Masha Allah we need more people like him Allah bless you
@MohamudAbdi-u7j11 ай бұрын
The best of sheikh Ibrahim. He was sot on as usual... Na shiekh salim Na hassan kariuki Na the whole team thanks asantenl sana. This was master preaching mungu awaongoze Na awape thawabu nyingi ...
@salimdaawah12311 ай бұрын
Aamiin amiin amiin
@mohamednagib259410 ай бұрын
Very clear and open... for the 1st time I concentrated deeply listening to open daawa in the streets. MashaAllah tabarakallah
@hassanboru11 ай бұрын
Allahmdulilah to be Muslim Allahmdulilah walai uislamu ni Raha kazi nzuri ndugu zangu mola awalipe mazuri hapa Duniani na kesho Akheira In shaa Allah Amiiin 🤲
@salmahashi581511 ай бұрын
Masha sheikh Ibrahim na mashehe wetu wote Mola awahifadhi
@SalmanMughal-lq5lt5 ай бұрын
AaminaYaarabi
@khalidahmed690011 ай бұрын
Al hamdu lilLaah, tunafarijika sana ndugu zetu kwa juhudi tukufu hii ya Mitume, Allah awazidishie kheri na baraka!!
@Arealdayinlife11 ай бұрын
Mungu awapee umri mrefu na ya amani ma sheikhe wetu
@salimdaawah12311 ай бұрын
Aamiin amiin amiin
@hamzafishten95608 ай бұрын
Amiin
@Adm946411 ай бұрын
I like this style of daawah ma Shehee wetu. Message us getting your everyone
@EvansOguku10 ай бұрын
I just wanted to avoid Islamic but your teaching is very good. I'm happy nimejifunza
@ufafanuzi43823 ай бұрын
Kuwa muislamu omera. Sema tu mmoja na mohamed ni mtume wake, na pia yesu na manabii kabla yake.
@bahsansheikh604211 ай бұрын
MashaAllah kikosi kimeimarika barabbara. Sheikh Ibrahim ndani pia
@YoungAdesh14310 ай бұрын
Maasha'Allaah tabaaraka'Allaah our Beloved Sheikhs.♥️😊🥰 #Let's keep the dawah programe going till the last day.
@suleim50511 ай бұрын
NIMEIPENDA SANA KAZIYENU: MNAFANYA JUHUDI KUBWA KUELIMISHA JAMII ILI WATU WAUFAHAMU UISLAM : ALLAH AWALIPE KHERI.
@NANCYLAZARO-uc9fn11 ай бұрын
Mash Allah I'm proud to be a muslim,
@safiaahmed575611 ай бұрын
Allah awazidishie ilm na awabariki Allah awape tawfiq katika kazi yenu
@chiefmkalikibz150311 ай бұрын
❤Mashaa ALLAH ❤ ALLAH SUBHANNA WA-TAALAH afanyie wepesi wabeji daawah, na aneemeshe WALENGWA uelevu Biidhini-LLAH 🤲. SAUTI HAMNA Ustadh
@shurlaally168611 ай бұрын
Wallahi uislam raha waksto wanafundiswa bibilia yao na waisllam
@adennurahuka4029 ай бұрын
Allah amuhifadhi shekh wetu ibrahim
@ashaomaromar862411 ай бұрын
Masha Allah this is amazing mnafikisha daawa kila mahali
@FeisalMohamed-k1t11 ай бұрын
Ma Sha Allah...watching it from Kampala uganda...jomba keep moving forward..mdaa hujaonekana welcome back
@salimdaawah12311 ай бұрын
Masha Allah
@alyumaraos11 ай бұрын
A.alaikum wallah leo timu imezidi kupendeza leo daawa imefikia kisawa sawa inshallah mungu awape uwezo muwe pamoja pia akiwepo na sheikh Ramadhan kuria kwenye hii timu ya leo nadhan inshallah Allah ataunyanyua uislam kwenye nchi yenu ya kenya na waislam ninakuomben tusapot kwa gharama hii haiwez kwenda bila Mali Allah atatulipa inshallah.
@alyumaraos11 ай бұрын
Ila sheikh salim leo muda kapewa mchache na picture haiko vizur sana.
@salimdaawah12311 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh next time hata yeye atakuwa inn shaa Allah sote tuko pamoja kwa kufikisha ujumbe wa Allah
@alyumaraos11 ай бұрын
@@salimdaawah123 Ameen Allah awape uwezo huo inshallah
@BnBm-p1s11 ай бұрын
Alhamdhulillah!Najivunia kuw muislam
@salimdaawah12311 ай бұрын
Alhamdulillah kwa neema ya uisilamu
@dugulemuse44588 ай бұрын
Mnshallah Allah awabarikie ma sheikh wetu ❤❤❤❤
@abdirizaksheikh969910 ай бұрын
JazakAllah sheikh Ibrahim na mahubiri wenzanke,Allah awape maisha marefu yenye afya,waendelea kufanya daawa.
@salimdaawah12310 ай бұрын
Aamiin amiin amiin
@shaffymohamed30869 ай бұрын
Allah awatangulie katika kazi ya kuitangaza dini uislam inshaanllah
@salimdaawah1239 ай бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@abdullahiabdi435411 ай бұрын
Masha Allah sh ibrahim .sh salim .sh hassan mungu awa bariki
@hassanalikombozanzibar11927 ай бұрын
Mashallah nimeangalia comments zote sijaona hata comments moja ya mkiristo kupiga maneno ya sheikh kikuyu❤❤❤❤
@elizabethmwangi58748 ай бұрын
Mashaa Allah proud to be a muslim
@Sal.011 ай бұрын
MashaAllah. Leo Guest DAEE wetu, Ustad Ibrahim ame fungua Darasa ya Leo. Mafundisho Bora za Shk Ibragim leo, kwa Jamii ilio kusanika leo. Leaflets na Booklets zime gawanywa for the opening of peoples' minds, because KANISA huwa ina danganya Watu sana, kwa lengo na 10%, BILA yaku kwenda ku fanya KAZI, Monday to Saturday! SADAKA inao itisha naMa PASTOR, ni UWIZI! Normal service will resume next day, InshaAllah. Tabaraka Allah Team.
@salimdaawah12311 ай бұрын
Wachungaji wanafanya wafuasi wao kama kondoo
@Sal.011 ай бұрын
@@salimdaawah123 Kweli Kabisa. Na hawa Wafuasi wengi, pia ni kama Kondoo tuu, hawa tumiyi Bongo zao!😅😅
@BnBm-p1s11 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu sheikh Ibrahim
@salimdaawah12311 ай бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@mangeraalbert798211 ай бұрын
Amini.
@mwanamtotosaid70211 ай бұрын
Aamin 🤲🏾 i
@jimmyajmi85017 ай бұрын
Ameen
@Hi_2020611 ай бұрын
Leo tukona sheikh Ibrahim..mashallah
@salimdaawah12311 ай бұрын
Mwalimu wetu huyo
@HassanJaphari-rx7jy11 ай бұрын
Alhamdulillah
@SalmanMughal-lq5lt5 ай бұрын
Alhamdulilah.tunawaombea.Janna
@faizunmohd983911 ай бұрын
Alhamdullah shukran Allah.❤niko mu Islam neema
@salimdaawah12311 ай бұрын
Masha Allah
@Qur1210 ай бұрын
Innadina indallahi islam❤ hakika uislam ndio Dini ilio nyooka mbele ya ALLAH❤
@owenog739010 ай бұрын
Nani alisema
@ahmednasib846510 ай бұрын
Mash'Allah Mash'Allah Allah awapatie umri mrefu
@sammiefaruhk8248 ай бұрын
MashaAllah, mwenyezi mungu atuongoze
@Nora-v1m3p11 ай бұрын
Ma sha Allah tabaraka llah walim ngu Allah amzidishie juhudi za kueneza dini y haki al islam
@salimdaawah12311 ай бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@hassanmutta9218 ай бұрын
Allahamundulillah Ewe mola wangu Allah nakuomba nifike mbele yako Niko mu Islam
@Hi_2020611 ай бұрын
Mafundisho ya sheikh Ibrahim imetufurahisha sana sana..na sisi kama mafans kamili wa salim dawaah tunavote arudi tena na tena na tena inshallah
@salimdaawah12311 ай бұрын
Inn shaa Allah hilo tutapanga tena
@salimdaawah12311 ай бұрын
Sheikh Ibrahim huwanga ni international preach kumpata huwanga ni kazi but inn shaa Allah we will try our best
@IbrahimBilele8 ай бұрын
Assalaam alaikum warahmatullahi wabaarakatuh, very interesting be blessed our mujahideen maa shaa Allah rabbul izzat wal jalaal.
Karibu brother ❤❤❤ usilamu auna kabila yeyote hii dini ya MUNGU sio ya watu mahalumu karibu bro
@FearlessAfrican8 ай бұрын
@@ibrahimmusa9518 Kwanini Kwenye uislamu ulitoka wanaita watu weusi Abed nao wasomali huita wasio nywele kama Yao jareer. Hio sio ubaguzi? Ongea Ukweli rafiki Wacha unafiki!
@mariamwanjiku38668 ай бұрын
I also have a friend who said the same
@Nangaikalumekenge9 ай бұрын
Hakuna watu waliopewa hekima ya kufasiri Biblia kama waIslamu. Wachungaji hubeba Biblia tu ila hawasomi.
@ufafanuzi43823 ай бұрын
@@Nangaikalumekenge kuwa muislamu kakangu. Dini wa watume wote wa mungu. Itikadi muhimu kabisa mungu mmoja bila mgawanyiko ama lakini
@Nangaikalumekenge3 ай бұрын
@@ufafanuzi4382 Nilisilimu 2019. Nilitishiwa na boss na kunyimwa fursa ya kwenda msikitini. Hakika, nikipata kazi huru nitakwenda msikitini kila Ijumaa kujifunza Qur'ani na kujifunza zaidi kuhusu Uislamu kwa njia ya mubashara. Mafundisho aghalabu mimi hupokea kupitia Redio ya Iqra FM, Idhaa iliyo tofauti.
@LaaajoAlhamdilillah8 ай бұрын
Allah akbar dungu zangu ni waislam raha siraha alhamdilillah nhanemat dini islam ❤❤
@sheemaryam11 ай бұрын
We need more of kigongo wa dawah Sheikh Salim muombe tena aje
@salimdaawah12311 ай бұрын
Inn shaa Allah we will
@alfanmwaropia11 ай бұрын
Mashallah..sheikh Ibrahim ur doing great work
@salimdaawah12311 ай бұрын
Alhamdulillah
@seifserenge334011 ай бұрын
Shukran sana shekh unatoa elimu safi kabisa, ila nashauri mwisho waeleza tu wakifuata dini isiyokuwa ya kiislam makaazi yao ni MOTONI tu
@MohamedAminAdan-b5q8 ай бұрын
Wooy waislamu hadi wanajua bibilia kuliko pastors 😅😅😅😅
@hassanalikombozanzibar11927 ай бұрын
Ndio lazima tujuwe kwasababu sisi vitabu tunavisoma hatutembei navyo kwapani ndio maana tunajua kua uislam ndio dini ya haki
allah alinyamaza tangia siku za Mohammad. Hajibu hata maombi licha ya waislamu kuomba mara Tano Kila mmoja vita haviisha nchi zile Kila mtu anaamini allah na Mohammad. Huwezi sikia ushuda vile maombi yamejibiwa.
@fatumahamisi160411 ай бұрын
Asalam Alykum mashekh wetu, mashallah Allah awaongoze mwatoa elimu dzuri sana
Sheikh Ibrahim, kisii lazima nitakuarika one month. Inshallah.
@salimdaawah12311 ай бұрын
Masha Allah
@adamusama791711 ай бұрын
Mashallah tabarakaallah
@amirNdungo10 ай бұрын
mashallah ❤❤❤ Islam
@fatimahrashid235611 ай бұрын
Masha Allah 💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞
@salimdaawah12311 ай бұрын
Masha Allah 💕💞💕💞💕💞💕💞
@Farouk...Mohamed00710 ай бұрын
Miss attending street daawah in Eastleigh, Shukran Ma Sheikh wetu I really miss this classes.
@adanabdi524911 ай бұрын
Masha Allah.
@hanifa915311 ай бұрын
Mashaallah💞💞💞💞💞💞
@xogmalxarandid936911 ай бұрын
Ningewapa shauri na wakiristo wapate uislamu na mapena wajisalimishe nafsi yao na wajiokoe na moto wa jahanam
@victorkariuki498411 ай бұрын
Binadamu hawezi kujiokoa. Yesu ndie njia, uhai na uzima.
@AliAli-lw9bj11 ай бұрын
@@victorkariuki4984 But God is the destination. Jesus, Moses, Nuhu and the prophet are just the way to God. Worship God not your fellow men 🙏
@victorkariuki498411 ай бұрын
@@AliAli-lw9bj I believe in the Holy Trinity of God the Father, God the Son and God the Holy Spirit. Jesus is God. Jesus said I am the way the truth and the life, no one comes to the Father except through me.
@AliAli-lw9bj11 ай бұрын
@@victorkariuki4984 you can believe what ever you want. But Jesus never said he is God, never said to worship him. However he himself identified who is God. John 17.3. According to Jesus. This is eternal life that, they know you, the Father, the *only * true God and Jesus Christ whom you have sent. So According to Jesus the Only true God is the father. And himself isn't the father. When Only is used can they be another person who is also only true God. Question to Jesus who is the only true God?
@Catherine-mh8sw11 ай бұрын
@@victorkariuki4984John 17:3
@josemu8709 ай бұрын
Barikiweni
@zuenazuena569011 ай бұрын
Ma sha Allah
@MohamedAminAdan-b5q8 ай бұрын
Best video 🔥
@sheemaryam11 ай бұрын
Ma Sha Allah kiboko ya dawah na kiboko yao
@salimdaawah12311 ай бұрын
Alhamdulillah kwa neema ya uisilamu
@malikdodo519011 ай бұрын
May Allah bless this Daawa team
@salimdaawah12311 ай бұрын
Aamiin amiin amiin
@gideononoka9 ай бұрын
Mash Allah hapa ndipo
@MathewChesire-m3z11 ай бұрын
mashaAllah
@oscarosman28919 ай бұрын
Inauma Sana kuona wakristo wanafundishwa Bible na waislamu
@سيوابورندي11 ай бұрын
Alla awape ubri mrefu wenye manufaaa
@salimdaawah12311 ай бұрын
Aamiin amiin amiin
@Hi_2020611 ай бұрын
Leo dawaah imeingia kuingia...tamu sanaaaa
@salimdaawah12311 ай бұрын
Masha Allah alhamdulillah
@sheemaryam11 ай бұрын
I had to repeat it again but mda mchache hope ya leo atakuwa pia
Hii team inafaa ikue yote hivi. the team of sheikhs
@johnndirangu105311 ай бұрын
Watch big debate , Sheikh Ibrahim Vs Pastor Jesse from USA, very interesting one 😅
@Xaajcali211 ай бұрын
Iko wap
@johnndirangu105311 ай бұрын
@@Xaajcali2 ni wapi kwingine isipkuwa youtube
@omaar569311 ай бұрын
Dah mzee anapiga huu
@mangeraalbert798211 ай бұрын
Amiri wa daawah kenya, ❤ Allah akukinge na wabaya.
@KelvinElias-li6nu11 ай бұрын
Wakenya mnaburuzwa kweli 😢mambo hayo Ni yakimwili hayafai,
@salimdaawah12311 ай бұрын
Wewe kama hupendi usafi kaa na uchafu wako
@DennisKavuo-ge2dg9 ай бұрын
hiyo mambo ya kuzikwa hata mila iko mtu akifa kwa ajali ama kuwawa yapaswa azikwe siku hiyo hiyo
@antonykhamati638711 ай бұрын
❤❤❤❤
@Walk22work11 ай бұрын
Translate those notebooks into local languages i'e kikuyu, jaluo,......Since many understand neither english nor swahili.
@salimdaawah12311 ай бұрын
Inn shaa Allah we will try our best to do so
@kubwimanasaleh254010 ай бұрын
Alhamudulillah
@maimunamohamed981111 ай бұрын
Allah awape jannat firdaus
@SalmanMughal-lq5lt5 ай бұрын
AaminaYarabi
@abasmohamud134811 ай бұрын
Assalamu aleykum warahmatullahi wabarakatuh my dear brothers in Islam masha Allah may Allah swt bless and protect all of you and your families in this life and the one after ameen. Secondly I'm would like to get sh Ibrahim's number please can someone share it to me . Jazaakumullahu kheiran Asanteni sana
@Huncho_taitan_breezy10 ай бұрын
Jamaa wanafunza bibila zaidi ya pastor alie somea kuwa pastor