Tanesco Simiyu kunza kutumia huduma ya ni-conekt app kuhudumia wateja wapya.

  Рет қаралды 310

Hot News

Hot News

2 жыл бұрын

Bariadi. Shirika la umeme (tanesco) Mkoa wa Simiyu limeanza kutumia mfumo wa kielectroniki wa ni-konekt kupitia komputa na simu za mkononi Ili kurahisisha huduma Kwa wateja wapya pamoja na kupunguza msongamano wa gharama na muda wanapohitaji huduma za kuunganishiwa umeme.
Akizungumza na mafundi umeme wanaotandaza mfumo wa umeme majumbani Meneja wa tanesco Mkoa huo Alistidia Clemence amesema mfumo huo utaanza kutumia ifikapo Juni 6, 2022, ambapo wateja watakuwa hawana usumbufu wa kufika ofisi za tanesco watatuma maombi popote walipo.
Kikubwa tunachosisitiza ni kwamba wateja wakamilishe kutandaza mfumo wa umeme majumbani kabla ya kutuma maombi ili iwe rahisi na haraka kupata huduma Kwa sababu mfumo huu hauna mzunguko mrefu kama ilivyokuwa awali.
"Faida za mfumo huu ni kurahisisha na kuondoa vishoka ambao walikuwa mtu kati katika utoaji wa huduma Kwa wateja na itaondoa Ile usumbufu na gharama Za mteja kuja na kurudi katika ofisi zetu ili kukamilisha huduma za usafiri" amesema
Aidha ameongeza kuwa mfumo huu hauna mzunguko na masharti mengi kama ilivyokuwa mwanzo, Kwa Sasa mteja atatakiwa kuwa amekamilisha kutandaza mfumo wa umeme nyumbani pia kuwa na aina yeyote ya simu ya mkononi au komputa Ili kupata huduma hii na itachukua siku mbili Hadi tatu ili mteja kuwashiwa umeme.
Mhandisi Johansen Mukulasi akimwakilisha mhandisi mkuu wa ufundi amesema wanachokisisitiza Kwa mafundi ni ufanisi na kuhakikisha wanakizi vigezo vya usajili kutoka mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji Ili wakidhi kutoa huduma hizo kwa wateja.
Hapo awali mfumo uliotumika ulitaka mteja kutembelea ofisi za tanesco Ili apate fomu ya maombi Kisha aanze kufuatilia usajili na ilichukua siku 30 Hadi 90 Ili mteja kuwashiwa umeme Hali iliyodababisha wateja kushindwa kupata huduma Kwa wakati.
"Ilikuwa mteja Ili apate umeme ni lazima afike ofisi za tanesco na muda mwingine arudi bila kuhudumiwa Kwa sababu ya changamoto za mtandao na pengine akimaliza itachukua muda mrefu Hadi kuwashiwa umeme Hali iliyodababisha sisi mafundi tuonekane matapeli" amesema Joseph Ikombe fundi umeme.
Mwisho.

Пікірлер
CHEKI WEZI WA MIFUGO WALIVYONASWA. #SIMIYU
5:40
Hot News
Рет қаралды 834
Fareed Zakaria Explains Why Today Is Just Like the 1920s | In the City
38:47
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 5 МЛН
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 31 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 4,7 МЛН
WATEJA 3,945  KUNUFAIKA NA HUDUMA YA UMEME SIMIYU
6:21
TAZAMA:WANANCHI WAJENGA KIVUKO KUFUNGUA BARABARA
5:44
Hot News
Рет қаралды 18
AJALI YAUA SABA SIMIYU
6:56
Hot News
Рет қаралды 479
Ultimate K Series Build: Titanium Rod K400 Endurance Engine!
25:10
4 Piston Racing
Рет қаралды 5 М.
Learn Finnish in 4 Hours - ALL the Finnish Basics You Need
3:50:40
Learn Finnish with FinnishPod101.com
Рет қаралды 438 М.
CHEKI MBOWE AKIWA KANISANI
2:07
Hot News
Рет қаралды 54
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 5 МЛН