Asante millard kila aliyesingiziwa Mungu atamlipia na kila anayeitaji msaada wakupona wakatatiwa ndani Mungu pia atamlipia
@joycemichaellovelove22218 жыл бұрын
thax #Millard Ayo Mungu akuzidishie afya njema uendelee kutupa habar mbalimbali binafsi nimefrah na nilikuwa nakusubr sana cz tang mchana nilikuwa napata clp za kuungaunga😂😂😂😂 pia nimefrah ndugu zetu kupata dhamana kwa wale ambao bado wasijar mungu yupo pamoja nao atafanya njia pasipo na njia Amin
@angelangel41198 жыл бұрын
milard habari zake nizahuhakika bro thank you
@medahmed50038 жыл бұрын
DAAAAH! JAMANI JESHI LA POLISI TANZANIA NI GUMZO KUBWA HAO WANAVYOSHKILIWA UTASEMA MAJAMBAZI WALIOUA WATU BILA YA HATIA KAAAAAA
@hassankayla40768 жыл бұрын
Binafsi nawaombea kheri kama kweli hamuusiki basi muweze kuachiliwa mapema. Kuhusu hilo tangazo tumvumilie jaman #MILLARD kwasababu ameshaingiza pesa kwa ajili ya matangazo hvyo muda wake ukiisha litatolewa mbona lile ya Vodacom limeisha wakati wake kaliondoa so kuweni na subira
@sifacycy_bby88278 жыл бұрын
Dah! kwanz mi nikushukur sn kaka ake mimi #millard Ayo Duh huku kwenye #Ayo tv panafaidi kweliiii nilikua sijaona hiikituuuu sasa jaman Why siku zingine hamjistili namna hii!? wana wake jmn poleni san mi nawaombea duwa tu muachiwe kama mnavyo fikiliw sio kwel Ila kama kweli pia muachiwe na mjirekebishe sio vizuri mtakija kufa sikuzenu bado umaskini naraha Mungu anakupa amani tele ndani yamoyo wako msitamani sana kutajirika sana dunian embu jaribu kufikiria japo kidogo utajiri wa mbingu 🙏. poleni san jmn m nawapend woteeeee
@johnagnes49408 жыл бұрын
Lulu diva ustar sio mzuri...unatia huruma,cha kufanya ukikamilisha dhamana na mamboz kama hayo achana na ustar dadaaa
@aishamohd98528 жыл бұрын
thnx mtu wetu wa nguvu miralldayo kwa Habari hot hot....much love kijana wetu
@salamakadzo2408 жыл бұрын
mie mda wote ningeshindwa hata kutembea yaani naogopa polisi ile hakuna 😂😂😂😂
@wardaw99398 жыл бұрын
bwahahaha hahahahahah 😂😂😂
@mimifulani9488 жыл бұрын
Salama Kadzo 😂😂😂😂pamoja mi mwenyew traffic tu wale wakisimamisha daladala mi hoi
@classiccell96718 жыл бұрын
Salama Kadzo hahahaa
@jumaramadhani58618 жыл бұрын
Pole sana Salama Kadzo,ila isiogope
@sakinandoile47588 жыл бұрын
Salama Kadzo police wanaojua haki sio adui kwa raia
@radhiasalum8338 жыл бұрын
daaa umati wa watu jamani.hii si tatari .asabe baba rais wangeteketeza jamii hawa
@shinatamar14928 жыл бұрын
uchumi watanzania umezototeka sasa serekali yataka pesa ya haraka kupitia mastart wakidingo duh hatari hii hao walanguzi waungu ya muhongo au sembe maana hapo naye onekana tenja haonekani
@juliethmilimo92798 жыл бұрын
mungu nimwema
@maturemind9208 жыл бұрын
Congrats millard Ayo for the updates,watching silently from Dubai
@khadijaomarkhadijaomar48228 жыл бұрын
mimi naona kudhalilishwa tu hawa watu
@queenoflove6288 жыл бұрын
mungu ndo hakimu wa haki
@davidtumwesigye73405 жыл бұрын
My man T.I.D looks very very innocent.
@wacundirangu16618 жыл бұрын
Lakini niulize, wawezaje kutendwa hivi bila ya hatia??? plus this is damaging to their careers. I hope they are all innocent. #TID my one time favorite, what happened to you? Waonekana ni kama miaka kakuzidi ndugu yangu 🤔 rudi studio baba. #Sad #SayNoToDrugs
@mimifulani9488 жыл бұрын
lelyan 12 kama umeichoka rusha hilo tangazo mbele halaf angalia habri husika mbona ata haina haja ya kulalamia
@abouhafs28918 жыл бұрын
hao mademu hata hamgewapa ulinzi na izo ak bali zile iphone na ma galaxy zenye watumia kujianika uchi maoni thu.....
@Ndondiafrika2548 жыл бұрын
Hivi sio sawa. Nadhani ni vibaya kuwaweka hadharani mbele ya press hata kabla ya kuwa watuhumiwa. Suspects ama washukiwa hawafai kuwa treated kama convicts. Sasa hawa vijana wako guilty before hata wafike kwenye trial to be proved innocent. This is WRONG!!!
@shakilamasoud89798 жыл бұрын
na muuzaji nae atasema aliko upata. so hii cheni ni ndefu ndungu zangu. hao wakina tunda kulia mahakamani haisaidiii....chakufanya nikuwa wazi tuu...nakusema ukweli.
@niyihjji25658 жыл бұрын
polen jamanindomtihan
@sphrb10638 жыл бұрын
nakubali kazi zako brother
@maggiemwambapa9008 жыл бұрын
Masikini inaumiza lkn lazm wafanye hivi kuwapata waucka wakuu Mungu atawasaidia kana wapo wasiohucka itajulikana Mungu pekee ndo msaada wenu😔😔😔😔😔😔😔😔😔
@sakinandoile47588 жыл бұрын
kulia sio suluhisho
@abuluqman46278 жыл бұрын
dah....mitihani TZD
@hassanovajunior30068 жыл бұрын
ngoma imenoga dj MAKONDA ongeza sauti bhana
@najmaysuf7948 жыл бұрын
inshallah mungu atafanya wepes kwakila jambo kama mmesingiziwa inshallah hakita wapata kibaya kikubwa nikumuomba mungutu hakuna kengine kwa makaka zang na madada zang nawaombea pia
@lelyan12248 жыл бұрын
milad bana hiyo adivetsment yako tumechok nayo
@oa67948 жыл бұрын
Kweliiiiii bwna inaboa
@kefrinpatson91358 жыл бұрын
Lelyan 12 yaani hata mimi siipendi kweli
@sallykanze8 жыл бұрын
Hata mie kidogo niseme hivyo kumbe mwenzangu umeonaeeh aah kwanza Ina Kera sasa,
mbona ka kiki tu ? kwanza hata hawangeruhusu wapiga picha....kakonda chunga isiwe unatafta kiki tu jua hawa mastaa alafu wana ma-team team zao
@abdulkibodya54078 жыл бұрын
inaonekana ushirikia hafifu kwa washtakiwa .mola aipe stah serikali wayamalize na hawa watu wa makomfidens.poleni sana
@fefeonlyme53948 жыл бұрын
angalien watoto wa watu wanavyoumia mitaani ..eti wamedhalilishwa na nin sas?..kila sehem na sheria zake hata kwako Una sheria pia hawajapigwa hao na walio kamatwa sio wasanii pekee na watu wa kawaida wakiwepo maaskari pia... muhelewege sio mnakariri
@rascopcafemushi41828 жыл бұрын
Kikubwa tunachotaka ni waondokane na hayo madawa na kama wenyewe wamekubali kusaidiwa basi kwa uwezo wa Mungu tunawaombea heri. Inauma kiukweli kama ni mmoja wa familia yako ameathirika lazima tukubaliane na sio kukatishana tamaa. Tunawapenda na tunawathamini na sio kama ni kumdhalilisha mtu bali ni jinsi gani ya kuutibu huu ugonjwa wa unga
@nellxoxoxo99668 жыл бұрын
i feel it 4 my boy TID Kigogo he is an addict not a dealer #STAYSTRONGKIGOGO 🙏🙏🙏
@masumbukomsongo8078 жыл бұрын
Inatia huruma lakin ukiwakuta wale waathirika utatamani kulia. Tatizo kubwa wasanii wetu nao akipata kidogo tu mashauzi meeengi!! But Mungu yupo kama kuna ambae hahusiki hatomuacha na kama wanahusika basi sheria nazo zipo kwa ajil ya mambo kama hayo
@shabanihassani54088 жыл бұрын
Masumbuko Msongo .
@francebenedicto22058 жыл бұрын
Police ongelaaa kwa kazi mzuri sana
@abdulkibodya54078 жыл бұрын
mbona haya mambo yamekuwa tofauti sana.hivi wale wanao kunywa methadon mbona hawakamatwi na methadon liqued cocane.watanzania jiulizeni.
@stacynina41678 жыл бұрын
duh!!!! Kumbe utajiri so kwakuimba.
@amarsalem3448 жыл бұрын
advertisement ndio inayomuweka mjini bila hiyo usinge pata habari
@leylaabdul35888 жыл бұрын
huu niujinga kudhalilisha watu tu na mnawajua wanao uza unga lakini hamwashiki mwashika watoto wawatu mungu atawalipa
@ladslausmishonga74068 жыл бұрын
hii nchi lazima onyooke tu.
@andrewndambuki22078 жыл бұрын
Why are they squatting?
@munirayusra918 жыл бұрын
Mungu ndie hakimu
@aishamohd98528 жыл бұрын
hahaaaaa Cheka mie ivi kumbe watu wanajua kuvaaa nguo refu... yn leo watoto wa mujini wamepigilia madira..!!! hahahahaaa!vichupi leo vimefungiwa nyumbani.
@shakilamasoud89798 жыл бұрын
watu bado hamjajua makonda anasema. aliyevuta atasema kanunua wapi. wakishajua alipouziwa ndiyo wana dill na muuzaji
@jahkeythomas60438 жыл бұрын
hao wanawake wanajifunika uso navle picha za uchi nyi hutuanikia huko ig😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂lol..romjons uache hixo bizna kabisaa hupendezi sasa
@azahally92168 жыл бұрын
Jahkey thomas hahaaaaa umeona eee
@jkivujkivu99848 жыл бұрын
kaka hilo tangazo linatosha litoe hatakama ni wahisani
@mayahassan83857 жыл бұрын
wanawaonea bana mwenyewe hasaaa wamewaacha ah
@zahararajabu41696 жыл бұрын
Kwan wamefanya nn jaman mm mwenzenu hata sijui nieleweshen bc wapenz uwiiiii
@oyay28218 жыл бұрын
wataacha au wataacha. patamu hapo!!!
@noxlosingida23698 жыл бұрын
Huu sio wema kabisa huwezi kuwapigisha watu magoti bila kosa hamna vizibi vyovyote hao ni watu na familia zao bhana acheni dharau za kihivyo
@binkamwanah94988 жыл бұрын
kwanini videos zako ukiapload unaziwekea offline mode off coz wengine huwa tuna save kwa muda ili Ku_watch later unaweza ukaondoa hili tatizo plz.......
@moseszuma30468 жыл бұрын
daah tid kapooza utadhano kiporo maskini😢
@mosesbirumo97248 жыл бұрын
khaa hii issue isikie kwa mwenzako police nomaaa
@janinnekaneza87808 жыл бұрын
jamaniiiii mungu wasayidiye
@adolfmjungu40007 жыл бұрын
millardayo wewe ni nomaaa
@fredrickitala39038 жыл бұрын
mdogo wangu WA damu Ago hill tangazo lifute maana linaingia kwenye habari za uzuni wakati wewe unacheka, huwezi kipost hbr za msibs
@salimomari37478 жыл бұрын
Tumewachapa kwenye vijijiiiiiiii Chama kile mbele kwa mbeleeeeeeee
@augusti56898 жыл бұрын
Mbona wanalia? Kama madawa hufahamiani nayo, mbona unatulia tuuu...ukweli utajitokeza tu! Kuna jambo hapa, maana wanachukuliwa kama wahalifu tayari!
@BhachuSanga8 жыл бұрын
Daaaah TID Mnyama
@theonlydayonicedionis32948 жыл бұрын
Hii ndo Tanzania...yaani jambo likiibuka wanakazia kweli...evi huko nyuma veeeppp
@ramlak_dramafans88078 жыл бұрын
yani nahisi kama natazama movie ileambayo ina sikitisha na inahuzunisha poleni sanaa
@njasmari24688 жыл бұрын
MUNGU aingilie kati awatetee jamani
@shuwehaomar66588 жыл бұрын
Tunda na Recho mmefubaa mmekuwa weusi maskini vipondoz hakuna sasa tutawajua sura zenu halisi sio za kwenye makopo
@tausak45688 жыл бұрын
Shuweha Omar una nivunja mbavu kweli
@hassanihussein44798 жыл бұрын
wanawaonea2 hao Na wanatafuta kiki hasa huyo Paulo makonda mbon wanao ingiza unga ni hawohawo ccm Na wengine ni watot Wa ma raisi
@annacarlos79258 жыл бұрын
we unaesema wameonewa na wanazalilishwa inawezekana ni mteja wa unga nawewe ndo unatetea
@angelangel41198 жыл бұрын
kama movie
@verynicestanley94778 жыл бұрын
Hahaha wathirika wanatia huruma kweli hao wangepaswa kuwa muhimbili na Aman lkn sio hapo wap vigogo wa serikalini wao wanakula bata tu wanacha kuangaika na mashina wanangaika na matawi ten yalopoteza mwelekeo Tisha San jmn
@MedykarimMedykarim8 жыл бұрын
ni uthalilishaji kwa wasanii hivi hao ndo kioo cha jamii wanafanywa hivo polen snaaa wasanii
@doreenmalesi60398 жыл бұрын
wooyeeee watoto wa watu maskini machozi tu
@mimifulani9488 жыл бұрын
nashangaa kitu kimoja mbona wamevaa kiheshima hiv
@azahally92168 жыл бұрын
SOFY OMARY yani siku zote wangekuwa wanavaa hivo ingekuwa poa sana
@mosesbirumo97248 жыл бұрын
polic tenaaa hahaaha si umeona hadi wavulana wamechomekea aiseeeh
@tausak45688 жыл бұрын
SOFY OMARY kumbe ushaona haswa tunda kawa mlokole 🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@alinotistiven32048 жыл бұрын
SOFY OMARY ulitaka waweje👊👊
@oyay28218 жыл бұрын
wakitoka waimbe nyimbo au mchezo wa kuigiza kuhusu vile wajisikia na mambo yalivyo tokea
@komufredy37398 жыл бұрын
that's not fair.... ni udhalilishaji uliopitiliza.... ni matumizi mabaya ya madaraka... ni uonevu usio na kiwango katika nchi yako....
@ahlamverynice.36058 жыл бұрын
bora tu uwe mpoleee Kwa kuepusha hayo kutokea 😣😣😣
@imamumponda2768 жыл бұрын
ila mnyama wangu t.i.d anatia huruma kinoma ila poa babu utasalimika tuko pah 1 japo kwa dua
@kwamefidel81528 жыл бұрын
nyinyi munaotetea hao munajuwa ni watu wangapi wameathirika kupitia madawa ya kulevya?au munatafuta kiki na nyinyi mujulikane fyuuuuu...
@lucasmhagama81668 жыл бұрын
Petman anatia huruma sana
@stephenbarnaba50618 жыл бұрын
Bado vigogo mbona???? makonda awatafute wanaowaagiza hao ma artists
@ruhailar28908 жыл бұрын
yani hadi na cheka nasiyo kama nachekea furaha daaaa kwenye watu mia 99 wote wana hurikan n a madawa siamini kwkweli
@tallmankenyaofficial64108 жыл бұрын
Tanzania government is trying but hii wamenoa....walitarget wasanii juu sio powerful like wenye kuuza hizi dawa za kulevya..its not fair at all...waendee the real barrons tuwatambue...
@sallykanze8 жыл бұрын
Mmmh,mh Paul makonda hakutaka kuskia hiyo habari ya kusema wamelengwa wasanii,it is not real ho back to the App ya Millard Ayo utaona mwanzo hadi mwisho.paul hakutaja wasanii pekee .
@sallykanze8 жыл бұрын
Go back sorry my dear error in type,I wrote ho instead of go,am very sorry
@tallmankenyaofficial64108 жыл бұрын
Jefason Kingy Mrs I will check it out ..thank you for the info
@mufamomufash47058 жыл бұрын
pole bro wana twanga zeze 2017 kinoma
@pascolemmanuel48398 жыл бұрын
Kuzalilishana tu sijapenda.
@godfreychristopher47338 жыл бұрын
duuu hii sehm si nzur ata kidogo
@imamumponda2768 жыл бұрын
ni kweli hio tangazo sasa linaboa
@ngometvarusha40308 жыл бұрын
Eti askari anatanguliza silaha Ndio apande kwenye hajui nihatari kwa usama wake je mtuhumiwa akichukua hiyo silaha si hatari umakin ni mhimu kwa jeshi letu
@aishah31868 жыл бұрын
mungu ni mwaminifu kwa kila jambo
@sibawayhisalum27078 жыл бұрын
Aisha H swadakta my
@mariamika28348 жыл бұрын
Hii ni shida kuzalilisha lkn ,jamani hata mm hilo tangazo nimechoka Nina kazi ya kurusha tu
@kensuccii8 жыл бұрын
huyo dem mwenye kiduku bwana macho tu,tayari bwana anatisha
@agneskigeme11978 жыл бұрын
kama vile wanaigiza movies mpya
@badmanno.16508 жыл бұрын
t.i.d is like...what the fuck...mnyama ..hehee serikali si ya mama yenu
@DarasaDijito8 жыл бұрын
kweli unyama pembeni
@robartclemm93108 жыл бұрын
Abdul masoud acha maneno ya ajabu
@lucasmhagama81668 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mohamedmatalaulaya90818 жыл бұрын
Abdul Masoud 😂😂😂😂😂😂😂
@sakinandoile47588 жыл бұрын
Abdul Masoud 😀😀😀
@ernestjohanes90878 жыл бұрын
nimemuonea tunda huruma kwanza mdogo daah wapi vigogo
@aminaismael42018 жыл бұрын
hawa wote wanauza madawa kumbe mkishikwa na mapolic ndio mnavaa nguo za kiheshima mkiimba mwatukaria uchi
@zuweinaalhabsy80468 жыл бұрын
wema yuko wapi?
@malelabmalela50164 жыл бұрын
jaman
@sophiayahya68898 жыл бұрын
Yani mkipata matatizo ndo mwakumbuka kuvaa nguo za stara...nakujitanda..mkiwa mitandaon mwavaa uchi
@mwabayachacha35578 жыл бұрын
wema yupo wapi
@fadhilikangusi48628 жыл бұрын
nchi hii bhana
@mgenisana76108 жыл бұрын
Mm naona kiukweli kiki tu hamna lolote
@noxlosingida23698 жыл бұрын
Wameacha vigogo wanawasumbua watu wa sio kuwa na hatia yeyote, mara madawa ya kulevya mara bangi inaonekana hawajui walifanyalo
@mathurindeliot19768 жыл бұрын
Mgeni Sana 0
@josamjoel99538 жыл бұрын
+Neema Daudi hao kwanza vigogo baadaye kwan hao hawaathiriki mpk ukafuatilie vigogo hao tayari watakuwa kama kina child benz
@Dr.manyaunyau8 жыл бұрын
yani watu waonevu sana
@kiulajoseph91948 жыл бұрын
duuuu dunia imevaa kaptula jamani aiseee
@allyjuma44108 жыл бұрын
wamepita huku wametokea kule nin kinaendelea ila msukuma kasema.....