WAGOMBEA WAKABANA MASHATI MBELE YA WANACHAMA KURA ZA MAONI CCM MWENEZI "UGOMVI NI KAWAIDA"

  Рет қаралды 13,609

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 141
@MustaphaSeleman-z7c
@MustaphaSeleman-z7c Күн бұрын
Mungu endelea kuwaukumu wao kwawao chadem tupo kuleeeeee
@jeremiahblazio4781
@jeremiahblazio4781 Күн бұрын
Hayo niliyajua mapema ndo maana sikujiandikisha naamini katika mimi sio chama
@JekobuNgwara
@JekobuNgwara 20 сағат бұрын
Hahahahahaaa ccm wezi
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 Күн бұрын
CCM.. JUU JUUU JUUU ZAIDI...😂😂😂 HAPO HAMNA UPINZANI NI NYIE WENYEWE ... na bado
@annamussa185
@annamussa185 Күн бұрын
Basi tufanye hivi Yohana mbatizaji amepita sawa wananchi❤❤❤❤
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 9 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@deusdeditsimba4452
@deusdeditsimba4452 Күн бұрын
Wenyewe kwa Wenyewe,Goes around Come Around
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Күн бұрын
Mtavuna mliyopanda
@rogersiddy
@rogersiddy Күн бұрын
😂😂😂😂🙌
@Hemedmikole-r9e
@Hemedmikole-r9e Күн бұрын
Wenyewe kwa wenyewe aibu tupu
@samwelclement8108
@samwelclement8108 Күн бұрын
Mungu aendereeeeee. Kuwaimbua majiz. Nyieeeeeee
@KelvinAbsalom
@KelvinAbsalom Күн бұрын
Huu mwaka ccm lazima mpitie kaa la moto
@B23-i8p
@B23-i8p Күн бұрын
Ccm hata viongozi wao kujielezea ni shida yani uchaguzi lazima ziwepo vurugu,ingekuwa chadema zingejaa Difenda
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li Күн бұрын
Ndiyo ccm hiyoo imezoweya wizi sasa mnaibiana wenyewe tabia ni ngozi ccm ni kichaka cha wizi Mungu amewaumbuwa huko majina yameongezeka na watu wanajuwa
@AgustinoBuhha-j9r
@AgustinoBuhha-j9r Күн бұрын
Hapo VP na hapo wame vuruga chadema
@rogersiddy
@rogersiddy Күн бұрын
Apo sasa watuambie Chadema wapo?
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 12 сағат бұрын
Mimi nawambia ccm makafiri haya anaroho mbaya Sana wezi Sana nyinyi mwenyezi mungu awarani nyieee
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 Күн бұрын
Chadema watachukua mitaa mingi sana na vijiji vingi sana samia chungulia hili kwa jicho la tatu
@EmmaculateGembe
@EmmaculateGembe Күн бұрын
What goes round comes round Mtakoma ccm mpaka huu
@AgustinoBuhha-j9r
@AgustinoBuhha-j9r Күн бұрын
Hi jmn watanzania sisi Wana chadema hapo hatukwepo tuko paleeeeee! Tume kaa!!!
@rogersiddy
@rogersiddy Күн бұрын
Alafu huyo Yuhaneee tunatoka nae kijiji kimoja rombooooooooooooo😂😂😂😂🙌
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Күн бұрын
Awamu hii mtachagua Shetani namba tatu au kusaga😂😂😂
@victorernest7702
@victorernest7702 11 сағат бұрын
Mkurugenzi😂😂😂😂kashavaa sare y chama 😂😂
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 9 сағат бұрын
Mama samia kazi unayo na ccm yako
@anosiata8242
@anosiata8242 Күн бұрын
Shida kweli kweli
@jumamsechu
@jumamsechu 7 сағат бұрын
Saw mkurunzi wa chama cha majambazi
@charlessentiyongo8484
@charlessentiyongo8484 Күн бұрын
Safi sana, ccm
@rajababrahman4365
@rajababrahman4365 Күн бұрын
Mungu mlipe mtu sawa saw na haki yake Lipa kila Chama saw saw na haki ya chama
@FloridaAdelinus
@FloridaAdelinus Күн бұрын
Wanayoyafanya katika uchaguzi wa jumla ndiyo hayo hayo wanafanyiana wao.
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz Күн бұрын
Yana pigana yenyewe na yanaibiana yenyewe majambazi ccm
@EzekielSitayo
@EzekielSitayo 11 сағат бұрын
Miaka hili Bado ccm ccm hamuoni limekua shetani
@JosephineMhando
@JosephineMhando Күн бұрын
Hakika uchaguz huu umekua na suntofaham nyingi,kiukweli Mungu atusaidie sana🙏🏻🙏🏻
@valenakomba7686
@valenakomba7686 Күн бұрын
HAPO SASA MPAKA MTAUWANA. MAANA WSTANZANIA MMEKUWA HAMNA MAANA UTU UMETOWEKA KABISA.
@LaurenceAgustino-v9x
@LaurenceAgustino-v9x Күн бұрын
Wenyewe mnagombana mkigombea na wapinzani itakuaje.
@Dutichgogo
@Dutichgogo 4 сағат бұрын
CCM wanagomba wenyewe kwa wenyewe raana iyo imewakuta
@hagaisimion8596
@hagaisimion8596 18 сағат бұрын
Ccm ni wezi jmn hadi wao kwa wao wanaibiana heeee!!
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 Күн бұрын
Mwizi huanza kuiba nyumbani.
@YussufAme-k8z
@YussufAme-k8z Күн бұрын
Jamaaa anawadanganya ccm wenzake duuh!! Maji yamewazdi ccm na bado.
@mjemamjema9695
@mjemamjema9695 6 сағат бұрын
WAZEE WA WEMBE ULE ULE USHINDI. WANANYOANA WENYEWE
@adamlikati3364
@adamlikati3364 11 сағат бұрын
Kuna siku mtaongea lugha moja tu si mbali sana
@HuseinMwakindole
@HuseinMwakindole Күн бұрын
Mimi nauliza bajeti ya uchaguzi ndo huwa inafanya hayo uchapishaji wa karatasi za uchaguzi huwa hazina usimamizi na utaratibu? Au serikali madarakani inajikaanga kwa Malta yake? yetu macho, kama hayo ni ccm je matoke ya yajayo yatakuwa ya kweli? DUU!!!!!!!!!!!!
@SaidCannal
@SaidCannal 10 сағат бұрын
Uchaguzi wa kura za maoni ccm serikali za MITAA wagombea hawana picha ni mgombea anataja jina lake na kuomba kura kwa wanachama. Karatasi za kura zinawekwa majina ya wagombea hawa wanaolalamika ni mamluki ni malalamiko ya kipuuzi
@KubiluTabu
@KubiluTabu Күн бұрын
😂😂😂😂😂aiseee hii ya mwaka kwa kwel
@KhatibuMshana-wy9pf
@KhatibuMshana-wy9pf Күн бұрын
Mwalimu Nyerere alisema upinzani utatokea ndani ccm
@jumamsechu
@jumamsechu 7 сағат бұрын
Na bado
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u Күн бұрын
Miongozo kutoka juu imezidi sana kila kitu maagizo toka juu.
@shabanikitula645
@shabanikitula645 23 сағат бұрын
Wamegeuka samaki walana wao kwa wao
@victorernest7702
@victorernest7702 11 сағат бұрын
Na badooo mpk mthemeeee😂😂😂
@EzekielSitayo
@EzekielSitayo 11 сағат бұрын
Na MUNGU awapige Kilicho mkuta magufuli itawakuta ccm yenyewe shetani
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 9 сағат бұрын
Wewe muandishi wa Habari unauliza ukuma
@edwintigwela
@edwintigwela Күн бұрын
Wameshazoea kuiba sasa kimenuka
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 12 сағат бұрын
Majambazi ya nagombana yenyewe kwa wenyewe
@EzekielSitayo
@EzekielSitayo 11 сағат бұрын
Laana zinaawaanza kuwakuta na mpigwe
@ChristerKoku
@ChristerKoku Күн бұрын
Tamisemi mmeliona hilo,Amos Makala umelielewe hili,Chadema ipo hapo inahusika?
@ChristerKoku
@ChristerKoku Күн бұрын
Difender ni za Chadema.Mungu anawaumbua,kila mtu ni msemaji.Taratibu kila sehemu umefurugwa sasa uchaguzi ujao ni hatari.
@BungeyiSaiboku
@BungeyiSaiboku 22 сағат бұрын
Nendeni chama yanae elrweka ndo maana mnaletewa watu wahuni
@bahatimellita6619
@bahatimellita6619 Күн бұрын
CCM oyeeeeeeee 😅😅😅😅
@ChristerKoku
@ChristerKoku Күн бұрын
Tunatarajia kiongozi wa aina gani? Kama uchaguzi ndo huo CCM kwa CCM.
@ViolethMazengo-nd8cy
@ViolethMazengo-nd8cy Күн бұрын
Gonganeni vichwa na jezi zenu alafu huyo kaka mwongoooo
@JacobWaryoba
@JacobWaryoba Күн бұрын
Chama cha CCM kimemosa mvutoooo
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Күн бұрын
Ccm ndio kazi yao WIZI MTUPU, kura zote za nchi nzima WANAIBA, wamezoea wakishirikiana na tume ya UCHAGUZI.
@ChristerKoku
@ChristerKoku Күн бұрын
Uchaguzi urudiwe,ni uchafuzi.Wenzenu walisekisema mnawatukana.sema sasa.
@gastonjohn537
@gastonjohn537 22 сағат бұрын
Pamechangamka
@ClementDeus
@ClementDeus Күн бұрын
mbele kwa mbele kelele za nn
@ChristerKoku
@ChristerKoku Күн бұрын
Tatizo la Tamisemi hilo
@annamussa185
@annamussa185 Күн бұрын
Hakuna haja ya kupiga kura nendeni home😂
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 Күн бұрын
Pambaneni mbona nininyi kwa ninyi jamani?????
@JohnGadafi-x8j
@JohnGadafi-x8j Күн бұрын
Vibaka wanapambana
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Күн бұрын
Kama kura za maoni ndo hivi je za wananchi dalili sio nzuri
@BossiLaizer
@BossiLaizer 7 сағат бұрын
Karata ata wenyewe kwa wenyewe 😂😂😂😂😂 kwa people's Sasa????????? Watz sijui tunaonwa Je?
@StephenMpallange
@StephenMpallange Күн бұрын
Rudisheni kadi za CCM na jiungeni Upinzani huku Niko Kuna ukweli.CCM Ina wenyewe,ninyi sio wenye Chama,waachieni wenyewe Chama Chao.
@gladnessfinda7534
@gladnessfinda7534 Күн бұрын
Hahahahahhh ......Chekechea!!!!
@Mrmohadi.OFFICIAL
@Mrmohadi.OFFICIAL Күн бұрын
Sasa jaman uongozi wenyew wakijiji je wa raisi jaman si bunduki zitalia kila muda
@ThadeiAndrea
@ThadeiAndrea Күн бұрын
Mmelazimishwa kwani
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz Күн бұрын
Hata hapa simiyu wamepigana kalatasi wakachoma Moto ccm kama wenyewe mnaibiana jamani wewenyewe mnaona chadema mnawatukana mkome
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Күн бұрын
Kumbe uongozi ni kaulaji fulani.
@sharafisaidi7999
@sharafisaidi7999 Күн бұрын
Mara nyingi karatasi za kupigia kura pesa huwa zinachangwa na wagombea mapema na Kazi ya Katibu wa tawi ni kuandaa hizo karatasi na picha
@beinafuu6219
@beinafuu6219 Күн бұрын
Huyo mwenye kofua ya chama mwongohila kwa wapinzan wanahamia kwenu wambie wajifunze kwenu waliohama kisa tu kashindwa
@HalidMuhammad-gi9qy
@HalidMuhammad-gi9qy Күн бұрын
Poleni sana huku temeke ni vitoto hasa dovya b.ni.wanafunzi ndio wanaopiga kura kwa shingi 10000 tu
@ElizabethMohamed-l4t
@ElizabethMohamed-l4t Күн бұрын
Kumeanza kuchangamka
@JacobWaryoba
@JacobWaryoba Күн бұрын
CCM chama. Kimeisha
@philimonmtweve4522
@philimonmtweve4522 Күн бұрын
Kumeanza kuchangamke sasa
@annamussa185
@annamussa185 Күн бұрын
Vita bi Vita mura😂 wenyewe kwa wenyewe
@HuseinMwakindole
@HuseinMwakindole Күн бұрын
Nyinyi ccm mbona mnachanganya mnajaribu kufananisha mkojo na bia bia ni bia na mkojo ni mkojo
@edwintigwela
@edwintigwela Күн бұрын
Ujinga ni mzigo aisee hv kuna mwenyekit analeta shule kweli huu ujinga watanzania lin mtaelimika ? Hao wanamuunga.mkono huyo mwenyekit sababu ya anawagongea mihuri ya mikopo hakuna jipya hapo
@AbdulhaamisSoud
@AbdulhaamisSoud Күн бұрын
Ukizoea kula vyakunyonga vyakuchinja huviwezi daima na hiyo ndio taaswira halisi ya chama gizi ndani na nje ya chama dini
@estachengula3902
@estachengula3902 Күн бұрын
Ccm wanataka mambumbu tu hawataki wenye akili wezi hao mbona sehemu zingine wamesimama wagombea na namba zao huku tunawaona tumechagua kwa Raha zetu
@jerome3143
@jerome3143 Күн бұрын
una nini umetimia yaliyo semwa
@PatrceKimario-ws6nl
@PatrceKimario-ws6nl 7 сағат бұрын
Wezi ni wezi tu mpakawanajiibiana ss wataponyesha hii nchi?
@JosephineKabuka
@JosephineKabuka Күн бұрын
Ndio maana tunawaambia ccm haipo mmeporwa hamuelewiii sasa ndo myaone kazi kwenu
@JacobWaryoba
@JacobWaryoba Күн бұрын
Jamani Tanzania tumekosa uchaguzi huruuu
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 Күн бұрын
Tunayazomea hayoooo majizi yaliyokubuhu mafisi majizi hayooooo
@emmanueltillya2017
@emmanueltillya2017 Күн бұрын
Uenyekiti tuu unagombewa namna hii.😂😂
@ChristerKoku
@ChristerKoku Күн бұрын
Mpumpavu sana,nyie ni sokivu,muogope mungu sanaaaaaaa.Udanganyifu umezidi.hacheni chuki binafsi,vyama vingine nao hili ni taifa lao.Hata kama ni baba uchaguzi mmevuruga pakubwa.
@KibwanaMohamed-v8n
@KibwanaMohamed-v8n Күн бұрын
ibanieni wenyewe Sasa wezi
@emanuelinaman8240
@emanuelinaman8240 Күн бұрын
Mummhhh haya endeleeni
@ChristerKoku
@ChristerKoku Күн бұрын
Mnaelewa nyie.
@AyubuGereway-p9i
@AyubuGereway-p9i Күн бұрын
Maelekezo Toka juu
@FrankNzombo-k3j
@FrankNzombo-k3j Күн бұрын
huu uchaguzi haufanani na kachumbali huo ni ujinga
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Күн бұрын
Subirini kidogo Hilo pilao lenu liive muone makachumbari yenyewe na mapilipili na ndimu bado hatujaongeza mtajuta😂😂
@B23-i8p
@B23-i8p Күн бұрын
Aibu
@ChristerKoku
@ChristerKoku Күн бұрын
Uchaguzi ufutwe nchi mzima ili kasoro zorekenishwr.hacha wehu,nchi ni yawstamzania mbona amkamatwi hacha upuuzi.
@RamsoHk-s4p
@RamsoHk-s4p Күн бұрын
Bado hamjasema😂😂 🤣
@hamzanyelo2266
@hamzanyelo2266 Күн бұрын
Yaani wameondoka nae kwenye gari na hali hii tunayoijua ya kupoteza watu?. Hii ccm hi!.
@IssaTayari
@IssaTayari 23 сағат бұрын
Asa mbona kote iko ivo watu awaelewi wanampgia nan
@mussamassawe7624
@mussamassawe7624 Күн бұрын
Kwan uchaguz ni emergency, mpaka mcheleweshe 4m, janjajanja mingi
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 9 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 3 МЛН
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 155 МЛН
MTIA NIA CCM ATIMKIA  CHADEMA AKILIA KUFANYIWA MCHEZO MCHAFU
2:31
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,3 М.
GOLI LA BALEKE DHIDI YA COASTAL UNION
1:28
Yanga TV
Рет қаралды 4,3 М.
LUGHA GONGANA; BROTHER K MOBIMBA
7:36
Brother K MoBiMbA
Рет қаралды 26 М.
NGAI NIAGUTEGA MUTEGO WA KIHIUKIO WA KUNYITA RUTO !!!
54:24
PST MWAI George
Рет қаралды 2,3 М.
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 9 МЛН