Du leo nimewaelewa sana tusipoteze mda wa shortcut
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Kweli kabisa..
@joslinchuwa1298 Жыл бұрын
Hbr my dear naomba unielekeze namna ya kujiunga please
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Video za kujiunga na mtandao zipo nilishapost
@janemakemo5635 Жыл бұрын
Mzungu Ana pesa ila pesa zipo uko kwao ila mpaka uende ulaya na wewe ukafanyekazi uko ulaya ujibidishe nakazi San ili mpate izo pesa nasiyo kwamba ukutane na mzungu njiani tu upate pesa acheni mawazo potovu pata mzungu mwambie mwende ulaya mkatafutepesa ni Mimi Jane naongea kutoka mwanza
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ahsante Jane
@monicagaino7191 Жыл бұрын
Najifuza kitu
@salmakiyabosiriyamachoziha8756 Жыл бұрын
Jamn ni mgeni hum nimependa mahojiano ya hiki kipindi hqkika kinatufunza jamni
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ahsante sana Salma Karibu sana
@marykisoka4233 Жыл бұрын
Umejua kupeperusha bendera Dyada😅
@suzanalucasemanuel7006 Жыл бұрын
Me ndoto yangu napenda niolew na mzungu ila kingereza siwez jaman
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Anza kujifunza cha kuombea maji tu.. 😁
@yesuanikumbukejanuary8363 Жыл бұрын
Kwakweli tupo tu wengi😅 tatizo lugha.
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
@@yesuanikumbukejanuary8363jmn Ras Simba yupo miezi 3 unaanza kuongea nn Tena unataka
@fahidashishi255 Жыл бұрын
Jamani naitaji. Mzungu detinng ipii
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Dating sites zipo kwa list ya videos hapo
@ReubenGabriel-y2f Жыл бұрын
@@OfficialDatingAssistance0:08
@mashachaney2048 Жыл бұрын
Wordddddd
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Mdada kaongea vizuri sana sana.
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
🔥😁
@victorianambololo5718 Жыл бұрын
Shena ni app gani nzuri ya dating? Ambayo ni free
@olivernyange2349 Жыл бұрын
Mama wa miaka 45 kuendelea anaweza kupata mzungu?
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Wapo wa kila rika So anaweza kwa nafasi yake
@olivernyange2349 Жыл бұрын
@@OfficialDatingAssistance eti una group la wtup?
@deuskusaga8156 Жыл бұрын
Hivi hizi dating app unalipa Kwa njia gan?
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Unalipia kwa Kadi yako ya Bank
@deuskusaga8156 Жыл бұрын
@@OfficialDatingAssistance visa card and master card
@RachelRachel-zx6dx Жыл бұрын
Hizo app tutumie link
@nyamwizajane5627 Жыл бұрын
Mbona kuna wengine wanapata matapeli wanawapeleka kuwafanyia mambo mabaya
@elizabethnkonyoka547211 ай бұрын
Mimi nimejaribu kulipia kwa kadi imegoma, nifanye mimi?
@jennifermmanyema6693 Жыл бұрын
Dada Mimi nataman Sana tena Sana kudate na mzungu na Ndio ndoto yangu Ila ninakua na hofu Sana kuhusu muonekano wangu najiuliza hiv mzungu anawez kunipenda ?😅
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Kikubwa jikubali na kujipenda.. utaweza attract yoyote yule
@lydiamsheri4095 Жыл бұрын
Acha woga wazungu wanachukua watoto wetu wa kike wenye sura mzito.Hivyo acha woga
@sleeprelaxation8431 Жыл бұрын
Ni wewe tu, uzuri na urembo wa mtu upo kwenye macho ya mtu.
@klaussteiner94 Жыл бұрын
hilo nipepo lauoga,kataa hiyo roho yakukata tamaa shindwa kabisa,jikubali wewe nimrembo