Wananchi wapewa vifaa kukabiliana na tembo.

  Рет қаралды 64

Hot News

Hot News

2 жыл бұрын

Kutokana na ongezeko la matukio ya tembo kuvamia makazi ya wananchi na kuleta madhara kama vifo vya binadamu Majeruhi na kuharibu mazao mkoani Simiyu mamlaka ya usimamizi wa wanyama pori TAWA imetoa vifaa vya kufukuzia Tembo kwa vikundi vilivyopewa mafunzo hayo.
Takwimu zinaonesha kwa wilaya ya Bariadi pekee mwaka 2021 watu 3 waliuawawa na tembo, watu 3 walijeruhiwa na ekari zaidi ya 1600 ziliharibiwa
Tembo ni miongoni mwa wanyamapori hatari na waharibifu ambae amekua akisumbua zaidi mkoani Simiyu husudani katika wilaya za Meatu, Itilima Busega na Bariadi.
Mwisho.

Пікірлер
Maafisa TRA Simiyu walalamikiwa kwa kauli mbaya
1:41
Azam TV
Рет қаралды 428
1972 Andes Plane Crash Survivor
31:17
Nitish Rajput
Рет қаралды 2,1 МЛН
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 2,4 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 37 МЛН
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 8 МЛН
Why UK 🇬🇧 is going Bankrupt? : Detailed Economic Case Study
20:37
Mwabukusi Atoa Hotuba Nzito Baada ya Kuapishwa, 'Tuwe Wamoja'
19:11
AJALI YAUA SABA SIMIYU
6:56
Hot News
Рет қаралды 479
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 2,4 МЛН