HAWA NDIO WACHUNGAJI MAKAHABA WAKIJIUZA KANISANI EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 58,994

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Жыл бұрын

#0788871769 #0766998994 #call0688199370 #0688199370 #

Пікірлер: 332
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 Жыл бұрын
Mahubiri kama haya siku hizi yamekuwa adimu Sana, Hongera Sana , Paschal cassian
@Majaliwa-ov3vk
@Majaliwa-ov3vk Ай бұрын
Amen
@bettykinyami5096
@bettykinyami5096 8 күн бұрын
Utayapata wapi wakati pesa ndo Kila kitu
@BulindaJane
@BulindaJane Жыл бұрын
Ukweli kabisa mtumishi wa mungu ubarikiwe sana...... mwenye masikio asikie na ajibadilishe.
@jonasbuzuka3306
@jonasbuzuka3306 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@NimethNdelwa-zc9zj
@NimethNdelwa-zc9zj Жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu mwanamke alie okoka huwezi kuvaa suruali wala kusuka nywele na kuweka makucha ya kuzimu hayo sema baba sema
@MorineKamwera
@MorineKamwera 4 ай бұрын
Hata kama dunia itaangamia lakini Mungu atainua watu watakao weza kuikomboa kwa njia ya mahubiri na maombi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@elisubiraelica3916
@elisubiraelica3916 Жыл бұрын
Ahsante yesu kwa ujumbe huuu SEMA kwa kinywa Cha mtumishi wako tupone wote, amen
@amirmahenge5007
@amirmahenge5007 Жыл бұрын
Nabarikiwa Sana Yesu yupo mlangoni anabisha yeyote atakaye na amfungulie
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 Жыл бұрын
Daaah leo umegusa penyewe kabisa mtumishi wa mungu,
@gastondofra9151
@gastondofra9151 Жыл бұрын
Ujumbe mkubwa sana.tunashangaa sana hata ukikataza wanawake asivaa suruali watu wanakupinga ,asante sana kwa Ujumbe huu utawafikia kabisa. Ubarikiwe sana
@vickytorry100
@vickytorry100 Жыл бұрын
Hamjaishi nchi Za baridi nguo gani utavaa? kuna winter uvae gauni si utaugua! Mambo mengine yanazungumzwa tu siyo vitendo
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 3 ай бұрын
Ndani Suruar na Gauni Ndevu Napia Kabla Ya Kuvaa omba roho mtaka tifu akuongoze upate kibali mimi mwenyewe na ishi nje ya nchi kwenye ma snow but sivai rsurual njee na vaa tait ndani na skert nzito au gauni nzito​@@vickytorry100
@nananailla7723
@nananailla7723 Жыл бұрын
Ukweli nikwamba hata kama nipo burundian 🇧🇮🇧🇮 nahitaji sana kushiliki pamoja nakanisa lako maana wafundisha kweli nabalikia sana mungu akubaliki san
@dainesykalinga7133
@dainesykalinga7133 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah Sema Pastor Tupone kwa Jina la Yesu , Wamama na Wadada Tupone Kabisa 📌📌📌📌📌📌📌
@ashangonyani7989
@ashangonyani7989 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏
@johnsondamas9311
@johnsondamas9311 Жыл бұрын
Mungu akubariki nimebarikiwa sana mutumishi
@marlineisiji414
@marlineisiji414 Жыл бұрын
Anaitwa Natasha pastor ,you're right Mimi sijaweka hayo mavazi Kwa mwili ,zangu skirt za shika aridhi nikitembea Hadi nasifiwa na dad wangu
@josephguerino7416
@josephguerino7416 6 ай бұрын
Hello
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Moto unatusubiri hakika mwenye sikio na asikieeee Mungu sio lazima ashuke duniani kawaambie acheni dhambi anatumia watumishi wake kama hawa
@mystrocell2
@mystrocell2 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏 Eeeh Mungu nisaidie kwa tamaa za kidunia
@peterngalawa3511
@peterngalawa3511 Жыл бұрын
Tuikubarini kweli jamani sisi wanadam, Kiukweli tumebadirika sana nakwenda kuamini hizi ni nyakati za mwisho 😢😢tumrudieni muumba wetu. Makanusa yetu yamekuwa ya hovyo sana, Nikupe 🌹🌹🌹🎉🎉Mtumishi Ev. Paschal Kassian Endelea kutufundisha yale yalio mema AMEEN🙏
@annehk8185
@annehk8185 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu na kukubariki kaka hakika unaihubiri kweli ya neno la Mungu usichoke
@johnsombi545
@johnsombi545 Жыл бұрын
NI SAHIHI KABISA MTUMISHI WAAMUE MOJA KABISA KUWA UPANDE WA MUNGU NA KUFUATA YA MUNGU AU KUWA UPANDE WA DUNIA NA KUFUATA MAMBO YAKE 15 Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. Ufunuo wa Yohana 3:15 16 Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu. Ufunuo wa Yohana 3:16 &&&&&&&& 15 Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake. 1 Yohana 2:15 16 Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia. 1 Yohana 2:16
@elyudsaleh6044
@elyudsaleh6044 Жыл бұрын
Na kila inapotajwa "dunia" Ina maana Shetani, mauti na uovu/muovu.
@user-kc3rp6vj1d
@user-kc3rp6vj1d Жыл бұрын
Mungu ni mtakatifu na hakuna uovu ndani yake.wacha tuishi maisha ya utakatifu.
@fannyfamily-hf7bv
@fannyfamily-hf7bv Жыл бұрын
Amina mtumish nakuona kama yohana sauti ya mtu aliaye nyikandi ndo wewe mtumishi ubarikiwe sana yesu yuko njiani kurudi Akiwa katika cheo chake cha MUNGU kwaiyo tengenezeni njia zenu na mtubu ludin msalabani BWANA anawaita
@kashindimwaliasha4762
@kashindimwaliasha4762 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi 🙏🙏
@happinessmaeka9196
@happinessmaeka9196 Жыл бұрын
Wote tuseme amen 🙏
@Smoker_bunyeho
@Smoker_bunyeho 4 ай бұрын
amen
@eliasmadeha2027
@eliasmadeha2027 Жыл бұрын
Mungu aendelee kukutumia kuwafungua wengine kwa utukufu wake MUNGU.
@eppiemodest
@eppiemodest Жыл бұрын
Wanawake tuzingatie. Asante kwa mafundisho Pastor PaschalCassian. 😇🙏
@elkanaemmanuel2002
@elkanaemmanuel2002 10 ай бұрын
Hallelujah glory to the Lord, everything have shown to the Holy Bible.
@victorbiwott537
@victorbiwott537 Жыл бұрын
Mungu azidi kukupa nguvu ❤
@nashonjoel20
@nashonjoel20 Жыл бұрын
SHETANI KATUMIA SANA MAKANISA YA MANABII WA UONGO KUHARIBU KANISA LA MUNGU. MANABII wengi Wake zao Huvaa ovyo Sana. Inabidi tuchague MOJA, kwa Mungu au DUNIA.
@ElipendoElias-no6ki
@ElipendoElias-no6ki Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumish wa Mungu,tunabarikiwa sana na injili yako
@sarafinamlomo8132
@sarafinamlomo8132 Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu
@derickkatto9944
@derickkatto9944 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa MUNGU
@Mjakazisafi8361
@Mjakazisafi8361 Жыл бұрын
Wanawake Wanawake Wanawake nimewaita mara ngapi adi mimi nikiwa mmoja wao c tusikie haya ba tubadilike aki ndo maana Wanawake ni wachache MBINGUNI 😢😢👂👂👂👂let's hear this
@yesuanikumbukejanuary8363
@yesuanikumbukejanuary8363 Жыл бұрын
Nikweeli kabisa wanawake mbinguni nihaba wana wake tuna mambo mengi ya nayo m muwakilisha shetani nilisha wahi kusikia huo ushuhuda MUNGU atusaidie MUNGU atuponyee.
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Ameni
@glorypoul
@glorypoul Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu. Wanawake tupone jaman
@glorypoul
@glorypoul Жыл бұрын
Kweli kbs wanawake tubadilike
@user-ld5mm6oq9m
@user-ld5mm6oq9m 7 ай бұрын
Aminq
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi unaongea ukweli kabisa.....wanawake tunavaa vibaya kanisani.
@user-kc8bs5gu7b
@user-kc8bs5gu7b 10 ай бұрын
Hii ndiyo Injili tunayoitaka ili tupate kibali cha kumuona MUNGU! Wachungaji badilikeni waambieni watu ukweli! Msipoihubiri kweli ya MUNGU Hakika mtahukumiwa siku ya mwisho!! DAMU ya YESU ikufunike Mtumishi Pascal Cassian siku zote za maisha yako AMEEN!!
@JaneWaweru-hn7tp
@JaneWaweru-hn7tp 3 ай бұрын
May God continue strengthening you man of God. This kind of teachings in churches are very rare thank God you are there fearing no one.
@Crabtree1844
@Crabtree1844 Жыл бұрын
Ujumbe huu ni safi sana. Tufanye bidii walio taja jina lake Bwana mwokozi tujichunge sana namna tunavaa.
@dokasa9176
@dokasa9176 Жыл бұрын
Hakika ni aibu sana watu wameharibu hekalu la Mungu limekuwa ni nyumba ya makahaba, wanafanya km mama yao Jezebel.
@panadomadola3064
@panadomadola3064 7 ай бұрын
Mchungaji casian yupo sahihi kabisa na ndiye mchungaji anae simama vizuri na neno la Mungu.Ubarikiwe sana mtumishi.
@JohnStivin-jn7cs
@JohnStivin-jn7cs 5 ай бұрын
Sikuzote msema kweli uwa anakuwa apendwi maana ukweli unachoma mpendwa lafiki yangu na mchungaji sema kweli kweli maana ata maandiko yanasema kweli itatuweka huru
@noeleliasi8401
@noeleliasi8401 9 ай бұрын
cassian hongera kwa kazi nzuri...pia tunaomba kama mtumishi wa Bwana paza pia sauti juu ya serikali hii juu ya kukamatwa kwa Mbarikiwa Mwakipesile..
@user-eu7pk1dm2p
@user-eu7pk1dm2p 11 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi wa Mungu paschal cassian ni wimbo wako wa ona wanavyomwabudu,waambieni watu pamoja na kiapo cha dam umenifunza kitu kwakwel injili yako ni dhahiri maana yote unayoimba yalitabiriwa ktk maandiko
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 8 ай бұрын
Uko sahihi Sana pastor haya Mambo yaliingizwa duniani taratibu nikama ushoga ulivyoingia tz na duniani kote .shetani anapo Leta Jambo lake huwa anaanza taratibu baadaye kilekitu kinazoeleka.tuna shukuru Sana Mtumishi ushauri Wangu omba kibari kwa Mungu upelekele mafundisho haya tz nzima na duniani kote,kwakuwa makanisa mengi sasahivi yapo na utandawazi
@busvicentedaniel
@busvicentedaniel Жыл бұрын
Muito bem pastor Deus te abençoe
@roselyneezekiel
@roselyneezekiel Ай бұрын
Wow! God be blessed mtumishi🙏
@PendoPogwa-rn9jx
@PendoPogwa-rn9jx 4 ай бұрын
Amen wanaogopa kupoteza sadaka .ety Rohoni Mungu hayuko kama tunavo mchukulia n neema tu kwakwel
@dorcusamisi2926
@dorcusamisi2926 Жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah Utukuvu kwa yesu mtumishi barikiwa sana kujitolea kufundisha ukweli barikiwa sana
@johnastarimo9721
@johnastarimo9721 7 ай бұрын
Mungu hajabadilika. Mungu akubariki sana mtumishi. Wa kweli. Shetani ni mhuni. Amejiingiza kwa Siri kwa waliookoka.. Ni siku za mwisho .
@shadrackchenelo2979
@shadrackchenelo2979 3 ай бұрын
Asante sana kwa somo sina chakukupa baba angu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤tukijaliwa tutafanya kazi ya mungu😢😢😢😢😢
@bethkimani92
@bethkimani92 Жыл бұрын
Asante sanamchunganji wewe uko hapo kukosoa mapasta ware ambae Wana one machafu lakini hawawesi Sema nju Wasikose waumini wengi kanisani Mungu akumbaliki sana .
@user-yh8cf5rf8h
@user-yh8cf5rf8h Жыл бұрын
Ameeen . Mungu akupe maisha marefu uzidi kuihubiri injiri ya kweli.Injiri kama hii kwa sasa imekuwa adim. Watu wanahubiri mafanikio tu,habari ya kwenda mbinguni imekwisha jamani.
@LucasMwijage-oc5nx
@LucasMwijage-oc5nx Жыл бұрын
Uko vizuri,MUNGU akubariki.Dunia imevulugika! Tuwaambie bila uoga.
@invisibletv633
@invisibletv633 Жыл бұрын
Siku ya hukumu inakuja wengi wao hawautak ukwel ila siku yaja watatolea hesabu mbele ya Yesu
@mpesastatements2265
@mpesastatements2265 Жыл бұрын
kabisa mtu wa mungu
@evamusuruve3196
@evamusuruve3196 Жыл бұрын
Nilitamani sana , mtumishi yeyote anisome hi kitabu ,, MUNGU atusame , sema mtumishi tupone🙏🙏
@EvelynRuzindaza-yb6np
@EvelynRuzindaza-yb6np 11 ай бұрын
Najaribu kutafuta kwenye biblia ili nipate ilipofafanua mavazi ya mwanamke na yapi ni ya mwanamume ,nikiangalia ilikoandikwa wanawake walikua wanavaa nusu kanzu na suruali ndani,wanaume walivaa misuli (wrapper) na nusu kanzu juu , siku hizi naona tumebadilishana ,Pastor nifafanulie zaidi
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Yes tunapokuwa tunavaa sukualiNi kibuli MAANA tuneambiwa na neno la MUNGU haya makatazo ya KUVAA suluali na KUJICHUBUA mawigi MABANGILI hereni na mwingine MENGI Ila dhambI Sio dili
@EdnahKebson
@EdnahKebson 2 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi endelea kutuelimisha
@alicemwaka3762
@alicemwaka3762 Жыл бұрын
Hongera mtumishi barikiwa sana na Mungu emeeeeen
@humphreymollel2394
@humphreymollel2394 Жыл бұрын
Huu ujumbe unawafaaa akina Geodevi
@hellencathymathias5106
@hellencathymathias5106 Жыл бұрын
Mtumishi hubiri wokovu watu wamjue Mungu mambo ya mavazi ni Roho Mtakatifu tu mwenyewe awezae kubadilisha moyo wa mtu ... Wapo wanaovaa madera na uzinzi hauishi💁🏽‍♀️
@zablonfesto5216
@zablonfesto5216 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@simonmponda7331
@simonmponda7331 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana ukweli mtupu
@fatumaaybu8648
@fatumaaybu8648 Жыл бұрын
Amina mtumishi nihakika kweli kabisa umenigusa😢
@elvisbaraka1444
@elvisbaraka1444 11 ай бұрын
Safi sana mtumishi Kuna kanisa hapa dar mpaka Mchungaji anasikiliza nyimbo za kidunia kwenye gari na anatupia mtandaoni video akicheza hii ni hatari kabisa
@fatumaaybu8648
@fatumaaybu8648 11 ай бұрын
@@elvisbaraka1444 wapo wengi tu hii nihatali kwakweli
@hildakilasi4004
@hildakilasi4004 Жыл бұрын
haleluya haleluya mtumishi pigiria msumari maana roho ya yezeberi imeliteka kanisa la leo
@user-bd4qx9go2x
@user-bd4qx9go2x 10 ай бұрын
Amen mtumishi waMungu Kaziyako ninjema uwe namoyo mkuu
@gabrielsylvester6271
@gabrielsylvester6271 6 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@ivomhagama9796
@ivomhagama9796 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu sana,watumishi wengi,wanatetemeka sana kusema ukweli usio na unafiki sijuwi humwonea hofu mungu wa Dunia inasikitisha sana ??
@RebekaShumbi
@RebekaShumbi 4 ай бұрын
Amen uko sawa tuliishi neno Yesu anarudi upesi sana
@joycemunker7704
@joycemunker7704 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu asante kwa mafundisho
@captdory
@captdory Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi 🙌🙏
@rosemaryshangali_
@rosemaryshangali_ Жыл бұрын
Asante Mtumishi wa Mungubkwa neno hili...Mungu nisaidie peke yangu siwezi. Baba yangu alikuwa akikuona umevaa suruali anakuita anakupa andiko hilo usome halafu anakwambia umeelewa? Ila baada ya kujitegemea nikarudia tena ...Mungu nisaidie nitoke hapa.
@johnmeshack4431
@johnmeshack4431 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏 mutumishi barikiwa 🙏
@joycegeorge4712
@joycegeorge4712 Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana Leo nmekuelewa
@itsyourboy1407
@itsyourboy1407 Жыл бұрын
mtumishi naweza pata hyo background music pleaseeeeeeee kama naweza nijibu nikutumie namb please mtumishi
@faridashabanifaridashabani5950
@faridashabanifaridashabani5950 9 ай бұрын
Amina Sana tukiwambia wanasema eti tuwaache wanasema siyo Sisi tunao tengeneza mbingu ❤
@sharonetsisiche5184
@sharonetsisiche5184 Жыл бұрын
Ni kweli mtumishi PASCHAL,,
@bronsonkazungu2655
@bronsonkazungu2655 10 ай бұрын
Paschal huo niukweli kabisa kwa maama Mungu mwenye alinena kwangu nakunithibitishia yakwamba hapendi kuona mwanamke akivaa suruali ninakupongeza sana kwa huo ujumbe
@cuthbertsebastian9626
@cuthbertsebastian9626 Жыл бұрын
Pia 1ptro 3:3 na 1Timotheo12:9 yule wakenya anaitwa Lucy Natasha,
@PHANUELPHANUEL-tr1up
@PHANUELPHANUEL-tr1up Жыл бұрын
Haleluya Kunamchungaj alinijibu tuwe tunavaa mazoezin Ukimuonesha andko anajenga ukiwa mbele
@user-ul7xj3fp7w
@user-ul7xj3fp7w 3 ай бұрын
Amina Mungu akutunze
@SelinaMwanakatu-jz2nq
@SelinaMwanakatu-jz2nq Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@ScolaMwanjoka
@ScolaMwanjoka 2 ай бұрын
Ni kweli Baba MUNGU atusamehe sisi wanawake
@user-mh4xo6ml9c
@user-mh4xo6ml9c Жыл бұрын
Amenn ubalikiwe sana mtumish
@zabibujuma8714
@zabibujuma8714 Жыл бұрын
Barikiwa sana baba
@deboramwakalukwa9283
@deboramwakalukwa9283 Жыл бұрын
Mungu.akubariki sana
@user-cj7bm4up8v
@user-cj7bm4up8v 2 ай бұрын
Mungu akubaliki
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs Жыл бұрын
Ukweli mchungu Asante Paschal Cassian
@MiracleJeremia
@MiracleJeremia Ай бұрын
Mungu atusaidie
@user-yd8sp1qj3w
@user-yd8sp1qj3w 8 ай бұрын
Hapana mtumishi,hujayaelewa vizuri maandiko,
@SweetStanford-jo8xj
@SweetStanford-jo8xj Жыл бұрын
sema kabisa mungu akutie nguvu
@Revelation1412.
@Revelation1412. 8 ай бұрын
Haleluyaaaa Asante bwana kwa ujumbe huu😅
@tulimwaipopo-eq3be
@tulimwaipopo-eq3be 9 ай бұрын
Baba yangu uko vizuri sana
@ombenimaiko7882
@ombenimaiko7882 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana.
@AMINAJOHN-tx5eb
@AMINAJOHN-tx5eb 6 ай бұрын
Safi usinyamaze mtumishi 🙏🙏
@MLIMA-WA-BWANA
@MLIMA-WA-BWANA Жыл бұрын
AMEN ❤
@mercykasyoka4007
@mercykasyoka4007 Жыл бұрын
This is true lets change. ..the word of God will never change. ...
@venancemgimba-lk2lg
@venancemgimba-lk2lg 10 ай бұрын
,,
@Pendopasilika
@Pendopasilika 3 ай бұрын
Dah hakika MUNGU azidi kukutumia zaidi
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 8 ай бұрын
Hata baadhi ya makanisa yanayojiita yakipendekost yamekimbilia Sana dunia tofauti na mwanzo.
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@Franckmulaj-Officiel
@Franckmulaj-Officiel 11 ай бұрын
Amen amen amen amen amen amen amen amen mungu asifiwe kabisa
@CatherinePaulo-kr5tq
@CatherinePaulo-kr5tq Жыл бұрын
Hiyo ni kwel hofu ya mungu imeisha ndio maana watu wavaa hivyo lakn kwa mafundisho mwenye maskio asikie
@marcondokeji8982
@marcondokeji8982 Жыл бұрын
Aisee unasumbuka sana mtumishi, mengine uwe unafuatilia according to country.
@josephmwangoka-lp6pb
@josephmwangoka-lp6pb Жыл бұрын
Hakika mungu amekuagiza usiogope vitisho kaka
SIRI YA FICHULIWA UONGO WA MIUJIZA WANAYO IFANYA EV PASCHAL CASSIAN
17:24
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 166 М.
MILANGO YA KUINGILIA MAPEPO MAJINI MSHETANI EV  PASCHAL CASSIAN
16:00
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 103 М.
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 24 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
Live streaming of PASTOR SAMWELI PETER
15:02
PASTOR SAMWELI PETER
Рет қаралды 5
MKE WANGU ALIOLEWA NA MWANAUME MWINGINE KISA UMASIKINI WANGU EV PASCHAL CASSIAN
31:44
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 45 М.
CASSIN ACHUKIZWA NA WAIMBAJI  WANA TANGAZA USHOGA
37:34
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 12 М.
KILICHO NYUMA YA WASAFI TV CHA FUNULIWA KAFARA WATAZAMAJI  EV PASCHAL CASSIAN
40:25
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 19 М.
WAFANYA MAPENZI KWENYE NDOTO
52:31
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 9 М.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 44 М.
NYIMBO HIZI ZA MASHETANI ZA IMBWA MAKANISANI KOTE TAZAMA. EV PASCHAL CASSIAN
45:59
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 361 М.
KUENI MAKINI NA HUYU WAKARA WA SHETANI ANAPOTOSHA WENGIEV PASCHAL CASSIAN
33:14
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 26 М.
CHEO KIKUU ALICHO NACHO KUZIM  ANAMILIKI PEPO ZA UTAMBUZI EV PASCHAL
47:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 52 М.
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 24 МЛН