Рет қаралды 3,958
Wakulima 5600 wamepata elimu na hamasa juu ya kilimo cha zao la alizeti mkoani Manyara kufuatia kuwepo kwa uhakika wa soko wa zao hilo linalotajwa kuwa ni mkombozi wa wakulima katika kipindi cha mvua chache.
#AzamTVUpdates #AzamTVApp #AzamNews