"LISSU HAIAMINI HALI YAKE YA USALAMA WAKE ALAFU ANATAKA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA?" MASAGA KALOLI

  Рет қаралды 8,620

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 133
@EmmanueNzilano
@EmmanueNzilano 21 сағат бұрын
Lisu Hoyeee💯💪🔥✌️
@isackjacob8127
@isackjacob8127 15 сағат бұрын
Huna unacho eleza ww lisuuuuu nomaaa🎉
@HamisMtanda
@HamisMtanda 20 сағат бұрын
Safi sana kiongozi. Big brain
@innocentlethisia416
@innocentlethisia416 21 сағат бұрын
Ndongaaa kubwaaaaa but empty
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 20 сағат бұрын
Ahsante ndugu ,kama umegundua bichwa empt limejaa maji
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 20 сағат бұрын
Uko vizuri sana mno
@RashidAli-rn3ro
@RashidAli-rn3ro 18 сағат бұрын
Duh kazi ipo kwa hali hii ukombozi utasikika tu
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 20 сағат бұрын
Uko vizuri sana
@benderakashindi3834
@benderakashindi3834 21 сағат бұрын
Ahuna hoja Ata moja wewe, wala haukuaki na hoja hata moja. Inamaana iyo kiti ni ya mbowe tu, ndiyo mbowe ni Gaidi atoke tu, rushwa ni nyingi sana kwenu, mbowe ameisha wasibisha na pesa ya CCM nyinyi, umaskini mtupu tu. Amuna vision ya ku nyakua power kutoka CCM, CCM ina wapeleka peleka kama wenye awakusomaka, mbowe amepoteza eshima yake, lisu akikosa huu ndiyo utakua mwisho wa chadema sababu yeye iko nawatu wengi nyuma yake sababu sera zake ni nzuri, mbowe ana Sera ameisha zeeka, atulie. Lisu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Sisi tupo inje ya Tanzania inje ya Africa ila tupo nyuma ya Lissu, atutaki CCM kwa muda huu. CCM= mbowe.
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 20 сағат бұрын
Safi sana. Watu walete sera
@AlexMkwama
@AlexMkwama 21 сағат бұрын
Upo vizuri sana. Akili kubwa sana
@mahyorokalokola4012
@mahyorokalokola4012 18 сағат бұрын
Hayo anayosema ulilinganisha na Lissu anavyosema unaona kabisa kwamba huyu ni mwepesi mno
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 21 сағат бұрын
Angekuwa hai bensanane angelia. Wasaliti kama hawa
@hassankhalid2465
@hassankhalid2465 17 сағат бұрын
Lisu n sawa na mke asiyekua na busara mkikorofishana anatoka na kusema madhaifu yenu yote ya ndani ya nyumba..
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 20 сағат бұрын
Ukweli cdm ina watu wenye akili kubwa mungu akubariki kamanda
@UrioStanley
@UrioStanley 18 сағат бұрын
Na ww ni kenge mwingine
@nehemiakahangwa1091
@nehemiakahangwa1091 20 сағат бұрын
Mungu akupiganie akupe hekima
@gidongailo7174
@gidongailo7174 21 сағат бұрын
Kwahiyo nani ana uhakika na usalama wake hapa Tanzania😂😂
@Ibrahimkitela
@Ibrahimkitela 20 сағат бұрын
Uko sahihi kabisa kiongozi, hao wanaoropoka ni kutaka kukibomoa hiki chama.
@LucianSanga
@LucianSanga 21 сағат бұрын
Tafuta Fedha Wenzako wana Fanya Hivyo sio Kutudanganya Munatwambia COVID 19 wakati sio kweli Wale ni Wake wa Viongozi wenu CCM Hoyee e
@Mdee-Tv
@Mdee-Tv 21 сағат бұрын
Huyu pimbi anajua ili uwe na maridhiano ni mazingira gani yanapaswa kuwepo
@peterjohnson167
@peterjohnson167 20 сағат бұрын
Sijawai kumbe Chadema wapo watu wenye vishwa vinavyo fanya kazi vizuri 100% Hongera sana kijana upo vizuri, ninapo msikia Tundu Lissu nasikia hadi kichefu chefu yaani Tundu Lissu hafai hafai kabisa hata mwenye kiti wa mtaa Lisu hafai.
@DaudSuday-v5c
@DaudSuday-v5c 20 сағат бұрын
Wewe unafaa kufilwa mkundu
@OttoChiduo
@OttoChiduo 19 сағат бұрын
Masaga kaloli critical thinking 🤔 v
@Eng_Marcusjr
@Eng_Marcusjr 17 сағат бұрын
Akishinda mgombea wenu jimbo la Mbeya litakuwa wazi sana kwa Tulia. Wananchi tutawakataa
@hassankhalid2465
@hassankhalid2465 17 сағат бұрын
Ukweli Lisu gafai,,huwezi kuwa kiongizo kwa kutaka cheo unaanika siri zote mlizoshiriki ndani ya chama ukitaka uonekane msema ukweli huo ni udhaifu mkubwa sn kwa kiongoz.
@CalistusTitus-s5o
@CalistusTitus-s5o 13 сағат бұрын
chama akiwa heche, lissu, nawaambia kinakwenda kupasuka ni waongoooo mpaka wanatia shaka, mbowe amepakwa matope sana na mstahimilivu
@edwindezidery632
@edwindezidery632 7 сағат бұрын
Huyu jamàa boya kweli anasubili amalize pres mwenyekiti amutumie rushwa
@Georgemselyamwaluko
@Georgemselyamwaluko 6 сағат бұрын
Ni kweli hana usalam ila huyo anae shilikiana na abduli anausalam
@aloycemchuo7687
@aloycemchuo7687 19 сағат бұрын
HONGERA SANA.WANACDM HUYU KIJANA YUKO VIZURI
@leticialubala9721
@leticialubala9721 20 сағат бұрын
Wewe ni kiongozi🎉🎉
@roypeters9829
@roypeters9829 21 сағат бұрын
Lisuuuu
@MikidadiSalim-xk9dc
@MikidadiSalim-xk9dc 20 сағат бұрын
Fala wewe kichwa kikubwa mashavu yameukujaa kuzidi mwili wako ...mchukuwe mbowe akawe kiongozi kwenye Familia yako....bichwa kubwa akili zero.....wadau kama ratiba yetu tulivyoipanga twende na lisuuuuuuu .......
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 21 сағат бұрын
Lissu viva. Mbowe = CCM B
@petertemba6594
@petertemba6594 18 сағат бұрын
Lissu
@francomwalutende7864
@francomwalutende7864 16 сағат бұрын
Najua wewe ni mfuasi wa Mbowe ila kwa Mbeya bro bila Lissu utabaki wewe na Sugu na Mawingu wa ilembo, in short chama kitakufia, Mbeya wanapenda siasa za heka heka ambazo mzee Mbowe hataweza tena believe me mtapata taabu sana vinginevyo mnunue watu wa mikutano. Mbeya always are peoples of change
@hollymore4904
@hollymore4904 17 сағат бұрын
mashavu kweli wew
@kaizilegekaizilege
@kaizilegekaizilege 19 сағат бұрын
Tofautisha masharti na mardhiano, jifunze zaidi Africa ya Kusini kati ya Mandela na Makaburu juu masharti na mardhiano yaliyofamyika
@mahyorokalokola4012
@mahyorokalokola4012 18 сағат бұрын
Mambo ya maridhiano ni taaluma. Ni suala pana na la kina ambalo linahitaji mtu mwenye akili kubwa kulifahamu. Aliyesitisha maridhiano ni serikali na siyo Lissu. Kwa hiyo huna hoja ya maana unayoisema
@DavidCurtis-e4c
@DavidCurtis-e4c 18 сағат бұрын
Kunamsemo wa uswahilini unasema ukibwa wa kichwa sio wingi wa akili😂
@TrustElbashil
@TrustElbashil 21 сағат бұрын
Masaga bola tungekuwa na mstaafu mwasote wewe hufai chama kimkoa kinakufa
@BeatrriceMuya
@BeatrriceMuya 17 сағат бұрын
Uko vizur
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 20 сағат бұрын
Nimekuelewa kamanda ,Lema amekuwa na kiherere sana arusha imemshinda anamwogopa sijuwi makonda lema amekuwa mzaramu
@dr.edmundbmgeni486
@dr.edmundbmgeni486 21 сағат бұрын
Siasa za upinzani zinamhitaji Mbowe Kwa sasa. Amini Mimi kama Tundi Lissu akipita basi upinzani utavurugwa na kupotea kabisa.
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 20 сағат бұрын
Mbona wanachadema wengi sana wsmeuawa na fidiemu sas kuna usalama kwa.mwanacadema yeyote
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 18 сағат бұрын
Akipita mbowe hamtapata mbunge wala diwani sisi kama watowa maoni utaona.
@yohanaantony5774
@yohanaantony5774 20 сағат бұрын
Hata cjajua umeongea nn kfp endlea kujfunza Zaidi ktk siasa bdo huna point
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 20 сағат бұрын
Nyie fisiemu hamtaki tupiganie haki zetu. Eti munaiita ni vurugu na tukinyamaza ni amani
@jetymagereja4058
@jetymagereja4058 20 сағат бұрын
Mbowe mwenyewe amekiri maridhiano hayajafuatwa kama walivyokubariana😮
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn 20 сағат бұрын
Mr Mbowe alisema amechoka na mapambano ya kidemokrasia ZAIDI ya mara 5 mkalazimisha.
@kadilamore802
@kadilamore802 21 сағат бұрын
Kuna watu Mungu kawabariki wanaona mbali hawaoni mbele
@SeyangaSudi-r6u
@SeyangaSudi-r6u 12 сағат бұрын
Ndevu zako tu zinaonyesha una njaa na chawa wa mbowe hata sijui nani walikuchagua kuwa kiongozi kusoma hujui hata picha huoni? Lisu na mbowe ni mbingu na ardhi lisu yupo juu unaongea uwongo kwa uchawa kwa mbowe
@tosh7671
@tosh7671 20 сағат бұрын
Ondoa usenge wako hapa. Wananchi wa nchi hii tunamtaka LISU
@HemedKiama
@HemedKiama 19 сағат бұрын
Pumbaf!....Yale yalikua masharti ya maridhiano acha kutuvuruga!...
@ananiamwatebela3159
@ananiamwatebela3159 20 сағат бұрын
Yaan ww huna akili sana mpuz ww afu lisu anapita sijui utaenda kuungama wapi
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 20 сағат бұрын
Watu Mbeya ni watu makini, mfano Njelu (G55), wewe mbona uko hoi?,tetea chama na siyo watu, ama sivyo utakuwa kama Cuf na Nccr.
@yohanakateko
@yohanakateko 3 сағат бұрын
Lissu akishinda kaka uwenyekiti uondoke
@deodathsilayo3639
@deodathsilayo3639 17 сағат бұрын
Lema sio mh tena Hana wazifa wowote
@GabrielMwakasitu
@GabrielMwakasitu 20 сағат бұрын
Subiri mpitisheni mbowe mwone kimbunga kitakavyo wakimbia
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 18 сағат бұрын
Lissu akizingua tutamtoa tumpe nafasi
@burchardkasindo1676
@burchardkasindo1676 18 сағат бұрын
Mbona hamtuelezindugu zetu akina Ben saa nane akinasokawatapatikanaje?
@AmaniMalunda
@AmaniMalunda 20 сағат бұрын
Atuwaelewi ni lisu tu mbona mulimpa Agombee ulaisi tutakutana huku chini
@EdwardLutema-ez7yq
@EdwardLutema-ez7yq 19 сағат бұрын
Kumbe siyo wote ndani ya chadema kuna vijana safi wanaojitambua kama huyu kongole kijana umeonyesha uzalendo na nchi yako wewe siyo bendela kufuata upepo
@mangukasasali7614
@mangukasasali7614 19 сағат бұрын
Mbowe anaizika chadema . hasa akishinda
@CalistusTitus-s5o
@CalistusTitus-s5o 13 сағат бұрын
nkuunga mkono lißsu ana siasa za maji taka na propagand za uongo na mihemko
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 20 сағат бұрын
28:09 Lissu na Lema ni wanafiki wakubwa na waoga... Baada ya uchaguzi mkuu 2020 Lissu na familia zao walikimbilia Ubelgiji na Lema alikimbilia Canada. Hadi leo familia zao ziko Canada na Ubelgiji na watoto wao wamechukua uraia wa huko. Lissu hafai, hafai, si kiongozi wa kuaminika!
@UrioStanley
@UrioStanley 18 сағат бұрын
Mbowe alikimbilia Dubai
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 12 минут бұрын
@UrioStanley Familia yake ipo Tanzania na hata wakati wa maandamano familia yake (binti yake na mke wake) ilishiriki. Tujifanye vipofu!
@UrioStanley
@UrioStanley 7 минут бұрын
@SylvesterKameo Mbowe alikimbia Magu alipokufa akarudi
@TumainiPaulo
@TumainiPaulo 18 сағат бұрын
Hoja zako hazina maana yoyote kwa mtu mwenye akili,,ivi Kama lisu hananianjema mbn mmlipa agombee urais mwaka 2020 awe raisi wa jamhuri?mbowe apumzike nawwe pumzika
@dennisungonella205
@dennisungonella205 17 сағат бұрын
Uzuri wananchi wameshasema wanamtaka lissu
@MsamiKimaro
@MsamiKimaro 17 сағат бұрын
Wananchi gani hao sema Mimi sio wote
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 18 сағат бұрын
Mbowe hawezi mikiki mi kiki. Ya CCM.
@HijaSaid-t6c
@HijaSaid-t6c 19 сағат бұрын
Hili time chawa
@StephanoGwelino
@StephanoGwelino 20 сағат бұрын
We,jamaaa mbona kama hueleweki inamaana ww huoni kama mbowe kapowa sana saizi,
@harounmaarufu3241
@harounmaarufu3241 18 сағат бұрын
Umechelewa
@mongogwelaanthony6867
@mongogwelaanthony6867 18 сағат бұрын
Lisu na heche wanatosha
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 20 сағат бұрын
Kakojoe.ulale.hatutaki. maridhiano. Peleka utaahira wako huko yaani. Unakera sana
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 20 сағат бұрын
Zaid. Angesema yuko upande wa Lisu ndio ungeona anamaana?
@RoseChapesi
@RoseChapesi 21 сағат бұрын
Huna Akili tumbo kama pipa
@OttoChiduo
@OttoChiduo 19 сағат бұрын
Masaga Kaloli critical thinking 🤔 v
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 20 сағат бұрын
Hivi ukomo uko kwa mwenyewe kiti tu makamu hapana sio?
@judithmwamukinga4448
@judithmwamukinga4448 20 сағат бұрын
Mwenyekiti usitufanye wajinga anapanga uchaguzi ni nani? Kama umetumwa ns mangi mbeya unaijua kama ndio walio kutuma kusema hongera
@jetymagereja4058
@jetymagereja4058 20 сағат бұрын
Jamaa hataki mabadiriko
@BrightMgallah
@BrightMgallah 20 сағат бұрын
Masaga Point yako ni ipi? Hapo ulipo. Bado sanaaa mpaka mtasemaaaa.
@vannyringo4612
@vannyringo4612 17 сағат бұрын
Wewe ndio mklt akili ndogo iyo
@samsonnnko8035
@samsonnnko8035 20 сағат бұрын
Ndevu nyingi akili kisudeee
@STEVENKAJUMBA
@STEVENKAJUMBA 20 сағат бұрын
Wewe masaga na sugu wahuni njaa tuu
@beinafuu6219
@beinafuu6219 20 сағат бұрын
Mmepzta nini sasa serikal za mtas? 😂😂😂
@ErnestMlay
@ErnestMlay 21 сағат бұрын
Huna akili
@pinielloilole4340
@pinielloilole4340 20 сағат бұрын
Waliokuchagua walipoteza muda wao hauna hoja
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 21 сағат бұрын
Mwenyekiti wa CDM mkoa wa Mbeya kweli? Mbona naona kama hana kitu? Sisi Wasukuma tuna msemo usemao "BUKULU WI SINDI KUGAYA NDETE"
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 20 сағат бұрын
Hao ni wasukuma!, Huyu mambo yenu ya wasukuma yanamhusu nini? Ujinga mwingi!
@VedastusMabina
@VedastusMabina 20 сағат бұрын
🎉
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 20 сағат бұрын
Mpuuzi kabisa kenge kama kenge zingine
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 21 сағат бұрын
Nyambafu ww ndevu tu kuwa ana akili aaah
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 21 сағат бұрын
Mbona kama shati umeazima
@LucianSanga
@LucianSanga 21 сағат бұрын
Akili yotee Ipo Tumboni kwakotu
@CHRISTOPHERNKELEBE
@CHRISTOPHERNKELEBE 20 сағат бұрын
huna akili wewe
@SaidiMohamedi-n2u
@SaidiMohamedi-n2u 20 сағат бұрын
Hivi watu wanapataja ungonzi
@simonsadala2386
@simonsadala2386 21 сағат бұрын
LISSU CHIZI tu huyoooo hana shukran hata kidogo
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 21 сағат бұрын
Je wewe Simon sadala na Lissu nani chizi, jitafakari halafu ujikague mwenyewe kabla ya kurusha mawe kwa Lissu
@BrightMgallah
@BrightMgallah 20 сағат бұрын
Wewe haujitambui kati ya wewe na lisu nani chizi nini maana ya siasa
@simonsadala2386
@simonsadala2386 17 сағат бұрын
@@ZaidAKissinza LISSU chizi ngoja niwakumbushe hivi ile siku anarudisha form alivaa bullet proof alikuwa anahofu kuwa atapigwa na nani ? Yaani unao waogopa ndo hao hao unawaomba wakuchague hizo akili au matope? Ni vile tu hata nyie hamjitambui
@gasperpanga4422
@gasperpanga4422 21 сағат бұрын
Huna akili huwezi kuwadanganya watu wanaelewa kuliko wewe.
@DanielMgeni-x1z
@DanielMgeni-x1z 21 сағат бұрын
Kwa sasa chama ki nahitaji Mabadiliko
@peteragustino3450
@peteragustino3450 16 сағат бұрын
Ww huna mvuto hujulikani acha kelele ww
@Ramadhanilawoga
@Ramadhanilawoga 20 сағат бұрын
Kijana big up unaelewa wapo baadhi ya vijana WA chadema wanaotamani nchi ivurugike hawaoni watanzania wanahitaji Amani HAKI na utulivu
@Mwakamele
@Mwakamele 20 сағат бұрын
MALIZIANO😅
@peterjohnson167
@peterjohnson167 20 сағат бұрын
Tundu Lissu kwanza ni dikteta wa hali ya juu sana yaani Lissu anapenda kuaminisha yeye ndie anauwezo na akili kuliko wana Chadema wote: Lissu akisema Halleluya wana chadema wanatakiwa kujibu Amen. Huyo ndio Lissu. ORIGINAL mtoto wa Singinda.
@AnuaryJuma
@AnuaryJuma 20 сағат бұрын
Acha ujinga babu hatukuelew
@AminaBirika
@AminaBirika 17 сағат бұрын
Kumbe ww unafuga ndevu tu
@OmaryHeri-c3h
@OmaryHeri-c3h 21 сағат бұрын
We nawe nyau mmoja
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 18 сағат бұрын
Wewe kajiunge na CCM wanakusubiri. Juna lolote.
@fetehomar27
@fetehomar27 21 сағат бұрын
Mboe mjanja kuna mazto yanakuja
@FOUNDATIONONLINETV
@FOUNDATIONONLINETV 20 сағат бұрын
Sasa wewe unaijua demokrasia? Nendeni kapige kura
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano  yasiyokuwepo"
32:08
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12
CHADEMA MKOA WA TABORA WAMKATAA MBOWE "TUNAMTAKA LISSU"
10:23
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН