Mashalah mashalah mashalah..maneno yako mazuri Sana ...kuhusu fikra za umaskin ni mbaya Sana ...nakulalamika muda wote inatia Sana udhalili na udhaifu..kufanya kazi ndokila kitu...lazima uwe mpambanaji lazima uwe na mawazo ya upambanaji Ili zarau zisiwepo.maneno yako yaleo yanatia Sana nguvu Yan madam..safi maneno yako yamezidi kunitia nguvu zaidi kwenye upambanaji wangu... mashalah mashalah mashalah
@KhuwailidMuhammad18 күн бұрын
Maa shaa Allah ,Jazakallah lkhery Allah akusimamie katika khayrat Akujaze imani pia akulinde na hassad za walimwengu shukraan kwa kutufikishia ujumbe Allah amekuchagua na iyo ni amana
@DestineNISHIMWEАй бұрын
Eeee najivunia mama leila 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🎉najifunza mengi kutoka kwako shukran mama mungu akupe maisha marefu 🙏🙏
@MossAlimossКүн бұрын
Ila kipindi kizuri Sana Dada angu nafurahi Sana kwa sababu niko ndani ya ndoa Sasa kwa miaka kumi Sasa. Maelezo yako yananipa raha Sana. Maneno Safi Sana.
@yusufuheri6524Ай бұрын
Asante sana dada angu
@hammytototundu92925 ай бұрын
Masha Allah madame mungu akulinde na husda uzid kutufundisha
@frdosr57945 ай бұрын
Allahu Akbar,kila la kheri kwako dada,kwani mawaidha yako yafaa tena sana❤.Khayr fii duniya wal Akhera inshaAllah.
@JumamatanoKakala3 ай бұрын
Juma matano kutoka Kenya pia mm nafaidika na madam Leila Tena Hilo jina kidogo liliingia kwa ukoo wetu ak naburudika sana,nisalimie Leila sheikh Hatibu.
@PetroMggalu2 ай бұрын
Wewe mama ni mwalimu hakika mwenyezi Mungu aendelee kukutumia.
@adijamuke85905 ай бұрын
ManshaAllah tabaraka Allah Allah akulipe kilalakheri fi dunia wali Akhera ❤❤❤❤
@MadamLeilaAbubakar5 ай бұрын
Ameen
@mariamlasseko15175 ай бұрын
Allah akutunze kwa ajili yetu madam🤲
@ObediMhehe5 ай бұрын
Daa! Mungu akulinde sana madamu Leila.Hakika wewe ni tunu
@Siasia2095 ай бұрын
Darsa zuri shukrn sana Allah awalipe
@CynthiaNdayisaba-c4w5 ай бұрын
Masha Allah Tabaraka Allah Jazaka Allah kheir
@mrmahmoud12785 ай бұрын
wewe unajua na unawajua👍
@ashashaban64845 ай бұрын
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHER DADA YETU MUNGU ATUPE MWISHO MWEMA INSHALLAH
@MadamLeilaAbubakar5 ай бұрын
Ameen! atulipe sote
@FatmaOmar-r1t5 ай бұрын
Mi mwenyewe nimeumia sana alipo kuja Zanzibar nikawa sipo ,iliniuma sana nikasema ningekuwepo Zanzibar ningeomba Allah anikutanishe naye
@MossAlimossКүн бұрын
Asalam Alaikujm, Nauliza hiki kipindi kinaaza Sasa au vipi Dada Leila. Kwa sababu nipo online sasa
@khadejakhadeja97135 ай бұрын
Tanga FM 5 Tanga yetuu❤❤❤❤❤
@hasinasaid48745 ай бұрын
Allah akufanye rafiki wk akuhifadhi ❤ ukhty
@MadamLeilaAbubakar5 ай бұрын
Amiin
@khadejakhadeja97135 ай бұрын
Kumbe radio NURRU Kiswahili cha Tanga
@a.8565 ай бұрын
Jazakallah khayran
@SamiraMakame-w9c5 ай бұрын
MashaAllah dada
@lutfiamohammed74005 ай бұрын
Nilikua najambo gumu napitia ila nishapajawabu na isitoshe umendisha Dua ndogo ila kubwa tamu na inaufumbuzi wa kila kitu
@sophiaesmarcharo977528 күн бұрын
🙏🙏🙏🇰🇪👍🤝
@hammytototundu92925 ай бұрын
Masha Allah
@aminrashid9915 ай бұрын
Mama maua yako pokea 🎉🎉usiondoka kwa mume kabila ujajipanga na umechoka nae ukiamua kuishi na mwanaume mwenye mateso vumilia ipo siku utajua tamani yako na wakati huu wewe umechoka na nafasi yako hakuna nafasi yake tena
@HemedKiumba-ux3he5 ай бұрын
Habari madam? mke wangu yeye uwa hapendi ushauri kifupi ni mkaidi sana. Nifanyaje niweze kumseti hawe anasikiliza ushauri.
@AgnethaKapinga5 ай бұрын
Mm mwenyewe napenda maneno yake napenda kumuweka status
@AbduljumaHassani2 ай бұрын
Asalam alykum ww huyo madam ni mwanangu namkunali nampata xn kutoka burundi