Wananchi wa Kisarawe wamuongelea Jokate Mwegelo

  Рет қаралды 142,964

Millard Ayo

Millard Ayo

6 жыл бұрын

Wananchi wa Wilaya ya Kisarawe wameongea kuhusu uteuzi uliofanywa na Rais Magufuli kwa Jokate Mwegelo kuwa Mkuu wa Wilaya hiyo.

Пікірлер: 97
@abayokalikawe539
@abayokalikawe539 6 жыл бұрын
These ladies in Kisarawe are so encouraging !! I am so feeling that motherhood sense in them ! Congratulations Hon. Jokate . You have inspired many youths through social networks , much better now that even those in interior corners of Kisarawe will appreciate you . Keep up the good work madam .
@richtanzania2139
@richtanzania2139 6 жыл бұрын
Dadaaaa joklate
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 6 жыл бұрын
kazi kazi mungu atujalie heri mahtaji yetu yafanikiswe kwauweza wake mungu amina
@neemayamwenyezihawaafetlis1782
@neemayamwenyezihawaafetlis1782 6 жыл бұрын
😆😆😆😆Bibi Angu Jaman jokeleti alitaka kusema chocolate 🍫 ❤
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 6 жыл бұрын
Neema ya Mwenyezi Hawaafetlishz wee nae
@neemayamwenyezihawaafetlis1782
@neemayamwenyezihawaafetlis1782 6 жыл бұрын
Hassanova junior Nini Na weweeeeeeh
@lukaninamutakeakazijemanaj3136
@lukaninamutakeakazijemanaj3136 5 жыл бұрын
Neema ya Mwenyezi Hawaafetlishz mungu akuwezeshe dada
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 6 жыл бұрын
Wee dada nakukubali sana asee bonge la presenter kip it up 👏👏👏
@samwelrwiza527
@samwelrwiza527 6 жыл бұрын
Karibu kisalawe jokate... Tatizo letu 1.maji 2.barabara 3.usalama kwa maana ya vituo vya polisi. 4. Mahakama z mwanzo ziongezwe 5. Hamasa ya kielimu kwa wananchi pamoja na utoahji elimu bora na uboreshaji wa elimu kwa wana kisalawe. Pigania hayo zungumzia hayo na mengineyo Yale utakayoyaona na Mungu akusaidie. Kumbuka jamii ya watu wa kisalawe ni Wapole wakarimu wanapenda wageni na wanaridhika upesi. Chagua kuwa bora ili uwe bora. Nakutakia majukumu mema..
@omanioman8952
@omanioman8952 6 жыл бұрын
Nimechekaa 😁😁😁kwa sauti muacheni bibi yangu musimcheke ni utuuzima
@madamfatmamsindi2059
@madamfatmamsindi2059 6 жыл бұрын
Jokate yupo vizuri, ana akili na ametulia na anaweza kuongoza.APEWE USHIRIKIANO. MHE RAIS AMEFANYA VIZURI SANA KUMTEUA JOKATE,AMETHAMINI VIJANA, HONGERA MHE. RAIS I SALUTE YOU
@fredkulaya6381
@fredkulaya6381 6 жыл бұрын
woow nimependezwaa nawe Super lady Jokatee hongera kwa Muheshimiwa wetu JPM
@suhailaomari2493
@suhailaomari2493 6 жыл бұрын
Nakupenda sana mdogo joket mungu akufanyie wepesi kwenye kazi zako nipate kazi Hata ya kufagia da Subby Hapa
@Rahmamatengo6114
@Rahmamatengo6114 6 жыл бұрын
Mungu amsimamie katika kazi Yake Inshaa allah
@najma3268
@najma3268 6 жыл бұрын
Hongera sana da Joketi Mwegwlo
@bobofashion3148
@bobofashion3148 6 жыл бұрын
Hongera jokreti wetu
@emmanuelhaule1023
@emmanuelhaule1023 6 жыл бұрын
Mtangazaji ninakupa hongera, upo vizuri.
@binaberthakasembo9859
@binaberthakasembo9859 6 жыл бұрын
Emmanuel Haule asante kwa kutazama
@edinaagustino3717
@edinaagustino3717 6 жыл бұрын
mungu akutangulie mheshimiwa joketi ktk utendaji kazi wako.
@emmanuelfario9897
@emmanuelfario9897 6 жыл бұрын
love u jokate hongera saana kipenz
@garoedod6272
@garoedod6272 6 жыл бұрын
Nakupenda sana bina kasembo
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 6 жыл бұрын
Asanteni Sana kwa kumpokea joklet jamani
@salimmapunda7393
@salimmapunda7393 6 жыл бұрын
JOKLETII DUH
@twilumbakabelege3426
@twilumbakabelege3426 6 жыл бұрын
kweli daudi alikuwa mchunga kondoo, mungu akamwinua kuwa mfalme
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 6 жыл бұрын
Jina la joketi litawapa tabu sna watu wakisarawe😂
@njolenjole666
@njolenjole666 6 жыл бұрын
mwee..!! bibi angu hilo jina la joketi litampa tabu sana itabidi alitamke tu ivo ivo chocolate 👊😂😂
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 6 жыл бұрын
Jamaniiii!Ndugu zangu oooh....sweet home!!KARIBU Joket tunakupendaaaaa
@eunicejohn5520
@eunicejohn5520 6 жыл бұрын
namshukuru Mh rais kwa kutupa kipawambele sisi wanawake
@sairandaholy
@sairandaholy 6 жыл бұрын
Ingia ktk u tube channel yng uinjoy mzki mzuri....
@mussabuma9592
@mussabuma9592 6 жыл бұрын
Mimi sijutii jocket kua Mkuu wa wilaya ila napenda kukupa ushauli awa wakuu WA Wilaya chukua wazawa kwani mzawa ndie anajua mapuguf ya eneo ilo
@saidasimba9979
@saidasimba9979 6 жыл бұрын
Joklate bibi nomaaaaaa
@barakamgomba7111
@barakamgomba7111 6 жыл бұрын
Upo vizur mtangazaji honger
@asmabintikiwasha13
@asmabintikiwasha13 6 жыл бұрын
Mungu nimwema
@athumanomary1438
@athumanomary1438 6 жыл бұрын
Mwenyez MUNGU awe pamoja nawe mkuu wa wiraya mpya wa kisarawe
@rajabukibiki1374
@rajabukibiki1374 6 жыл бұрын
Joketiiiiii honger
@mussatendeli6909
@mussatendeli6909 6 жыл бұрын
Duu uyu bibi bwana eti jokoleti
@reginawilondja4690
@reginawilondja4690 6 жыл бұрын
Mussa Tendeli 😁😁😁
@mashallahoman6355
@mashallahoman6355 6 жыл бұрын
asanteni sana kwa kumpokeah vizuri sana kikazi
@philipmasalu9981
@philipmasalu9981 6 жыл бұрын
Mussa Tendeli
@godwinmariki2812
@godwinmariki2812 6 жыл бұрын
hakika tumepata jembehapa kazi tu
@yusuphmasorwa7523
@yusuphmasorwa7523 6 жыл бұрын
OK poa tuko pamoja
@davidwambura5915
@davidwambura5915 6 жыл бұрын
joti, yupo chini ya jocate saivi
@malikiduhmunisi7953
@malikiduhmunisi7953 6 жыл бұрын
Mbona wanasema ukiamia ccm kero za wananchi zinaisha kwani jimbo la kisarawe mbunge wake si waziri Jafo iweje kuna kero ya maji na changamoto lukuki?
@rehemaibrahim9972
@rehemaibrahim9972 6 жыл бұрын
Magufuli mwenyewe alikosea kutamka ,bibi wa watu ha haaaaaaa, jokeleti
@njolenjole666
@njolenjole666 6 жыл бұрын
mwee...! bibi angu hilo jina la joketi litampa tabu sana itabidi awe analitamka ivo ivo tu" Chocolate 👊😂😂
@mwanaharakatimzalendo973
@mwanaharakatimzalendo973 6 жыл бұрын
Baba yako anaweza kumweleza shida ya kiutu uzima jokate?
@ndinawepwele9468
@ndinawepwele9468 6 жыл бұрын
ila kisarawe maji shida kweli
@apolinarymazinda7788
@apolinarymazinda7788 6 жыл бұрын
Mkuu huyo wa wilaya yuko vizuri anajua kupangilia hotuba hata akiwa mbele ya wakubwa.
@denisdeusdedith5849
@denisdeusdedith5849 6 жыл бұрын
Kumbe Tanzania ishanyonyeshwa unafiki mpaka matawi.
@samanthaali873
@samanthaali873 6 жыл бұрын
😂😂😂😂wallhy raha watapata tabu sanaaaaaa
@chilechanda4883
@chilechanda4883 6 жыл бұрын
bundonza Safi sana
@jossshilima4040
@jossshilima4040 6 жыл бұрын
Majibu mengi hapa ni yamhemko hujawah Fanya kaz na mtu VP mmsifie
@shakilashakila2256
@shakilashakila2256 6 жыл бұрын
Joket fanya kazi mabadiliko lazima, kwani lazima uelimishe jamii
@aminamustafa3303
@aminamustafa3303 6 жыл бұрын
Jamani jokleti
@agnesblidadi6041
@agnesblidadi6041 6 жыл бұрын
Umekubalika kidoti
@marymarwa8428
@marymarwa8428 6 жыл бұрын
Jokleti😁😁😁 ndo maana kapelekwa huko ingekuwa Arusha mmmmh😀😀😀wange diss🤣🤣🤣 ngome ya chama iyoo! 😄😄😄
@mamad1175
@mamad1175 6 жыл бұрын
He mpaka leo maji tabu ni hatareeee
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 6 жыл бұрын
Mama angu mkubwa nimemwona oooh sante milad
@marthambugano7990
@marthambugano7990 6 жыл бұрын
yaan huy mkuu wa wilay inabid abadilishe jin maan wanakisalawe wanashindw kulitaj! jin vzr wasije wakapta tabu san
@priscajustine2183
@priscajustine2183 6 жыл бұрын
Utadoda abadilishwi mtu
@niceladeus1697
@niceladeus1697 6 жыл бұрын
saafiij saaan
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 6 жыл бұрын
Mmefika hadi chanzigee
@norbertshabani1193
@norbertshabani1193 6 жыл бұрын
Bibi huyo ahende shule sio jokeleti
@barakmsumi2354
@barakmsumi2354 6 жыл бұрын
Aende sio ahende
@mazeramatimo1110
@mazeramatimo1110 6 жыл бұрын
Hahaha😁😂😂😂
@aboudmsonde3137
@aboudmsonde3137 6 жыл бұрын
Barak Msumi wewe mwenyewe uende shule ahende ndonini nn???
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 6 жыл бұрын
Kiaimba Shabani hata wewe nenda Shule; sio ahende shule. Ungeandika " AENDE SHULE"
@barakmsumi2354
@barakmsumi2354 6 жыл бұрын
Aboud Msonde soma vizuri,mi nimeandika aende
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 6 жыл бұрын
watapata tabu sana
@rushurikarashid3018
@rushurikarashid3018 6 жыл бұрын
jokileti katatue kero za wana kisarawe
@denisdeusdedith5849
@denisdeusdedith5849 6 жыл бұрын
Et mchapakazi sijui hiyo kazi aliwahi kuichapa wapi
@elizabethzabron8489
@elizabethzabron8489 6 жыл бұрын
Iyo miwani VP mtangazaji
@modestaabeli3389
@modestaabeli3389 6 жыл бұрын
Jokate nakutakia kazi jema na mungu akutangulie ktk kazi yako amen
@fdhg47
@fdhg47 6 жыл бұрын
nisawa kabisa
@fugakwamalengo707
@fugakwamalengo707 6 жыл бұрын
Jokreti hahahaha
@godwinmariki2812
@godwinmariki2812 6 жыл бұрын
Mimi naitwa Godwin Mariki Mwenyekiti wa kitongoji cha Madukani, Kiluvya- katika mji mdogo wa Kisarawe, Tumepokea taarifa ya uteuzi wa Mkuu wa Wilaya kwa heshima kubwa. Joketi ni Binti Jasiri zao la chama cha mapinduzi mchapa kazi na kwa kisarawe hii ataimudu kabisa . kariiiiiibuuuu Mh Joket Mkuu wetu wa Wilaya.
@careenjonasy6223
@careenjonasy6223 6 жыл бұрын
alikiba umepokeaje hiyoooo
@patsonjackson8114
@patsonjackson8114 6 жыл бұрын
Duuu had joklet
@minaside6717
@minaside6717 6 жыл бұрын
😂😂
@darasahuru4532
@darasahuru4532 6 жыл бұрын
nice joket
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 6 жыл бұрын
Jamani siishi Tanzanian nauliza tu hii kisarawe ipo sehemu ya wapi Tanzanian.?
@bekamwikola2027
@bekamwikola2027 6 жыл бұрын
All the best DC joket
@leticiamafuru6072
@leticiamafuru6072 6 жыл бұрын
Kibaha pwan
@racheldauson6129
@racheldauson6129 6 жыл бұрын
Alhabsiya Zuweina kibiti
@aishawoooiii2777
@aishawoooiii2777 5 жыл бұрын
Pwani
@happymwaseba9493
@happymwaseba9493 6 жыл бұрын
Jockret
@sheillahchisika8414
@sheillahchisika8414 6 жыл бұрын
😂😂😂😂 jokoleti
@aminaridhione445
@aminaridhione445 6 жыл бұрын
ha ha ha jokleti
@robertmatonya1851
@robertmatonya1851 6 жыл бұрын
kwa hlo mm sijafurahishwa
@rahmamteri5592
@rahmamteri5592 6 жыл бұрын
Haaaaaaa jokeleti
@oscarmatheo662
@oscarmatheo662 6 жыл бұрын
kuna kitu apa ankoo mag
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 жыл бұрын
chokreti au jokeleti
@stevewagospel2414
@stevewagospel2414 6 жыл бұрын
mwe jocret mmmh
@josephtimothmbulu8677
@josephtimothmbulu8677 6 жыл бұрын
Ati kisarawe ina miaka mia lakini hata maji hamna, mnawezaje kupata maendeleo ikiwa "NGOSWE PENZI INAWEZA BAKIA KAMA KITOVU CHA UZEMBE, TANZANIA NCHI YENYE WATU WA AJABU SANA.
LIVE: YANGA WANATOA TAMKO MUDA HUU
1:34:32
Millard Ayo
Рет қаралды 138 М.
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 5 МЛН
Scary Teacher 3D Nick Troll Squid Game in Brush Teeth White or Black Challenge #shorts
00:47
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 101 МЛН
Meja Kunta - Kisarawe Ushoroba Festival
0:52
Meja Kunta
Рет қаралды 10 М.
Hitler in Colour (4K WW2 Documentary)
1:10:44
Best Documentary
Рет қаралды 9 МЛН
NATO Summit Day 1: NATO Summit Starts in Washington DC | NATO Summit 2024
1:55:05
LIVE: President Biden delivers speech to Nato summit
1:16:46
The Times and The Sunday Times
Рет қаралды 7 М.