WANANCHI WAFUNGUKA KWA UNDANI MKASA MZIMA, POLISI KURUSHA MABOMU NA WATU KUJERUHIWA

  Рет қаралды 30,900

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 251
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 2 ай бұрын
Jamaa anaakili sana. Point tupu. Kunachakujifunza hapa
@saibabatz_
@saibabatz_ 2 ай бұрын
Atatekwa huyu
@SaraJinalangu
@SaraJinalangu 2 ай бұрын
​@@saibabatz_ yaani huyo Leo haiishi walai atatekwa yni 🇹🇿 y hovyo Sana kwa sqsq Chura kiziwi kaharibu nchi😢
@HusnaMtitiko-yt4ru
@HusnaMtitiko-yt4ru 2 ай бұрын
​@@SaraJinalangusaa izi yupo kizimukazi anafurahia maisha
@rosekimaro384
@rosekimaro384 Ай бұрын
Uko vizuri kaka
@rosekimaro384
@rosekimaro384 Ай бұрын
Kaka pongezi zko
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 ай бұрын
Kamanda hili Tembo wana thamani kuliko sis Tembo ndoo wapige kura Asante sana tunashukuru kw hilo Tembo ndoo wapige kura,uko sawa baba hilo hatupingi
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 2 ай бұрын
Huyu kaongea vitu vya kweli suara la elimu na matibabu ni kweli ila tatizo ni hasila iliyo tumika
@IbalanaKandole
@IbalanaKandole 2 ай бұрын
Waliosikia stop nisiingie au x nimekufa like apa
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 2 ай бұрын
Sasa uchaguzi wanguvu ndio nini why selekali gani ambayo inapanga kiongozi ambae hawajamchagua😭😭😭😭mtihani mkuu wa wilaya umelala ndani utajua matatizo ya wananchi boss umeongea madini sanaaa kijana mungu awe naww 🎉🎉🎉ningekua na uwezo ningekupa cheo kikubwa waende polini wakapigiwe Kula na wanyama😂😂
@zuchuNosha
@zuchuNosha 2 ай бұрын
Msema kweli ni mpenzi wa mungu unasema ukweli braza hii serekali inawatesa raia ila kenya ilianza ivo ivo
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 ай бұрын
Serikali inahusikaje hapo?! Wanyofoa viungo wapo mnaishi nao majumbani taarifa hamtoi likitokea tatizo mnaijia juu serikali!!
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 ай бұрын
​@@rayisadesigns2646 inahusika mbn wavuta bangi inawatafuta
@snipershort6988
@snipershort6988 2 ай бұрын
​@@rayisadesigns2646acha kutetea ujinga ww umeskia alichoongea uyo jamaa wa kwanza hayo niyakweli kabisa au kwakuwa unafanya serikalini ee😢
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 2 ай бұрын
😂​@@rayisadesigns2646 weinaonekana ni mmoja wawatekaji watoto kundu wwe
@zuchuNosha
@zuchuNosha 2 ай бұрын
@@rayisadesigns2646 mjomba ngoja yakukute kwenye família Yako ndo utaamini hii selekar wanahusika sabu raia wanasema washatoa taarifa kituoni si Mara moja, Mara kibao but wanazarau na kauli ya serekali wanasema hizo ni drama kwamba wanajiteka wenyewe Sá kiakili inakuja MTU ujiteke mwenyewe? Watu Kila kukicha wanatekwa tekwa ovyo ovyo tu, na serekali IPO
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
Huyu jamaa mpen ubunge
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp 2 ай бұрын
Ccm Hivi Munaona Malalamiko Ayo Mumeshindwa Kazi Vilaza Nyinyi
@StellaKaluwa
@StellaKaluwa 2 ай бұрын
Polisi wangewalinda TU HAO wanawake mandama o Yao sio kiwapogaimi HATA shule sijanda nisimgewapiga na kuwakamata ningewasaidia kumfikisha ujumbe Kwa Amani ila kwasanabu polisi wa nchi hii niwababe ndio hivyoo wanatesa watu na kuwauw
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 2 ай бұрын
Mama,Samia popote ulipo kama unasikia kilio Cha wananchi wako,naomba uingilie kati kukomesha matatizo haya.Watanzania wana uchungu Sana wanavyoona serikali haingilii kati Kwa mkakati imara wa kutokomeza suala la upotevu wa watoto.
@stephenrwaich1078
@stephenrwaich1078 2 ай бұрын
​@@lukomanomaliki5442na si watoto tu hadi watu wa makamo wanatekwa pasipo sababu
@victorernest7702
@victorernest7702 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉umeongea point zote kaka hakuna Aman swala la elim bure hakuna wala matibabu
@juliusjaliwa9887
@juliusjaliwa9887 2 ай бұрын
Sauti ili sikika ikisema< ipo siku mta nikumbuka tena sio kwa ubaya> kwakweli tuna yaona nchi ilikua ilisha sifika sana na kila watu walikua walishakua na ham ya kurudi kuishi tz lakini kwa hiii hali duuuuu.
@RugakiMsingo
@RugakiMsingo 2 ай бұрын
Safi sana unaongea pont sana saivi wanya wana samani kuliko binadam.
@MagdalenaMagere
@MagdalenaMagere 2 ай бұрын
Kijana uko vizuri sana. Umesema ukweli mtupu. Mungu akulinde na kukuongoza.
@piuschacha4359
@piuschacha4359 2 ай бұрын
hongera sana kamanda unaongea point za kweli
@FilipoJastin
@FilipoJastin 2 ай бұрын
Kaka kaongea vizuri Sana
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 ай бұрын
Asante hii y kupigwa mabom+Mt w 6 kua w kwanza kutangazwa, viongozi wanakamata bangi,mirungi,nyamapori, mkuu wanakula bata Asante jembe wenye marisasi wamevamia wamekunywa hii ya Amani+uhuru wa kwenye mihuri, Asante jembe tunataka majembe,hii Tembo ana thamani Tembo ndio wa pige kura Asante jembe kw hilo Tembo kupiga kura Asante sana, Mzee baba,tunata majembe ka ww7000000,hp Tz,
@dallasmusic6465
@dallasmusic6465 2 ай бұрын
Maji huanza na vugu vugu kisha huchemka... Sasa viongozi endeleeni tu kutojali maisha ya watu Tanzania inahitaji mabadliko makubwa mno
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 ай бұрын
Nami kuna kitu nakiona mbele TZ kinakuja.
@AgnesShuma
@AgnesShuma Ай бұрын
Yes 👍👍👍👍 kaka sapot Mama samia nawenzako wote nendeni mwituni mkafanye kampeni huko nawanyama nampigiwe kura nawa kina tembo
@barakamwamasage-hy2jo
@barakamwamasage-hy2jo 2 ай бұрын
Uko sawa kaka Mungu akubariki
@StellaKaluwa
@StellaKaluwa 2 ай бұрын
Polisi ndio wauaji wakubwa wa watotowetu Mimi siogopi KUFA mwanangu amekufa wakunisaidia nipotaari KUTOA ushahidi popote nawaniue TU namimi KULIKO kuumia naunga MKONO MAANDAMA no huyo mkuu wawilaya ndie anaratibu majaji ndiomaana hanatarifa polisi ma mkuu wa wila laomoja wamekamtwa watu katibu mia Tano yeye anasema mia mianne anawapeleka wapi?
@deonicemollel4205
@deonicemollel4205 2 ай бұрын
Alafu mbwa mmoja bado anasema mama mitano Tena shatap😢😢
@saibabatz_
@saibabatz_ 2 ай бұрын
Anae sema mama mitano tena ni mbwa kabisa
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 2 ай бұрын
Ovyo kabisa, wanalazimisha kweli
@magabimagabi
@magabimagabi Ай бұрын
wakina dotto magari na wajinga wengine wenyewe kusifia tu
@majutoomari7445
@majutoomari7445 2 ай бұрын
Hongera kwa point
@allybernad1744
@allybernad1744 Ай бұрын
Kweli mkuu sawa uko vizuri
@joshuakasemelo1675
@joshuakasemelo1675 2 ай бұрын
Safiì moyo wangu umefurahi sana kwa maneno haya mazuri
@KubiluTabu
@KubiluTabu Ай бұрын
Daaah ila hiii nchi one day's will be yes mung hakika yupo nasi wakati wote
@JacobJoel-cb3ni
@JacobJoel-cb3ni 2 ай бұрын
Duuhh Mungu akulinde usipotee
@TitoNgomuo
@TitoNgomuo 2 ай бұрын
Wewe ni super,,tembo wa Africa
@maryamhannif897
@maryamhannif897 2 ай бұрын
Yaaani uki vizuri sana kaka
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 2 ай бұрын
Mpo sawa
@robsonlotyloy5678
@robsonlotyloy5678 2 ай бұрын
Safi sana kwa maelezo mazuri. Mungu akulinde
@leokamil6284
@leokamil6284 2 ай бұрын
Mungu amlinde huyo kijana maana hao wasiojulikana hawataki kuona mtanzania kama huyu wanataka machawa tu 🚮
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
Kweli kabisa tunaambiwa tulipie masomo ya ziada sh 5000 shule ya msingi Mlimani ipo Tunduma
@rashidsaid6015
@rashidsaid6015 2 ай бұрын
Jamaa kanyoosha maelezo wallah ntampa dadaangu wa kizaramo yani Yuko sawa kabisa
@DudddyWhyCant
@DudddyWhyCant 2 ай бұрын
Mara hiyo.
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 2 ай бұрын
​@@DudddyWhyCantakina Mura huwa hawapindishi maneno nampa 5, amenifurahisha sana..
@jonasmbala1326
@jonasmbala1326 2 ай бұрын
huyu jamaa ameongea vzr sana tena mkuu wa wiyala ha po ajiongezeeee ya tarime nawakubali saana
@ngungiwathiongo
@ngungiwathiongo 2 ай бұрын
Piga kwenye mshono baba 😁😁
@AlouiseNgenDanDumwe
@AlouiseNgenDanDumwe 2 ай бұрын
Samia noma atawakaliza hata wamasayi wanaonewa poleni sana mungu yupo nani kama mama samia kwanini asiende kwao zanzibar
@alimau7939
@alimau7939 2 ай бұрын
Tatizo ni mfumo wa Chama cha Majambazi ccm
@naqiahmad26
@naqiahmad26 2 ай бұрын
ila hili jamaa noma
@allymohamed2724
@allymohamed2724 2 ай бұрын
ALLAH AMRAHM. MZEE ÀLIJIULIZU. ASKARI WALIPEKWA KUWANUSURI DHDI YA HAO, MATOKEA YAKE WAZIRI ALIJUUZULU
@storytownTv
@storytownTv 2 ай бұрын
Ila kwa sasa Millard Ayo umeanza kupost habari, sababu mtaan yapo mengi mtaan ,mambo ya kutupostia Ajali ,mara zuchu na mwijaku sio sawa kabx ,nchi inaelekea pabaya😢
@rithaurassa
@rithaurassa 2 ай бұрын
Polen sana wanaharakati .hakuna lisilowezekana kwa Mungu iko ck.
@revells_7.0.76
@revells_7.0.76 Ай бұрын
Oooh God hawana Amani ninoma jamani 😢😢😢 nchi haina Amani vijana hawawezi kutafuta hata riziki Mungu wangu
@Patriotism-x3v
@Patriotism-x3v 2 ай бұрын
Taarifa nzuri, yaibueni hivo hivo zijulikane mbichi na mbivu
@EmmanuelThomas-c9s
@EmmanuelThomas-c9s 2 ай бұрын
Kweli kaka imetisha sana
@phare_tz
@phare_tz 2 ай бұрын
Umeongea kamanda umeongea safi aisee
@DouglasMkude
@DouglasMkude 2 ай бұрын
Kaka nimekupenda umeongea point sana kaka
@greysondavid6445
@greysondavid6445 2 ай бұрын
Taifa lina angamia kwa viongozi wake kukosa maarifa ya kiubunifu.Tunasoma kwa faida gani.
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 2 ай бұрын
Mm nashauli kwa watu kutekwa na polisi mala hivi kubakwa na maaskari kufanyiwa ukatiri na wanajeshi kikubwa wananchi uchaguzi ujao tusichague viongozi hawatufai hii tanzania mbona uongozi wa nyuma hayakuepo
@mjukuuhotelitv7736
@mjukuuhotelitv7736 2 ай бұрын
Huyu Jamaa ameongea point kabisaaa
@DottoMagesa
@DottoMagesa Ай бұрын
Aisee daah
@ElyotKyando
@ElyotKyando 2 ай бұрын
Good kijana💯☑️
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
Mi naona hapatanzania haki imeanza kupotea
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 2 ай бұрын
Nikweli tunateseka sisi wanawake na tunaumia kweli ivi Samia aujazaa wewe kama una watoto mungu alitendee kazi
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 2 ай бұрын
Mungu hachelewi Hawaii ipo one day yataisha mungu hamwangalii mtu kwa namna yoyote angalia machozi ya watu wako jehova
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 2 ай бұрын
Yaan hii serikal ya ccm haina hofu ya Mungu hta kidg yaan😢😢😢😢😢dah,,,,bdo tusipowwchagua wanajitokeza kina nape wanasema tutashinda kwa namna yoyote ile Mungu baba saidia watu wsko 🤲🤲
@GetrudaSeif
@GetrudaSeif 2 ай бұрын
👍uko vizuri sana brother
@salimumohammedsalimu1720
@salimumohammedsalimu1720 2 ай бұрын
Nakukubali point
@SelemanCharles-y7m
@SelemanCharles-y7m 2 ай бұрын
Ila kweli hivi huko Nako kunaupoteaji Kama bara
@RizikiMlela
@RizikiMlela 2 ай бұрын
Daa kaka nikweri kabisa hakuna kituchabure kiriniki 10000 ukiuriza unaambiwa uondoke shureni hukousisema kilasiku mtoto aende na 1500 kilasiku harafu unaambiwa erimu minute niuongo kabisa
@leokamil6284
@leokamil6284 2 ай бұрын
Tanzania watanzania tuungane tuitoe CCM bila kuitoa tutakoma
@AgnesShuma
@AgnesShuma Ай бұрын
Tz tunakwisha Mungu tuokoe
@pilishagata6152
@pilishagata6152 2 ай бұрын
Mnacheka nn sasa na upuuz wenu...au yanachekesha?
@frankwilson642
@frankwilson642 2 ай бұрын
Watanzania yeah wanaanza kupata ujasiri
@AsiaKhamis-hn2dd
@AsiaKhamis-hn2dd 2 ай бұрын
Aweeeee wew balaaa
@HassanAhmed-gp5jt
@HassanAhmed-gp5jt 2 ай бұрын
Sasa kama kwelii watu kuandamana mbona mmevunja maduka ya watu nyinyi lengo lenu halikuwa Hilo wezi tu acheni kuiga
@greysondavid6445
@greysondavid6445 2 ай бұрын
Taifa lina angamia kwa viongozi wake kukosa maarifa na kutokuyajua majukumu yao .Tufike hatua tukubali kukosolewa na kuyakubali madhsifu yetu,hapo ndipo tutakapi liokoa Taifafa letu.
@AlexMkwama
@AlexMkwama 2 ай бұрын
Yesu ponya TANZANIA
@edgahendi1949
@edgahendi1949 Ай бұрын
Jamaa awekewe ulinzi mzito jamani
@aronijuma1913
@aronijuma1913 2 ай бұрын
tell them the truth ,
@gwejonoah1900
@gwejonoah1900 2 ай бұрын
anafaa kabisa kuwa mkuu wa wilaya hiyo😂
@RamadhanMbwana-o1j
@RamadhanMbwana-o1j 2 ай бұрын
Mama anaangalia mpira tu ukishinda goli m5
@babawawiltegamaso4367
@babawawiltegamaso4367 2 ай бұрын
Hawa ndio watanzania wanaojitambua anaongea pont kubwa sana ila hii serikali nihakuna kitu
@DottoMagesa
@DottoMagesa Ай бұрын
Vingoz hawana uchungu kweli tuamkani
@BakariIssa-nx3yf
@BakariIssa-nx3yf 2 ай бұрын
Kwaiyo laia wanadai watu wanapotezwa alaf polisi wanauwalaiatena ccm jamani?
@imanlwitiko3570
@imanlwitiko3570 Ай бұрын
My country my bad
@josephassey3450
@josephassey3450 2 ай бұрын
kaka nakukubali serikali yetu inatutesa sana mungu achukue nafasi
@leokamil6284
@leokamil6284 2 ай бұрын
Tuitoe madarakani kwa nguvu moja
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 ай бұрын
Aya ccm ame pigwa lisasi m2 leo wana uwa wa2 kilaa sikuuu
@SelemanCharles-y7m
@SelemanCharles-y7m 2 ай бұрын
Watatuelewa tu.
@RIZIKIABASI
@RIZIKIABASI 2 ай бұрын
Mungu akubariki kwakusema ukweri
@PNoni-m6o
@PNoni-m6o 2 ай бұрын
ipo siku mjinga ata pata akiri!
@RubenKasomo
@RubenKasomo 2 ай бұрын
Alie kuwa wakwanz kuongea aweke namba apa❤❤❤❤
@AnatoriaRwabatwa
@AnatoriaRwabatwa 2 ай бұрын
Pole
@kasilimasunga2728
@kasilimasunga2728 2 ай бұрын
Ongea kijana unahakiri sana
@amotvtz1302
@amotvtz1302 2 ай бұрын
Ccm wamefanya ufisadi sasa wamehamia kwenye kuua wananchi wake wasiokuwa na hatia
@snipershort6988
@snipershort6988 2 ай бұрын
Uyo msema kweli awekewe ulinzi🎉
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 Ай бұрын
Yani wanyonge ndo wananguvu ya kuutafuta pesa ya haki na welevu ndo wamekuwa dhaifu hata mishahara Yao haiwatoshi hawaridhiki
@HaulSidney
@HaulSidney 2 ай бұрын
Pigeni chini hiyo CCM
@ngotosilasi2099
@ngotosilasi2099 2 ай бұрын
Umeonge kwahisia kubwa sana mwamba
@rubensaitoti6839
@rubensaitoti6839 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂mambo ya ngoshaaa
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 2 ай бұрын
Huyo mdada kanyoa nini sasa jamani ovyo
@allyshaban406
@allyshaban406 2 ай бұрын
Hivi hayo mnayochekea ni ya kuchekea kweli? Acheni kuchekea maumivu.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 ай бұрын
Msiwe mnacheka kwenye mambo muhimu. Amenikera anaecheka This is serious case men
@antipasjohn62
@antipasjohn62 2 ай бұрын
Samia must go
@MkamaIssac
@MkamaIssac 2 ай бұрын
Aaa kweli lamad yangu
@IsayaMngaza
@IsayaMngaza 2 ай бұрын
Kuna siku itafika hao hao vijana watakuja kuwapokonya hao askari na kuwaweka chini ya ulinzi kwasababu ya kuchoshwa na matukio ya hovyo hovyo kutoka serikalini,,. Yani unamdhulumu raia wa hali ya chini unaenda kumuongezea mla rushwa.
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 2 ай бұрын
Mitano tena kwasamia
@hamadmakame6040
@hamadmakame6040 2 ай бұрын
Hahaha eti tembo wakapige kura
@Frank255-e5g
@Frank255-e5g 2 ай бұрын
Kuwaongoza watu sio elimu tunawambia kila siku mtu aliepitia shida anawaongoza kuliko hizo elimu yenyewe
@simonchristian6319
@simonchristian6319 2 ай бұрын
Nimempenda huyo dada wa nyuma alivyonyoa
@salama1113
@salama1113 2 ай бұрын
Hao wanahabari ndo vibaraka wakubwa mungu atawahukumu
@LuhobeFashion
@LuhobeFashion 2 ай бұрын
Safi sana kaka
@leokamil6284
@leokamil6284 2 ай бұрын
Alafu Serekali inasema Elimu bure sijui hawaoni hao Mawaziri
@NassourJuma
@NassourJuma 2 ай бұрын
hongera san umeongea zaid y pwent
@vero57
@vero57 2 ай бұрын
Viongozi wote wa hiyo sehemu hiyo wako wapii ????? Hiii ni mbaya sana umeongea vizuri sana kaka
@IreneMacha-g8o
@IreneMacha-g8o 2 ай бұрын
Nipate msukuma wangu sasa niolewe . Nimegahiri siolew tena Kenya
@westserengeti5608
@westserengeti5608 2 ай бұрын
😂😂😂
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 13 МЛН
SUGU ALIVYOKAMATWA NA POLISI "TWENDE BABU, NITAKUVUNJIA HESHIMA"
3:14
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН