Maa Sha Allah, asànte shekh kwa ukumbusho wenye manufaa
@musaadinani5447 Жыл бұрын
Nimekupenda, shehe Kwa ajili ya allha 🙏
@rahmaalfan17763 жыл бұрын
Sheikh shukran sana barraka allahu feek umegusa ndipo insha allah tutarekebisha
@lakisuleimani9112 Жыл бұрын
Manshallh yaani
@abdulbasitsalim61332 жыл бұрын
Uko sawa sheikh جزاك الله خيرا، الله سبحان وتعالي يستحم بركاته التي لا تنتهي عليك وعلى أسرتك الحبيبة.
@RasulyAbas3 ай бұрын
Shee nimekuelewa sana
@khadijamussa82143 жыл бұрын
Mashaallah yani napenda sana lmawaiza yako wewe
@AbubakarNdumbo5 ай бұрын
Mashallah nimekupend kwaajili ya Allah akuhifadh uzid kutujuz zaid
@ngushy87983 жыл бұрын
Shekh umewakosha wanawak leo!!
@zenaal-baalawy32622 жыл бұрын
JUMA SHAAME@Heee!heee!😆
@lkshmykomar54722 жыл бұрын
Mashallahu Allah akupe maisha marefu yenyeher na baraka kwako
@sharifahasani53312 жыл бұрын
Jazakallah shekh
@lulumfamau40372 жыл бұрын
@@sharifahasani5331 mashallah allah akuhifadhi shekhe
@teedullah57083 жыл бұрын
Mashallah mtetezi wetu
@zainabuibrahimu26913 жыл бұрын
Uko vizuri shekhe madda zako nzuri na unaeleweka mno mno
@mauman1380 Жыл бұрын
Jaman hii inamfaa mme wangu na nimeshere nae loo! Mie kabisa huyo
@AminaMustafa-bc4bu Жыл бұрын
Walahi asante
@barkyabdallahsuleiman70692 жыл бұрын
Mashaallah shekhe
@sadammwazara8869 Жыл бұрын
Mashalla
@user-nt8jj6bs4v4 ай бұрын
Manshallah
@Oman-ik1be3 жыл бұрын
Mashaallah shekh wetu kweli wanaume wengi wapo ivyo
@daleylahabduldaleylahabdul65863 жыл бұрын
MashaAllah😂😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangu
@OmanOman-gp7xm3 жыл бұрын
Masha Allah shekhe maneno kuntu sana tufunguwe
@jaredorangi57252 жыл бұрын
Maashallah ukweli mtupu
@aishaabdi20592 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@user-kr1dh3lr1c9 ай бұрын
Haswaaa.
@maishajuma66472 жыл бұрын
Kweli kabisa kk mungu akuzidishie 🙏🙏😁
@mariamogao62742 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah
@mwanamisakulembwa11473 жыл бұрын
Swadaqta,✍️
@nasrahkaura18773 жыл бұрын
Mashaallah shekh waambie
@fauziakarama85813 жыл бұрын
Maa Shaa Allah maneno mazito hayo shukran sana 👂🙏
@somoemchilowa1872 жыл бұрын
Hongera shehe unacho kiongeya ni sahihi kabisa kuhusu wanaume tunashindwa tu kiongeya lakini Hari siyo mzuli
@user-jz8sj5us1h Жыл бұрын
Masha Allah sheikhe apo kwenye simu mm ilinikuta wallahi sina amu simu yangu mm alikuwa anatoka nayo anatembea nao ila simu yake nikiishika ty ugomvi mkubwa na nilikuwa sishiki simu yake wallahi nikikumbuka naumia sana alivnifanyia mume wangu sina amu nao mpaka nilikuwa nakfulu niliwai sema rahiti ningejua nisinge kubali kuolewa nao
@user-jz8sj5us1h Жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@raphaelsimutenda47862 жыл бұрын
Mashallah
@upendowakwelinaamani10603 жыл бұрын
Shekhe Nyundo jamani tumempata jamani maana tulikua hatuna tena wa kutupa radha hizi na tunaelewa saana shekhe tupe daawa unaziponya nafsi zetu Allah akujalie afya uzid kutuelimisha.
@khadijaomarkhadijaomar62712 жыл бұрын
Maashaallah shehe yundo wa2 hahaha
@user-bd6ku6je1f2 ай бұрын
❤❤
@alimasimariam18213 жыл бұрын
Asate allah akulipe kila laheri
@user-rp3ll6ko5t2 жыл бұрын
Mashaaallah
@Zainab_salat2 жыл бұрын
Nmpenda sheikh Masha Allah hakuna dislike 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@barakaomari88996 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@khadijamussa82143 жыл бұрын
Shehe. Naomba uje uniowe hata wanne nipo teyali mahali yangu unifune. Kuruani na mawaiza tu
@user-mn1wl3tw5p Жыл бұрын
Mawaidha mufti kweli.Allahu akbar
@frolajoseph77702 жыл бұрын
Mashallahu
@gloryqueen62963 жыл бұрын
Kweli kabisa
@fadhiliadamu45532 жыл бұрын
Hapo sawa
@evamacha78963 жыл бұрын
Ya kweli kabisa.
@user-ki6nw6ve7p3 жыл бұрын
Asaalmwalekm, waambie chh
@oqmoqmn54923 жыл бұрын
Mbwaa koko
@rehemarachide40853 жыл бұрын
🇲🇿🤲🤲🤲🤝
@mariammussa63233 жыл бұрын
Ukweli mtupu shekhe
@claudettezainabu21623 жыл бұрын
Sheikh nalia ungefika kwangu😥😥😥
@KILLER-rh3bt2 жыл бұрын
mashallh
@ksaksaksa55453 жыл бұрын
Hilo neno,shekhe umenena
@rizikisuleiman14572 жыл бұрын
MashaaAllah Allah akujalie kila lenye kheri na wewe sheikh
@heyumi23403 жыл бұрын
maashaallah maashaallah kweli shekhe wanaume siku hizi mtihan kwanza wanataka mwanamke mwenye pesa wakati yy anashindwa kutafuta pesa hajiulizi
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Duh
@ustadhkamoleabubakar00133 жыл бұрын
sio wotee
@heyumi23403 жыл бұрын
@@ustadhkamoleabubakar0013 mlio wengi nishida
@maliamhaluna92122 жыл бұрын
Abujadamwi
@user-kr1dh3lr1c9 ай бұрын
Sheikh Ahsante 😂😂😂😂😂
@lwegelefistonnjoku19553 жыл бұрын
Shehe swadta
@aminaathumani68323 жыл бұрын
🙏🤝🙏🤲🙏🤲🙏😂😂😂🙆🙆😭😭💕💕💞😘😎❤️❤️❤️tusaidiyee
@user-bg2rp2gd3t3 ай бұрын
Nikweli kabisa unacho kusem
@hadijatambwe91942 жыл бұрын
Ur right
@halimahalima19843 жыл бұрын
Naaam chekh
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Hatari
@neemamochiwa76113 жыл бұрын
Mashaalah
@neemamochiwa76113 жыл бұрын
Mashaalah
@jameelhm5283 жыл бұрын
asant
@leilajarso8702 жыл бұрын
Ha ha ha wallai huyu kiboko waah tumekukubali shekhe
@asiyajuma3135 Жыл бұрын
MashaAlla shekhe kweli umeweza MashaAlla 🥰🥰🥰🥰🥰
@jamillahmohamed3523 Жыл бұрын
Ukweli mtupu shekhe
@abedmziria13032 жыл бұрын
Sheh mwanaume anakutwa hafmaniwi
@kadijahajali39182 жыл бұрын
Ni kweli hawana pakwenda kama ndiyo hivyo mimi sikubali yano mimi
@mahijahkipingu72722 жыл бұрын
Manshallah ❤️❤️
@halaoman34062 жыл бұрын
A
@jamillahkheir65362 жыл бұрын
😃😃😃😃😃
@henrysalim39852 жыл бұрын
Good advice
@fat-hiyaali47233 жыл бұрын
shk nyundo part 2😂
@khadijaangore44083 жыл бұрын
Kweli kabisa
@saadacharasaada19582 жыл бұрын
Kamua mzee baba
@hashilalkharusi59262 жыл бұрын
Kabisaa
@maliamhotimaliamhoti53023 жыл бұрын
Allahu Akbar
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Walillahil-hamdu shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@salmarashid34923 жыл бұрын
Mume wa kher yuko wap,, mwnye dini yke ambae tutacmamisha kalima ya Allah,,, aje anipe nusra😘😂😂😂
@abuu_tv2 жыл бұрын
Nipo hapa nimetulia tu
@salmarashid34922 жыл бұрын
@@abuu_tv mmmh kaka wee
@abuu_tv2 жыл бұрын
Kwel huamn
@salmarashid34922 жыл бұрын
@@abuu_tv ucjal
@salmarashid34928 ай бұрын
@@KhamisiRamadhani waalaykum salam
@abcmnbb26103 жыл бұрын
Yani nikweli kaka
@azmedmtwana81353 жыл бұрын
Umesema.ukweli
@yasalaam5903 жыл бұрын
Radhwiyallwahu anhu
@monyzobery40113 жыл бұрын
Hakika tusaidie
@leilacat49763 жыл бұрын
Masha Allah 🤣🤣🤣
@rehemaabduli69763 жыл бұрын
Masha allah
@zawadiramadhan67203 жыл бұрын
Umenikosha
@thabitimkufi73882 жыл бұрын
Hapo umeyumba shekh Sim ya mwanaume ukiishika utajiumiza bure maana anawezakua yupo ktk proses za kuongeza mke, sasa unadhani akizikuta txt hizo inakuaje? Na jee hapo utaongeza mke kweli??
@sadickmbwambo7863 жыл бұрын
Duh Shekh umetisha hivi we umeoa wangapi?
@omaryrajab98623 жыл бұрын
Sio kila anachoongea anatekeleza kumbuka kuna theory na practical kuongea rahis utekelezaji sasa
@user-bg2rp2gd3t3 ай бұрын
Ha hahahaha,😂😂😂😂😂
@telaamtauta22272 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yasni sheikh umenifurahishaa nillikuwa nastres zimepoa mungu akulipe
@kalimmimbi27433 жыл бұрын
Mashaallah
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@neemamochiwa76113 жыл бұрын
Kabisa
@halimasalim39857 ай бұрын
😂😂😂😂😅😅😅
@ameenamohammed4413 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@bachwahferuzi45903 жыл бұрын
Shekh unajua kama wanaume wengi wanamtihani wa kipato wenyekipato niwachache nawanawake wanatamaa ya maisha ya kifahari hili hujui?.
@jumakapilima56743 жыл бұрын
Kabisa!!
@jumamohamed3168 Жыл бұрын
@@jumakapilima5674 Wanaume wengi walivyo ni wazinifu wanashindwa kutoa huduma kwenye familia yake pesa wanazipeleka kwa malaya haya yapo kwa kiasi kikubwa sana ,kipato chako unajua kuwa ni kidogo lakini unahangaika na wanawake wengine nje badala ya kuijali familia yako .mtu akisema ukweli tukubali kuwa amesema kweli ,shehe amesema kweli kabisa .
@MADRASATISWADAQALLAHUNYARUGUSU Жыл бұрын
Poa
@shaadenshaduni77553 жыл бұрын
Masha Allah 😅😅😅
@heyumi23403 жыл бұрын
kuwen na adabu wanaume nyie 🤣🤣🤣🤣🤣waambie shekhe wetu
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
Hahaaaaa duh
@heyumi23403 жыл бұрын
hakuna cha duh ndivyo walivyo wanaume
@zvpOnlineTv3 жыл бұрын
@@heyumi2340 Haya bwana nimekubali
@heyumi23403 жыл бұрын
@@zvpOnlineTv muendelee kutuwekea mawaidha ya huyu shekhe maana nimefurahi mpaka uchomvu umeisha maashaallah yupo vizuri
@saidsaid-oj6qx3 жыл бұрын
Ubaya wa Hawa mashekh nimatapeli wanajivisha vazi la dini kumbe siy kabisa wanauza madawa na watakuambieni Kuna Kitu Yani dawa tunatowa kwa kwanzia watu 100 kwa Bei ya 10000 Kisha wakiona watu wengi wamechukia watashusha Bei mpk kufika kusema hata yule mwenye 1000 moja naye tumsaydie
@shkibrahimmbarouk11832 жыл бұрын
Shukran kaka mm ndio shk ibrahimu endelea kutusi watu lkn mila anaona ipo cku utanilipa kwa hii idhilali ambayo umenifanyia ya kunitusi bila kuwa na ushahidi wowote
@zilfamoustafa22872 жыл бұрын
Allah akusamehe
@aishambise65292 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ummutaswaufi39803 жыл бұрын
Hakika mim pia nilipigwa kisa cm
@salwasuleiman89433 жыл бұрын
Pole Sana habibt
@abuu_tv2 жыл бұрын
Samahan sijui Ila labda hukuomba ruhusa pia hatamsahaa hukuomba mwanaume unae ishi nae kisheria hujatengeneza urafiki Mara nyingi hayo ndio matatizo yake je ww n rafiki wa mumeo