Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama cha ACT Wazalendo, Mansour Yusuf Himidi, anasema hakuna njia yoyote ya kuiokowa CCM kwa mahala ilipofikia.
Пікірлер: 25
@Rukaiya-lt3hmАй бұрын
Allah tuseidie ccm iondoke madarakani tumechoka
@user-ty3df8wv1t19 күн бұрын
Amiin YARABBY
@abhamidtz9320Ай бұрын
Nawapenda san
@plujoncylugano4611Ай бұрын
Yes unafaa kuwa Rais wa Zanzibar
@allynassoro84489 күн бұрын
zAamin
@user-gw4jj5nn2n22 күн бұрын
Yarabi iangamize ccm kama ulivyomuangamiza firauni na jeshilake amin
@user-ty3df8wv1t19 күн бұрын
Amiin YARABY
@DavidKaguluАй бұрын
Ccm yamebaki matahira matupu
@jumabonge857722 күн бұрын
kutoka huku kuingia huku ni uongo tusiambiane uongo jmn
@jumabonge857722 күн бұрын
ss ww si umetoka ccm uko uko leo hii inakuajee hmna kitu apo mkuu
@MakameAbdallah-wn3hcАй бұрын
Leo hii
@saidakiwale9227Ай бұрын
Jamani wanajipa matumaini hawa watu nawapa pole maana wamejazaa uwañja hongera zao na pole zao
@Rukaiya-lt3hmАй бұрын
Kwani hayo maccm bila gari bure inakuaje
@jumabonge857722 күн бұрын
si mzima ww
@MuzneOthman-l7i15 күн бұрын
MIONGONI MWA WATU WALIOENDA KINYUME NA MISINGI NA WEWE PIA UMO PAMOJA NA SHEMEJI YAKO WEWE NDIO FOUNDER WA JANJAWIRI HAPA ZANZIBAR TENA ULIKUWA KATIBU WA FEDHA, MIPANGO NA UCHUMI. SHEMEJI KAACHIA NGAZI HUNA NAFASI TENA MUASISI WAJANJAWIRI UMEJICHANGANYA KATIKA JAHAZI UKIWA ULEDI
@Rukaiya-lt3hm14 күн бұрын
@@MuzneOthman-l7i misingi gani
@khatibal-zinjibari6956Ай бұрын
ALIZIKA AFRO-SHIRAZI ZIKENI CHAMA CHA MAPINDUZI Abeid Karume alikataa hadharani ombi la Nyerere la kuvunja Afro-Shirazi. Baada ya kuuliwa, Nyerere alivunja na kuzika Chama Cha Afro-Shirazi bila ya Ridhaa ya Wazanzibari na alilazimisha Chama Cha Mapinduzi kuwa Dodoma.
@knight6757Ай бұрын
🤔
@mohammedhamad9392Ай бұрын
Maneno yako matamu kuliko Kawa 😊😊😊
@EliasPaul-qs2ib27 күн бұрын
Huijui historia vizuri Kaa utulie
@khatibal-zinjibari695627 күн бұрын
@@EliasPaul-qs2ib Hujakosea kwa sababu sina maradhi ya NYEREREPHILIA au NYEREREISM baada ya Muungano wa Karume, Mzaliwa wa Nyasaland na Nyerere, Mzaliwa wa Tanganyika. Wote hawakuzaliwa Zanzibar na siku chache baada ya Crusade (Mapinduzi Matukufu), Nyerere alipeleka Jeshi Zanzibar kumlazimisha na kumtisha Karume akubali Muungano wa Zanzibar na Tanganyika.