"WALE WOTE WATAFUKUZWA KAZI, HUU NI UFISADI, ETI KISA WANA BUNDUKI" - WAZIRI NDANI..

  Рет қаралды 295

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

"WALE WOTE WATAFUKUZWA KAZI, HUU NI UFISADI, ETI KISA WANA BUNDUKI" - WAZIRI NDANI..
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki, amesema atazungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, kuhusu kitendo cha baadhi ya watumishi wa umma walio chini ya wizara hiyo, ambao wamekuwa wakiielekeza mifugo kwa makusudi kuingia kwenye hifadhi za taifa ili waikamate na kuwaonea wafugaji kwa kuwalipisha tozo pamoja na kutaifisha mifugo hiyo.
Waziri Ndaki amezungumza hayo wakati akihitimisha ziara yake ya siku mbili Mkoani Kilimanjaro, kwa kuzungumza na baadhi ya wafugaji katika Wilaya ya Siha mkoani humo mara baada ya kutembelea Taasisi ya Utafiti wa Mifugo nchini (TALIRI) na Ranchi ya West Kilimanjaro zilizopo katika wilaya hiyo ili kujionea namna wanavyotekeleza majukumu yao.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 93 МЛН
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,3 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН
TALIRI-Tanga na Utafiti wa Malisho
12:00
SIMULIZI ZA SAUTI
Рет қаралды 425
#LIVE KUTOKA JUMBA LA MATAMKO
GeorDavie TV
Рет қаралды 26
Vioja Mahakamani | Makokha Kujigongesha Kwa gari Ili Alipwe
23:58
KBC Channel 1 TV Shows
Рет қаралды 10 М.
Life Advice from a 103 Year Old You Didn't Know You Needed
11:03
How did Turkey change Somalia's fate?
23:42
TVNET X
Рет қаралды 270 М.
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 93 МЛН