WAJUMBE JIMBO LA KIBAMBA WAPEWA ONYO NA WANACHAMA KUELEKEA UCHAGUZI WA MWENYEKITI CHAMA TAIFA..

  Рет қаралды 6,398

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 62
@AlumanaPilla
@AlumanaPilla 18 сағат бұрын
Kwakweli ahsanteni kwa kuwa wazi
@MsabahAli-d6u
@MsabahAli-d6u 19 сағат бұрын
Mm namkubali Lissu ila naona kabisa Mboe ni kama lipumba amebadilika na hajali tena maslahi ya wapiga kura sijui kama akishakipata hichi chama atabaki na nani ?
@Josepinaluoga
@Josepinaluoga 13 сағат бұрын
Sema kaka na Huo ndio msimamo wet u wakimleta mbowe chama tutawaachia
@EmmanueNzilano
@EmmanueNzilano 15 сағат бұрын
Twende na Tundu Antipas Lisu 💯💪🔥✌️
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 18 сағат бұрын
Kazi ipooooo
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 19 сағат бұрын
Mbowe must go
@SalumMsongera-n7b
@SalumMsongera-n7b 42 минут бұрын
Wajumbe mlotangulia dar msiachi pesa kulen Ila kwa maslahi ya chama na watanzania mpeni kura nyingi Sana lisu atua ya Kwanza tu mzee akalale
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 14 сағат бұрын
Ni MAKOSA nyimbo za MUNGU kuwekwa KWENYE siasa LISU na heche ninawakubali ila wasibebe SIFA za BWANA YESU..
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 15 сағат бұрын
NI KWELI MBOWE ALIANDIKA HISTORIA YA KUWA MWANA SIASA BORA LAKINI GHAFLA AMEIFUTA HISTORIA YAKE YOOTE AMEBAKI MTUPU!!! HAPO AWALI TULIMWONA NI MPIGANIA HAKI KWA KILA MTU KUMBE NI KWA MASLAHI YAKE BINAFSI KABISA, MPAKA AIBU KWA HAYA YANAYOENDELEA!!!
@Jumamtafya-ie9zp
@Jumamtafya-ie9zp 15 сағат бұрын
Mungu awe nanyi
@sumkizu8367
@sumkizu8367 14 сағат бұрын
Kwa matendo haya ya wanachama kuwatuma wajumbe inatufundisha kuwa wanachama wananguvu kuliko wajumbe kituambacho mimi binafsi nakiona kinaafya kwa taifa hili ndio pendekezo la katiba mpya ya warioba wananchi wawe na nguvu kuwajibisha wanaowachagua
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 16 сағат бұрын
Mh. Heche huo wimbo w kua hakuna kama wewe kama utapata hii comment naomba utakapozungumza naomba ikatae Mungu pekee ndiye anastahili nakuomba Mungu hadhihakiwi.
@ThekingBuddar
@ThekingBuddar 14 сағат бұрын
LISSU ANAFAA SANA ATATUSAIDIA KATIKA CHAMA CHETU
@Aksa-yk1dp
@Aksa-yk1dp 18 сағат бұрын
Wewe nikiazi .kigeugeu mkubwa .kpnd anayasema hayo lisu alikua ccm au wap.acheni unafk
@kuchimillionaire6683
@kuchimillionaire6683 6 сағат бұрын
Wengi mnajjongwa na Mbowe hivyo halitokuwa rahisi kwa Lissu kushinda
@EnezaMmbando
@EnezaMmbando 14 сағат бұрын
kwan hisia zenu ndio za wajumbe wote
@ThekingBuddar
@ThekingBuddar 14 сағат бұрын
CCM WATAAMA WENGI KINAKWENDA KUWA KAMA MSUMBIJI
@NellyMadeni
@NellyMadeni 5 сағат бұрын
Mbowe pumzika usigombee, utaaibika, angalia hisia za hawa watu, hawakuitaji tena, wengi wape. Utashusha heshima yako pls
@ThekingBuddar
@ThekingBuddar 14 сағат бұрын
TUKO PAMOJA CHADEMA NILIKUA CCM NIMEAMIA CHADEMA
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 17 сағат бұрын
Mtaha chama
@ErastoMaridadi
@ErastoMaridadi 16 сағат бұрын
Tuko pamoja,wenzetu chama kimekuwa saccos ya kikundi kidogo ndani ya cdm
@SebastianCharleskayanda
@SebastianCharleskayanda 12 сағат бұрын
Jaman mboo atapitia wapi?
@bibibomba4515
@bibibomba4515 11 сағат бұрын
😂
@wiliamkatala
@wiliamkatala 4 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂❤
@joanitamedard5105
@joanitamedard5105 16 сағат бұрын
Lisu ANATOSHA
@JohnDaniel-q2h
@JohnDaniel-q2h 17 сағат бұрын
Ata magufuli walisema hawezi kwasababu hana hela lakini alikua nikiongozi bora mkipewa pesa kula kura kwa lissu
@saarungu3564
@saarungu3564 19 сағат бұрын
Umepoteza njia vijana.
@EdwardLutema-ez7yq
@EdwardLutema-ez7yq 15 сағат бұрын
Mwamba tuvushe hawa vibaraka wapite kule
@JohnDaniel-q2h
@JohnDaniel-q2h 17 сағат бұрын
Tuna waambia wakiwahonga pesa chukueni mle kura mpigieni tundulissu
@JuliasMsongole-c5k
@JuliasMsongole-c5k 19 сағат бұрын
Tukushukuru mbowe kwa hapa ulipotufikisha kwasasa hatukuombi kupumzika box litaamua
@JohnDaniel-q2h
@JohnDaniel-q2h 17 сағат бұрын
Atoke huyo Hannah umaana wowote
@JuliasMsongole-c5k
@JuliasMsongole-c5k 19 сағат бұрын
Kweli kijana habari ndohiyo ushupuvu seeeeeeemasaaaaaa
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 17 сағат бұрын
Mavi makubwa jiandae kihama chadema
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 17 сағат бұрын
Twende na mbowe tu jamani
@MmohamediSaidi
@MmohamediSaidi 16 сағат бұрын
Mbowe kawa chawa
@geraldleger5793
@geraldleger5793 15 сағат бұрын
Twende wapi kamanda ...
@wiliamkatala
@wiliamkatala 4 сағат бұрын
Hana maono,mchumia tumbo.
@AlumanaPilla
@AlumanaPilla 18 сағат бұрын
Vikoba tunawaomba nyie wanaume mnajitambua mnaionakesho tuokoeni simameni kiume wamama tumetoa aibu mno
@kassimkassim3834
@kassimkassim3834 13 сағат бұрын
Mbowe unajivunia kuibakura
@MwakaHappy
@MwakaHappy 12 сағат бұрын
Mbowe bado shingo ngum tuvtunatakalisu
@chelestinomwajombe938
@chelestinomwajombe938 18 сағат бұрын
Ninyi kwel i ,mumeanza kuwa hamtafakari ,chukua nyimbo Za say uni mnaimbia watu ,kweli heche na lisu hakuna wa kunana naye,kura ni uamuzi wa mtu kulingana na maono waliyoyaweka mbele yao kama wamevutiwa nayo .Kama wanaounga mkono lisu wakashindwa inakuwaje
@EdwardLutema-ez7yq
@EdwardLutema-ez7yq 15 сағат бұрын
Zombiii
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 16 сағат бұрын
Tunamtaka lisu sie chadema mafisiemu yana mtaka mboe
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 14 сағат бұрын
ACHENI UJINGA WATU WA KIBAMBA
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 17 сағат бұрын
Twenden na mbowe
@benderakashindi3834
@benderakashindi3834 19 сағат бұрын
Tupo nyuma ya Lissu. ila mu jiazari kuibiwa kura.
@benderakashindi3834
@benderakashindi3834 19 сағат бұрын
Mbowe iko pale kwa ajili ya kuiba kura tu.
@malkavoice2570
@malkavoice2570 19 сағат бұрын
Bawacha wameporwa uchaguzi kule
@DannySanga-gh1oj
@DannySanga-gh1oj 18 сағат бұрын
Tupo wanachadema tusio yumbishwa na mtu nyie ondokeni mnacheliwa
@simongwandu7392
@simongwandu7392 19 сағат бұрын
Mtatoroka wote acha matisho
@AlexMkwama
@AlexMkwama 19 сағат бұрын
Subirini sanduku la kura. Kutoa mapovu kwasasa hakuna faida
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 19 сағат бұрын
Povu pia lina umuhimu, ndio linalosafisha, Lissu ni yeye
@AlexMkwama
@AlexMkwama 19 сағат бұрын
@mohamedturanardan8871 inawezekana akawa ni yeye, ila hekima zaidi ni kuingia kwenye kura
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 17 сағат бұрын
Mnafiki wewe hukumbuki ujinga uliyoongea kuhusu lisu?
@Kiyama-g8f
@Kiyama-g8f 17 сағат бұрын
KELELE ZA NINI?? MSUBIRI KURA ZIPIGWE,ACHENI USHOGA HUO
@MmohamediSaidi
@MmohamediSaidi 16 сағат бұрын
Mjane vipi
@masijamajogoro7231
@masijamajogoro7231 14 сағат бұрын
Alikushogesha
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 17 сағат бұрын
Aisee mnaenda kushindwa timu lissu,Mungu hadhihakiwi
@najimsuleiman3690
@najimsuleiman3690 14 сағат бұрын
Binafsi niwe muwazi. 2010 Kura yangu kwa Wanje-Nyamagana 2015 Kura yangu ilikwenda kwa Chief Karumuna Bukoba. Lakini Mwaka huu Akirudi Mbowe ni M/K kura yangu nampa CCM.
@YohanaSanga-t8d
@YohanaSanga-t8d 12 сағат бұрын
Kumreta mbowe nikuimarza chadema
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
Malaysia's Minister Says Growth Set to Surpass 5% in 2025
28:42
Bloomberg Television
Рет қаралды 26 М.
MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM TAIFA (19-01-2025)
Chama Cha Mapinduzi - Official
Рет қаралды 575
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН