VIDEO: SPIKA TULIA ACKSON AKUTANA NA RAIS WA URUSI 'PUTIN', AELEZA WALIYOZUNGUMZA

  Рет қаралды 80,467

Millard Ayo

Millard Ayo

23 күн бұрын

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Urusi, Mhe. Vladimir Putin Jijini St. Petersburg nchini Urusi leo tarehe 12 Julai, 2024 ambapo katika mazungumzo yao wamejadili kuhusu namna bora ya kuimarisha amani Duniani.
Kuhusiana na mgogoro unaoendelea baina ya Urusi na Ukraine, Dkt. Tulia amesema “Kabla ya kuzungumza naye tayari tulishazungumza na Maspika wa nchi zote hizo mbili na sisi kama Umoja wa Mabunge Duniani tumezungumza naye kama Kiongozi wa nchi katika sura ambayo tunaweza kuziweka pamoja nchi zote mbili na tutarajie kwamba IPU itatengeneza fursa ya Mabunge ya pande zote ili kuweza kuzungumzia amani katika maeneo yao ya utawala”

Пікірлер: 478
@movingdiamonds5718
@movingdiamonds5718 20 күн бұрын
Wakenya si walisema hatujui English wamuone spika wetu anavyopasua yai sasa.........kama wewe ni Mtanzania like hapa
@user-wh7gj9ug9s
@user-wh7gj9ug9s 19 күн бұрын
Wao ndio hawajui
@habibnjowele7751
@habibnjowele7751 17 күн бұрын
hata wakijua hiko kirengesa lakini mahindi wanafuata tz
@aminata3702
@aminata3702 15 күн бұрын
Acha hizo ,Unaleta vitu na watu wa hovyo
@alifbe4395
@alifbe4395 12 күн бұрын
Dah bro una akili finyu sana hivi waona walioserikalini hawajui kizungu
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 10 күн бұрын
Sasa Kenya na kiingiresa Chao na kuandamana na masufuria kisa unga wapi na wapi sisi tulime tuwauzie wasije wakafa bure maana hicho kingereza pekee naona hawashibi MUNGU IBARIKI TZ
@Avith-lj2sp
@Avith-lj2sp 22 күн бұрын
Oyaa kama unakubali putting alivyomkazia jicho spika wetu like hapa👍
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 22 күн бұрын
Putin sio putting
@Allybinamour
@Allybinamour 22 күн бұрын
😂😂😂 inaonesha hakuna hata 1 alokubaliana nalo katika aloambiwa.
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 22 күн бұрын
Spika kapigwa jicho hilo
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 22 күн бұрын
😂😂😂😂
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 22 күн бұрын
​@@rumdeesonsoa1811😂😂😂😂
@bashiruamri2167
@bashiruamri2167 22 күн бұрын
Kazi nzuri sana rais wa mabunge Duniani uko vizuri kwa hilo,lakini usipika wa Tanganyika/Tanzania sijakuelewa vizuri Inshu ya bandari Inshu ya mpina mbuge mzalendo msema kweli mtetezi Adui wa mafisadi na wahujumu uchumi ukamfukuza bungeni Daaaa Itanichukuwa mda kuelewa
@user-hd8sm4mq6i
@user-hd8sm4mq6i 20 күн бұрын
Shida sio yeye,sheria anazozitekeleza.
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 20 күн бұрын
Mim naipenda urusi san na nataman urusi ije Tanzania kuwekeza kama nawew unaipenda urusi kuliko marekan gonga like yako hapo timu puttin tujuaje
@professorimmah
@professorimmah 16 күн бұрын
U are not patriotic sometime i can say that u slave country my advice to u take of your slave u wanna to like your country
@ELIAMbise-sy5ue
@ELIAMbise-sy5ue 13 күн бұрын
Napenda marekani na urusi50/50
@HarunaMassamaky
@HarunaMassamaky 22 күн бұрын
Hongera Mh Tulia.Big up!
@ludovicsaronganangawe2720
@ludovicsaronganangawe2720 20 күн бұрын
Congratulations on your great presentation Tulia Ackson. Tanzania TUNASABABISHA!
@ifmknowledgepower7333
@ifmknowledgepower7333 22 күн бұрын
Putin hapepesi macho, kayakaza balaa, naye tulia katuliza akili balaaaa🎉🎉
@FerdinandCharles-ko7de
@FerdinandCharles-ko7de 22 күн бұрын
Tunaomba tu asijichanganye maana uyo kiumbe nihatari asije akavigeuzia vinu kweny nch ytu ongea vzr mama
@josephngwega7398
@josephngwega7398 22 күн бұрын
😂😂hapo akizingua atamkimbiza
@adamhashim3352
@adamhashim3352 21 күн бұрын
Yaan tulia anajieleza weee mwamba bado anatafuta point ni ipi😂
@nimujocentre2173
@nimujocentre2173 21 күн бұрын
😂😂😂😂​@@FerdinandCharles-ko7de
@FerdinandCharles-ko7de
@FerdinandCharles-ko7de 21 күн бұрын
@@nimujocentre2173 😁😁😁 kweli
@FredrickKabura-gd7hg
@FredrickKabura-gd7hg 22 күн бұрын
Namuomba Mwenyezi mungu asimamie mahusiano mema ya TANZANIA na RUSSIA pia urafiki katika nyanja zote haswa kiuchumi, kisiasa, kijamii, kiutamaduni na kiteknolojia na mengine mengi Amina. 💗💕
@florashauri9228
@florashauri9228 22 күн бұрын
Big up madam speaker,I'm proud of you❤
@user-dk6rc9kb3f
@user-dk6rc9kb3f 19 күн бұрын
Tanzania has gone far not only competitiveness revolution but political revolution 👍👍
@johngerald4677
@johngerald4677 22 күн бұрын
Mzee anaona kama anapotezewa muda2
@issaalfani1030
@issaalfani1030 21 күн бұрын
Ningumu Tulia ni Rais wa mabunge Duniani ndiomana lazima amsikilize
@objstv6976
@objstv6976 21 күн бұрын
🎉🎉🎉
@dadamuebrania1539
@dadamuebrania1539 20 күн бұрын
Tulia akitaja IPU mwamba anazidi kukaza jicho 😅
@sheyosquad5755
@sheyosquad5755 20 күн бұрын
Acha wenge ww
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 20 күн бұрын
Aya mambo bwana sasa uyu mama anamwambia nn putin
@juliusdonard933
@juliusdonard933 22 күн бұрын
Putin aje Tanzania jaman naomba
@habibnjowele7751
@habibnjowele7751 17 күн бұрын
shida wamerakani hawapendi
@msambalamjukuu3866
@msambalamjukuu3866 22 күн бұрын
mwambie na ss tunataka awe mshilika wetu tuachane na machoko atujengee vinu vya nyuklia dunian akuna amani ww auwezi kumshauli chochote
@magesagambajr3546
@magesagambajr3546 22 күн бұрын
Kijana unataka Vinu😅😅
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 22 күн бұрын
Waliomchagua unadhani hawajui uwezo wake, wewe kapuku ndio una jicho la tatu la kuona hawezi kumshauri chochote, ila umesahau akili za mwadamu huishi kwa kutegemeana, maandazi wewe
@evarimdecoration4256
@evarimdecoration4256 22 күн бұрын
Kweli hawezi kumshauri Putin chochote maana hilo jicho alilomkata daah
@evarimdecoration4256
@evarimdecoration4256 22 күн бұрын
Haaaaa haaaaa
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 22 күн бұрын
Mheshimiwa spika mshauli Mzee putin mwambie aandae makombora ya nyukria Mzee wakuyavurumisha nipo nije nimchape mmarekani na washirika wake
@erastozawadi8002
@erastozawadi8002 22 күн бұрын
Mm kama mm nnaihitaji Urusii kuliko Marekani Kwa sasa maana hapa tulipo tupo kama sehem ya influence ya America na EU so we can change mode of action
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 22 күн бұрын
Ungenda kwa Biden ungesikia Tulia must go😂😂😂
@jastinekyungai1023
@jastinekyungai1023 22 күн бұрын
Tz to the world superb sana @tulia
@nickoemily8267
@nickoemily8267 22 күн бұрын
Big up our speaker Tulia Ackon,Tanzania tunajivunia sana kuwa na Kiongozi mashuhuri kama wewe.May our mighty God bless you.
@ElneySheddy-is1dv
@ElneySheddy-is1dv 11 күн бұрын
Hakika huyu turia kaenda kwaishugani jamani kama hatuuzwi mm chizi hawa wanatuuza😢😢😢
@joshuawenceslaus2466
@joshuawenceslaus2466 22 күн бұрын
Jamaa anasoma saikolojia 😂😂😂😂 this guy, is intelligent
@user-dk6rc9kb3f
@user-dk6rc9kb3f 19 күн бұрын
Hatua kubwa sana madam tulia
@user-pt7lc4xu3d
@user-pt7lc4xu3d 22 күн бұрын
Jaman dada yngu mungua akutunze
@francomkandawile8572
@francomkandawile8572 20 күн бұрын
Dada yangu Tulia Ackson nakupenda sana katika Bwana, God has created you with a lot of benefits for others. I real appreciate your efforts towards responsibilities.
@user-qo8uj1ym4m
@user-qo8uj1ym4m 21 күн бұрын
❤ madam tulia spika wetu mpendwa tunakuamini sana ila Mr putin hapepesi macho amekusikiliza kiumakini sana mzuri sana madam tunakupenda,kz iendelee
@greysondavid6445
@greysondavid6445 22 күн бұрын
Tanzania has to make a very strongly tie with russia.Tanzania has to make the right decision to trade and technological share.I urge all africa to tie and trde with russia.
@shaibukhamis863
@shaibukhamis863 22 күн бұрын
Jamaa jicho alichezi sio poa
@KELVINHENRY-j1k
@KELVINHENRY-j1k 10 күн бұрын
Respect putting
@user-dk4iq5ct6r
@user-dk4iq5ct6r 22 күн бұрын
Mweshimiwa kazi nzuri naomba zawadi ya kirussi mama
@kibedikamba7616
@kibedikamba7616 21 күн бұрын
Kirusi cha UTI 😂😂
@samwelkulagwa861
@samwelkulagwa861 19 күн бұрын
Asante uwe na Mungu daima,,,,,kiongozi nakuona mbali sana katika nafasi ya siasa.Utakuwa kiongozi furani ivi pale juuuuuuuu
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 22 күн бұрын
Big up to sipika Tulia Rais ajaee
@thompsonkiputa6842
@thompsonkiputa6842 20 күн бұрын
Safi sana Mhe. Speaker 👏💯
@MusaDadi-pd3jd
@MusaDadi-pd3jd 22 күн бұрын
Putin ni hatari
@Allybinamour
@Allybinamour 22 күн бұрын
Nadhani speaker anazunguka mbuyu saaaana,putin yupo tayar kusitisha vita wakat wowote kwa sharti ukraine iache mpango wake wa kujiunga na NATO,ushauri mwengine wowote hauzingatii ndo akamtolea speaker jicho kali mana anajua hajawa tayar na anachokizungumza.
@drgeraldcubwa481
@drgeraldcubwa481 22 күн бұрын
Na hilo ndilo Spika anatakiwa kuwashawishi ma spika wote wamshauri Zelensky aachane na mpango wa kujiunga na NATO
@user-hq5qx1hu2x
@user-hq5qx1hu2x 21 күн бұрын
Tulia NI kama zeelenziky tu Hastahili kukaa na putin
@SamsonLalika
@SamsonLalika 22 күн бұрын
Hongera tulia mbunge wetu kwa kukutana na putin
@user-yu2mb4bk8i
@user-yu2mb4bk8i 9 күн бұрын
Mnyakyusa anaflow balaaa❤
@allythabiti8150
@allythabiti8150 22 күн бұрын
Nataman siku moja Putin aje afanye ziara Tanzania ni mtu wa maana saana, kwanza ilifaa Tanzania tujiunge na umoja BRICS
@user-hq5qx1hu2x
@user-hq5qx1hu2x 21 күн бұрын
Hilo ndo hitaji letu
@idiphoncekiimbi2021
@idiphoncekiimbi2021 21 күн бұрын
Si mnasema wapinzani wanajipendekeza kwa mabeberu
@ErnestMhangwa
@ErnestMhangwa 21 күн бұрын
I appreciate your work our leader Tulia Akson mungu awe nawe na akutie nguvu .
@AdamuIbrahimu-e9m
@AdamuIbrahimu-e9m 9 күн бұрын
Safi spika wetu TULIA.
@brother_majesty
@brother_majesty 22 күн бұрын
noma
@christopherkiswaga9270
@christopherkiswaga9270 22 күн бұрын
Asante sana kwa kazi ya kuleta amani . Heri kwa nchi yetu Pendwa kupata nafasi hii.
@barakamwangeni6589
@barakamwangeni6589 21 күн бұрын
Hongera sana mh Tulia Tanzania 🇹🇿 tunakupenda umetuwakilisha vema.
@MSAMBWANYAKUSOTA
@MSAMBWANYAKUSOTA 20 күн бұрын
Congratuation Dr. Tulia Akson for repsenting our nation
@MuungwaMtwana
@MuungwaMtwana 22 күн бұрын
Hongera dada usisahau kunoletea zawadi ya cm kutoka urus
@TOUNDISELASSIE-xj8oy
@TOUNDISELASSIE-xj8oy 22 күн бұрын
Tanzania tuna hazina kubwa ya viongozi wanaojiamini. Tuwaombee.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 22 күн бұрын
Wanajiamini kwa lipi kwa kuuza twiga zetu au?
@TOUNDISELASSIE-xj8oy
@TOUNDISELASSIE-xj8oy 22 күн бұрын
@@ramadhanmahongole9293 Tulia ni spika wa bunge la Tanzania. Ni muhimili pia.
@johnv6916
@johnv6916 22 күн бұрын
​@TOUNDISELASSIE-xj8oy Binafsi sitawaombea nitaombea familia, ndugu na marafiki ila sio hao. Mhimili wa nini? Bunge la chama kimoja na zaidi ya 90% wameingia bila haki ata ukiwaombea ni kupoteza mda wakatubu kwanza kwa uporaji wa 2020.
@TOUNDISELASSIE-xj8oy
@TOUNDISELASSIE-xj8oy 22 күн бұрын
@@johnv6916 Siasa ni propaganda, unaweza kuwahadaa watu wote kwa mara moja, ila sio kwa wakati wote. Siku moja wakiujua ukweli wa propaganda zako, wanakukimbia ama kukukwepa. Kama alivyofanya mchungaji msigwa. Hivyo nakushauri jenga imani na viongozi waliopo madarakani. Waheshimu, waombee, lakini pia usiache kuwashauri. Tulia ni kiongozi mahili na imara.
@johnv6916
@johnv6916 22 күн бұрын
@@TOUNDISELASSIE-xj8oy siombei wezi wa kura mimi nitakua napoteza mda, pili uyo msigwa ni mchumia tumbo tu, tatizo lako unadhani mwanasiasa atabadili maisha yako ndio tatizo la waafrica, amna cha upunzani au chama tawala kitakachokuletea mabadiliko, nachokuambia pambania na ombea familia yako, nakuhakikishia ukiombea wezi wa kura hamna ombi lako litakalosikilizwa ni kupoteza mda.
@rashidkingazi3430
@rashidkingazi3430 20 күн бұрын
Top imemuangusha bahna imejikunja daaah ila sio mbaya tanzania❤❤❤❤
@user-zr1ry5lm7d
@user-zr1ry5lm7d 21 күн бұрын
Kiongoz kam kiongoz mungu akubariki san mweshimiwa spika upo na future san mungu akubariki katika harakat zanko🎉
@linusluka5358
@linusluka5358 13 күн бұрын
Asante Mungu kwakutupatia viongozi imara wacio na uoga na wenye hekima
@issakawaya8315
@issakawaya8315 22 күн бұрын
Ongera mauwa yako❤
@zefamange7281
@zefamange7281 22 күн бұрын
Mnafikiri urusi kuna msaada?😂
@josephminja7953
@josephminja7953 21 күн бұрын
RAISI wa umoja wa mabunge,cyo Tanzania,cyo Africa, dunian, hakika nicheo kikubwa sana hongera MH tulia🎉
@ericktesha1668
@ericktesha1668 22 күн бұрын
Spika katulia sana
@SimuliziDhahiri
@SimuliziDhahiri 22 күн бұрын
Kama jina lake
@rev.thobias2756
@rev.thobias2756 Күн бұрын
HONGERA SANA MADAM MAAJABU YANAWEZA TOKEA TUKIAMINI MUNGU YUPO TANZANIA TUKIMWOMBA ANAWEZA YOTE LUKA 1:37 BY MAKAMU MWENYEKITI TAKURAWA DAR ES SALAAM TAASIS YA MAOMBI INAYOONGOZWA NA DR PETER RASHID DGF
@eliudbeyanga8575
@eliudbeyanga8575 11 күн бұрын
Safi spika wetu
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 22 күн бұрын
Nilijua kaenda kama mwakilishi wa Serekali kumbo kama kiongozi wa Mabunge😂😂😂
@edgarlinus2720
@edgarlinus2720 22 күн бұрын
Hongera sana Mh spika Tulia Akson
@NkwabiMasanja
@NkwabiMasanja 22 күн бұрын
Anavyomwagalia. Jamaa ivi huyu ndo aliyemuonea mpna au nipite nae au nimxbil akirud
@GeradLeonard
@GeradLeonard 20 күн бұрын
Hongera sana mh Tulia
@godmbise-gj9ug
@godmbise-gj9ug 15 күн бұрын
Great Tulia Ackson
@SilasKanunga
@SilasKanunga 22 күн бұрын
Inapendeza sana
@khalifaaliomar7989
@khalifaaliomar7989 22 күн бұрын
Asante
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 22 күн бұрын
Hongera kwa kutuwakilisha vizuri.
@levispaultitus8623
@levispaultitus8623 19 күн бұрын
Well presentation for national ❤
@selemanisabihi5994
@selemanisabihi5994 22 күн бұрын
Mungu akujaze ujasili kwakazi mzuri❤❤❤
@mwamvitamwebeyo5547
@mwamvitamwebeyo5547 20 күн бұрын
Anakushangaa rangi yakoooo..kuna sehemuu amecheka.. Kwa kichwa😂😂
@Thobiaslucaskipara
@Thobiaslucaskipara 22 күн бұрын
IPO KAZI
@swahilitheafricantongue7041
@swahilitheafricantongue7041 22 күн бұрын
Hongera yako mwanamama. Mshukuru sana Mungu amekuona
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 22 күн бұрын
Mshukuru nawewe mungu kwa nafasi yako
@swahilitheafricantongue7041
@swahilitheafricantongue7041 22 күн бұрын
Always namshukuru sana
@user-uh5rs7me2m
@user-uh5rs7me2m 21 күн бұрын
Tulia akson🔥🔥🔥🥰
@neemakyando2579
@neemakyando2579 19 күн бұрын
Congratulation Tilia Ackson
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 21 күн бұрын
Tulia angeongea kiswahili ingekuwa unyama sana
@charlesjohn5792
@charlesjohn5792 18 күн бұрын
Sana
@AthanasFrancis
@AthanasFrancis 11 күн бұрын
Long live African Queene!!
@georgeherman5613
@georgeherman5613 7 күн бұрын
President Putin is so smart and well determined to success in every thing he tries
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ 22 күн бұрын
Hongera Sana Spika wetu kwa kukutana na Raisi wetu wa Africa, heshima kubwa sana
@rodamkunda9081
@rodamkunda9081 20 күн бұрын
Doctor. Tulia hongera sana kua kufafanua Marengo muhm ya kutaka amani dunian including Russia
@victorburetta2972
@victorburetta2972 22 күн бұрын
❤❤
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo 22 күн бұрын
HONGERA SANA SPIKA WA KIMATAIFA. UAMBIE ULIMWENGU KUWA WAAFRIKA NI NANI! HAKIKA SPIKA WETU KWA MARA YA KWANZA WAONYESHE KUWA TANZANIA KUNA DEMOKRASIA ILIYOKOMAA. HONGERA Mh. SPika.
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 22 күн бұрын
Hamna kitu anaweza kumuelewa hapo anamuona kama kinyago cha maonesho tuu😅
@KelvinMauky
@KelvinMauky 22 күн бұрын
Hakuna democrasia bongo bali uwoga na kutishiwa tuh
@Sh_Taqee
@Sh_Taqee 21 күн бұрын
Wewe unaongelea Demokrasia ipi Tanzania? Kuiba Kura ktk Uchaguzi ndio Demokrasia?
@kibwetere1418
@kibwetere1418 22 күн бұрын
Pootin jama katulia na tulia wetu
@EmanueliSimbwe-ru5fu
@EmanueliSimbwe-ru5fu 18 күн бұрын
Asante Tulia Ackson
@HABARIKATV-q3w
@HABARIKATV-q3w 22 күн бұрын
Duh aise noma putin
@user-vy9en5ly1z
@user-vy9en5ly1z 15 күн бұрын
Wewe unastahili kuwa Mzungu Tena Mzaliwa Wa Golden family maana wewe ni very intelligent dadaangu Tulia.
@emanwelmsuya7320
@emanwelmsuya7320 22 күн бұрын
Mungu atuokoe na hiliwimbi la kinamama itafikia hatuatutaundiwa hakiza kinababa
@zully756
@zully756 22 күн бұрын
Kuingia BRICS kuna masharti, hawataki pro marekani.
@joshuakitunzi9500
@joshuakitunzi9500 21 күн бұрын
Dingi alivokaza macho kikamanda,big up gentleman💪
@maidimples8236
@maidimples8236 22 күн бұрын
Ur accent is fly for sure🔥
@TimothyAlex-it2lm
@TimothyAlex-it2lm 16 күн бұрын
Hongera Tanzania kwakutoa mtu kamili mwenye zamira nzuri na dunia Jamani TANZANIA ndiyo Taifa pekee lililo na fursa mbalimbali na ni Taifa ambalo limeteuliwa na kuandikwa kwenye VITABU vingi vya dini na vya farsafa za utawala asante Tulia Kama jina lako lilivyo tajwa na manabii wazazi wako tuliza kweli magomvi yanayotokea duniani by Engineer Mayala
@angelokamugisha8682
@angelokamugisha8682 21 күн бұрын
Kama anatafsiriwa kwa Kirusi kwa nini hakuongea kwa Kiswahili tu badala ya English
@holyspiritpropheticministr3687
@holyspiritpropheticministr3687 22 күн бұрын
Nchi zetu bado changa sana na bado tuko kwenye usingizi ,wenzetu waliashaamaka zamani sana wanachoangalia ni their interest and what you broughout to them ,if it doesnot line with thier interest ,you are dead ,thus why Putin was very careful to listern and talk little ,It is the time for our mind to walk up and worked and tutoke kwenye usingizi na tujielewa tunataka nin ,na kwanin na tunapataje ,hata siaza zetu hatujui jinsi ya kuzicheza ,kiukweli with respect sijaona Mheshimiwa Spika alikuwa anazungumza nini na kwa Lengo gani hasa and sijaona Putin kama alikuwa anatake serious ,and nilichogundua Bado tunasafari ndefu sanaa Mungu atusaidie tutoke katika Huu usingizi bado tumelala,Since we dont know what do we want and Bora tungeongea hata biashara direct since eti zinazoitaji utekelezaji eti hiyo conversation eti Tulia na Putin wameificha and sasa kama wameificha kuna haja gani ya kutuonyesha this meeting dialogue?i make sense ,Inabidi ifike wakati tujitambue tunayoyafanya sioni kama kuna jipya ,Juzi tuliona mazungumzo ya PM Modi wa India na Putin and it is open conversation and Me i get Kuwa Putin alikuwa anamsikiliza Mheshimiwa speaker kwa Makini Sana ,This Peoples knows what their doing ,and With Respect ,sisi inaonekana like we have a long way to Go
@jastinmkandala5620
@jastinmkandala5620 11 күн бұрын
Jamaa lenyewe Kama halitaki vile
@AtupokleLusago
@AtupokleLusago 16 күн бұрын
Hongela mama umetuwakilisha wa tz.
@KheryKapongo
@KheryKapongo 20 күн бұрын
Aisee huy jamaaa alichoongea huy jamaaa hakijskik that is something
@cleopamushi2478
@cleopamushi2478 13 күн бұрын
Mh sema uyu mama akigombea uraisi tumpeni tu
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 21 күн бұрын
🇹🇿🇹🇿🇷🇺🇷🇺🌹👏
@Officialabshry
@Officialabshry 8 күн бұрын
Milardayo umetunyima kusikiliza sababu zinazowafanya kugombana au ni mipango
@mwarabukabandama3797
@mwarabukabandama3797 16 күн бұрын
Big up🎉
@nyaturuboy1068
@nyaturuboy1068 21 күн бұрын
I hope tulia will be the second women to be tanzanian president, let's wait time will tell I swear to god
@nth3512
@nth3512 21 күн бұрын
Acha ujinga ww, hatuchagui mwanamke cc, ata huyo aliyopo kapita alternative way
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 21 күн бұрын
Nimependa Brics ❤
@leejems142
@leejems142 22 күн бұрын
Mnatak kulet vit iy nchi kil sk kun vit alaf ten mnatak umoj unatokea wap
@HawaSimai
@HawaSimai 9 күн бұрын
Uyo putini apo kipo kivuli chake tu lakini mwazo yake yapo kwenye vitaaaaa tuu😂😂😂😂😂😂
@ZionEmanuel-ne8ob
@ZionEmanuel-ne8ob 12 күн бұрын
Ikiwa tumejiunga na binadamu halisi yaani watu wanaofata utaratibu wa kweli wa kuishi hapa duniani nasemea Russia mseme kwani tunatamani sana kua sehemu ya BRICS
@SaidSaid-nr2xe
@SaidSaid-nr2xe 17 күн бұрын
Yani katika nchi ya watu wapumba tz munajadili amani za nchi nyengine wakati wengine wanalala njaa mukiambiwa ukweli munanuna😂😂😂😂😂😂
@jacksonmtonyore9871
@jacksonmtonyore9871 19 күн бұрын
Mnyakyusa katulia kwakweel
@allycomm1553
@allycomm1553 22 күн бұрын
Msenge anawaz nyuklia zake tu hachek na kima
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 201 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,7 МЛН
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 5 МЛН