OGOPA SANA KUROGWA NA UCHAWI WA AINA 2 | UCHAWI WA NGUO ZA NDAN | UCHAWI WA NYWELE ZAKO | SH IBRAHIM

  Рет қаралды 66,567

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 63
@neemafatu7885
@neemafatu7885 2 жыл бұрын
Hakuna uchawi unaotakiwa kuugopa kwa kuwa Allah kasha sema haumpati yeyote uchawi ila kwa idhini ya Allah! Waroooge warogavyo TAWAQQAL AALALLAH.
@mimikiki8225
@mimikiki8225 2 жыл бұрын
Upo sahih
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
Hakuna likupatalo ila kwa idhini ya Allah lkn km unaeka wazi mitandaoni au kuyatangaza yatakufika tu. Mana Allah hapendi mtu mwenye kujifakharisha. Unamtto wengine hawana, unapesa, unakula vzr, unaafya nzuri lkn kumbuka wengine hawana. Na yakikufika unaeza kujitibu kwa njia anazoziridhia Allah ukanusurika lkn pia unaeza kupoteza imani ukaingia kwenye kumshirikisha Allah. Na yyte mwenye kumshirikisha Allah hata km anatafuta tiba ni mshirikina. Na mshirikina akifa km hajatubia makaazi yake motoni. Ni vzr mtu kujihifadhi mwenyewe na ukaomba na hifadhi kwa Allah na sio uone kila liloandikwa litakufika ukajiachia. Mana yanaeza kukufika ukapotea.
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
Na yanaeza kukufika ukawa na uhakika haswa kua hili nililitafuta mwenyewe kwa kueka hv au kufanya hv. Tuweni waangalifu sana hata Nabii Ibrahim a.s alivyowatuma wanawe kwenda kwenye himaya ya mfalme kumtafuta Nabii Yusuf a.s mwanawe...aliwambia wanawe waingie milango tofauti kwa kukhofia hasad. Je sisi ni nani hata tueke mambo yetu wazi kwa kua tu aloliandika Allah litakufika? Na je yy Nabii Ibrahim a.s alikua hana imani hiyo ya kua aloliandika Allah litawafika tu wanawe kwa nn awaambie waingie milango tofauti???
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
Tusomeni ili tujinusuru nafs zetu na vizazi vyetu. Bila ya shaka hakuna uchawi wa kuogopwa mana Qur-an ipo na km usemavyo hakuna litakalokufika ila kwa uezo wa Allah lkn nnachokusudia hapa tusieke mambo yetu hadharani hadi wasioyajua wayajue, tutaumia sana. Mana Allah humlinda anaejilinda...ww hujilindi unaeka wazi mambo yako...unaeza kuathirika kirahisi sana kwa sabbu Allah pia hapendi mambo ya kujifakharisha.
@husna34562
@husna34562 2 жыл бұрын
Subhanallah hasbunallah waneemal wakil
@sileimashaka7573
@sileimashaka7573 2 жыл бұрын
mashaalah mungu akupe maisha marefu sheikh Ibrahim hamisi mbaruku
@carolinenakirutimana1559
@carolinenakirutimana1559 2 жыл бұрын
Mungu atalaani watu duniani. Ukijua siku moja utakufa si vizuri kumufanyia mwenzako hivo. Nikujisumbua bure kwani unamuangayisha mwenzako .,mwisho utaangamia milele
@mimikiki8225
@mimikiki8225 2 жыл бұрын
Mungu awaongoze
@yasalaam590
@yasalaam590 2 жыл бұрын
Mashaallah shukran ya sheykh jazakallwahu khayran
@kadjanater6403
@kadjanater6403 2 жыл бұрын
Njo Burundi tumeku miss😍😍
@mumrizikchite1544
@mumrizikchite1544 2 жыл бұрын
Shukrani sheikh Jazzakal kheiri
@rebeccakemunto4488
@rebeccakemunto4488 2 жыл бұрын
Nipateje pia wadeni wangu wangu wanilipe madeni yangu na watu wanipatatie
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
Haifai kuufundisha uchawi. Ww unasema mti fulani siutaji lkn vyengine ushataja. Kuna watu ni mabingwa wanasubiri waanziwe wamalize. Bora usitaje chchte.
@issakawaya8315
@issakawaya8315 2 жыл бұрын
Allah atunusuru
@aishaphilip6760
@aishaphilip6760 2 жыл бұрын
Masha Allah,,Allah awahifadh masheikh wote
@mimikiki8225
@mimikiki8225 2 жыл бұрын
Ameen
@haleemhhaleemh707
@haleemhhaleemh707 2 жыл бұрын
Edeleya Sheikh
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
Km ingekua Qur-an inafutika kwenye nyoyo za watu tungeuogopa lkn wkt haifutiki hakuna wakuugopa. Allah atuhifadhi sote na yyte Allah atakayempa mtihani...Allah amjaalie ajitibu kwa njia anazoziridhi yeye na sio kumshirikisha/kumkufuru.
@zawiajuma715
@zawiajuma715 2 жыл бұрын
Allah atuhifadhi
@imani2870
@imani2870 2 жыл бұрын
Wenye kuroga tangu walianzia kuroga wamesha faidi nini watu weusi ndo mana dunia nzima inawachukia kumalizana nyinyi kwa nyinyi inawasaidia nini???Ndio mana watu weusi mnabaki kuukumiwa na wahindi wazungu waarabu wote hao manamzarau mtu mweusi kwa sababu za ujinga wao wa kukosa kuona mbali
@user-iv2qg2hw2b
@user-iv2qg2hw2b 2 жыл бұрын
Mkumbuke Allah kwahizi qauli zako chafu. Sote niwana waadam nambora wetu niyule atakae mcha Allah. Binadamu soote tupo ktk khasara.
@umfahad2609
@umfahad2609 2 жыл бұрын
Hii kauli sio nzuri. Hachukiwi mtu kwa rangi yake. Anachukiwa mtu kwa tabia yake. Kl rangi wapo wema na wabaya. Sbb binadamu sote hisia ni sawa. Tofauti yetu ni rangi. Weuc na weupe. Sote ni ndugu. Mwisho baba yetu ni Adam. Akikosea mweuc mmoja. Hawajakosea weuc wote. Akikosea mweupe mmoja. Hawajakosea wote. Hii kauli ya kuchanganya wote kwa kosa la mtu mmoja. Ina jukumu kubwa kwa ALLAH.
@nasraabdi1529
@nasraabdi1529 2 жыл бұрын
Wazungu wanaroga kuwa na utajiri na Maendeleo Lkn Sisi wafrika tunarogana kurudishana nyuma
@imani2870
@imani2870 2 жыл бұрын
@@umfahad2609 wewe ujasafiri nchi za watu weupe ndo mana labda ujajuwa kiasi gani mwafrika anachukiliwa
@mimikiki8225
@mimikiki8225 2 жыл бұрын
Sio wote, uchawi upo kila mahali
@mwamini1545
@mwamini1545 Жыл бұрын
Naomba musada ndowa yangu ikae sawa nitashukuru
@mgk4653
@mgk4653 2 жыл бұрын
Kama umerogwa uchawi wa nyele hau Kucha wala nguo za ndani ufanyeje naomba nisaidie
@almutclassic7694
@almutclassic7694 Жыл бұрын
Nikweli usemayo..mm nilinyolewa n nilipitia matatz mkubwa San mpk SS iv nipipfikia namshukur Allah IL bindamu hatupndan
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 2 жыл бұрын
Bora ustaje maana niliona kabisa unavyotaka kufundisha watu uchawi
@sirimzuzuri6108
@sirimzuzuri6108 2 жыл бұрын
Ustadhi nipe namba yako
@ashurasekuba
@ashurasekuba Жыл бұрын
Shekh Kama umepoteza nguo ya ndan, au kuchukuliwa nywele na vinginevyo je Unataka kufanya je
@moricemorice75
@moricemorice75 2 жыл бұрын
Mungu wepes kwenye kaz zako vip shehe hata namba zako huweki inakuwaje tukiwa na shida tutakupata vip (tahadhari anae mjua huyu shehe naomba namba zake) Asante
@mtoroonlinetv
@mtoroonlinetv 2 жыл бұрын
0655207802 sheikh ibrahim mkongo
@saadatumuhammad7036
@saadatumuhammad7036 2 жыл бұрын
Rafiki yangu Nitambulishe kwa *saka the great doctor wa {FB}* kuwa angeweza kunisaidia katika maisha yangu ya mapenzi, nilitilia shaka kwa udadisi nikasema niliamua kumtumia meseji, kwa mshangao mkubwa alinipa kusoma spelling. hiyo inafanikiwa na nimerudi na mwanamume ninayempenda tena.
@tawhidiimam-8701
@tawhidiimam-8701 2 жыл бұрын
Prophet ( saw) the divine time is khatme Hoga. Asr from mugrib, one day the divine time is over over. So need divine imam of all the Muslims,. Divine imam is khalifa of Allah. Those who claiming the imam Mehdi. What is their divine charter ? Syddena yassin bin Abdullah.. Bangladesh.( two kinds of divine in the hole Qur'an. 1) days divine. 2) nights divine. Days divine time is over over. The night divine running time is now by khalifa of Allah 💯. Divine time accept judge didn't of Allah 💯. So need divine imam of all the human.)
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 2 жыл бұрын
Swadakta
@rezikomer9552
@rezikomer9552 2 жыл бұрын
Hawo wenye kumpiga mawe ni wa natumwa nawachawi kwasababu anawatibu watu wanawo dhulumiwa na wawo wakwanza ni mimi hapa nadhulumika na mahasisdi hasbiyallah waneemal wakil hasidi huwa hana sababu
@neemafatu7885
@neemafatu7885 2 жыл бұрын
Bora kufundisha watu kujikinga na shari hizo kwa njia ya kichamungu jaman
@salmamohammedyahaya6098
@salmamohammedyahaya6098 Жыл бұрын
Me ndo wameninyoa Jana ,
@JamilaBint
@JamilaBint 2 жыл бұрын
Asallam Allaikhum warahumatullahi wabarakatuh Sheikh Jazzakallahu haayulu 🤲 🇹🇿
@alrahbialrahbi277
@alrahbialrahbi277 2 жыл бұрын
Naomba no ya sheikh
@rezikomer9552
@rezikomer9552 2 жыл бұрын
Wameshidwa kumteremsha sasauhsidi wanaona wamtumiliye kwanjiya za uchawi apigwe mawe na watu ni uhasidi tu kuona anapanda chewo nawa wanajaribu kumusha anasaidiya narizkiyake anapata ya halali yake
@imani2870
@imani2870 2 жыл бұрын
Maisha kama ni mabaya ata mwanaume wa miaka 25 anakwisha tatizo ni maisha tu
@fridasky1019
@fridasky1019 2 жыл бұрын
Kweli muda wa Allah ni sahihi kuliko wamwanaadamu
@mariamwaweru6049
@mariamwaweru6049 2 жыл бұрын
Mimi nimepoteza suluari nyingi Sana na sizipati tena nisaidie mtumishi
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 2 жыл бұрын
Bora ni mm yan nguo za ndan hasa zakwangu na watoto wangu yan na zinachukuliwa ndan
@bellamumin5434
@bellamumin5434 2 жыл бұрын
Asalam alaykum my Muslim brothers and sisters. Nina question kuhusu Alal Badr. Kusomesha Alal Badr ni haram ao?
@lusimbobumba6091
@lusimbobumba6091 2 жыл бұрын
Ni haram usipimi
@bellamumin5434
@bellamumin5434 2 жыл бұрын
@@lusimbobumba6091 thank u dear. Asante sana
@sirimzuzuri6108
@sirimzuzuri6108 2 жыл бұрын
Shehe nisaidie mwanangu anaota yuko makaburini
@tuniyjuma3100
@tuniyjuma3100 2 жыл бұрын
Ostadh tupe namba yako
@MA-kh2lr
@MA-kh2lr 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sheikh achekesha huyu.
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 2 жыл бұрын
Tuwekee namba zako shekhe
@mimitijara4806
@mimitijara4806 2 жыл бұрын
Afwan shukurani naomba naba yako ama unakuja lini kenye naombakutumiwa tiba
@imani2870
@imani2870 2 жыл бұрын
Sasa mbona Khadijah mke wa mtume kaolewa na myaka 40 acheni kuvunja wanawake asa wale wasiokuwa na elimu . Kila kitu kina mda wake. Kwa nini wale mnawaowa bado wadogo mkisha wazalisha watoto mnapita mnawaacha.mbona wanejaa barabarani???
@sumisumi8181
@sumisumi8181 2 жыл бұрын
Uwelewa wako mdogo pole sana
@imani2870
@imani2870 2 жыл бұрын
Kwa mdomo tu na majibu mmejaliwa
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 2 жыл бұрын
@@imani2870 hasa ww unaelekea unamdomo mno
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 2 жыл бұрын
😂😂😂
@saadatumuhammad7036
@saadatumuhammad7036 2 жыл бұрын
Rafiki yangu Nitambulishe kwa *saka the great doctor wa {FB}* kuwa angeweza kunisaidia katika maisha yangu ya mapenzi, nilitilia shaka kwa udadisi nikasema niliamua kumtumia meseji, kwa mshangao mkubwa alinipa kusoma spelling. hiyo inafanikiwa na nimerudi na mwanamume ninayempenda tena.
Usiku una Vitimbi vingi, lakini Kiboko yake ni Aya hizi! Sh. Kipozeo
26:36
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 28 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 17 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 14 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 14 МЛН
MJUSI,KIOO,GIZA LA USIKU NA MTU MWENYE MIKOSI, VIEPUKE HARAKA VIKO NA HASADI
31:24
ALIE ROGWA HASA ANAKUWA HIVI / SHEIKH MARDIYAH
25:03
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 25 М.
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 28 МЛН