No video

BAADA YA KUJULIAKANA KANIOA WALITAKA KUMFUKUZA KAZI | UCHAFU WA WATURUKI WA KUJENGA TRENI

  Рет қаралды 33,718

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Күн бұрын

Victoria ameeleza safafi ya maisha yake kutoka kuzaa na mmexico mpaka sasa yuko kwenye ndoa na Mturuki ambae anawatoto nae na wanaishi Uturuki kwasasa.
Changamoto alizokutana nazo za jamii inayomzunguka, wivu na hasad.
Anakwambia mume wake alitaka kufukuzwa kazi baada ya kugundulika anamahusiano na Victoria na anawatoto.
Thank you Victoria for allowing this to be online
www.oda.international

Пікірлер: 182
@TheresiaKiritta-fi4rr
@TheresiaKiritta-fi4rr 19 күн бұрын
Jaman kwa kweli nimefurahi sn hongera sn Dada kwa kweli umeelezea vzr na pia Tania yako na Roho yk no nzr. Mungu akubariki uzidi kubarikiwa Tu NAKUOMBEA ndoa yako uzidi kustawi kila iitwapo leo
@mtumwajuma5355
@mtumwajuma5355 2 ай бұрын
Mshahallhu Mashallahu Mashallahu Allah akubariki mimi nimekupenda hapo ulipo isubiri adhana nakuipa heshima yake hongera
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 ай бұрын
Safi Sana kwakuheshimu adhana mungu akulinde akubaliki na akutie nguvu
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd 3 ай бұрын
Asante sana Shena kwa hekima ulionayo,kwamba kila mtoto anastaili kilichobora,aijalishi rangi.
@umahmed8273
@umahmed8273 3 ай бұрын
Shen nakupenda sana dadangu na nafurahishwa sana kw kuhishimu adhana nakuombea qauli thabit ila dada ungefunika kichwa ingekuwa vizuri sanaa nakuombea kila la heri
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
Ameen kwetu sote inshaAllah
@akilimali8726
@akilimali8726 3 ай бұрын
Shina unafanya kazi vizuri hongera sana. Ila jiamini wewe ni mwanamke wa kiislam tena u mtu mzima tayari, vyema ujihifadhi kama uislam unavyotaka. Allah atakulinda usiwe na wasiwasi iwapo mtu atakuchukia sababu unajihifadhi.
@mwanaidikingazi4222
@mwanaidikingazi4222 3 ай бұрын
Dada hana Mambo yuko ki asili zaidi kitu ambacho wanawake wengi asaivi hawana hata wahuko kwao hawapo hivyo mashallah
@NashalyJoseph
@NashalyJoseph 2 ай бұрын
Mturuki sina hamu nae hata kidogo...Wana wivu wa kupitiliza unyanyasaji,matusi, gubu ilibidi niseme enough is enough niliondoka nikamuacha.Tena ni wadhalilishaji wanapenda mwanamke asifanye kazi yoyote kama biashara uwepo nae hapo ili aweze kukunyanyasa vizuri.Mturuki ni mwarabu mpaka tabia
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Duh🙌
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 3 ай бұрын
Huyu ana mentality za kizamani kuwa mtoto wa kiafrika na kizungu wanatakiwa wawe na maisha tofauti 😊 kuna black men wana care sana.
@fayzmama-wl8nc
@fayzmama-wl8nc 3 ай бұрын
Wa kwako labda
@MAKWEGASALUM
@MAKWEGASALUM 2 ай бұрын
Kabisa
@user-ky2ru7hl9j
@user-ky2ru7hl9j 3 ай бұрын
Shena hongera sana kwa kweli nakufatilia sana najufunza kwa kweli
@ByonaBirungi
@ByonaBirungi 3 ай бұрын
Lima, anagalia wakwe zako kama wazazi wako, chapa mzigo, nimesikia kuku fuga, watoto watatu sio mchezo hapo ulipo ni kama umetua mzigo hakuna kitu kigumu kama kutua mzigo cha muhimu umepata mahari pa kulelea watoto. Watoto wakikua utaona faida yake.
@FaridaWaziri-zz5pq
@FaridaWaziri-zz5pq 3 ай бұрын
Hongera da shena kwa kazi nzuri aisee Dada pia ni amejielezea vizuri kwa unyenyekevu na uhalisia kitu ambacho tunataka zaidi kuskia kwa watu tujifunzee 😂 soon na mm mtaniskia hapa
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
Ameen karibu sana
@kilimanjaroflavour
@kilimanjaroflavour 3 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance nakuelewa sana, but kuna wa wili ume wauliza maswali yanayo husiana na ujasiriamali, so I was hopping kuskia wanazungimzia pia other future dreams wakifika ughaibuni than just kuolewa na mzungu. Hata ww kama mwanamke uki msomesha mwanao ungependa kumsikia azungumzie more future dreams than just kuolewa na mzungu. Inge wapa motisha nzuri young girls wanao angalia channel yako from back home.
@user-gj3ul7xd7w
@user-gj3ul7xd7w 3 ай бұрын
Asante Dada devotar nakupenda kwa Kila jambo linalo tokea ktk ulimwengu wa safari za ulaya
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 3 ай бұрын
Hongera dada wa Kikurya kwa kujiheshimu
@abdulsimbarakiye4145
@abdulsimbarakiye4145 3 ай бұрын
Asalaam aleikum warhatullah wa barakatuh dada yangu ukweli napenda sana kipindi chako sana wallah ni mimi Simba Abdul kutoka Amsterdam Netherlands shukran
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
Shukran kaka Karibu sana kwa kipindi +4367764790884
@gokoloMkumba-ez8qw
@gokoloMkumba-ez8qw 2 ай бұрын
​@@OfficialDatingAssistanceHabari za huko,niko d,salaam naomba unipe no.ya yule mwalimu wa alaska vijijini Pendo mongi,nataka kuwasiliana naye.
@user-dj9xx9jl4j
@user-dj9xx9jl4j 3 ай бұрын
MashaAllah shenna,Mungu kwanza mengine baadae,hii ni Imani kubwa Wallah,Allah atakulipa kwa heshima hii ya Adhana
@lovely10emoji49
@lovely10emoji49 3 ай бұрын
Yaan shena umenifanya addicted na kipindi chako kizuri well done my dear👏❤
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
Thanks dear Enjoy and Learn
@cleopatrahenry7541
@cleopatrahenry7541 3 ай бұрын
Yaani wewe mimi utafikiri na tafuta mchumba
@aliciavedasto8052
@aliciavedasto8052 2 ай бұрын
Mbona mnanisema sasa mim nafatilia we acha tu
@user-ky2ru7hl9j
@user-ky2ru7hl9j 3 ай бұрын
Da shena ukifunika kichwa kwa kweli unapendeza sana unajua mm niko Zanzibar kwa nafurahia sana luona waislam wanajitahidi kwenyeaadili kwa sababu unaonekana ktk sehemu kubwa ya dinia au ulimwengi wote tafadhali fanya hivyo.
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 3 ай бұрын
Anaweza asifunike kichwa lakini yuko vzr kimahadiri ukawa unafunika kichwa una machafu kibao yote tumkabidhi mungu ndo mhamz
@butondodavid2105
@butondodavid2105 3 ай бұрын
Acha wazungu wapagawe huyu mdada ni mrembo sana na yupo real sana nimemkubali
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
She is amazing
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 ай бұрын
Wabongo tuna shida sana ukiwa na mtoto ambae amechanganya kisha akulie mazingira yetu ya kimaskini ni kweli inakuwa changamoto. Ni wabongo tumejiwekea matabaka hadi kwenye rangi ya ngozi
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
Kweli kabisa, I second you
@atuamohamed9664
@atuamohamed9664 3 ай бұрын
Historiya yako zidi kusubiriya utapata manufaa kwa Mungu Haya Ahsante
@user-iv4zj7ii4t
@user-iv4zj7ii4t 3 ай бұрын
Hongera sana shena unajali Imani safi sana
@jesuspower2390
@jesuspower2390 3 ай бұрын
kaongea ukweli... ukiwa na mtoto mweupe ukimpeleka shule ya kayumba ananyanyasika..
@Zuu673
@Zuu673 3 ай бұрын
Mimi mwanangu sasa yuko private alikuwa anaitwa mzungu koko akirudi analia sana kwaiyo namuelewa sana huyu dada,na pia mtu km anandoto ya mzungu hasikatishwe tamaa eti kila dada anataka mzungu mara hivi simamia msimamo wako
@happynessjohn3399
@happynessjohn3399 2 ай бұрын
Nmependa story yako especially kumtanguliza Mungu ❤
@user-iw4xi9pt6h
@user-iw4xi9pt6h Ай бұрын
Nimempenda huyu bnt umepambania ndoto yko!
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 3 ай бұрын
Asante Sana tumekuherewa uko vzr mungu awe nanyi
@MartinaMartinafrancis
@MartinaMartinafrancis 2 ай бұрын
Mashalla sheina lazima tumuheshimu Allah
@user-eu5dv2il8g
@user-eu5dv2il8g 3 ай бұрын
Shena mungu akubariki san
@estasiashiringa1038
@estasiashiringa1038 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 Nimechekaa She is so real ❤️
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 3 ай бұрын
Uku kwetu ukitogoza binti utasikia umezeka ukiwa muzungu atauwe muzee hapo sawa
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 3 ай бұрын
Namungu akutatangulie my sister ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 3 ай бұрын
Amina mwenyezi mungu akutangulie
@mariambakari8065
@mariambakari8065 3 ай бұрын
Dada amejua kufunguka kwa undani huyu hongera sana
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 3 ай бұрын
Sheina nakupenda sana dear
@JazilaSiraja-st8cu
@JazilaSiraja-st8cu Ай бұрын
Jaman lili had nmemkumbuka
@celinadulle4104
@celinadulle4104 3 ай бұрын
Intervju ni nzuri, Ila haijakaa sawa kuchagua rangi.
@ivankadaudi8161
@ivankadaudi8161 3 ай бұрын
Ooo my G amesoma chuo nilichosoma mm pia wakukaja huyo aise❤❤❤
@butondodavid2105
@butondodavid2105 3 ай бұрын
Shena nakupenda sana
@ekrammay8471
@ekrammay8471 3 ай бұрын
Ndg yng pole sana kwakutopenda wabongo na kupenda kuolewa na wazungu sasa waturuki kwani wazungu?
@samirasalim4203
@samirasalim4203 3 ай бұрын
MashaaAllah, good respect.
@MAKWEGASALUM
@MAKWEGASALUM 2 ай бұрын
Nimependa kuishim hazana😊
@faridapatel7584
@faridapatel7584 3 ай бұрын
Wazungu na waturiki sio sawa kabisa,
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 3 ай бұрын
Unahakiri sana mungu yu nawe
@pendokissatu937
@pendokissatu937 Ай бұрын
Shena Hiki Kipindi Wikii hiii Nimeangalia From Monday to wikiend na Ivi kazi zangu ni Nyumbani tuu
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Ай бұрын
Woow I hope umejifunza na ku enjoy 🥰🥰
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 22 күн бұрын
Wewe vipi yaani mtoto mwenye rangi nyeusi ndiyo aishi vibaya sijampenda huyu
@JohnSonda
@JohnSonda 3 ай бұрын
Nimepanda interview hii Hakika ameonyesha uasili wake
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 3 ай бұрын
Mahojiano mazuri sana, ila watoto wametumomesha sio kwa fujo za kituruki😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Mkurya mrembo wa asili 🎉
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 3 ай бұрын
Oyooo matema ⛱️😊
@salamajoseph905
@salamajoseph905 3 ай бұрын
Ongera
@upendogreutert199
@upendogreutert199 3 ай бұрын
Leo umekutana na watoto 😂Shena
@ameeranassor1619
@ameeranassor1619 3 ай бұрын
Nimesoma Uturuki miaka 5, all I can say wanaumme wa kituruki ni wahuni wa wanavuta sana sigara. Ao walioenda kwao wakawacha watoto Tanzania au wanawake obviously kwao uturuki tayari walikuwa na family, nimeshaona waturuki wamezalisha wanawake wa Malawi wengi sana,kila nchi ya Africa wanayokwenda kwa.miradi wanawacha mbegu zao. Sijui niseme wajinga waturuki au wajinga wamawake wa kiafrica
@user-rr4vt6vd6i
@user-rr4vt6vd6i 3 ай бұрын
Mashaallah mturuki amejuwa kuchagua maana mzuri Mashaallah na tabia inaonesha pia nzuri sana. God bless you
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Duh noma sn😂 Asante Kwa kutusanua
@mwanaidiheintel1760
@mwanaidiheintel1760 3 ай бұрын
Ila mturuki sio mzungu dada
@bundaman8542
@bundaman8542 2 ай бұрын
Mturuki siyo mzungu kwani mzungu ni nani. Wandengereko jamani
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
​@@bundaman8542😂😂😂
@edithajohn9600
@edithajohn9600 Ай бұрын
Ila kazuri uyu dada
@lorelore2930
@lorelore2930 3 ай бұрын
Naomba nielekezeni kwenye ilo grour la wa chumba wa kizungu jmn pls
@ashakibendela615
@ashakibendela615 3 ай бұрын
Nilipata mturuki siku moja ya pili tuliachana ni hana wivu balaa tena hana kwambia kabisa mimi nina wivu sanaaa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
😂😂
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 3 ай бұрын
Nakuhombea maisha yenye her na Baraka
@sarahlove771
@sarahlove771 3 ай бұрын
Tabarak’Allah
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 3 ай бұрын
Masha Allah ❤ nakupenda bure Sheina🫶
@user-eu5dv2il8g
@user-eu5dv2il8g 3 ай бұрын
Honger
@Its_Goodluck
@Its_Goodluck 3 ай бұрын
Huyu dada anaonyesha ni mwanamke anayejitambua sana,yn licha ya kuwa na mturuki bado alikua anaishi katika uhalisia
@Juke995
@Juke995 3 ай бұрын
Usilolijua sawa na usiku wa giza😂
@Its_Goodluck
@Its_Goodluck 3 ай бұрын
@@Juke995 kwanini
@eunice1808
@eunice1808 3 ай бұрын
Irene Mimi nipo Iskenderun wewe upo sehem gani
@faridapatel7584
@faridapatel7584 3 ай бұрын
Ukifanya interviews inatakiwa ujipange, watoto au mamba mwengine yasionekane.sasa kelele watoto du
@user-vi9bu7xv6h
@user-vi9bu7xv6h 3 ай бұрын
Shena uweunajitandiya mana naulaya kunamungu nakupenda sana nataka upate razi zamungu
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
Taratibu taratibu tutafika
@faridapatel7584
@faridapatel7584 3 ай бұрын
Sisi wanawake inabidi tuchape kazi nakujitegemea,ukikutana na mwanaume jotolee mwenyewe nauli kwenda na kurudi hata ukipanda daladala, wewe mwenyewe kama mwanamke upambane kimaisha, kuna leo na kesho.pia usiombe hela pia akikupa hata elfu tano shukuru tu.Muhimu ni sisi wanawake tumbambane
@zayumar2955
@zayumar2955 2 ай бұрын
Umeongea vizuri Sana 😘 imagine mtu unaomba utumiwe nauli ya elfu 10😅😅😅
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 2 ай бұрын
Uko sahihi mpendwa
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 2 ай бұрын
Waturuki wanawivu balaa yani si wanaume si wanawake
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Khaaaa Km ndo hivyo siwataki
@liliemonroe1406
@liliemonroe1406 3 ай бұрын
Please dont make someone feel bad about being around her kids 🙏🏽
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 3 ай бұрын
Amina
@susans4490
@susans4490 3 ай бұрын
Unaweza ukazaa na mzungu na mtt akotoka mweusi kama ww mweusi
@ireneosiah5590
@ireneosiah5590 3 ай бұрын
Ndio lkn gene zao ziko dominated 😂😂😂
@Interracialcouple.
@Interracialcouple. 3 ай бұрын
Uyu dada Anaitwa nani on TikTok wala Instagram ili tumu follow?
@MoreenAdisa
@MoreenAdisa 3 ай бұрын
Wangu pia mturuki lakini shida ako na wivu mwanangu weeeeeee Dunia simama nishukeheeee akiaza kuzugumza maneno hayaishi kisirani Cha ajabu
@user-iy1np9et3q
@user-iy1np9et3q 3 ай бұрын
Mimi naona kunacegamoto kweny maisha
@Marieth-oi8gc
@Marieth-oi8gc 3 ай бұрын
Ndiyo maisha kuku wako kila mahali si africa
@TheresiaKiritta-fi4rr
@TheresiaKiritta-fi4rr 19 күн бұрын
Ynaomba irudie na yako tena smhn
@mngwalijuma597
@mngwalijuma597 3 ай бұрын
Dada mtangazaji mara nyengine.ujihifadhi ww ni muislm ukijifunike vzr
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
InshaAllah
@DoreenMwanga-dg7xp
@DoreenMwanga-dg7xp 3 ай бұрын
Kwani akijifunika ndo anaenda mbinguni direct
@user-ki9wu6no3d
@user-ki9wu6no3d 3 ай бұрын
Kuna vitu vingne kwenye Dini usipovielewa vimetokea wapi na Asili ya kuamuliwa Hivyo Unawez ishi Maisha Ya Kujibana Sana yanayokuumiza Moyo ila ukielewa Tu Unaachana navyo na Bado Tabia Yako Inaendelea Kuwa Nzuri ya kumpendeza Mungu na sio kuipendeza Dini
@zainabufeka87
@zainabufeka87 3 ай бұрын
Wadada tu focus kutafuta pesa yote nipesa
@saadasuleiman1427
@saadasuleiman1427 3 ай бұрын
Je alibadilisha dini
@mwanaidiheintel1760
@mwanaidiheintel1760 3 ай бұрын
Kaka zangu wataoa kina nani?😊😊😊😊
@Its_Goodluck
@Its_Goodluck 3 ай бұрын
😂😂😂 yan sjui tutaoa nani kma kila mtu anaenda kwa wazungu
@mohrecaps
@mohrecaps 3 ай бұрын
Na sisi tutawaoa wanawake wa kizungu Yani 50/50
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 3 ай бұрын
​@@mohrecaps😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Hakuna waoaji😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
​@@Its_Goodluck😂
@happinessmarijani2783
@happinessmarijani2783 3 ай бұрын
Andika hiyo namba yako Shena unasema haraka haraka mno
@MAKWEGASALUM
@MAKWEGASALUM 2 ай бұрын
Anaishi kwa mani na mumewe anampenda mtt wake
@user-rd7hl6ew6x
@user-rd7hl6ew6x 3 ай бұрын
Nakuomba namba namba ya simu Victoria.
@somiasomia2306
@somiasomia2306 3 ай бұрын
tujuane tulio det na waturuki wa kongoe mje hapa tunakikao mimi tuli potezana sababu ya mimi nilipata kazi ya kwenda omani
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-rd7hl6ew6x
@user-rd7hl6ew6x 3 ай бұрын
nataka niwasilane nae ili nijuwe maisha ya huko
@happinessmarijani2783
@happinessmarijani2783 3 ай бұрын
Andika hiyo unasema haraka mno
@bbs10072002
@bbs10072002 3 ай бұрын
Unamaanisha watu weupe sio wazungu.
@yusrasalum
@yusrasalum 3 ай бұрын
❤❤
@mngwalijuma597
@mngwalijuma597 3 ай бұрын
Dada itabidi uslim kwa sass mana tyr familia imekukubali
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
Mbona amefunga ndoa ya kiislam Huwezi funga ndoa ya dini bila kuslim
@trueone_tz
@trueone_tz 3 ай бұрын
🤝🙏🏻
@jennifersongani2734
@jennifersongani2734 3 ай бұрын
❤❤❤
@karthala6676
@karthala6676 3 ай бұрын
Mtu wa Mexico na Mturki sio wazungu lakini.
@lovenessjulius9943
@lovenessjulius9943 3 ай бұрын
Jamani wa mexco sio wazungu wala waturuki 😅😅
@upendomshani3932
@upendomshani3932 3 ай бұрын
Victoria n kipind gani matema beach inakuwa high season yan wazungu wanakuwa kwa wingi , na ni maeneo gan au upande gan sanasana wa matema beach kunakuwa na wazungu weng?
@frankmushendwas37
@frankmushendwas37 3 ай бұрын
Tuko pamoja sheina❤
@jamesbutendeli4511
@jamesbutendeli4511 2 ай бұрын
Uwe unakataa kipande ka hicho
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 3 ай бұрын
Hivi nauliza tu kwani waturuk ni wazungu?
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
Nimefanya video ya waturuki Unaweza scroll down utaona
@jennifersongani2734
@jennifersongani2734 3 ай бұрын
Waturuki sio wazungu
@ireneosiah5590
@ireneosiah5590 3 ай бұрын
Wamechangana Asia na ulaya
@faridapatel7584
@faridapatel7584 3 ай бұрын
Huyu dada anafanya kazi au anategemea mwanaume tu?
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 3 ай бұрын
Watoto awajahenda shule 🤣
@user-lr7fj3xc4s
@user-lr7fj3xc4s 3 ай бұрын
Kumbe wewe imefika huku kwetu matema
@josephandomba290
@josephandomba290 3 ай бұрын
Shena,mbona kichwa kipo wazi bhana
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 ай бұрын
Umeanza 😁
@zaydelabay9776
@zaydelabay9776 3 ай бұрын
Ramadan imeishaaa😅😅🎉
@DoreenMwanga-dg7xp
@DoreenMwanga-dg7xp 3 ай бұрын
Mbona mnapenda kufatilia mambo ya watu sana unasikiliza story unaangalia vichwa vya watu...unamtaka?
@neemanasoro4170
@neemanasoro4170 5 күн бұрын
@@DoreenMwanga-dg7xp😂😂😂😂😂
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 2 ай бұрын
Hao waturuk walozaliwa 7 ni wawapi au wakuldi
@ChoroTesla
@ChoroTesla 2 ай бұрын
sasa watoto saba nao watoto
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 2 ай бұрын
@@ChoroTesla kwa huku ni wengi mno
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 44 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 72 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
WANAUME WA KISWAHILI WANAMAISHA MAZURI ULAYA KULIKO WAZUNGU
40:31
Official Dating Assistance
Рет қаралды 8 М.
Unaenda Marekani Unarudi Tanzania???--My Real American Experience
9:34
NAMNA YA KUFIKA CANADA | KAZI ZA CARE ZINAKUTOA KIMAISHA | CHUNGA MAISHA YAKO YA MTANDAONI
1:22:20
MZUNGU ALINIGEUKA TUKIWA NJIANI KWENDA KUMTAMBULISHA KWA WAZAZI NA KUNIFUKUZA
57:11
Official Dating Assistance
Рет қаралды 73 М.
TULIKUTANA KWENYE UCHUMBA WA MAGAZETI | ANAKULETA ULAYA KWA KAZI KUMBE ANAKUJA KUKUUZA
1:28:40