Wakazi amkosoa Vanesaa Mdee kuhusu kauli ya wasanii kufanya ushirikina kwenye muziki

  Рет қаралды 9,280

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер
@mwalitv4555
@mwalitv4555 2 күн бұрын
Wakazi angekua mwanamke nadhani Kila mtoto angekua na Baba ake...
@stevenhassan269
@stevenhassan269 4 күн бұрын
Hivi SnS na Wakazi mko na ubia au maana stor za wakazi huwezi kuzikuta sehemu nyingine zaidi ya hapa
@BashiriIddishabani-i3r
@BashiriIddishabani-i3r 3 күн бұрын
Nilijua labda nahisi pekangu
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 3 күн бұрын
Wakazi ni msanii mkubwa sana sky anajua nyie kaeni ivo ivo kumpangia cha kufanya.
@mwalitv4555
@mwalitv4555 2 күн бұрын
Nilijua TU ni lazima Dada wakazi ajibu....
@eddsonjeremiah6669
@eddsonjeremiah6669 4 күн бұрын
Ushirikina upo Kila sehemu na Kila sector lakini inategemea na Imani yako
@youngbona3804
@youngbona3804 Күн бұрын
Zee la facts and logics🔥
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 4 күн бұрын
Kwani Rotim aliacha muziki au ndo bado upo kwa ushetani? Vanessa atupishe Bwana..
@dunkchainz7237
@dunkchainz7237 4 күн бұрын
Wakazi YUPO SAWA… kufanya ushirikina ama kutofanya ni uamuzi wako. Unaweza kufanya muziki pasipo kufanya ushirikina labda tu kama unahisi huwezi kufanya vizuri pasipo kufanya ushirikina.
@BlackKax
@BlackKax 4 күн бұрын
bila iyo mambo utoboi,ni jina bila hela kama wa kaz alivyo
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding 4 күн бұрын
Unatombwa akili kiufupi unatombwa akil huwez kufikilia kiupan
@beyondintrusion1663
@beyondintrusion1663 3 күн бұрын
​@@TeophilBuilding😂😂😂
@postiveaddition4362
@postiveaddition4362 3 күн бұрын
Sawa mtu Kati...!
@stapinuswilliam860
@stapinuswilliam860 4 күн бұрын
Chikago boy safi sana endelea kuwapa maarifa
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 4 күн бұрын
Uwo Ukristo unatokana na nini kama sio uyo Yesu, kutokumtaja Yesu ili uwafuraishe wanadamu, uwo ni ushetani, ata Yesu mwenyewe alisema wengi watatengwa kwajili ya Jina langu.
@daprince7545
@daprince7545 4 күн бұрын
Ukweli ni kwamba kuna siri kubwa katika muziki.
@zaramuneer3257
@zaramuneer3257 4 күн бұрын
SKU zote anaesema ukweli hapendwi 😢ni kweli wanafanya uchawi eeeeh 😂 veeeee mdhalilishe shetani
@adiaygo8546
@adiaygo8546 4 күн бұрын
Mh angekuwa mwanamke angekuwa mwanamke kila mtoto angekuwa na babake alichosema vennesa alikutana nayo asilimia 98 ni uchawi ndiyo unaongoza na ndiyo waliofanikiwa hizo aslimia2 akiwamo wakazi hawajafanikiwa
@MohamedMohamed-ry6lt
@MohamedMohamed-ry6lt 4 күн бұрын
Yani ndo imekuwa kazi yako sasa.watu wasema mawazo yao wewe upate kusema
@selemanimkwichu782
@selemanimkwichu782 4 күн бұрын
Hakuna alichomkosea uchawi upo sana katika maisha mengne kuliko uko katika mziki
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 4 күн бұрын
Wakazi hapo ukosawa kwn huyu dada alinogewa na rotimi bc asisingizie uchawi
@ttss7716
@ttss7716 3 күн бұрын
Amesema ukweli si urongo kwanza kitu cha kwanza binadamu wengi wamejiweka pahali hawa jatosheka so lazima atake kwenda levol ingine ndo imeleta bala hii tosheka na kile mungu amekupa😢😢😢
@benjo_brighter
@benjo_brighter 4 күн бұрын
Ila huyu mkuria wa kizaramo 🤣🤣🤣🙌 Sema kuna time namuelewa Chicago boy 😁🤜🤛
@JechaMakameIssa-gs2bl
@JechaMakameIssa-gs2bl 4 күн бұрын
Hata huyu Bwana yko uko anafnya ushirikina mana mziki unaendana na shetani
@lamartaker527
@lamartaker527 4 күн бұрын
Wakaz hajamuelew vanessa😅😅😅😅😅
@MtuSafi
@MtuSafi 3 күн бұрын
Akimshauri Rotimi aache basi tunaweza kumuelewa ila ajue anakula hela za shetani za mumewe.
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 4 күн бұрын
mbona imemuuma sn! atakuwa anafanya nn?!
@augustfive5279
@augustfive5279 3 күн бұрын
Wakazi angejiuliza kwann ukatazwe kumtaja Yesu kristo kwenye nyimbo za injili wakati Yesu ndo injili yenyewe....unaeza kua na akili ila ukakosa akili ya kufikiria alafu izi vtu ni deep sana spiritual sio kama unavuthani
@nurdizzotz4437
@nurdizzotz4437 4 күн бұрын
Japo ushilikina upo kila sehem ila kwenye muziki upo mwingi sana kama auna pesa auna uchawi mziki uwezi kufika mbali
@Johnsonchristopher-uc5er
@Johnsonchristopher-uc5er 4 күн бұрын
Kila MTU ana maoni yake na Uhuru WA kuongea Ila uchawa upo umekaa pale yeye kaongea alichoulizwa na akajibu kutokana na yeye kayapitia angeulizwa kuhusu waigizaji asingewezab kujibu kwakua akupitia uko wala kwenye siasa so kila muhanga atajibu kwenye. Afai yake husika
@nurdizzotz4437
@nurdizzotz4437 4 күн бұрын
Vanessa yuko sawa mziki bila ushilikina ata ukitoka auwezi kusavaivu tunaujua mziki na tunaufanya mziki
@chariedecute8200
@chariedecute8200 Күн бұрын
Oky kwaiyo uyo mchumba ake rotimi nae mshirikina coz amna mzk bila ushirikina si ndio
@praymwalu
@praymwalu 4 күн бұрын
Uyu jamaa ana ongeya sana
@alphoncejohn6308
@alphoncejohn6308 4 күн бұрын
MZiki bila illuminati watu hawafanikiwi vanessa yupo saw
@stapinuswilliam860
@stapinuswilliam860 4 күн бұрын
Nan kakwambia hvo
@elijahbaraka9470
@elijahbaraka9470 4 күн бұрын
ROTIMI zile nyimbo anazoimbaga nizakumsifu Mungu? Maana hazinaga hata mafundisho kwa jamii. Je uwo sio ushetani? Usichomoe kibanzi kwenye jicho la mwenzako wakati wewe una boriti na hulioni.
@Kabwela776
@Kabwela776 3 күн бұрын
Hamna ushirikina kwenye muziki ukipiga mziki mzuri utakubarika
@EriyaRichard
@EriyaRichard 4 күн бұрын
Unaijua nguvu inayo tawala bahari na nguvu ya ardhi na nguvu ya anga weweee😢
@comics3437
@comics3437 Сағат бұрын
Veemoney alitereza
@salumukatani03-u8b
@salumukatani03-u8b 4 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥
@richardchimba3800
@richardchimba3800 4 күн бұрын
Mziki wenyewe ni ushirikina
@elijahbaraka9470
@elijahbaraka9470 4 күн бұрын
Yeye anaishi na Rotimi ni mwana mziki na anashiri kiana na wasani wakubwa ambao wana shukiwa kuwa wakimashetani sasa kama Rotimi sio wamashetani na yeye giza na nuru havikai pamoja. Inakuaje?
@boxdad
@boxdad 4 күн бұрын
Who is wakazi?
@mwalitv4555
@mwalitv4555 2 күн бұрын
Ni mwanaume anayewakilisha wanaume wenye mambo ya kike WOTE Tz
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 күн бұрын
KWANI YEYE VANNESA ANAFANYAKAZIGANI MARECANI 😂😂SIATULIYETUUU😂😂😂
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 2 күн бұрын
Sasa ushirikina si upo nani wakubisha bila ushirikina hakuna ku treind
@ankalmzito254
@ankalmzito254 4 күн бұрын
mbona sisi mashabiki tukisema hawa wasinii ni washirikina watu wanasena ooohh hio wivu ama tuna akili za kimaskini..haya nadhani mumesikia kwa wasanii wenyewe
@damaschosen
@damaschosen 4 күн бұрын
Wanaomkosoa ndiyo wachawi wenyewe,yeye aliongelea tasinia yake aliye kuwa akifanyia kazi
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 4 күн бұрын
Hivi wakazi ni naniiii mbona simjuiiii
@stapinuswilliam860
@stapinuswilliam860 4 күн бұрын
​@@Peterchila-un2lxkama upo mbali na industry ya hip-hop uwez kujua n nan
@vibetz9991
@vibetz9991 4 күн бұрын
Kwani wakazi ni mwana muziki?
@ThugThree6
@ThugThree6 4 күн бұрын
Hv wakaz hajawah kuwa shoga uyu jamaa
@ClassicUsed-jg6ri
@ClassicUsed-jg6ri 4 күн бұрын
WAKENYA NI WAPUMBAVU
@diligentstanslaus8650
@diligentstanslaus8650 4 күн бұрын
Wakazi pyramid wamemlipa amjibu Vanessa aondoe maana ya alichosema Vanessa ili jamii ibaki gizani
@DjMswati
@DjMswati 4 күн бұрын
mwan uyu wakazi ninani mbn kam fwala san
@sosbrayantbenjamin9701
@sosbrayantbenjamin9701 4 күн бұрын
Sasa wakaz anabisha nn wakat hata wasanii wenyewe hasa wamarekan wanasemagawameuza nafsi zao kwaajil fame kanye west alisha imba chriss brown Eminem jay z Beyonce Rihanna
@stapinuswilliam860
@stapinuswilliam860 4 күн бұрын
Wakazi upo sawa Vanessa anazngua sana
@sosbrayantbenjamin9701
@sosbrayantbenjamin9701 4 күн бұрын
@stapinuswilliam860 kazngua nn wakat ndo ukwel tasnia imejaa ushetan
@elijahbaraka9470
@elijahbaraka9470 4 күн бұрын
Yeye mwenyewe vanessa yale ma wigi na ma tatuu na mekup sio ushetani? Maana Mungu hajamuumba navyo.
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 күн бұрын
😂😂😂 hatakazi hana apa Marekani 😂😂😂 meme kamufunguliya App😂😂😂 kibiyasharaaa😂😂😂😂
@elijahbaraka9470
@elijahbaraka9470 4 күн бұрын
@michelinemapendo6652 anatakakuzungumziwa tu. Kapotea sikunyingi.
@ogdosho93
@ogdosho93 4 күн бұрын
Tatizo la Vanessa ni uzungu mwingi wa kishua mambo ya uswahilini hayajui Sasa anaweza ambiwa kazi haiwezi kutoka mpaka tutoe kafara ya mnyama akahisi ni uchawi.. In short dada angu Vanessa hayo mambo yapo kila kona kwenye biashara siasa so I suppose kwavile wewe ni wa masaki tuulize cc wa uswazi we know dats normal thing to happen
@sylviaforest3001
@sylviaforest3001 4 күн бұрын
Sio uzungu familia yake iko hivyo hata dadake mkubwa aliwacha kazi kenya na akaenda kuolewa na Pastor
@Kabwela776
@Kabwela776 3 күн бұрын
Hana uzungu wowote mswahili tu mzungu asingeanza kuongea kama ya kiswahili yeye muziki umemshinda alee watoto
@augustfive5279
@augustfive5279 3 күн бұрын
A point of corection,Gospel haijawai geuka kua biashara watu ndo wanageuka injili itabaki kuwa injili milele.
@unjuusalvatory5331
@unjuusalvatory5331 4 күн бұрын
Wakaz Yuko liberal sana, anaweza kudiscuss topics critically. Vanessa amekaa US kwa muda now ila bado uwezo wake wa ku articulate ideas n kama Yuko bonyokwa. Issue ya desperation ya mafanikio na kuengage kwenye mambo ya kishirikina liko diverse everywhere kama haujafanya research huwez claim hyo theory sehem Moja tu, after all Kuna tofaut kat ya fact na opinion, alochosema ni opinion na sio necessarily fact
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 4 күн бұрын
Huyu kaokoka jadi kachanganyikiwa huyu v money yaan yeye kwenda marekan mwezenu ndio kaona kashajipata sasa kakimbia mzoko kaemda kuolewa na msanii atole zake
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
SIO BEGI LANGU
10:25
Joti TV
Рет қаралды 138 М.
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН