Mic u shekhe Ramadan Allah akupe umri upate kuwalingania na kujaalie pepo inshallah
@AssdfAssd-g3y9 ай бұрын
Masai tafadhali rungu Hilo na sheikh wetu ❤❤❤❤Allah akulinde na akupe umri mrefu tunawapenda nyote kwa ajili ya Allah❤❤❤❤
@musalumbi84909 ай бұрын
🤣🤣🤣
@maymunamakungu62657 ай бұрын
😂😂😂
@Fumokale9 ай бұрын
Nawapenda kwa ajli ya Allah na nawaombea IKHLAS pamoja na kujiombea nafsi yangu...aaaminaaa
@Aljazeer.ismail9 ай бұрын
Khalif juma my good friend Allah awajalie ❤
@abdirizakali62239 ай бұрын
اللهم صل وسلم وبارك على نبينا محمد صلى الله عليه وسلم
@SaidMgeni9 ай бұрын
MashaAllah TabarakahAllah
@KautharHersi-em5oy8 ай бұрын
Mashallah Allah aweunge mikono inshaallah mwalimu wetu
@Nora-v1m3p9 ай бұрын
Maustadh wetu Allah amzidishie juhudi zenu. Nampenda saana kw ajili y Allah
@gabbylupittatv56079 ай бұрын
Mwalimu kazi mzuri sana ALLAH aendelea kukupea maisha malefu
@salmaminja77149 ай бұрын
Mashallah Ustadh mie nakuombea maisha marf yasiyo na vikwazo kwn hakika unaitangaza dini ya khaq. Allah akulinde na awape pepo yke maridhawa. Idhaa Aradallah.
@SmilingGazingIguana-nb7dy9 ай бұрын
Masha Allah Sheikh Ramadan Jizaaka Allah
@omargalole40699 ай бұрын
Masha allah Mola atuongoze
@Leo-xc1nh9 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤
@mubariekabrahams26509 ай бұрын
Assalam aleykum sheikh Ramadhan. Allah awabarik inshaallah Awalinde na mitihani ya maradhi nyinyi na familia zenu inshaallahu amin.
@HamzaAkilimali9 ай бұрын
Alhamdulillah🤲, Nyie Masheikh mnaoelimisha Da'awa, kuelimisha waliopotezwa na Wachungaji. "SIDHANI KAMA WANGELIKUWEPO WANAOJIITA WAKRISTO." Inshallah, nina imani wengi wataelewa ukweli.
@kassimjuma61519 ай бұрын
Huyu Mswahili wa Pemba atakuwa vizuri sana inshaallah
@KhamisJuma-ni1vk9 ай бұрын
Masha Allah Sheikh Ramadhani Nawengine Allah. Atujalie
@Noorein-ws8wk9 ай бұрын
Alhamdulillah ukweli umejulikana
@salimmashjary80289 ай бұрын
Ustadh ramadhan unawapa nafasi.kubwa hao kuongeya mambo hayapo kwenye vitabu. kulingana na vitabu.yani you give them winning very easly.
@StraightPathDawah9 ай бұрын
We are there to convey the message through dialogue not to compel them. Alhamdulillah the outcome is very good
@kennodhiambo9 ай бұрын
@@StraightPathDawah Which message??? That Jesus and the prophets were Muslims!! How does that help me? Please share the promises that Allah gives to His people and the beauty of Islam. Respect other peoples' faith and religion but try to convince them with facts not pure lies. No Christian can believe that Jesus was a Muslim and so change the tactics. A free advice sir, in order to win them to Islam state the benefits of Islam not humility to God but the promises and assurances of Salvation, Forgiveness of Sins, Eternal love of God, Victory over Satan and the pleasures of the world etc. Take this advice and you will excel in your quest to spread Islam. If even Prophet Muhammad (PBUH) have any assurance then you labor for nothing my brothers Surah 46:9 Say, “I am not the first messenger ever sent, nor do I know what will happen to me or you. I only follow what is revealed to me. And I am only sent with a clear warning.” At least our Lord, Jesus Christ assures us of a place in heaven John 14:1-3 "Let not your hearts be troubled; believe in God, believe also in me. In my Father's house are many rooms; if it were not so, would I have told you that I go to prepare a place for you? And when I go and prepare a place for you, I will come again and will take you to myself, that where I am you may be also
@salimmashjary80289 ай бұрын
@@StraightPathDawah its ok i undarstand ur right but atleast sometime give them quastion mark !!!!.
@hythamhashiem44589 ай бұрын
Huyo mzee William maneno mengi wala hatoi Ayah hata moja husema iko kwa bibilia wala hatoi
@badarhassan11279 ай бұрын
M.A my sheikh ramadan kuria
@xogmalxarandid93699 ай бұрын
Please nawaomba wakiristo na wale hawana dini msilimu mapema na mapema mungu hakuleta dunia dini mbili dini ni uislamu tu ambayo mitume wote wame fuata na wame hubiri kwanzia Nabi adamu noho Musa yesu daudi Ibrahim Mohamed Suleimani na wengine wote na hiyo dini nyingine yote niyakutengeneza
@kennodhiambo9 ай бұрын
Ahadi gani ziko katika kuslimu hebu tuelezee. Manabii kuwa waislamu ina umuhimu gani!!! Wewe uko na uhakika utaenda Janah?
@dulividuli52379 ай бұрын
@@kennodhiamboUmhimu upo mkubwa tu maana Uislamu ndo Tiketi yako ya Kukuingiza wa Peponi bila ya Uislamu pepo hutaiskia hata harufu. "Na anayetafuta Dini isiyokuwa Uislamu haitakubaliwa kwake.Naye Akhera atakuwa katika waliokula Khasara"(85:3) Qur'an.
@peternyaga-jh7zb9 ай бұрын
Hakuna dini duniani ya mungu ni za watu kwanza dini n nini na nani alianzisha
@dulividuli52379 ай бұрын
@@peternyaga-jh7zb kwaiyo ww hauna Dini?
@dvjkelly84498 ай бұрын
pia nyinyi mujoin kristo, Mungu hakuleta kristo mbili, kristo ni Mmoja tu
kuna mmoja alimwambia mwenzake ( yesu anakupenda ) jibu la alieambiwa akajibu mwambie mimi nishaoa 😮😮😮😮
@issadiinmoulid9 ай бұрын
😅
@HassanAbdala-o1hАй бұрын
Ostazi mungu akujalie kwa kazi ya kulingania dini wape dawa naitwa hassane mozambike
@husseinmwenja43989 ай бұрын
MashAllah MashAllah MashAllah kaka Ramma ❤
@masudkulapha14439 ай бұрын
Kazi maridhawa, Allah awazidishie Kila lililo la kher, Aamin.
@mohdngenyamohdngenya5509 ай бұрын
MashaAllah 53:15
@hythamhashiem44589 ай бұрын
1) ما تأمر به الوصية الأولى: نص الوصية: “أنا الرب إلهك، الذي أخرجك من أرض مصر، من دار العبودية. لا يكن لك آلهة أخرى سواي. لا تصنع لك تمثالاً منحوتاً، ولا صورة، مما في السماء من فوق، وما في الأرض من أسفل، وما في الماء من تحت الأرض. لا تسجد لها ولا تعبدها” (تثنية 6:5-9).
@ChibuleSaid9 ай бұрын
Mashaala shehe Ramadhan mwenyezi Mungu akueke .
@MohamedElmi-zf4tx9 ай бұрын
Mashaallah ramadhan kuria jazahullahu kheir.
@bazibaker79869 ай бұрын
Asalaam aleykum yaa sheikh Ramadan mungu akupe afya na long life ku fanya kazi hiyi
@faridbashuu9 ай бұрын
Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh ? Mulikuwa Masjid Al Huda Maashallah. Msikiti niupendao Sana na Ust Mbarak Ahmed Awes. Ramadhan Kuria Allah Awahifadhi nyote
@mariamfouziawairimu79919 күн бұрын
Masha'Allah tabarak'Allah
@saidmaro98349 ай бұрын
Mashaallah Allah awape wepesi Inshaallah
@fatumahamisi16049 ай бұрын
Asalam Alykum warhmatullah nawapenda sana mashekh wetu nampenda sana shekh khalifa kwaajili ya Allah
@MahamudJamala9 ай бұрын
MswAhili wa pemba ,na shekb ramadhani ktk kazi hii ya daawa innshaalah tupo nyuma yenu
@sofymoha9 ай бұрын
assalam aleikuym warahmatullah...wabarakatuh...seikh huyo mtu anakudanganya,, Catholic huwa hawasujudu
@ericmoriasi94769 ай бұрын
I live in the United States 🇺🇸 can I silimu online
@kassimngao22829 ай бұрын
Yes bro...❤
@batulialmass89149 ай бұрын
Yes
@StraightPathDawah9 ай бұрын
Yes it's possible
@zanzibar-hf7vh9 ай бұрын
yes you can
@HamzaAkilimali9 ай бұрын
Yes you can do it, or👉 try to find any Mosque in America, and ask Any Sheikh he will make Shahada ☝to you. "It will take, not more than 15 minutes only. Well come to Islaam.
@Mwajuma1239 ай бұрын
Kazi mzuri sana shehe❤
@Mwajuma1239 ай бұрын
Kazi mzuri sana shehe
@osmanelmi28499 ай бұрын
Mashaallh iko sawa indeleya
@maryammdoe58019 ай бұрын
Barakallahu fiiqum ❤
@jumamsembe12139 ай бұрын
ASSalam aleikum warahmatullah wabarakatu ...hapa kenya wakristo wengi wanashindwa kuelewa mandiko kwanza kabisa sababu ya lugha ya kiswahili..pili ni kwamba hawajasoma mandiko kwenye kitabu chao..kwa mfano mtu hajui maana ya pepo au jini ..Allah awaongeze
@jamilaomari24449 ай бұрын
MashaAllah.
@loner_wolf8 ай бұрын
hamnaga love ya jinsia tofauti na si mama na mtoto....acheni michezo bana .....
@AishaTabi-e2z9 ай бұрын
Mashalla ❤
@yassiinabdi38079 ай бұрын
بسم لله ما شاء الله
@fatmaali67809 ай бұрын
MashaAllah natamani Kila siku iwe na dawaa mpya sipati usingizi mpaka niangalie
Acha kututusi tulozaliwa mwanzo ndani ya familia za kiislam si kweli.
@IsmailAbubakar-gh1zb9 ай бұрын
Assalamu alaikum haki kujeni huku Obama omega kayole junction
@seifserenge33409 ай бұрын
Endelea kutoa taaluma shekh wetu na Allah atakusaidia kwa uwezo wako. Lakini inaonekana hawa wakristo hata uwaonyeshe kio hukiri kuwa ni kio lakini hapo hapo husema ni biskuti. Jamani hawa wameshikwa na shetani gani!!
@HamzaAkilimali9 ай бұрын
Wewe usilaumu, wala kuchukia kwa yanayosomwa ktk. Kitabu chako cha Biblia au Qurani. (Shida iko wa piiii🤔⁉️KUPANGA NI KUCHAGUA☝, UKUBALI, USIKUBALI. MWENYEZI MUNGU NI MMOJA☝ PEKE YAKE, NA NDIYE MUUMBAJI PEKE YAKE☝)
@kassimmbwana90258 ай бұрын
Jamaa kachafua hali ya hewa😢
@hassanwario-w7n4 ай бұрын
Sheikh Ramadhan naomba ukuje hapa juja mahali inaitwa juja farm hatuna ata miskiti tuko na shida sana....
@isaa_ogutu9 ай бұрын
Huyu samweli kuelewa kwake ni ngumu sana
@fatumahamisi16049 ай бұрын
We Ramadhani hilo rungu mbona sije likaja husoni jamani
@Sal.09 ай бұрын
Ai, Omera, ako na Propaganda NYINGI! OMERA, hii mambo yaku towa Watoto KAFARA, ni MTINDO ya WaKristo, khususan WaNigeria! ISLAM FORBIDS and therefore haina hio MAMBO yaku taka ku tajirika kwa SHIRK, na UCHAWI CHAFU wanao tenda WaKristo. Islam has RULES that have been WRITTEN down, as a 'FIREWALL' against SHIRK, ULEWI, ZINA, UCHAWI, KAMARI, INTEREST, and UCHAFU mengine ambao ni Common Non Muslims! SIO Hindu pekee wana Multiple gods! Hata Wa GREEK wali kuwa na Multiple gods, NA goddeses! Kama: Artemis, Athena, Ares, Aphrodite, Zeus, Poseidon, Hera, Demeter, Hermes, Dionysus, na Apollo, etc. Na Emperor CONSTANTINE considered himself as 'Apollo the Sun god'! Esther Ame sema Yesu ali vaa KIRAKA ! Hio Kali!😅😅 Alhamdulillah for Ney'ema za Islam! MashaAllah, beautiful Mosque! TabarakAllah Team.
@kennodhiambo9 ай бұрын
Do you read the Quran really! Chapter 72 talks about Jinns which are evil spirits. They believed in the Quran and in verse 13, they became Muslims. Washirikina kama waganga, wachawi, wafuga majini na wanaowauza ni waislamu, tena sio waislamu wa kiwango chako juu nimeona bado wewe ni junior. Njoo kwa Yesu atakuondolea mizigo yote hadi majini hawatakuandama na kukushurutisha kuswali...
@Sal.09 ай бұрын
@@kennodhiambo Watu WASIO tahriwa huwa ni WARONGO tupu! Kama Wewe! Na Midomi zao hu SMELL, kwa sababu za Uwongo. HAKUNA mahali QURAN ina sema MaJinn wali SILIMU. HAKUNA! Na Quran 72:13 HAI semi hivyo either!!. Hiyo ni POROJO zako tuu!!! On the Contrary, MaSHETANI wote, wako na Imani MOJA na 'WaKristo'! Therefore, WaKristo na Ma SHETANI, ni Ma Relatives, kwa sababu nyote Wawili, muna IMANI MOJA, lakum SHIRIKISHA MUNGU: Some hapa: Luke 4:41 King James Version 41 And DEVILS also came out of many, crying out, and saying, Thou art Christ the Son of God!. Hata TANGU Mwanzo, John katika 6:70, ana shudia ya kwamba SHETANI ali kuwa moja wa Disciple kwenu. Na hata yule MROMA PAUL, aliye wa letea UPANGANI, alikuwa ana peleka WAKristo kwa SHETANI, for extra TUITION! Soma Hapa KAHEY: 2 Corinthians 12:7-10 7.... Therefore, in order to keep me from becoming conceited, I was given a thorn in my flesh, a MESSENGER of SATAN!" Nani JUNIOR hapa, KAHEY?
@Sal.09 ай бұрын
@@kennodhiambo Jaduong, HAKUNA mahali QURAN ina sema MaJinn wali SILIMU. HAKUNA! Na Quran 72:1 HAI semi hivyo either!!. Hiyo ni POROJO zako tuu!!! On the Contrary, MaSHETANI wote, wako na Imani MOJA na 'WaKristo'! Therefore, WaKristo na Ma SHETANI, ni Ma Relatives, kwa sababu nyote Wawili, muna IMANI MOJA, lakum SHIRIKISHA MUNGU: Some hapa: Mark 3:11 ► Whenever the impure spirits saw him, they fell down before him and cried out, “You are the Son of God.” Another VERSE.... Luke 4:41 King James Version 41 And DEVILS also came out of many, crying out, and saying, Thou art Christ the Son of God!. Hata TANGU Mwanzo, John katika 6:70, ana shudia ya kwamba SHETANI ali kuwa moja wa DESCIPLE wenu. Na hata yule MROMA PAUL, aliye wa letea UPANGANI, alikuwa ana peleka WAKristo kwa SHETANI, for extra TUITION! Soma Hapa: 2 Corinthians 12:7-10 7.... Therefore, in order to keep me from becoming conceited, I was given a thorn in my flesh, a MESSENGER of SATAN!" Nani 'JUNIOR' hapa, KAHEY? Kata BileBile!
@Zainab-f9w5x9 ай бұрын
Na shakahola niwaislamu?
@molee009 ай бұрын
@@kennodhiambo Jatelo, you are such a HYPOCRITE! Wakristoes ndio wana SHIRIKIANA na Ma SHETANI, and yet unawa tupua WaIslamu hilo laana laku Shirikiana na MaShetani! HYPOCRITE! Na popote katika QURAN, HAKUNA mahali inao sema MaJinn wali SILIMU! You are a Liar! Nyinyi ndio Munao towa Ma Shetani every SUNDAY, na juwa fuga, Nyumbani mwenu, kea sababu WEWE na MaShetani, muka na IMAANI moja tuu! Soma Mark 3:11: Mark 3:11 11 Whenever the impure spirits saw him, they fell down before him and cried out, “You are the Son of God.”! Na hata BABA wenu PAUL, alikuwa anawa peleka WANA FUNZU wake wote, kwa MaSHETANI, for 'further Studies'! Na Biblia enyewe ina sema NaKANISA zote, especially llilio Pergamo, ni HQ za MaSHETANI!😅😅. In your face JUNIOR!
@Sisterjemi19 ай бұрын
Mbona Ramadhan unamwambia Ndugu khalif aaa mswahili wa oemba tena kwanikuna ubaya ngani
@kassimjuma61519 ай бұрын
Huyu ni Mswahili wa Pemba gani
@molee009 ай бұрын
Pemba ilioko Lake Victoria, aliye chokora Ustad Kuria.
These people know nothing about religion, just blind followers
@NathanielNathan-m4o9 ай бұрын
Kununua mawe kupiga shetani huko Mecca ni biashara
@HisMajesty649 ай бұрын
🤐😶😏
@Nora-v1m3p9 ай бұрын
Iyo n propaganda.mawe ngani zinauzwa makkah kua open minded ndugu ngu fuata dini y manabii waliofundisha only one creater and believe and pray to him and mtegeme yeye tu
@sheemaryam9 ай бұрын
Yanauzwa pesa ngapi ama ulinunua pesa ngapi? Nyie mnanunua vifagio na mahanadi na vitambaa Ukristo is a scam alhamdulillah kwa neema ya uisilamu
@NathanielNathan-m4o9 ай бұрын
@@Nora-v1m3p Kwani unafikiri ni Siri mkienda huko hamnunui? 😂 We are not in dark ages any longer.Internet has exposed everything bro.Kama huamini Nipe number yako ya watsapp nikuonyeshe vioja😂
@NathanielNathan-m4o9 ай бұрын
@@sheemaryam Leta number yako ya Whatsapp nikutumie videos uone mambo huko Mecca 😂😜.Hamuweza kutudanganya tena tuko Karne nyengine.