Baba mungu azidi kurisha roho yako''''agupe myaka mingi ,,nagupenda saaaaaaaaana baba
@stellahokworo39478 ай бұрын
Amen 🙏 glory glory to Christ Jesus
@Neemakilimba7 ай бұрын
Ni kweli Mimi nilishabadilisha masaa ykulala kuanzia saa sita mpaka saa Kumi kamili nakuwa naomba nasifu nasima Neno ,Ila nimemwomba Mungu isivyokuwa kawaida aisee Mungu yupo Sana Mungu amekuwa rafiki yangu wa karibu mno
@julianamyaka45376 ай бұрын
Praise God
@AmosDeus-z8e7 күн бұрын
Ameeni
@victorialema40338 ай бұрын
Amen My international Pastor 🙏 kila pando lilopadwa na ADUI kwa njia yeyote ile,Ng'okaa kwa jina la YESU 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@evarnafula28986 ай бұрын
Amen
@catherinekatoto82788 ай бұрын
Kila pando la adui naling'oa kwa Jina la Yesu. Kulala usiku ni hatari. Nabadili masaa sasa....Eee Mungu nisaidie .
@edwinmanji748 ай бұрын
Zingatia,Shetani hakwenda kwa hawa usiku,pia wakati wa majaribu ya Yesu kule jangwani bado haikuwa usiku biblia inamaanisha nini inaposema Usiku pata maarifa ya kweli ili uufikie ujuzi sahihi
@catherinekatoto82788 ай бұрын
@@edwinmanji74 waniuliza swali au wasemaje? Sikiliza ujumbe vz ndiyo urudi kuuliza tena.
@edwinmanji748 ай бұрын
Tusiwape faida watu wa Mtandao ndiomaana nikaandika namba yangu ili nikueleweshe kama ni makosa kukwambia hvyo basi nijulishe
@zawadikaminyoge85527 ай бұрын
@@edwinmanji74upo sawa pia tamani na ww ujifunze Kwa wengine Mithali 4:16, Zaburi 30:5 pia atausemacho Zaburi 19:2 nazani mtumishi yupo Sawa tu na ww upo sawa.
@japhetmkumbwa79148 ай бұрын
Asante apostle Kila pando ng'olewa Kwa jina la yesu
@leatimoth36118 ай бұрын
Na ngoa mapando mapando mambaya ndani yangu katika jina la yesu ❤❤❤❤love you daddy you teaching us very good thus why I love you
@alimambabazi36668 ай бұрын
BABA muchungagi wewe ni ni muchungagi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 you teach deep and clear ❤❤❤❤❤❤❤🙏
@rosemundajames39698 ай бұрын
Kila pando lililopandwa usiku ng'okaaaaa katika jina la Yesu
@celynmwenewanda39497 ай бұрын
Asante CHIEF APOSTLE kwa mafundisho mazuri sana.
@user-cg6ju2hv4s8 ай бұрын
Kila pando ktk maisha yangu kiroho,chumi, family! NG'OKAAAA KATIKA JINA LA YESU.
@franklynelucyevekepi22268 ай бұрын
Amen pastor love your teachings
@naimarishedy15237 ай бұрын
Magugu naya.ngoa katika maisha yangu na kwa mwanangu na familia 🙏
@user-mc4yk5iv6j8 ай бұрын
Mimi ndio mmoja wao mungu nisaidie
@amosmhimba32378 ай бұрын
Asante Sana Chief kwa Mafunuo haya. 🙏
@rhodamashauri77208 ай бұрын
Amen nitakesha .
@festinamwakipale39197 ай бұрын
Kweli viache vikue pamoja yaani mtalemwa anahubiri.vizuri dunia watu wanapenda lakini.wanawake wanavaa masuluali hapo sijui wametumwa naamini wametumwa hao mabinti.sijui wamama ingekuwa karibu ningewajia niwatandike bakora harafu sijui mtalemwa kama anaweza.kunikataza namuona anavohubiri hawezi kuwasaidia nanyooka na masuluali tu kwA wanawake kwamba hawajui Kuwa ni mavazi ya kikahaba daa wamepiga na foo.kabisa.
@Neemakilimba7 ай бұрын
Ni moja wapo ya magugu
@Neemakilimba7 ай бұрын
Eti oo yes na suruali zao utadhani mbingu ya Babu yao wasipobadilika nakutubu sehemu yao inawasubiri Suruali kabisa ukaingia nayo kanisani hivi watu hawajui kuwa YESU anarudi ?
@festinamwakipale39197 ай бұрын
@@Neemakilimba mpaka utashangaa shetan.hujifanya.maraika.wa.nuru yaani watu wanaokoka matilion.kwenye mtandao kwa huduma ya bushiri mtalemwa manamke ya pale yamestalee lakini mm nahisi wametumwa wale I'li wasimame milangon ma'ana hatukatai kama walizoea kale lakini yesu anabadilisha anakuvua.utu wa kale anakuvalisha utu upya.wenyewe wameingia na ridunia.kanisan.
@festinamwakipale39197 ай бұрын
@@Neemakilimba niliwahi washauri kuwa mtalemwa.amebeba mizigo mizito.ya.kuihubiri dunia lakini hamuwezi kutofautisha nguo za kike na za kiume mnakuwa.huru.kwenye nyumba ya ibada.hiyo ni nyumba ya ibada ni nyumba ya Sara tuweni.na adabu
@annamakomele3397 ай бұрын
Chief 🙏🙏🙏🙏Asante
@samwelikisigila48188 ай бұрын
ASANTE CHIEF KWA SOMO ZURI LA KUNG'OA MAPANDO NINALIFANYIA KAZI
@glorianshimanyi15458 ай бұрын
Nashukuru kwa mafundisho mazuri na maombi ya kung'oa mapando yaliyopandwa na adui ktk maisha yangu. Mungu nipe neema ya kukesha kiroho.