WANAUME NGALAWA HATARINI KUACHWA NA WAKE ZAO

  Рет қаралды 15,019

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 90
@muslimusaidi6117
@muslimusaidi6117 5 жыл бұрын
Ccm oyeeeee oyeeeee mapinduzi itikieni bc daimaaaaa 2020
@fatmaabdulla7080
@fatmaabdulla7080 5 жыл бұрын
Viongozi mutupende na siye maisha yenu yako poa tunajiajir munaturejesha nyuma tuzindukeni tufuateni amri za Alla . Sheria za binaadamu hazina huruma tukifuata sheria za Alla atatuneemesha
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 5 жыл бұрын
Tufanyeni lolote litakalo kua na liwe in sha Allah hawa washenzi sio watu wazuri hawafai 2020 in sha Allah Allah awadamirishe viongozi wa znz tumechoka nao
@mrfix6596
@mrfix6596 5 жыл бұрын
Masoudy Rashidy aamin
@sabraabdilnasir8826
@sabraabdilnasir8826 5 жыл бұрын
Nikweli huyu jamaa anavosema kule mbali biashara imekuwa ngumu namuomba allah awafanyie wepesi
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 5 жыл бұрын
ameen inshawh...
@alikhamis6033
@alikhamis6033 5 жыл бұрын
Allah atafanya wepesi wa maisha inshaAllah hapo zanziber
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
In shaa Allah hapewi taraka ntu hapo na nkewe Allah atajalia wepesi kwa kila jambo poleni kazaneni tu kupapatua. Mumewangu usiogope ukikosa rudi tu nyumbani sikuachi.
@Pedeshee01
@Pedeshee01 5 жыл бұрын
Nikikosa nitakwambia Zayyati nimekosa na ndiyo maana nimekuchagua wewe 🙏🙏 unajua kupata na kukosa. Kuna wanawake wengine anaweza kukwambia Mwanaume gani umetoka asubuhi unarudi jioni unasema umekosa,unakosaje sasa si bora ungeniacha mimi mkeo nitoke nikatafute😁😁,Zayyati wewe upo 👌👌 Allah akupe imani hiyo
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
@@Pedeshee01 🙌Umeona eeeeeeeeeeeee omar mm na ww tena Omar lakini punguza michepùko😞🙆
@Pedeshee01
@Pedeshee01 5 жыл бұрын
👏👏🙏🙏🙏 habibi nitabaki njia kuu michepuko siyo dili,
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
@@Pedeshee01 Sawa Omar taraka nitaweka mlangoni kwa debe la taka
@Pedeshee01
@Pedeshee01 5 жыл бұрын
zayyati yusufu ❤️❤️❤️ mpendwa talaka uiandike wewe tu mi niiweke saini 😁😁
@bikomboali7342
@bikomboali7342 5 жыл бұрын
na ikifika 2020 itilien CCM tena manake hamukom maish magumu
@mamyrylovemeagain2406
@mamyrylovemeagain2406 5 жыл бұрын
Siwaliambiwa watatengezewa km dubei dubei iyo
@mwanaidiramadhan3919
@mwanaidiramadhan3919 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@abuumansoural-amrik6317
@abuumansoural-amrik6317 5 жыл бұрын
viongozi wa Afrika ndo ao ao ata umtilie nani hatwendi kokote
@issaibrahim7325
@issaibrahim7325 5 жыл бұрын
@@abuumansoural-amrik6317 ila ndio tufanye changing tuone upande wa pili
@muslimusaidi6117
@muslimusaidi6117 5 жыл бұрын
Wataisoma namba au tutaisoma namba kwa wote haya 2020 ipigieni tena ccm kura tuisome tena
@rahmahussein4019
@rahmahussein4019 5 жыл бұрын
Everything they are talking is absolutely true . Jamani serikali wasaideni Kwa hali yoyote hawa wafanya biashara ....kwani maisha ni magumu kwa hio nyie serikali lazima muwasaidie. kwani watapoweza kuuza samaki wao Kwa wingi , hapo ndio na wao wataweza kusaidia.. familiya zao majumbani . ..Kwa mara nyengine tena serikali saideni hawa watu.. coz they have been suffered enough....this is so sad...😢
@luqmanmwinyi7953
@luqmanmwinyi7953 5 жыл бұрын
Absolutely 2👍.. Coz ya yote wao viongozi wakihitaji wanaletewa ama wanatumia magari ya serekali kuwafikisha kokote. Na kpata chchte wanacho hitaji Ila ya yote In shaa allah M/mungu yuko pamoja nasi
@luqmanmwinyi7953
@luqmanmwinyi7953 5 жыл бұрын
Absolutely 2👍.. Coz ya yote wao viongozi wakihitaji wanaletewa ama wanatumia magari ya serekali kuwafikisha kokote. Na kpata chchte wanacho hitaji Ila ya yote In shaa allah M/mungu yuko pamoja nasi
@salmaelhinai833
@salmaelhinai833 5 жыл бұрын
Allah atawafanyia wepesi
@emmanueliemmanueli7600
@emmanueliemmanueli7600 5 жыл бұрын
Mwenyezi mungu atatoa njia inshallah
@intisaarsaid6858
@intisaarsaid6858 5 жыл бұрын
Kweli mie nna mchuuzi kaniambia anaacha kazi hio kashindwa sarikani wafikirieni wenzenu
@truthspeaker2062
@truthspeaker2062 4 жыл бұрын
Subhanallah Wanatia huruma wananchi .
@MAPETEE
@MAPETEE 4 жыл бұрын
Nakuoneeni huru wazee wangu Hio ndio serekali ya Zanzibar Ah haya tuu Yana mwisho hayo
@mwanaz3110
@mwanaz3110 5 жыл бұрын
Kazi ya Jecha na Babu Ali hiyo 2015!!
@hatimmohamed4299
@hatimmohamed4299 5 жыл бұрын
Ilani ya ccm ni kuwapa wananchi umasikini.
@muslimusaidi6117
@muslimusaidi6117 5 жыл бұрын
Hahahaha eti picha ccm bwana mapinduzi kweli
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
Allah awafanyie wepesi
@abdallahmohammed1082
@abdallahmohammed1082 5 жыл бұрын
Hizo ndio faida za serikali yetu
@mwanaidiramadhan3919
@mwanaidiramadhan3919 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@merasanam4305
@merasanam4305 5 жыл бұрын
Ba storo hongera kwa point
@jumamkalamba4829
@jumamkalamba4829 Жыл бұрын
Allah asema vipi tuwe pamoja na makafiri watakapo tutawala ua kutushinda nguvu hatoangalia mikataba Wala ahadi Sasa maneno ndio hayo halafu mnasema serekali yenu ikiwaniyenu tulieni mtulake halimtapishi
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
Shukran Ktv tz online hakika hii ni FAHARI yetu
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂🙌
@Pedeshee01
@Pedeshee01 5 жыл бұрын
zayyati yusufu unafurahi mwenyewe tena😁😁😁 habib wangu
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
@@Pedeshee01 kanifrahisha👆aliosema tutaachwa
@Pedeshee01
@Pedeshee01 5 жыл бұрын
Habib wangu mi sikuachi❤️❤️❤️ mi na wewe full upendo nakupenda
@fatmamohamed1099
@fatmamohamed1099 5 жыл бұрын
mung atawafanyia wepec
@mwanaidiramadhan3919
@mwanaidiramadhan3919 5 жыл бұрын
Aamin
@omarisuleiman2611
@omarisuleiman2611 5 жыл бұрын
Ndo maendeleo yenyew hayo miak 56 tok tupate uhur baad ya mapnduz, CCM oyeeeeeeee!!!!!!
@faridaali6850
@faridaali6850 5 жыл бұрын
Hiyo ndio siri kali ya ccm wanaona kutuua kwa mazombi hatumalizi sasa watuue kwa njaa ALLAH atufanyie wepec
@boblee7898
@boblee7898 5 жыл бұрын
Znz government like brother K (kukurpuka)
@MohammedAli-xf5qn
@MohammedAli-xf5qn 4 жыл бұрын
Kura zenu wenyew izo zimekupeleken ngalawa ....... ccm oyeeeeeeeee
@allymtumwa3138
@allymtumwa3138 5 жыл бұрын
tutaisoma namba kwely kwely mwaka huu mwakani tutapiga tena kura kwa ccm
@suleimansaid769
@suleimansaid769 5 жыл бұрын
Narejea Tena kura kwa CCM hayo ndo maendleo mabadiliko lazima vijana uchagzi unakuja tusiache kujitokeza tutapojaaliwa kufka na kura kwa CCM
@ahmeidyoung2410
@ahmeidyoung2410 5 жыл бұрын
Duh hatar sana
@salehkhamis3063
@salehkhamis3063 4 жыл бұрын
Yajayo yanafrahishaa vuteni subra mambo yatabadilika kwa uongoz wa mwinyi mtetez wa wanyonge
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 5 жыл бұрын
Allah hafanyi wepesi bila kuufaanya bila kuufanya wenyewe msiipe kura ccm hawana khabari wala kheri na nyie wao wako kwa matumbo yao tuu hebu sikieni msiwape kura hao hata moja wacheni waizidi kuiba hawana kuwajengea lolote kazi zao kudanganya hamkomi tuu wacheni hao machogo waliojazwa kwa makusudi na wao pia Allah awageuzia someni Bismlilah Rahman Rahiym kwa wingi kwa nia ya kuondolewa watawala madhalim hao wezi wa haki zetu Wazanzibari jamani Watanzania kwa jumlaabadiliko ya fanyeni nyie wenyewe kwanza na hao wabara wenzao waliowaleta kwa makusudi wapigeni vita kwa dua visomo nyirad kwa kumuelekea Allah kwa yaqini maana na wao wanatumiliwa kutudhulumu tu haki zetu eee mpaka mkuu wa polisi kutoka bara serikali nzima mijitu yenye asili ya bara mnadhani kweli watatutakia kheri sie Wazanzibari pia na kumuuasi MMungu kwa ushirikina na maasi yote alotukataza na msidanganywe kwa kufanyiwa lolote lile na serikali iloekwa madarakani na Ccm na MMungu atawatia adabu hao kwa dhulma zao Allah Kareem hana haraka
@mwalimumbukuzi7273
@mwalimumbukuzi7273 5 жыл бұрын
hayo ni qadari? ama jaje! Allah awape subira
@hamishamis9905
@hamishamis9905 5 жыл бұрын
Nakumbuka znz tuliambiwa itakuwa Dubai ndo hii au !!!!
@suleimankhamis8298
@suleimankhamis8298 2 жыл бұрын
sasa vipi wengine wasema samaki wanauzwa mpaka siku ya pili wengine wasema samaki hamna hawa wafanya biashara wafirikiwe sana vyuma vimebana kweli
@mamyrylovemeagain2406
@mamyrylovemeagain2406 5 жыл бұрын
Ejamani ngalawa ni pwani ya starehe2 sio biashara polen 2020 iyo wapeni tena kura
@alizahranmohd4095
@alizahranmohd4095 5 жыл бұрын
saiv tumehamia mazizini wanunuzi
@rashidomar2771
@rashidomar2771 5 жыл бұрын
Kwenye mfumo wa kiuchumi,,mmoja anapoumia mwengine huwa ni fursa,,sisi wenyeji wa huku tunaomba wasiondoshwe,,wabaki tu,,,na wakiondoshwa ,,basi uharibifu ma mazingira utathminiwe,,
@الزنجباريعلي-ب4ذ
@الزنجباريعلي-ب4ذ 5 жыл бұрын
naalfumbili ishirini endeleeni ivo ivo kuwapigia kura wasipo wadidimiza kabsaa
@khamisame4732
@khamisame4732 5 жыл бұрын
Daa nikweli iyo bandar mbaa sana maana km utapeleka chombo chako nakm utavuma upepo unakiuwa chombo chako chot pigen vit iyo Bandar mbaa sana
@makamemufadhil627
@makamemufadhil627 5 жыл бұрын
Musiishi kwa mazoea mbona maisha yamekaba sote tu
@lenniefei6710
@lenniefei6710 5 жыл бұрын
Cha msingi watu watoke kwenye muungano......mutalalama hadi nyute ziwatoke!
@mtotomzuri8821
@mtotomzuri8821 5 жыл бұрын
Eti kweli tumejipanga na mara hii wataisoma ebooooo bonge la song yaani noma ili song hem subiri nilirejee tena Eti tumejipanga na mara hii wataisoma hhhhhhhhhhhhh
@faridaali6850
@faridaali6850 5 жыл бұрын
Wakiona sehemu watu wanapata ricki wanapatafutia sababu zisizokua na mcngi kuwahamisha
@aishaomar4318
@aishaomar4318 5 жыл бұрын
Hii seri kali inaamua tu hawamshaur mtu. Mambo yao hawafkirii wananchi.
@mrfix6596
@mrfix6596 5 жыл бұрын
Nimegundua kitu, hapa watu wametengwa,
@khajumkhamis7910
@khajumkhamis7910 5 жыл бұрын
Haaa bahamadiii
@jumamkalamba4829
@jumamkalamba4829 Жыл бұрын
S
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 5 жыл бұрын
Labda hao wanawake wenyewe wawe matapeli au hajielewi . Kwani hapo mwanzo huko makwao waliluwa hawakosi chakula .watu hawana pesa. Hata mukiwapeleka darajani mambo ndio hayo hayo
@tonysolomon2841
@tonysolomon2841 5 жыл бұрын
Bora uowe mtoto wa kitajiri kuliko kuowa mtoto wa kimasikini kisha ukampa maisha wallahi akitulia ataanza kukuudhi tu
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 5 жыл бұрын
nishawahi kufika hapo ngalawa wiki chache nilipokua znz kweli samaki ghali bora ata mtangani kipindi cha kaskaz
@hassankombo8373
@hassankombo8373 5 жыл бұрын
Tulieni kwanza tunatengeza barabara maendeleo ni kidogo kidogo halafu tu nakuja huko basi halafu ukisha lala mika sema mapinduziiiiiiiiiiiiii halafu sema daimaaaaaaaaaaaaaaaa
@khajumkhamis7910
@khajumkhamis7910 5 жыл бұрын
Tutawaowaaaaa
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
Usimuowe mumewangu tu🙌
@khajumkhamis7910
@khajumkhamis7910 5 жыл бұрын
@@zayyatiyussuf9566 mnh kwan mwanamme aowana??
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
@@khajumkhamis7910 siumesema 👆
@khajumkhamis7910
@khajumkhamis7910 5 жыл бұрын
@@zayyatiyussuf9566 mhnnn
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
@@khajumkhamis7910 😴kazungumze na shemejio👆
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 5 жыл бұрын
Kazi zao ni dhulma tuu
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 5 жыл бұрын
Nyie mnaosema tusiwape ccm ata km hupigia wao ccm haiondk madarakani abadani na hio ikiondok mnahis ndio maish yatabadilika au? Kubwa kuwaombea viongoz tu wawe na iman na wanachi wao bs
@khajumkhamis7910
@khajumkhamis7910 5 жыл бұрын
Hali tete kote
@fatumamasudi2153
@fatumamasudi2153 5 жыл бұрын
Mitihani lkn Allah atafungua njia inshaAllah subra ndio muhimu
RAIS MWINYI AZINDUA BANDARI MPYA ZANZIBAR l HII APA BANDARI KAVU
3:10
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 66 М.
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,6 МЛН
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 85 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
HIZI NDIZO NYUMBA WATAKAZO PEWA WANANCHI WA ZANZIBAR KAMA FIDIA YAO
4:39
The Story Book : Mizimu Ndani Ya Pango La Ngonga Zanzibar
30:04
Wasafi Media
Рет қаралды 239 М.
TUKIO MOJA LILILOFANYADUNIA KUFIKA ZANZIBAR MWEZI HUU
2:31
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 25 М.
AJALI MBAYA KISAUNI ZANZIBAR, BASI LAGONGA NA KUUA HAPO HAPO
5:35
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 54 М.