Waliotumwa kuniuwa ndio walionionya nikimbie - Lissu

  Рет қаралды 77,981

Weyani Tv

Weyani Tv

Күн бұрын

Aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, amesema alijulishwa na watu waliotumwa kumuuwa kwamba akimbie kabla hawajamtia mikononi.

Пікірлер: 380
@MagdarenaLunyalula
@MagdarenaLunyalula 8 ай бұрын
Mungusimama mtetee mtumishi wako tunamkabizi mkononi mwako ee mungu kusudi lako litimie kwa daudi wako
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 3 жыл бұрын
Maskini hana raha wa swahili wana sema uki ng'atwa na nyoka mara moja basi uki guswa na jani hurusha mguu. Mwenye Enzi Mungu atu hifadhi wote na aihifadhi nchi yetu na nchi zote duniani allahumma ameen yaarab
@matukiotvonline6366
@matukiotvonline6366 3 жыл бұрын
Wamekuzulumu Kisha wanakutishia maisha inatia huruma😭😭😭😭
@willbroadbernard784
@willbroadbernard784 3 жыл бұрын
..kwa wale wakristo au hata sio wakristo lakini wameisoma bibilia watakumbuka kuwa mfalme Saul alipogundua kuwa Mungu ameamua kuutwa ufalme wake na kumpa Daudi alifanya kila namna kutaka kumuua Daudi, lakini Jonathan mtoto wa Sauli alivyokuwa anampenda Daudi, alimtahadharisha kuwa akimbie maana alipata uhakika, Sauli baba yake amekusudia kumuua, Daudi alikimbia lakini baadae Mungu alimpa Daudi umfalme wa Israel ....kama una hekima tafakari yanayojiri katika maisha Lisu.........Mungu akishaamua binadamu hawezi kuzuia.....mimi natafakari tu....Nikijua Mungu ni wa maajabu hufanya mambo yake kinyume kabisa na matarajio ya kibinadamu
@bintsalimalbimany5340
@bintsalimalbimany5340 3 жыл бұрын
Wanaonyesha wazi kua hawataki CCM KUWE na mfumo wa vyama vingi Sasa wanajihangaisha magharama kisha ndio kama hivyo hawatak kushindwa🙄Manak sion sabab yakuwakamata viongozi wa wapinzani🙄🙄🙄😩Allah yuko pamoja na wewe mh.Lissu👐👐👐Baada ya risas walizompiga bado hawajatosheka hasbunallah waniimalwakil😩😩😩😩😩😢😢😢😢😢
@userAysha
@userAysha 3 жыл бұрын
Wallahi ndo utajuwa kwamba magufuli ana roho mbaya sana hivi binaadamu gani hamuogopi mungu yeye anajifanyia tu eti sababi ni rais unauwa halafu wanatokea watu wana muunga mkono kwa kujipendekeza tu huku wana hali ngumu ya maisha kamtia ulemavu mtoto wa mwenzie anaona haijatosha kujitafutia mikosi tu
@bintsalimalbimany5340
@bintsalimalbimany5340 3 жыл бұрын
@@khadijahassan3778 Hajatete ushoga wachen kumzulia bora nimuombee dua Yye Allah amuongoze lkn Huyo maguful mumpendae kawaweka ndan masheikh wetu mpk leo Hawana kosa ata moja Lissu alisema akipata uraisi atawatoa Masheikh sasa nitampenda nan kati ya hao??
@userAysha
@userAysha 3 жыл бұрын
@@khadijahassan3778 na yeye ndo rais saivi mbona hajawatowa au unataka kikwete ndo awatowe
@aminahhamed747
@aminahhamed747 3 жыл бұрын
Mungu atawashinda
@ben255tza4
@ben255tza4 3 жыл бұрын
Amechanganyikiwa huy
@esthernyerere3207
@esthernyerere3207 3 жыл бұрын
Pole sana mh lissu
@wilbertmanjonda5835
@wilbertmanjonda5835 3 жыл бұрын
Mungu akutangulie
@admaumsengi4230
@admaumsengi4230 3 жыл бұрын
Watashindwa kwa uwezo wa mungu
@ramadhanimputa4034
@ramadhanimputa4034 3 жыл бұрын
hata. kama. Aliomtishia. hawezi. kukamatwa. maana. hawa. wasio julikana. ila kwa mwenyezi mungu iko siku atawazalilisha tu wasio julikana
@userAysha
@userAysha 3 жыл бұрын
Inshaallah
@userAysha
@userAysha 3 жыл бұрын
@@khadijahassan3778 kuna faida yeyote uloipata tokea ccm iongoze tz mbona ni mashaka tu kila siku watu wameuliwa znz na tz mumekaa mnafurahia
@amatsandhu5708
@amatsandhu5708 3 жыл бұрын
Risasi tu
@afizuboy3433
@afizuboy3433 3 жыл бұрын
We lisuwe kumbe ushakimbia sasa ulivyotaka tuandamane.ulitaka sisi utuwache tunauwana wewe na familiayako ujeluman.
@userAysha
@userAysha 3 жыл бұрын
Hakutaka muandamane kwa manufaa yake ana huruma na watanzania ndio maanaanawapigania haki nchi inayumba watu hawapati matibabu watu wanaishi kwenye maisha ya umaskini acheni kushabikia mtu anae waharibia maisha hapo wewe mwenyewe ukienda hospital pengine hupewi dawa sababu huna pesa acheni kuingizwa chuki na ccm haisaidii kitu hivi nchi zinazo andamana huwa zinataka nini zinataha haki uhuru na maisha bora usifikiri wanakwenda barabarani eti kwa manufaa ya mtu
@bfsgsvfweshdbfh3353
@bfsgsvfweshdbfh3353 3 жыл бұрын
@@userAysha wee nenda mkafirane nae uyo shoga yako kenge wewe
@ahmadmasunda9892
@ahmadmasunda9892 3 жыл бұрын
Kishtobe
@userAysha
@userAysha 3 жыл бұрын
@@bfsgsvfweshdbfh3353 ushike adabu yako punda wewe kasoro mkia
@ngwanafabian9668
@ngwanafabian9668 3 жыл бұрын
@@userAysha ukiacha kuwaza vya bure utafanikiwa.
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 4 жыл бұрын
Raila odinga likimbia nchi miaka mingi moi alimtesa sana na yeye ndie sababu Kenya wamebadilisha katiba yao lissu tuko nyuma yako magufuli nimuuwaji makonda amenyamaza ndio anaeongoza mipango ya kumuuwa lissu na ndie alietekeleza amri ya magufuli lissu apigwe risasi
@elishalyaka5600
@elishalyaka5600 4 жыл бұрын
Kumbe wajinga mko wengi unaeza tuambia magufuli kauwa nani,wewe si mzalendo na lisu wako huyu,
@userAysha
@userAysha 4 жыл бұрын
kabisa unataka kumuuwa mtu eti kwa sababu anakukosowa ukweli unauma eeh walimpiga risasi kwa uwezo wa mungu hajafa bado yupo hai ila mungu anaona kila kitu
@userAysha
@userAysha 4 жыл бұрын
@Thomas Patrick mwambie haya kumkuta yeye au familia yake ndo maana anazungumza ujinga
@shadagadagga9922
@shadagadagga9922 4 жыл бұрын
@@userAysha Sku zote msba uskie kwa mwenzio2 cku akifa mamaako ndo utajua kumbe msiba unamaumiv gan. Fact madam bora umemjibu eti ukikosolewa ndo uadui wewe kingoz gan usiokosolewa kwa hiyo unataka upongezwe2 kila sku duuh wew mungu hapa ndo nakumbuka kauli za bwege bungeni wtu wa chama fulan waliokuwa wakiambiwa wao kila kitu ndio mmeshiba eeh mnanjaa eeh ovyotupu tubadilike.Na ndo tunaenda kuyaona hayo ya bungen hapa kiukwel kuna kuna watu wanalazmisha kuwa vingoz kumbe wao ni watendaji2 wew kiongoz gan usiokosolewa duuh sasa hii ajabu basi!!!!!!!!
@kadogoomushadi5409
@kadogoomushadi5409 4 жыл бұрын
@@shadagadagga9922 mnazaniya mnamchafuwa magufuli kumbe mnamfagiliyatu mtazuwa mpaka mvuwenanguo lakini magufuli atabakiya kuwa safiii kabisaa unatafutiyanjia yakutokea unaona haya mambo uliyo wahidi mabwanazako hayakuwa unatafuta wakumtwika utajituwa mwenyewe mwanaizaya wewe utafutwewewe.kwakipiulichokuwanachoo. zaidi yanuksitu ndiozimekujaa nendaaa shogaamkubwawewe
@dammyboy5282
@dammyboy5282 3 жыл бұрын
Tafadhali pia naomba u view hapa👇👇 kzbin.info/www/bejne/h4rGZJWqgrWgla8
@tabusalum1318
@tabusalum1318 3 жыл бұрын
Umbea wakuue we we kwanini
@johnmbatta9872
@johnmbatta9872 3 жыл бұрын
Mbowe alikosea sana kukupa wewe ugombee u rais. Angegombea yeye hata wabunge tungepata wengi tu.
@rukiasalum631
@rukiasalum631 3 жыл бұрын
Swadaktaa kakaangu maneno yako nayaunga mkono kwa asilimia 100
@trophainamagogwa9991
@trophainamagogwa9991 3 жыл бұрын
@@rukiasalum631 Mbowe ameharibu Chama kabisa
@stellahally4172
@stellahally4172 3 жыл бұрын
mbowe mama ako
@rukiasalum631
@rukiasalum631 3 жыл бұрын
Hahahahaaa mtihani kwa kweli nnavojua mm mbowe ni jina la mwanaume shababi sasa ukisema "mbowe mamaako"hueleweki umekusudia nn hahahahaa nadhani hata huelewi km mbowe ni jina la mtu inaonesha hupo Tanzania na wala huelewi lolote unarukia comment tu mhm kazi kwelkweli
@effarymponzi2565
@effarymponzi2565 4 жыл бұрын
Lissu anavyoongea ni kama amekubali matokeo na anaonesha nia yake ya kuishi ubelgiji Sasa swali wale vijana alowahalibia maisha yao kwankuwafanyisha makosa je nao anaondoka nao ubelgiji kwa usalama zaidi? Ama maisha ya lisu ni yamaana sana kuliko ya hao vijana waliopo vizuizini na wemgine kupoteza maisha kutokana na makosa yake wakati wa kampeni?
@jamilambarouk4746
@jamilambarouk4746 3 жыл бұрын
Anatafta njia ya kuwatelekeza ili wamuone Hana hatia akaendlee na maisha yke hku wao wakiteseka na Watu wakiendlea kulaum serikal
@ahmadmasunda9892
@ahmadmasunda9892 3 жыл бұрын
KAMA UMEAMUA KURUDI KWENU RUDI KISTAARABU TUAGE KISHA UONDOKE KWANI KIKINUKA HATA WEWE FURSA YA KUJA TENA KUGOMBEA URAIS HAUTAIPATA FURSA YA WEWE KUJA KUZURU MAKABURI YA WAPENDWA WAKO HAUTOIPATA KWAHIYO ONDOKA KWA AMANI ILI KESHO URUDI KWA AMANI
@mwitboy7860
@mwitboy7860 3 жыл бұрын
Weyaaaaaa
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 жыл бұрын
Mi nafurahi kuona mhe rais kamnyamazia kimyaaa naomba upige kazi wala usisumbuke kumjibu
@frankluhu5322
@frankluhu5322 3 жыл бұрын
uyu mzee kachanganyikiwa sas wamuue kwa nin alichonacho 🤣🤣uyu mzee mwizi2
@justinmkumbwa2330
@justinmkumbwa2330 3 жыл бұрын
Kwani mwazo alikua nann walipotakakumuua maswli mkiuliza mfikirie kidogo!
@frankluhu5322
@frankluhu5322 3 жыл бұрын
@@justinmkumbwa2330 yan mzee msiseme ki2 kwasababu watu mnaowapenda wamesema iv kama ingekua kwel wanatak kumuua wangeshindwa ki2 gan kumuua yan uyo n kam sisimizi2 na swala la serikali kutuma watu sio kwel kwamaan asingekua hai uyo
@swamweliteobady4496
@swamweliteobady4496 3 жыл бұрын
Kwani alipigwa lisasi kwa nn
@frankluhu5322
@frankluhu5322 3 жыл бұрын
@@swamweliteobady4496 kwa ujinga wake aliinao wa kuwapotosha wajinga wenzie
@MustaphaSeleman-z7c
@MustaphaSeleman-z7c Ай бұрын
Alikuibia mkundu wako
@z.nalnabhani7194
@z.nalnabhani7194 3 жыл бұрын
Lisu ni msomi pekee Tanzania,ndoo maana anatafutwa kwa uddi na uvumba,hili taifa mwisho litakuwa la kina fulanituu
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 3 жыл бұрын
@@khadijahassan3778 Khadija muislamu gani wewe? lisu kawashinda hata hao bakwata kwa kuwatetea waislamu wenzako, halafu wewe muislamu gani?
@ngwanafabian9668
@ngwanafabian9668 3 жыл бұрын
Haya mambo ya kumwita mtu muuwaji kwa msukumo wa hisia bila ushahidi ni chukizo mbele za Mungu. Mkiulizwa leteni ushahidi mnaanza kusema Lissu ndiyo alisema au kiongozi fulani, ushahidi wa kusikia na wa kuona ni tofauti sababu si kila linalosemwa ni sahihi ndiyo maana Mch Msigwa aliwahi kuomba radhi hadharani kuwa alimsingizia mzee Kinana mambo ya uongo baada ya kushindwa kutoa ushahidi mahakamani juu ya shutuma alizomshutumu.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 3 жыл бұрын
Lakini maagizo ya kumuondoa duniani yalitolewa zamani na ndio maana akapigwa risasi
@userAysha
@userAysha 3 жыл бұрын
@@ahmedalbalooshi8518 umeona eeh wabongo wengine vipofu kabisa wanajifanya hawajuwi kilichotokea na nani alisababisha mpaka mtu ya mkute
@aishasaid6749
@aishasaid6749 4 жыл бұрын
Mtihani
@ramadhanikibenga6317
@ramadhanikibenga6317 3 жыл бұрын
Uongo mwingine jamani hahahaha dah kama ingekuwa Luna wanaotaka kukuuwa wangekudhuru kipindi cha kampeni maana ndio ulikuwa unachanganyika na watu ACHA UONGO JIENDEE ZAKO BELGIUM
@ihanomadili
@ihanomadili 3 жыл бұрын
Lissu ni mwongo na mchonganyishi tu, watu wa usalama msidanganyike nae, anatupaka matope nchi yetu tu, au la anatengeneza ukimbizi kwa baadhi ya watu.
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 3 жыл бұрын
Si alisema agopi kufa imekueje tena
@swaxunity2985
@swaxunity2985 3 жыл бұрын
Anaogopa kuaga huyooooo hiyo ni mbnu tu yakusepa
@aliissahongerababanazenjit6824
@aliissahongerababanazenjit6824 3 жыл бұрын
Hayo ni maneno ya mkosaji na kama ametumwa asingekwambia kitu na safari yako ya ubelgiji tuliijuwa tangu mapema kama utarudi
@amatsandhu5708
@amatsandhu5708 3 жыл бұрын
Beberuuuu huyo.
@basilmhagama3180
@basilmhagama3180 3 жыл бұрын
Acha kutuchafulia Tanzania yetu. Wakuuwe kwa kipi hasa.
@hamisirajabumichenje6725
@hamisirajabumichenje6725 3 жыл бұрын
Kwani lisasi zilikua za nini
@johannesmaloda8209
@johannesmaloda8209 3 жыл бұрын
Tundu lissu ni mtu aliye laaniwa....katia mikosi chama cha chadema toka wabunge 64 kabaki mbunge mmoja,wazaz wake walizaa hasara tu,n mgombea aliyeshindwa kuliko mgombea yyt wa urais chadema
@hildamhina8414
@hildamhina8414 3 жыл бұрын
Nikuuliz nawew umelaaniw na nani?? Bas wamelaaniwa hao wasio julikan huyu sio mtot hat pia nimakos gan hayo hat mtu atakiwe kuwaa??
@johannesmaloda8209
@johannesmaloda8209 3 жыл бұрын
@@hildamhina8414 hakuna mwengine alie laaniwa ila n hili tu litahira Tundu sjw la wp,nalichukia
@mohamediabdallah6337
@mohamediabdallah6337 3 жыл бұрын
Huyu ni mnafiki alikusudia urais tu
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 3 жыл бұрын
Kwenye mkutano alisema kuwa haogopi kufa au asingerudi tz. Kama kukuuwa wangoje ushindwe uchaguzi? Wangekupiga huko huko kwenye mikutano ya nchi mzima. Hao wajerumani ni kama wewe hawapendi maendeleo yetu. Wanataka tuwe ombaomba tu. Watanzania ni watu wadogo huwezi kushindana na Germany Kinyume ukweli wa mwenye nyumba hushndani na uwongo wa mpita njia.
@timbukwa9771
@timbukwa9771 3 жыл бұрын
Ndo hicho nachoshangaa???wasimuue wakati wa kampeni au kabla ya kampeni waje wamuue sasa hivi. Hata alipopigwa risasi wakati ule nna imani kama kweli serikali ilihusika asingekuwa mzima sasa hivi!!!kuna watu wanashabaha za kulenga hata sisimizi.
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 Жыл бұрын
Wew wala hata hujuwi taratbu za kugombea kwa kifupi tu mtu anaegombea Urais uwa anasheria zake zinazomribda wala huwezi kumuua katikati ya uchaguzi
@elliottrahema
@elliottrahema 3 жыл бұрын
Nani katumwa muongo huyu amechoshwa na dona la siginda Tanzania kila number iko registered put the number out huyo mtu tumujue nice try hutaka upate uraisi tumeshakujua mbinu zako wewe na hao wahuni wezanko
@kaniogachief6151
@kaniogachief6151 3 жыл бұрын
Hizo sinema huyo kashindwa kushindwa mumuitwe Tanzania hakuna anae mtaka huyo hiyo sinema yanu
@BigBoss-jk6fk
@BigBoss-jk6fk 4 жыл бұрын
C = CHAMA C = CHA M = MAJAMBAZI + mauwaji majinga mazulma mateja mazombi madui makafiri matapeli mahanisi mijizi mafisadi
@muhidinihassani520
@muhidinihassani520 3 жыл бұрын
Chanzo cha matatizo ccm (ccm).hiki chama hakifai kuwepo tena tz 🐍
@jamilambarouk4746
@jamilambarouk4746 3 жыл бұрын
hujamaliza
@juliascherehani2330
@juliascherehani2330 3 жыл бұрын
muongo hv kweli mtu aje akupige Alf akuambie eti tunataka kukuua
@joojombi2341
@joojombi2341 3 жыл бұрын
Poles sana wee wazazi wako hujui tabu gani wamepata kukulea na kksomesha tatizo hujiheshimu na huna malezi bora na yenye maadili
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 3 жыл бұрын
@@juliascherehani2330 katika kikundi cha watu,inawezekana mmoja akafanya imani ya kutaka kunusuru badala ya kudhuru.Sio ajabu kwa hilo,roho ziko tofauti
@HassanHassan-si2rt
@HassanHassan-si2rt 4 жыл бұрын
All the way from Japan Sepa mwanangu maisha sio bongo tu Mm nishasepa kitambo tu baada ya kuona nchi ishakuwa ya kitumwa.
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 4 жыл бұрын
Hahahaahaha,
@kadogoomushadi5409
@kadogoomushadi5409 4 жыл бұрын
Hatuwahitaji watukama nyie huku tz mtatuletea kimaviburee
@jabiraxmed7898
@jabiraxmed7898 3 жыл бұрын
Mimi nilisema muda mrefu sana nakwenda kama mtalii tu nilijua yote haya yatatokea
@eleonorajohn7480
@eleonorajohn7480 3 жыл бұрын
Ule Ujasiriamali wa kuwapeleka watoto wa wenzio kwenye maandamano umeishia wapi?
@amourmtungo623
@amourmtungo623 3 жыл бұрын
Mzalendo hujui maana ya maandamano wala demokrasia inaonyesha hivyo
@elishalyaka5600
@elishalyaka5600 4 жыл бұрын
Ama kweli wewe ni bingwa wakuunda maneno,muongo mkubwa wewe
@jamilambarouk4746
@jamilambarouk4746 3 жыл бұрын
Linajihurumisha aaaa wapi imepita iyoo
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 3 жыл бұрын
Ulitaka apigwe na kuuwawa ndio usadiki?
@elishalyaka5600
@elishalyaka5600 3 жыл бұрын
@@ahmedalbalooshi8518 ndio tunawauliza mtuambia aliuwa nani,nasi tujue lakini sio kumwita muuaji nahamtuambii aliuwa nani
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 жыл бұрын
Waongo unawajua' wanawauwa wasio hatia na yote yako wazi' wakiulizwa wanakataa' wanawapiga wanatesa wanawaibia'baadae wanakataa eti wanashughulikia lkn tunasema hasbiya Allah wanighma lwakil ' Allah hatowaacha madhalim atawashuhulikia vizur sana wasiringie pumzi
@duhhammad7230
@duhhammad7230 3 жыл бұрын
sasa ya ikweli ni yepi hebu tueleze
@aminattai2676
@aminattai2676 4 жыл бұрын
Sijawahi kuona maishani mwangu kuona mtu ambae ni mkimbizi na yupo mbioni kuukana uraia wake lakini mtu uyo huyo anataka awe raisi kwa nchi anayoikana,nyie watanzania munaoshabikia watu bila kuchunguza undani wao mumeona kinachoendelea apo?nchi ilikuwa inawekwa rehani kura kwa lisu kula kwa wazungu.
@maiyaal7inai260
@maiyaal7inai260 3 жыл бұрын
Ccm ndio waliweka nchi rehani kwa wazungu kwa miaka nani aligundua huu wizi kama si Lissu msiongee ushabiki na sasa deni limezidi miaka 5 na dikteta anasema tunajenga kwa pesa zetu za ndani ziko wapi bado waTz mtakua wajinga na uchumi uko wastani wakati watu mlo mmoja kwa tsbu watu wanakufs majumbani wanakosa matibabu tunamuona zahir akiomba msaada kwa wenye saratani waafia majumbani hawadumu gharama za matibabu iko serikali ya wanyonge
@bonzo3047
@bonzo3047 3 жыл бұрын
Unashikiwa akili na wasenge na hujui siasa, uhamishoni hata Oscar kambona aliwahi kuish,mbona huzungumzii kuhusu kupigwa risasi nyie ndo mnaohalalisha haramu kumamae zebu kumamako
@jamilambarouk4746
@jamilambarouk4746 3 жыл бұрын
Ameshindwa kwa uwezo wa mungu naakwende zake uko
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 3 жыл бұрын
Valdes Adamkus alikuwa raia wa Marekani mwenye asili ya Lithuania na baadaye akawa rais wa Lithuania katikati ya miaka ya2000.Hata Tundu Lissu inawezekana.Unasoma magazeti ya udaku halafu una-comment 🤣🤣🤣
@ElizaBeth-rc7yf
@ElizaBeth-rc7yf 3 жыл бұрын
Kweli Kabisa
@jamilambarouk4746
@jamilambarouk4746 3 жыл бұрын
Fisadi kwel Ww nenda t usitafte sabab mbinu zko zmeshindwa kajipange upya
@thomasluhumbika9606
@thomasluhumbika9606 3 жыл бұрын
Huyu nyumbu tu. Unavyowata watoto wa wenzio waandamane ulikuwa unafikiri nn
@amourmtungo623
@amourmtungo623 3 жыл бұрын
Amka Tanzania inaelekea kubaya kidemokrasia Mzalendo karibuni utajua umuhimu wa vyama vingi. Mpaka sasa pengine huna internet kwenye simu yako lakini bado unahisi uongozi uliopo madarakani ni uongozi bora hujatembea Mzalendo. Tembea dunia uone
@khamishemedsaid2134
@khamishemedsaid2134 3 жыл бұрын
Muungo ulitafuta njiya ya kwenda kwenu ubeligiji
@hamoudahmed7328
@hamoudahmed7328 3 жыл бұрын
Usiseme uongo shogaas
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 3 жыл бұрын
.
@elishalyaka5600
@elishalyaka5600 4 жыл бұрын
Wewe ulikuwa umekuja kutuchafulia na ukakwama rudi tu uberigiji Tanzania sio yavile ulikuwa unafikili mzee
@jamilambarouk4746
@jamilambarouk4746 3 жыл бұрын
Ndo anatafta iyo sabb ya kurudi Uko kwa mabwana zake fisadi mkubwa
@mateikihoi8125
@mateikihoi8125 3 жыл бұрын
Anawweweseka
@antonyvallerian1718
@antonyvallerian1718 3 жыл бұрын
Haya maneno hayana ukwel....why anaongea uongo
@sarobarzani2790
@sarobarzani2790 3 жыл бұрын
Kwendraaaaaaa
@eleonorajohn7480
@eleonorajohn7480 3 жыл бұрын
Ulichosahau utandawazi hiyo simu wakii track wataona hiyo namba iliyotumika kukupigia kukupa vitisho itajulikana tu kuwa ni ya nani hata mki edit itajulikana tu.!!!
@amourmtungo623
@amourmtungo623 3 жыл бұрын
Watanzania wengi kama wamezaliwa ndani ya boksi. Wanaona dunia nzima ni kama boksi hawajatoka ndani ya boksi kuingia ndani ya kontena kuona duinia ni kubwa Zaidi ya boksi.
@ahmadmasunda9892
@ahmadmasunda9892 3 жыл бұрын
AZITAJE NAMBA ZILIZOMPINGIA TUTAFANYA MIAMALA TUTAJUA NANI WALIMPIGIA
@amourmtungo623
@amourmtungo623 3 жыл бұрын
@@ahmadmasunda9892 Mzalendo wewe bado huijui Tanzania lakini kuishi kwingi ni kuona mengi tulia tu. Kuwa mtu mzuri kuwapenda Watanzania wote lakini nchi yetu iko katika mtihani.
@revocatusedward5739
@revocatusedward5739 3 жыл бұрын
RUDI KWENU
@UnknownAlly254
@UnknownAlly254 3 жыл бұрын
Huyu anatafuta njia ya kuenda ubelgiji bila aibu...Polepole kasema haya
@obedkiswaga2790
@obedkiswaga2790 3 жыл бұрын
Kabisaa aisee huyu jamaa ndiyo inathibitika kuwa alitumwa, kwanini akimbilie ubalozini wakati wenzie wapo kwenye majumba yao. Hapo anatafuta loophole ya kuchomoka na kwenda nje ya nchi, anajijua makosa yake
@henryndosi1114
@henryndosi1114 3 жыл бұрын
Tundu lisu hajapona kichaa ni tapeli hana lolote
@rukiasalum631
@rukiasalum631 3 жыл бұрын
Kumbe ww ndo mtalii?mnamuita Mwinyi mtalii wakati ni mzaliwa nyinyi ndo watalii hamjielewi
@lulurubby2235
@lulurubby2235 3 жыл бұрын
Ha ha mbowe anajuta kukusimqmisha wewe kuwa mgombea umeiua chadema...pepo mchafu wewe...vitisho unapewa na wana chadema wenzio...mchafua nchi wewe
@magrethjohn8576
@magrethjohn8576 3 жыл бұрын
Yaani Mbowe anajuta!hili libaba kila siku linakuja na uongo mpya!uzuri ni kwamba wamekutana na chuma anapiga kazi hana muda na maneni yao.
@lulurubby2235
@lulurubby2235 3 жыл бұрын
@@magrethjohn8576 alafu yeye anakipaka anakimbilia ubalozini ..huyu chadema watamla mpaka mifupa....magu anawaangalia kwenye luninga
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 3 жыл бұрын
Unajitoa ufahamu Lulu kwa wizi ule daaa unafahamu nani muuaji
@ngwanafabian9668
@ngwanafabian9668 3 жыл бұрын
@@bonnyngowo7567 bila shaka ni wewe
@georgemahona3420
@georgemahona3420 3 жыл бұрын
Anaweweseka mbwa huyu
@ngumalimau5427
@ngumalimau5427 3 жыл бұрын
Lissu ameanza kusema uongo kwa kuwa umeshindwa ili dunia ilaumu Tanzania...Wacha porojo na kulaumu Serikali ya Tanzania...Vyombo vya dolla wanaujuzi wa kujua nani amekupigia na kufatilia maongezi mbone uchuzi huo hufutii utaratibu wake?
@dawoodothman8681
@dawoodothman8681 3 жыл бұрын
Hamna kitu janja ya nyani
@dwasimasunga507
@dwasimasunga507 3 жыл бұрын
Kipindi cha kampeni ulikuwa salama naulikuwa unafurahia na.kampeni saizi umeona Hamna usalama...????
@trophainamagogwa9991
@trophainamagogwa9991 3 жыл бұрын
Lisu wewe una Pepo baya ulirudi kufanya nini Tanzania kama si ushetani huo??
@himlayzer3543
@himlayzer3543 3 жыл бұрын
Anataka kukimbia kesi uyo ajabu iyo mugombea urais alitaka kua uraisi reo hii anajificha kwa mabarozi wa nchi zisizo kua zake roo Bala hilo uzushi tu wangapi waligombea na wa kashidwa hawakuuliwa yee Ana nini analake jambo linalo mpereka huko
@johnmbatta9872
@johnmbatta9872 3 жыл бұрын
Muongo namba moja. Wadanganye wajinga wenzako.
@userAysha
@userAysha 3 жыл бұрын
We mwenyewe mjinga usojielewa hiv ingelikuwa ni babako au kakako ungesema hayo
@adammsigwa1276
@adammsigwa1276 3 жыл бұрын
Acha uwongo ww mbona ukifanya kapeni hukutishiwa baada ya kushidwa unatafuta sababu ya kutoroka kweli ww nimutumwa wa wazungu
@ramadhanmgaya1984
@ramadhanmgaya1984 3 жыл бұрын
Urongo mtupu,
@asteriamtui219
@asteriamtui219 3 жыл бұрын
U
@vikitu4793
@vikitu4793 3 жыл бұрын
Honeymoon ya miezi 3 imeisha. Umejitengenezea kesi 5. Zijibu kabla ya kuondoka. Si ulisema wewe unaijua sheria? Tuonyeshe mwanawane
@eliyahango4278
@eliyahango4278 3 жыл бұрын
Muongo mkubwa wewe, kaa huko milele ili watu wakae kwa amani
@userAysha
@userAysha 3 жыл бұрын
Hiyo amani iko wapi tz watu wanauliwa bila sababu wanatekwa hawarudi munaishi kwa kumuogopa mtu ambae ni binadamu kama wewe
@elishalyaka5600
@elishalyaka5600 4 жыл бұрын
Mzee acha kudanganya watu,we fungasha vilago rudi uberigiji mipango ovu uliyokuwa umekuja nayo imekwama mzee usidanganye dunia eti unahofia usalama bure kabisa
@hassansamata5995
@hassansamata5995 3 жыл бұрын
We unatafuta njia ya kutoroka nchini..nenda kwa mashoga waliokutuma
@faridsalim9082
@faridsalim9082 3 жыл бұрын
😂🤣😂 Huyu jamani yuko na mbwembwe dah! Haya wanachadema mchangieni mwenzenu akate nauli arudi nyumbani kwao alikozaliwa 😂.
@sarobarzani2790
@sarobarzani2790 3 жыл бұрын
Mmbwaa www
@presseg.6362
@presseg.6362 3 жыл бұрын
Yaani Lissu we ni mbumbula kweli, hivi MTU mzima unakuwa mwongooo mpaka aibuu!!! Shwai we, nani ahangaike na kenge Kama wewe!!?
@aliabeid6226
@aliabeid6226 3 жыл бұрын
Alipokuja Tz si alisema haogopi kufa sasa imekuaje huyu mtu ni mnafik kweli Huyu jamaa kuliko huyo shetani mwenyewe
@rukiasalum631
@rukiasalum631 3 жыл бұрын
Akuuwe nani ww uzushi tu nenda uko tokea hapo mwanzo ushakata tiketi ya kwenda ubelgiji uzushi tu naona kama taahira huna akili timamu
@zahormazrui3117
@zahormazrui3117 3 жыл бұрын
Kwani hapo mwanzo alikoswa kuuliwa na nani mpaka ishindikane hivi sasa
@presseg.6362
@presseg.6362 3 жыл бұрын
Hili libaba liongo sijawahi ona!!
@ramilialiy3725
@ramilialiy3725 3 жыл бұрын
@@zahormazrui3117 bora umuulize anajitowa fahamu
@ramilialiy3725
@ramilialiy3725 3 жыл бұрын
Magufuli aka jiwe
@leonardmadelemo9104
@leonardmadelemo9104 3 жыл бұрын
We bint hayajakukuta unaongea upuuz..
@abcdabcd1605
@abcdabcd1605 3 жыл бұрын
YAANI HAYA YOTE NI KUDAI JAMBO LA HALALI.... Magu anajifanya km hajui kumbe hizi zote ni njama zake tu
@sarobarzani2790
@sarobarzani2790 3 жыл бұрын
Mkundu unamuwasha
@shafimaingu4356
@shafimaingu4356 3 жыл бұрын
LIONGO HILI LIBABA
@sarobarzani2790
@sarobarzani2790 3 жыл бұрын
Ubelgiji.kafirwa
@qala8695
@qala8695 3 жыл бұрын
Hahahahaaa lisu anawaacha mkono wenziwe awazunguka kwa usanii ili asepe kirasi.wajinga ndio watoamini hio kesi ya kuiiripua ubelgiji maana tareh ya tiket imefika.duh mliambiwa hamkuamini sasa huyoooo.wapumbavu sasa mtatoa macho
@backeryavan3254
@backeryavan3254 3 жыл бұрын
Huyu jamaa mjinga sana kwakweli analeta taharuki tu cz tumewazoea cdm wote waongo sana and sahau kuja kuwa rais wa tz umedhihilisha ww nikibaraka why usiende balozi za south Africa zimbambwe nk umekimbilia kwa bwana zako
@jamilambarouk4746
@jamilambarouk4746 3 жыл бұрын
Hana ata aibu loo!
@richardpastor5286
@richardpastor5286 3 жыл бұрын
Bora uuliwe wewe nimchonganishi tena mharifu n
@mchinamweusi6563
@mchinamweusi6563 3 жыл бұрын
We sema unataka tu ukajifiche ubeligiji kwasababu ya aibu mbwa wewe
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 4 жыл бұрын
wewe mtangazaji mbona unauliza swali la kipuuzi sana.akiondoka unamuuliza utakuja tena kugombea urais?kwa akili zako ndogo bado miaka 5 ijayo unamuuliza leo?
@joojombi2341
@joojombi2341 4 жыл бұрын
Muongo mkubwa huyo fatani mkubwa huyo
@jamilambarouk4746
@jamilambarouk4746 3 жыл бұрын
Huyu wakuuliwa kweli asa wala siwakuachwa naona hawafanyi kweli t
@patrickmagoti7361
@patrickmagoti7361 3 жыл бұрын
Subiri umalize kesi zako kwanza
@joojombi2341
@joojombi2341 3 жыл бұрын
@@patrickmagoti7361 Bora umwambie
@salumungonyani2441
@salumungonyani2441 3 жыл бұрын
Wewe fala ondoka sio mtanzania haiwezekani mtu atumwe kuku ua halafu akuambie ukimbie muongo sana wewe
@salumungonyani2441
@salumungonyani2441 3 жыл бұрын
Wewe fala ondoka sio mtanzania haiwezekani mtu atumwe kuku ua halafu akuambie ukimbie muongo sana wewe
@sarobarzani2790
@sarobarzani2790 3 жыл бұрын
Mmemuona.km.huyo nikibaraka?
@samwerymwalongo1551
@samwerymwalongo1551 3 жыл бұрын
Watuwaongojaman videohioni fek hyoniyauchaguz channelnyinginebwana🙅🤦
@alfanmussa3041
@alfanmussa3041 3 жыл бұрын
Anaetaka kukua awezi kukutisha huo nizushi wa tindu lisu tumemzoe muongo namchochezi
@neemamichael5165
@neemamichael5165 3 жыл бұрын
Uuliwe kwalipi ww bwana, huu Ni msimu wa kilimo kwetu singida njoo ulime acha porojo mzee
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,4 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 19 МЛН
Mansour Himidi asema CCM imeshakufa bado kuzikwa tu
21:21
Weyani Tv
Рет қаралды 10 М.
RASMI, TANZANIA IMEREJEA GIZANI KITAIFA NA KIMATAIFA
27:22
SK Media Online TV
Рет қаралды 64 М.
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,4 МЛН