wote wameondoka na nimebakia pekee mule,, nini chazo cha hayo na maana yake nini sioti na shule ya upili au chuo kikuu
@eliasmatalamototv2850
@eliasmatalamototv2850 9 ай бұрын
Ujue unarudishwa nyuma uwez Endelea sali sana
@bonyakal2713
@bonyakal2713 Жыл бұрын
je ukiwa kwenye kanisa ambao wanawake wanajipodoa na kuweka mawigi na hawaonywi ni kanisa takatifu la mungu ? nisaidieni tafadhali
@user-kc3rp6vj1d
@user-kc3rp6vj1d Жыл бұрын
Kanisa nzuri ni ile inakemea dhambi na kuishi kitakatifu.
@kassebo
@kassebo Жыл бұрын
Ameeeee
@diana56-lorient
@diana56-lorient Жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@naomiadam9570
@naomiadam9570 Жыл бұрын
Bwana akutumie pia je Kwa hao ambayo hawatumii mapambo Lakini wanakumbana na ndoto hizo je n sababu zipi??
@frankkulwa4619
@frankkulwa4619 Жыл бұрын
Pepo wachachafu wanapitia kwenye vitu vingi hata vitu unavyotizama
@eliasmatalamototv2850
@eliasmatalamototv2850 9 ай бұрын
Ubiri kuhusu kanisa la Kweli Pia maana maandiko yako waz juu ya ilo
@cypriansambagi
@cypriansambagi Жыл бұрын
❤❤😢😢
@chausikumhozya1849
@chausikumhozya1849 Жыл бұрын
Mungu yupo pamoj naw
@user-kc3rp6vj1d
@user-kc3rp6vj1d Жыл бұрын
Amen.
@WemaBeatrice-yi2gt
@WemaBeatrice-yi2gt Жыл бұрын
bwana yesu asifiwe mchungaji ,mimi nimeota jozi hiyo lakini mimi situmiagi mapambo yoyote yaleya uzuri ,nilikuwa nataka unisaidie kwenye kunifafanulia vizuri ,nifanye Nini ?
@paulinakiswaga7505
@paulinakiswaga7505 Жыл бұрын
Vitu vya shetan anavyo vitumia kama milango ya kuingilia kwetu ni vingi,mfon kupaka rangi za kucha,nguo fupi,uvaaji wa suruali,nguo za kubana nguo zenye mipasuo,hata baadh ya vyakula au manukato tunayo tumia hata kupendelea movies za kutisha kama za mazombia au za kichawi kuna maroho hua yanatuingia kupitia vitu kama hiv cjui kama nimekusaidia au laa kikubwa nikumwomba Mungu atupe roho mtakatifu ili atuongoze kwa kila kitu kama tutakua na roho mtakatifu atatuonyesha mambo mengi sana pia atatukataza hata kama hata sema mtu mwingine utakuta anasema na ww hichi kitu sio acha
@jacksonlucas2064
@jacksonlucas2064 10 ай бұрын
Omba kwa bidii na utumie damu ya Yesu kujitakasa na kujikomboa kutoka kwenye huo unahisi wa hizondoto chafu. Wakati mwingine shetani anaweza kumvamia mkristo hata kama hajafungua mlango wowote, hii hutokea kama hatambui wajibu wake kwa Mugu, pengine hajui hata maombi au hana nguvu kubwa ya Mugu, anaweza kuonewa na shetani
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 Жыл бұрын
Mtumishi wa MUNGU na kuna majini ulala na mtu tengu utoto hiyo pia uletwa na nini
@Jasminemilima-lo9ep
@Jasminemilima-lo9ep Жыл бұрын
Ameen yoote nikweli kabisa
@alicensabimana2137
@alicensabimana2137 Жыл бұрын
Sasa shetani njo mwenye ma mpaka kuliko YESU ? Neno Lina Sema YESU harari wala kusinziya ajiri ya ukingo Sasa ure malaika mlinzi anatenda lini? Satani satani satani njo ana mamlaka njo alikuya ku pinganisha YESU ushindi wa Golgota hauna faida? Kumpokeya YESU CHRISTU wa NAZARETI kun1 faida kupitiya mtumishi wa Mungu ? Ni mengi kuandika siwezi.
@RehemaMuya-zk7ld
@RehemaMuya-zk7ld Жыл бұрын
Bwana Yesu Kristo Asifiwe Amina.Mtumishi Ubarikiwe sana kwa Mafundisho yako yaliyo sahihi mbele za Mungu.Mimi Napenda sana MAFUNDISHO YA KIROHO ZAIDI. Barikiwa sn Mtumishi Amina.
@Jonathankaghese
@Jonathankaghese Жыл бұрын
Mungu akubariki
@beatricekannonyele9167
@beatricekannonyele9167 Жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mzuri mtumishi wa Mungu. Naomba kuuliza, je kusuka nywele za asili ( nilizozaliwanazo) bila kuongeza rasta na vitu vingine ni dhambi?
WANAOMBA MATUSI NAKUIMBA MATUSI MBELE ZA MUNGU EV PASCHAL CASSIAN
1:12:53
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 19 М.
KUHANI MSA NI MWALIM WA UONGO. NA NABII JODEVI NABII MKUU EV PASCHAL CASSIAN
30:26
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 66 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 25 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 115 МЛН
USIJE KUFANYA KOSA HILI LINALO WALIZA MACHOZI WENGI DUNIANI EV PASCHAL CASSIAN
23:03
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 13 М.
VITA KUU KATI YA UONGO NA UKWELI. JODEVI  PASCHAL CASSIAN VYA PAMBA MOTO
53:32
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 7 М.
UKWELI KUHUSU MAJI,MAFUTA YA #UPAKO HUU KAPA !!
17:19
Issack Mzava
Рет қаралды 1,4 М.
HAWA NDIO WACHUNGAJI MAKAHABA WAKIJIUZA KANISANI EV PASCHAL CASSIAN
16:53
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 60 М.
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 32 М.
HATIMAE MTU ALIE MPA SUM MAKOMDA CASSIAN AELEZA KWA UCHUNGU NA MACHOZI
45:10
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 59 М.
TAREHE NA SIKU YA KU UWAWA KWA CASSIAN  HADHALANI EV PASCHAL CASSIN
55:39
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 13 М.
VITA YA KUFA NA KUPONA YA IBUKA UPYA JODEVI NA PASCHAL CASSINA HAZALANI
1:12:05
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 23 М.