Safi kabisa kiswahili safi na English safi hongera sana mama
@MadallineMommy3 ай бұрын
❤Well done my sister, wish you the best❤
@liberatusmathias2113 ай бұрын
hogera sana Mungu akubaliki sana
@jeremiamtawa34813 ай бұрын
Hongera dadaangu kwa hatua kubwa hii ya Kimataifa Mungu akulinde na kukuongoza huko Duniani
@raphaelmwamakimbula96423 ай бұрын
😂😂Sasa upon wapi wewe ndugu😂😅😊
@MohammedJuma-z9d2 ай бұрын
@@raphaelmwamakimbula964255v g😅😊😊😊😊😊 4😢
@EllyElly-r9q2 ай бұрын
Mungu akusaidie mamii
@omarimnyonge10473 ай бұрын
Hongera sana
@PizzaBoy-w1g3 ай бұрын
Pamoja mama❤❤❤
@AlHamra-k4u3 ай бұрын
Hongera kwa kuzungumza na Mh putin 💪💪🤛
@iradukundajeanpaul34833 ай бұрын
Mama mwenye msimamo na ujasiri! Hongera kwa jitihada zako kuigombania Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na bara zima la Afrika kwa ujumla! Huku Rwanda tunakupongeza sana mno tena sana sana!
@IGANASCOSMAS3 ай бұрын
I love you so much My sister!!
@mehboobkarmali52113 ай бұрын
World is proud of you madam president
@ombenishirima64443 ай бұрын
Ukweli kutoka moyoni Mh. Tulia nilikuwa sikuelewagi wala sikusikilizagi ,,sijui sababu ni nini lakini baada ya kusikiliza hii hotuba yako na namna ulivyo jibu wajumbe wamkutano wako kama rais wao nimetokea kukukubali sana na kuanzia Leo nitaanza kukusikiliza na kufwatilia good speach zako unazozitoa
@ClementJohnson-j9y3 ай бұрын
From Malawi proud you mama I love you so much together as one Africa
@Muhindisizon6 ай бұрын
ap bongo mmetisha
@bahatimfaume60953 ай бұрын
Hongera saana kwakujitowa kwama hongezi na rais mzuri atanamiye nampenda saana
@FabianKakule3 ай бұрын
Huyu maman ako sawa
@tatutumbi46403 ай бұрын
❤🙏🙏
@thabitngangila85626 ай бұрын
Mh.spika ongea na putin nchi yetu inunue gesi mafuta na ngano kwa bei nafuu
@yusuphomary74103 ай бұрын
Tunaomba mufanye kila linalowezekana Tanzania pamoja na nchi zote za Afrika zijiunge na huu MUUNGANO WA UMOJA WA BRICS. Hakika hii ni nyenzo nzuri ya kiuchumi Duniani kwa sasa. Ahsanteni kwa Ushirikiano.
@herielimtui38753 ай бұрын
Safi sana semaa yoote yataeleweka tuu.
@hajiabdallah84752 ай бұрын
Huyo sio mueshimiwa nimnyongaji tu
@raphaelmwamakimbula96423 ай бұрын
❤
@NyudaNyuda3 ай бұрын
Ukiambiwa waafrika ni wema amini hAwa ni upendo tyuh
@justineliberaty32906 ай бұрын
yani sisi ndio watu wenye akili atupo upande wowote sisi wote washikaji zetu
@stevensosipita3 ай бұрын
POLENI SANA WOTE MNAOTOA SIFA DKT TULIA ACKSON PUTIN NI RAIS ASIYEELEWEKA HAPO ANAMCHORA TU PUTIN ANAJUA UPANYA WENU WA KUNG'ATA NA KUPULIZA NA ANAJUA FIKA VILE MNAJIKOMBA AMERICA KUOMBA OMBA VITENDO AMBAVYO HAVIPENDI PUTIN ANAMKUBALI TRAORE TU WENGINE VILAZAA
@dianaleo60673 ай бұрын
True that!🎉🎉🎉
@mdabwa98143 ай бұрын
mh we tulia unahangaika angalia tu usituletee ma balaa huku tz malizaneni hukohuko usije zungumzia mambo ya vita ongeleeni biashara tu😅😅
@AminaMnega3 ай бұрын
Tulia putin nawaona mashujaa sn hongera dada
@ausonjustinian46733 ай бұрын
NI SAWA DADAANGU, LKN WAZUNGU SIO, KAA KWA KWA MACHALE.
@LupakisyoKandonga3 ай бұрын
MUNGU AWENAWE DADA YETU
@JoseHaule-tx7lu3 ай бұрын
Dada yetu kwakweli nimekupenda buree upo vinzuri
@rizikimgimba84433 ай бұрын
Nahuu ndio uzao wa Afrika
@BonifaceBonala-w9jАй бұрын
Julia na ma ccm nimaa putin
@alihijiiddi89776 ай бұрын
KILASIKU TUTAREJESHWA NYUMA NA WAKOLONI NA KUTUMWA TUONGEE NINI KULE NA HUKU ILI TUPATE KUKOPESHWA PESA TENA NA HAWA 🇺🇸🇺🇸🇮🇱🇮🇱🇬🇧🇬🇧❌❌🛑🛑 TUACHE OMBA OBA KWENYE MIKONO YA WATU WEUPE NA HUYO HUYO PUTIN KASEMA AFRIKA TUTAKUFA KWENYE MIKONO YA WATU WEUPE😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@stevensosipita3 ай бұрын
MAONI YAKO NA YANGU YAPO SAWA PUTIN NI RAIS ASIYEELEWEKA HAPO ANAMCHORA TU DKT TULIA ACKSON ANAJUA FIKA VILE TZ KUTWA KUTEMBEZA BAKULI WAKATI NCHI INAKILA KITU ANAJUWA UPANYA WA TANZANIA WA KUNG'ATA NA KUPULIZA PUTIN ANAMKUBALI TRAORE TU WENGINE VILAZA TU
@norbert25302 ай бұрын
Putin wa nini
@DondoMaujanja-yj3xj3 ай бұрын
Kumbe wanawake wenye akil wapo
@zakariaabdalla-uo3nk6 ай бұрын
Kwn tanzania ni brics au
@NixonJohnson-r4m3 ай бұрын
😂yaani wewe tz unakusbinda shida mpaka mdomo leo unateleza amani ya dunia vituko