Wanene Tv Presents: DaVinci CodesFreestyle Challenge

  Рет қаралды 228,323

Wanene Tv

Wanene Tv

Күн бұрын

#WaneneTv #DaVinciCodesFreestyleChallenge

Пікірлер: 429
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 4 жыл бұрын
Huyu Nikki Mbishi inapaswa atunikiwe heshima ya uprofessa kwenye mistari na kijumla kwenye hii kazi yake.
@elvistheawesome4864
@elvistheawesome4864 Жыл бұрын
"hakubaliki home nabii hio haifanyi nisiwe napambana kwa mana asiefanya kazi asile. Natafuta mkate men asokaza aambiwe kwa kauli ilochachama sio liwalo na liwale Ukizama ni jiwe na kwa kuwa boya Haiwez fanya uibuke" Wa kiafrica Shaolin
@MansuLi
@MansuLi 4 жыл бұрын
Stan Rhymessss 🔥🙌🏾
@sleimanfakihhajjir9389
@sleimanfakihhajjir9389 4 жыл бұрын
Mucho mm nishabiki wako no 1 Kama tuko pamoja gonga Like
@jumangala
@jumangala Жыл бұрын
big up mumeuwa nyote cjui nimpe nan taji
@rotkaofficiel3693
@rotkaofficiel3693 Жыл бұрын
​@@jumangala 😂😂😮🎉🎉😢😢🎉😂😂🎉a la 😊❤😮❤😮
@hasheemabby2583
@hasheemabby2583 4 жыл бұрын
waki afrika🔥🔥🔥
@gaitanemmanuel8340
@gaitanemmanuel8340 4 жыл бұрын
Daaaah stan weee ni noumer ila kaka unju mhhh hvi mbona ukoseag we jamaa una nini lkn maan unajua mpk unatukera bhn
@sahidymassoudysahidy8776
@sahidymassoudysahidy8776 3 жыл бұрын
uyo nikki kashndikana bhn
@octaneallybonge2075
@octaneallybonge2075 4 жыл бұрын
Baba na wanawae naona like father like son ... daa Nikki hicho ndicho kizazii chakoo na cio hao tuuuu tupo wengiii em fanyaaa kuwashikaaa mkono wote wanao afuuu iwe full album utakayo Fanya na kizazi chakoo au iwe hata mixtep maaana naskilizaa daily maraper wapya wote umewainspire sasa washike mkono we ndo mzaz wao mzee kama hivooo na kina Stan . Uje kina boshoo, chuma,nala mzalendo,matrix,kakiva, Jaco jeezy,barz write, kado kitengo,yaaan daaa ni wengiii broooo
@camillomakongwa8308
@camillomakongwa8308 4 жыл бұрын
Kumamaqe 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Stan umeua sanaa, Nikki dr ujuuuuu ma meeen, mucho flow, wakiafrica mmetendea haki hilo beat #Punchline Tupu
@jumaissa6229
@jumaissa6229 4 жыл бұрын
Stan ametisha mnooo... I never gave a card to this nigga... He proved me wrong
@jimmyx8412
@jimmyx8412 4 жыл бұрын
This is real Hip hop.... Punch bars tuu, sio wale jamaa wanao rap Kama wabanapua wanatafuta melody studio maana huahawaelewek wanaimba nn
@camillomakongwa8308
@camillomakongwa8308 4 жыл бұрын
@@jumaissa6229 He got barz, flows, puncline , wordplay eerthang!!!
@camillomakongwa8308
@camillomakongwa8308 4 жыл бұрын
@@jimmyx8412Yaap hawa jamaa wanajua asee
@fyzzlzo8929
@fyzzlzo8929 4 жыл бұрын
"Ukitendwa tulia ukiwaka unakatwa umeme" #Nomore
@mr_nyoroo
@mr_nyoroo 4 жыл бұрын
Hip hop ndo hyoo sasa me nahisi wote wameuwa sanaa beat imetendewa hakii
@Fundikichwa
@Fundikichwa 4 жыл бұрын
uyo wapili daah kauwa sna.. then nikki akaendelea kuonesha ukaka ✊
@musso238
@musso238 4 жыл бұрын
Anaitwa stan rhymes nimjaa fire ako na nondo mobb manzee
@nelsonmasolwa8343
@nelsonmasolwa8343 4 жыл бұрын
Daaah kweli kumbe nawewe umeona ee
@Kapam207
@Kapam207 4 жыл бұрын
Noma sana
@CoachHafidh
@CoachHafidh 4 жыл бұрын
Beat imesimama kishenzi...ya kijanja sana, mwenye huo mkono ni hodari kweli
@jigwafrankie9420
@jigwafrankie9420 4 жыл бұрын
BONGO HIP HOP is ALIVE💪🏾 Mucho🔥 Stan Rhymes🔥 Wa Kiafrika🔥 Nikki Mbishi UNJU🔥
@husenihabibu3689
@husenihabibu3689 4 жыл бұрын
Dah...hapa ndio watu flani tukisikia tunajua kabisaaaa hatujui kuchana... SICHANI TENAAAAAA
@ommiekendrick8881
@ommiekendrick8881 4 жыл бұрын
Mmmmmh hizo flow sijawahi ziskia tangu nizaliwe
@eliazebedayo1802
@eliazebedayo1802 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana...big up
@bablwaryngonyani7125
@bablwaryngonyani7125 4 жыл бұрын
STAN RHYMES 🔥🔥🔥
@japharysety6890
@japharysety6890 4 жыл бұрын
Ahahah stanii amemadaaa umu ndani wazee
@jumajuma6612
@jumajuma6612 4 жыл бұрын
Walioniweka pending siku hizi wapo amezed wakina #wakazi
@humphreymasoud1725
@humphreymasoud1725 4 жыл бұрын
mamaeee....wana wanaflow kisenge... hii ndo kali yao.... sema unju kafunikwa na wadogo zake....😃😃😃
@hkmeme5437
@hkmeme5437 4 жыл бұрын
Unju kafunika skiza flow zake zinamfaya Izzy arudie wizi
@hkmeme5437
@hkmeme5437 4 жыл бұрын
Rudia skiza flow za Nikki mbishi, anatema sumu kama ngosha yani fid q
@mosamossile9113
@mosamossile9113 4 жыл бұрын
Am watching from South Africa 🇿🇦🇿🇦Cape town wayneberg Unju Nikki mbishi My favourite musician from Tanzania
@promramson80
@promramson80 4 жыл бұрын
Nomaaaa sana hiiiiiiiiiiiiii 🔥
@georgeanthony1547
@georgeanthony1547 4 жыл бұрын
natumai hii project itadumumu tena na tena. tuna enjoy sana aisee @ WANENE TV salute
@Reach_lous
@Reach_lous 4 жыл бұрын
The second one killed it🙌 nikki too🔥
@jacobyende6225
@jacobyende6225 4 жыл бұрын
NEXT WEEK TULETEENI KIKOSI KAZI KAZINIII WOTE ALAFU WAPENI DAKIKA ZA KUTOSHAAAA
@hkmeme5437
@hkmeme5437 4 жыл бұрын
Au sio
@mugadimon3563
@mugadimon3563 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@CoachHafidh
@CoachHafidh 4 жыл бұрын
Hii CHALLENGE ya kikubwa SANA...hao ma underdogs wote ni mahodari kinyama...big up WANENE
@timolivier411
@timolivier411 4 жыл бұрын
Wakiafrika " nabii hakubaliki home hainifanyi nisiwe"
@juliussamson6143
@juliussamson6143 4 жыл бұрын
Baada ya kusema adam mchomv kaua sasa haya ndio mauaji kabisa
@robsongeorgenho475
@robsongeorgenho475 4 жыл бұрын
wa kiafrika 100%
@abdulmbuma7453
@abdulmbuma7453 4 жыл бұрын
“Utu wameuweka nyuma watu ni mbele na mapene” hip hop ✊🏿✊🏿@stan 🔥🔥🔥
@theoriginals3240
@theoriginals3240 4 жыл бұрын
Damn! Jamaa wakwanza anajua
@frankchamba8894
@frankchamba8894 4 жыл бұрын
Uyu jamaa anajua anataka support ngosha
@cazoramahussein1998
@cazoramahussein1998 4 жыл бұрын
Tukipendacho ss @hiphop
@omaryaziz
@omaryaziz 4 жыл бұрын
Nikki mbishi sawa sawa
@abasmwika3432
@abasmwika3432 4 жыл бұрын
1 Mucho 2 Stan rhymes 3 wakiafrika 4 Unju Nikupanga tu hizi namba ila hilo balaa lililofanyika humo ni hatari.Mdogo wangu Wakiafrika ahsante nimeona techniques.
@Elfuego257
@Elfuego257 4 жыл бұрын
Uyo stan kama jina lake tuu...Amna utani utani🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@derickshady5590
@derickshady5590 3 жыл бұрын
"Nina bars za kumfanya izzy arudie wizi" kumbe ndo maana lord eyes kama alipanick hv kwny ile weusi interlude! Nikki mchokozi😂😂😂! Stan ryhmes🔥🔥🔥
@izvibez6823
@izvibez6823 4 жыл бұрын
Da Vinci code washindi ndio hawa..BISHA😎
@nelsonmasolwa8343
@nelsonmasolwa8343 4 жыл бұрын
Da vinci code challenge washindi ndo hawa Bishaaaaaaa bishaaa
@rasmbegu
@rasmbegu 4 жыл бұрын
Tisha sana uwezo mkubwa
@bensonmwakabuli2737
@bensonmwakabuli2737 4 жыл бұрын
Nikki Mbishi 🔥🔥🔥🔥
@movieskalinaseries6232
@movieskalinaseries6232 4 жыл бұрын
Stan rymes kaua
@pulltheskymusicgroup4475
@pulltheskymusicgroup4475 4 жыл бұрын
Colour Effect Noma sana
@zodinius
@zodinius 4 жыл бұрын
Colours man
@joramkuboja4794
@joramkuboja4794 4 жыл бұрын
Stan nimekubali mzee
@franklawrence95
@franklawrence95 4 жыл бұрын
A very good time for HIP HOP in Tanzania. Nafeel Kuna Ma-MC wamoto Sana sasa hivi. Safiiii.... Humo ndani naona Nikki ni wa mwisho..... Machalii wamekaza sana
@jolamababyofficial6481
@jolamababyofficial6481 4 жыл бұрын
Wanaodislike wana matatizo jaman , kubali cha nyumbani wane2 ,wametixhaa kinoma noma 🔥🔥🔥🔥
@allymbozu5167
@allymbozu5167 4 жыл бұрын
Mucho😳 u kill it tol
@divinejr3607
@divinejr3607 4 жыл бұрын
Bars is wah we like Nikiwa booth sichani ,nafanya upasuaji!! Bongo sio ya Dulla (planet) Kicks ka paranawe!! Ukizama ni jiwe na kua boya haikufanyi uibukee!! Zoom outter focus!! Mifugo mingi so I gotta overgraze
@nelsonmasolwa8343
@nelsonmasolwa8343 4 жыл бұрын
Noooma sana
@abashussein2355
@abashussein2355 4 жыл бұрын
noma sana wanene safi kwa support rappers
@princemallya4085
@princemallya4085 4 жыл бұрын
wenene kunywenu soda bill juu yangu 😅😅😂😂🙌🏾
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 4 жыл бұрын
kwa hip hope izi kutoboa kaz sana dah
@lionking3015
@lionking3015 4 жыл бұрын
Unjuu HipHop unaidai..
@donprince9752
@donprince9752 4 жыл бұрын
No commen # hip hop ilipo nipo
@jegekatv8384
@jegekatv8384 Жыл бұрын
🔥 🔥 burning 🎙 🎙
@rantojasiri
@rantojasiri 4 жыл бұрын
Mdundo 🔥 100%
@youngmillar4110
@youngmillar4110 4 жыл бұрын
Stan kaua sn, mbishi noma🔥🔥🔥
@cosmaschuwa6664
@cosmaschuwa6664 4 жыл бұрын
Tunakugeuza mboga hta kma haupo kwny budget😀😀😀
@Inno-qz2ec
@Inno-qz2ec 4 жыл бұрын
Zombie movie rambo in the jungle.🔥🔥🔥
@nelsonmasolwa8343
@nelsonmasolwa8343 4 жыл бұрын
Daaaah
@mimisisinawao2298
@mimisisinawao2298 2 жыл бұрын
WAKIAFRIKA AM ALWAYS HERE FOR YOU
@majorwayonlyway
@majorwayonlyway 4 жыл бұрын
Wote wameua ila Stan Rhymes na Mucho wamefanya Unyama sanaaaa🇹🇿🔥
@attumdemu4465
@attumdemu4465 4 жыл бұрын
Bombii ii nyumbii i kama bambooooooooooooi
@sunzumakandana4658
@sunzumakandana4658 4 жыл бұрын
Njombe Stand up! Stan rhymes. Big up UNJU .
@fidelemma9818
@fidelemma9818 4 жыл бұрын
Next level
@fortunatuskalikalioiiachak3987
@fortunatuskalikalioiiachak3987 4 жыл бұрын
Hii Generation ndio ilipaswa kujibu battle Ya WEHU YOU SEE. Watu wazima mlitumia nguvu kuwajibu WEHU YOU SEE 😂😂
@djb2kzer0
@djb2kzer0 4 жыл бұрын
The first one He kill 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@johnmgweno4254
@johnmgweno4254 4 жыл бұрын
Unju
@skm1143
@skm1143 2 жыл бұрын
WAKIAFRIKA🔥🔥🔥
@shobimzawa
@shobimzawa 4 жыл бұрын
Wanangu hamjaharibu kabisa.... Bless kwenu..!!
@pjsite2390
@pjsite2390 4 жыл бұрын
Nakucheki Stan pambania kombe wa home
@kelvinmhina1685
@kelvinmhina1685 4 жыл бұрын
Daaaaaaa ya kibabe sana Unju
@greysonkomba8938
@greysonkomba8938 4 жыл бұрын
Asante Unju
@joachimkijanga1926
@joachimkijanga1926 4 жыл бұрын
Star Rhymes🙌🙌🙌
@ellytanaki579
@ellytanaki579 4 жыл бұрын
Hikitu imekaa powa sana vijana wamekaza sio poa muuji nimuuaji tu hata siku akija kupigastory raia lazima wasepe unjuu haaa salute
@suleymanmakiwa1651
@suleymanmakiwa1651 4 жыл бұрын
Wa Kiafrika ni hatari na nusu "Asiyekaza aambiwe"
@razackyahaya7798
@razackyahaya7798 4 жыл бұрын
Daaaah.... Mmeua wazeeeee ⚠️⚠️⚠️
@henrymwakisu2101
@henrymwakisu2101 4 жыл бұрын
Zhoan ur legend joooh duuuuuu l cant say bt uwez unajieleza
@deniskg310
@deniskg310 4 жыл бұрын
"Nina barz za kumfanya Izy arudie wizi.. 😂😂😂 Mmeua sana humu!
@edgarmassawe5159
@edgarmassawe5159 4 жыл бұрын
ile ya uyu nae mbishi mbna kma nikki ilimuuuma sanaa niki mbishi😂😂😂😂
@deniskg310
@deniskg310 4 жыл бұрын
@@edgarmassawe5159 Kama unaangaliaga boxing utaelewa anachofanya Mbishi; ukipiga ikaingia, unaongeza zingine😉
@kibwamoko8767
@kibwamoko8767 Жыл бұрын
Anafaa kujadiliwa na Maprofessa kama Shivji// Wakamjadili wapuuzi inakuwa Shirki.
@apiovlwiwa2576
@apiovlwiwa2576 4 жыл бұрын
#DrUnju🙌🙌
@hamisinanyata2557
@hamisinanyata2557 4 жыл бұрын
hongeren sana wanene tv. kwan mumetuaminisha kuwa munaturetea mikwaju mikal na vichwa makin. kibwa na cha msing wakusanye wasanii wote wa tanzania ili wasiikose fulsa hii ili iwawekee alama hata kizaz na kizaz. najua weng wao hawajapata shavu la kutosha na hawajulikan, ila kupitia wanene watajulikana na kuwa wasanii wakubwa sana. kwan wote wanafanya vizur sana. asante sana,
@efeueu3648
@efeueu3648 4 жыл бұрын
tunaitaji vija wapia kama awa wa leo🤝🗣🇰🇷🇰🇷🙌💥💥💥unju iko sawa,ila mutu patiye vijana wapia wana weza
@marktarimo5881
@marktarimo5881 4 жыл бұрын
2&3 ni noma sana
@davidchristopher5569
@davidchristopher5569 4 жыл бұрын
Stan Stan usitufokeee bhana
@kiduaalute603
@kiduaalute603 4 жыл бұрын
Of Kali sana hii
@allybrown8137
@allybrown8137 4 жыл бұрын
Dah! They really rappers nikk umetisha mwamba
@tynolambert4681
@tynolambert4681 4 жыл бұрын
Unjuuuuuu
@stevenprospel8297
@stevenprospel8297 4 жыл бұрын
Wanao jua wapo mtaan na wasio jua ndo wametawala fan daaa noma na nusu jamaa wameua xn
@patrickmgaza9927
@patrickmgaza9927 4 жыл бұрын
Kabisa yani
@patrickmgaza9927
@patrickmgaza9927 4 жыл бұрын
Kabisa wanaojua na vipaji vipo kitaa sema wanabaniwa asante wanene
@erickmanucho4092
@erickmanucho4092 4 жыл бұрын
Hiphop🔥🔥
@kassinc5016
@kassinc5016 4 жыл бұрын
Waki afrika ameua sana....
@zanialytraveller9825
@zanialytraveller9825 4 жыл бұрын
Tym ya 🎼 gud music ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@footballgoals7637
@footballgoals7637 4 жыл бұрын
Ebana heeh hao watoto wa wapi sijui nitumie neno gani ila wamerap safi sana mistari yenye akili. Hii ipewe promo ya kutosha aisee
@clintonkomba4468
@clintonkomba4468 4 жыл бұрын
Stan nakubalo Sana mwamba njombe on eeeya
@attumdemu4465
@attumdemu4465 4 жыл бұрын
Stan kama stan appreciate u for life
@joharikibitanyi9886
@joharikibitanyi9886 4 жыл бұрын
Like son like moon UNJU NATION ...weka mbali hi ni Babu kubwa .✌️✌️✌🏿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@emmanuelasheri7037
@emmanuelasheri7037 Жыл бұрын
Njombe IPO salama,Stan we ni shida sana,mmh a see
@guiltytv2363
@guiltytv2363 4 жыл бұрын
Stany Rhymes ametisha sana
@griezmannmhalaka4338
@griezmannmhalaka4338 4 жыл бұрын
Wote wamelingana michano humu hakuna kufata majina hapa bila bila dogo wa. Mwanzo kajitahidi ana Mia's kwamba mtoto wa njombe pamoja na zohan wameshindwa kufunika Bali wamefika tu
@anordyusuph5418
@anordyusuph5418 4 жыл бұрын
Daaah Wakiafrica we Noma mwanangu Una content 4 sure dadek ✊🙌
@amoswangwe628
@amoswangwe628 4 жыл бұрын
Napenda hip hop swahili code mix.
@theoriginals3240
@theoriginals3240 3 жыл бұрын
Hata jamaa wa3 ni noma pia ana punch na flo zake kali. Kuliko huyo boya mnae muaminia manina
@babamily1780
@babamily1780 20 күн бұрын
Wanene imekuaje hii mliiweza sana
@davidchristopher5569
@davidchristopher5569 4 жыл бұрын
Stan kama Stan kweli in balaaaa,,,
@nickherman4
@nickherman4 4 жыл бұрын
MISTARI ya Wakiafrika was more fire, Stan kaflow na biti kinoma, Mucho was so stylish and Nikki siku zote ni Nikki tu.
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 25 МЛН
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 44 МЛН
Davinci Code - Cholo Brighter
2:20
Cholo brighter
Рет қаралды 48 М.
Kikosi Kazi - Kazini Official Video (WEUSI DISS)
5:56
Kikosi Kazi Kazini
Рет қаралды 446 М.
Moni Centrozone Ft Conboi cannabino - Tuendelee/Hold Up (Official Music)
3:15
WEUSI - Interlude Nyeusi
4:05
WEUSI
Рет қаралды 463 М.
Wanene Tv Studio Session Presents:Rapcha {Prod. By Cjamoker}
2:47
Freestyle za Ngwair, Izzo B na Quick Rocker ndani Nya XXL Clouds FM
5:32
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН