WANANCHI WAMGOMEA MAKONDA - HAWATAKI AONDOKE ARUSHA - AFUNGUKA MBELE ya KATIBU MKUU NCHIMBI...

  Рет қаралды 33,645

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

WANANCHI WAMGOMEA MAKONDA - HAWATAKI AONDOKE ARUSHA - AFUNGUKA MBELE ya KATIBU MKUU NCHIMBI...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 52
@omaryabeid5671
@omaryabeid5671 4 ай бұрын
Mungu akutangulie Mh Makonda nakuombea, binafsi natamani kuona viongozi aina yako TANZANIA ili wananchi wa chini wapate haki zao za msingi sana
@Rodrigo2020h
@Rodrigo2020h 4 ай бұрын
Mshimiwa Makonda mimi sio Mtanzania lakini napenda vile unaongoza kila sehemu unaalikwa na mama mpendwa SAMIA. Wewe ni mchapa kazi.👏👏👏👏
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 3 ай бұрын
Kwa nini ukane taifa lako? Toa maoni ya kawaida.
@Enigma_files_
@Enigma_files_ 4 ай бұрын
Naanza kuelewa kwa nini Baba yetu mpendwa Mungu mlaze mahala pema peponi mzee wetu Magufuli alimpenda sana uyu jamaa
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 4 ай бұрын
Wanaotaka uondoke ni wale waizi walioshindikana 😂😂😂😂😂watakaa sana hauondoki mama akitaka akose kura 2025 za arusha akutoe arusha😂
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 4 ай бұрын
Mheshimiwa katibu makonda anatosha hapo Arusha inapendeza Sana kuona umati mkubwa WA wanaichi ktk mikutano WA katibu mkuu Taifa
@faridbinjumaonlinetv9258
@faridbinjumaonlinetv9258 4 ай бұрын
Weka highlight my comment ni kwamba wangapi wanakubaliana na mimi kua makonda akisimama jukwaa uso wake unafanana na maguguli jmn😮😮
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 4 ай бұрын
TUNAKUPENDA MAKONDA❤
@binkhalifa6956
@binkhalifa6956 4 ай бұрын
Njoo TANGA❤❤❤❤❤
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 4 ай бұрын
Safi sana, piga spana hapo hapo wanadhani wanakukomoa kumbe ndio wanakufanya ung'are kila mahali.
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 ай бұрын
MAKONDA unapiga sana kaziii ❤🎉
@AniciaNyaga
@AniciaNyaga 4 ай бұрын
Njoo Kagera
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 4 ай бұрын
Daktari Nchimbi ,mwambie mama sisi wananchi Wa Arusha atupe Makonda miaka 5 tu halafu ameleke huko kwingine tutakuwa kila mtu amepata anachokitafutaga miaka na miaka
@justinpeter5172
@justinpeter5172 4 ай бұрын
Tunakuombea sana kaka
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 4 ай бұрын
dont go im from American mbagara rangi tatu🙆🙆🙆
@fatumazuberi9842
@fatumazuberi9842 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@zahoorz2915
@zahoorz2915 4 ай бұрын
😅😅.😅😅😅😅we kiboko
@NeemaMushi-wj1zn
@NeemaMushi-wj1zn 4 ай бұрын
Malinda usiende tunakupenda san❤arush
@NeemaGabriel-d8e
@NeemaGabriel-d8e 4 ай бұрын
Mungu akuinue tena
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 4 ай бұрын
Njoo dar tumechoka
@SofiaS-i5r
@SofiaS-i5r 4 ай бұрын
😮😮Dar ten
@ibrahimhodabaksh3939
@ibrahimhodabaksh3939 4 ай бұрын
JEMBE OGEA PIGA SPANA TUMIA NO 100
@halimadamasi2770
@halimadamasi2770 4 ай бұрын
Usihameee ❤❤❤
@akbarkisamo8392
@akbarkisamo8392 4 ай бұрын
Kwisha chadema 😂🎉
@1961nungwi
@1961nungwi 4 ай бұрын
Chadema ni Chama tuu.Tunazungumzia Maisha Bora ya WanaNchi chini ya Dr Samia Suluhu Hassan! Mitano tena🎉😊
@Ak-yaska
@Ak-yaska 4 ай бұрын
My man you're on TIME ❤
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 4 ай бұрын
Bahna usihame please
@thomastemu3332
@thomastemu3332 4 ай бұрын
Makonda hoyee
@emmyurio7735
@emmyurio7735 4 ай бұрын
Hakuna kuhama jamani
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 4 ай бұрын
😂😂😂Bakia Baba
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 4 ай бұрын
👍👍
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 4 ай бұрын
❤️❤️
@josephminja7953
@josephminja7953 4 ай бұрын
🙌🙌
@SadikibakariSadiki
@SadikibakariSadiki 4 ай бұрын
Kaza kaka
@Jastini-gv3vt
@Jastini-gv3vt 4 ай бұрын
Hata azie kupenda atapandisha mkono ila mwananchi mwenye akili na hovu ya MUNGU lazima akupende
@RobertGwelela-zq2fr
@RobertGwelela-zq2fr 4 ай бұрын
Mama akikutoa huko Arusha,Akulete huku kwetu mkoa wa Songwe.Mama akulete Songwe.
@EmmanuelMdone
@EmmanuelMdone 4 ай бұрын
Anatosha Makonda Mwamba
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 4 ай бұрын
Acha tu ccm watawale. Mimi nikiwaangalia wapinzani nawaona bado sana. Upinzani haijui kupika viongozi vijana. Angalieni kenya Ruto anavyopata shida kuongoza nchi. Kuongoza nchi siyo jambo la mchezo mchezo
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta 4 ай бұрын
Huendi mahali muheshimiwa tumekukamata kabisa kwenye maombi watahamisha wengine wewe bado kazi haijaisha Arusha🏃🏃
@kagombaEnok
@kagombaEnok 4 ай бұрын
We jamaa unapenda sifa sana
@ThomasfrancisMvella
@ThomasfrancisMvella 3 ай бұрын
Huyu mwamba anajua kaz yake....Co sifa......na tutakomaa naye mpaka cku atakapotawazwa kuwa amiri jeshi mkuu wa nchi yetu...
@alexkamba5264
@alexkamba5264 4 ай бұрын
Njoo Mbeya japo miezi mitatu tu.
@daviddsouza735
@daviddsouza735 4 ай бұрын
Wana upendo ee?
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 4 ай бұрын
Watakuua?
@hawagondwe2056
@hawagondwe2056 4 ай бұрын
Makonda wetu makonda kipenzi Cha Wataanza gombea nafasi ndani ya chama usogee kwenye mkutano mkuu uwe unaingia 2030 tunasimama na unachukua nchi saa 4 asubui
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta 4 ай бұрын
Ukweli wako ndio unanifanya siku hizi nasikiliza mikutano ya chama
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 4 ай бұрын
Usiondoke
@jacksonmagola1824
@jacksonmagola1824 4 ай бұрын
Haondokii
@GodfreyJ.GMasunga
@GodfreyJ.GMasunga 4 ай бұрын
Ulongo
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 4 ай бұрын
Nawaonea huruma wananchi wa nchi hii wanavyoteswa na siasa za ccm za kupwa na kujaa. Yote yaliyo kero mwenye serikali ni ccm. Kwa hiyo hizi ni fujo za uchaguzi ili watu wawaamini Kisha maisha yaleyale yaendelee
@modestusndunguru7183
@modestusndunguru7183 4 ай бұрын
Wakati unaongea hayo....uko nyasa na mwinginko chama chenu cha mbege...wanalalaika hujuma wakina..msigwa 😅😅
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 264 МЛН
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,3 МЛН
African Billionaire Aliko Dangote on The David Rubenstein Show
24:07
David Rubenstein
Рет қаралды 1,3 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 264 МЛН