AJALI YAUA SABA SIMIYU

  Рет қаралды 479

Hot News

Hot News

2 жыл бұрын

Watu saba wamefariki dunia na wangine wanane wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha Lori lenye namba za usajili T 172 AUP tela namba T 471 ABT mali ya mfanyabiashara wa mjini Bariadi aliyefahamika kwa jina moja la Lupeja kugonga bajaji yenye namba MC 426 CFQ ambayo mliki wake hajafahamika.
Ajali hiyo imetokea leo March 27, majira ya saa moja na nusu jioni maeneo ya mtaa wa kidulya nje kidogo ya mji wa Bariadi ambapo lori hilo lilikuwa limebeba tofali likitokea Wilaya ya Maswa kuelekea katika Mradi wa ujenzi wa chuo cha Veta.
Taarifa za awali kutoka kwa Kaimu kamanda wa na jeshi la zimamoto na uokoaji mkoani Simiyu Faustine Mtitu ambazo zinaeleza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa dereva wa Lori uliosababisha ashindwe kulimudu gari na kisha kugonga bajaji.

Пікірлер
CHEKI WEZI WA MIFUGO WALIVYONASWA. #SIMIYU
5:40
Hot News
Рет қаралды 834
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 14 МЛН
APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA 2
3:18
Hot News
Рет қаралды 106
Mapokezi ya Mbowe #Kilimanjaro
1:09
Hot News
Рет қаралды 8 М.
DC FAIZA ATETA NA WANAWAKE
2:35
Hot News
Рет қаралды 29
TAZAMA:WANANCHI WAJENGA KIVUKO KUFUNGUA BARABARA
5:44
Hot News
Рет қаралды 18
¡Top 10 EXCAVADORAS más IMPRESIONANTES del MUNDO!
14:18
ProductoX
Рет қаралды 51
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН