Wanene Tv Studio Session Presents:Rapcha {Prod. By Cjamoker}

  Рет қаралды 185,706

Wanene Tv

Wanene Tv

Күн бұрын

Пікірлер
@nikomwakalinga3775
@nikomwakalinga3775 4 жыл бұрын
Hesabu mnazojua Ni kujumlisha sehemu za Siri na kutoa mimba... 💥💯🤯😓 Rapcha🔥💥
@itikantulo2602
@itikantulo2602 4 жыл бұрын
Mchizi toka mzizini mpaka matawi ya juu Nishawahi jiuliza huyu jamaa mbona hawii staa kumbe lilikua n suala la muda tu Shout out kwako #RAPCHA
@thehoodmedia5332
@thehoodmedia5332 4 жыл бұрын
Mtoto nyoko aina ya rapa ambao tunawataka kwa game. The next khaligraph jones..
@kibwanaali6407
@kibwanaali6407 Жыл бұрын
Kali hatari🔥🔥🔥
@FadyFs
@FadyFs 4 жыл бұрын
Hii ndio effect ya msomi akiacha kupata A's akaamua kuimba..
@tinkyricky6295
@tinkyricky6295 4 жыл бұрын
For real
@OfficialKiliPaul
@OfficialKiliPaul 4 жыл бұрын
Damn this is my best Rapper after Young lunya Like for Raptcha Comment for Young lunya Nani mkali?
@goshashimangana2989
@goshashimangana2989 4 жыл бұрын
Huyu dogo mkali anaandka vitu kuntu sana
@khamisbrown4695
@khamisbrown4695 4 жыл бұрын
Young lunya ana flow kali ila mistari mepesi
@emmanuel5413
@emmanuel5413 4 жыл бұрын
@@khamisbrown4695 kabisa
@nicholausmbilinyi305
@nicholausmbilinyi305 4 жыл бұрын
@@khamisbrown4695 umenena vzuri lunya bado hana mistari mikali kama rapcha..ila biashara ya lunya inanunulika zaidi maana ana swaggs zaidi
@OfficialKiliPaul
@OfficialKiliPaul 4 жыл бұрын
@@goshashimangana2989 sana kaka
@leeskillz3734
@leeskillz3734 4 жыл бұрын
/Mungu anakupenda anakupa mkate wa siku we ukishiba unapata nguvu za kuzini/ ni khatari huyu jamaaa #rapcha
@TsammyBreezy_Beats
@TsammyBreezy_Beats 4 жыл бұрын
Much respect...my observation since I started following this guy..never miss to mention Respect for God..
@brianmapesa4739
@brianmapesa4739 4 жыл бұрын
Respect asee
@speaklifeafrica
@speaklifeafrica 2 жыл бұрын
True...
@rowelymarick6400
@rowelymarick6400 4 жыл бұрын
Kumamake we jamaaa 🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌 lunya jipange kaka🤣🤣🤣🤷🏼‍♂️
@octavebtz2293
@octavebtz2293 2 жыл бұрын
Ujawai feli mwanetu
@Kienyeji_ideas
@Kienyeji_ideas 4 жыл бұрын
who brought meja kunta back to life...Nimekusoma Rapcha Ke+254 representing
@vitushezron1513
@vitushezron1513 4 жыл бұрын
Big up to kaka mkubwa majani for embracing this kid. Help him get money so he loves and appreciates his talent.
@tadashaclassic7766
@tadashaclassic7766 4 жыл бұрын
Ah! We msenge umeumiza wallah nilivyosikia biti tu nikajua tayali
@GeorgeMichael13
@GeorgeMichael13 4 жыл бұрын
Hahahaa ukajua msenge keshafi#a beat
@gastonpeter8885
@gastonpeter8885 4 жыл бұрын
Nasemajee!!! Ni Yeyeeeee!!! Dogo @rapcha Shkamooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Tumechoka kuskiliza wabana Puaaa 🙌🙌🙌🙌
@jigwafrankie9420
@jigwafrankie9420 4 жыл бұрын
Huyu dogo Rapcha ni 🔥🔥🔥 anachana KIKUBWA SANAAAA Usije ukamfananisha na wale trap rappers
@alcadomkeya5364
@alcadomkeya5364 4 жыл бұрын
Unanikera ukiwa vugu vugu😂 Raptcha the new king
@alhabib1606
@alhabib1606 4 жыл бұрын
Oya eeeeeh! Huyu mwanangu ana balaa sana ✊✋💪👊👏 naondoka nae begani.
@nyarii2084
@nyarii2084 4 жыл бұрын
Nomaaaa sana mdg wanguu mangi wa kibosho unaweza lewesha kibosho yote nyoko sana
@oswardemil4039
@oswardemil4039 4 жыл бұрын
Shout out kwa Majani🙌🏿
@francistv8135
@francistv8135 4 жыл бұрын
✌✌✌✌✌🤗🤗🤗🤗 nmenyoosha mikono rapcha wewe ni mwishooooooo
@dcextanzania5452
@dcextanzania5452 4 жыл бұрын
Wakubwa hawakosei bt magereza yamejaa watu wazima Noma tha #x_stylish_nantah kutoka dcExTz
@ronniebernie2005
@ronniebernie2005 4 жыл бұрын
Uyo rapcha anajua kichizii👏🏾
@ramadhanimkomeni9515
@ramadhanimkomeni9515 4 жыл бұрын
Mnyamaaa rapchaaaa anajua huyuu boyaaa mpka anakeraaaa
@nonstopafrica
@nonstopafrica 4 жыл бұрын
Wapi golden buzz za rapcha
@ChrisJG
@ChrisJG 4 жыл бұрын
Achana na flows zake kali, huyu jamaaa ana madini mengi kichwani ase!!🙌🙌🙌
@abrahamnguyu8475
@abrahamnguyu8475 4 жыл бұрын
Kutafuta kaz nasweat kuifnya kazi nasweat .nkipata hela naenda kujilusha mpk nasweat.... Gonga like kama umeisikia hyo line
@estherlyimo8943
@estherlyimo8943 4 жыл бұрын
Nlikua namsubiri jamaa yuko 🔥🔥 🔥 jamaa anajuaaaaa
@vancigger5977
@vancigger5977 4 жыл бұрын
Mamae walaiii 🔥 chiiiiiiii balaaaa bongo nzimaaaaaaaaaaaa booom
@mustaphakayoka9953
@mustaphakayoka9953 4 жыл бұрын
Kutafuta kazi na sweat, nikipata kazi kufanya kazi na sweat, na nikienda kujilusha pia na sweat, hatar sanaa
@innocentsimika1937
@innocentsimika1937 4 жыл бұрын
nawekeza hapa...super talent
@daudhasan6533
@daudhasan6533 4 жыл бұрын
WANENE TV MTAFUTENI FRESHLIKEUHHH AUMIZEEE KWA SESSION
@meshackjackson3262
@meshackjackson3262 4 жыл бұрын
Apo umenena mzeee
@stevenmlingi9687
@stevenmlingi9687 4 жыл бұрын
Rapcha young star unabaa nyingi za dhahabu kama shy town... Ewallah haijawahi
@kamalujafary
@kamalujafary 4 жыл бұрын
Unauaaaaaaa we rapcha waache rapas wapumulie mashine, maana king ushafika chukua kiti asee wasipime 🔥🔥🔥🔥🔥
@danvannyzawad6452
@danvannyzawad6452 4 жыл бұрын
Jaman naomben like hapa huyu jamaa atar
@lucasngogo8427
@lucasngogo8427 4 жыл бұрын
Dah noma mzee kauwa sana
@magnusmichael7052
@magnusmichael7052 4 жыл бұрын
mnajua hesabu ni kujumlisha sehemu za siri, na kutoa ni kutoa mimba.... me jamaaa ur r my fave rapper.. unaweza m challenge msodoki sana tuu.. afu educated
@iamqsirrnb4942
@iamqsirrnb4942 4 жыл бұрын
ndugu yang! kabisa..KIZAZ SANA
@emanuelmhagama8193
@emanuelmhagama8193 4 жыл бұрын
*Ohooo sio poa yan..kiboko ya runya hiiiiiii...*
@tugabiz4286
@tugabiz4286 4 жыл бұрын
Lunya hagusi huu moto ni promo tu ndio inambeba
@jaynoxladyboe9688
@jaynoxladyboe9688 4 жыл бұрын
Jamaa unajua balaaaaaa
@allannittah126
@allannittah126 4 жыл бұрын
Say w@@t....man, how come sijakuskiza before, Kumbe TZ Mko na rappers fire kabisa
@wardboy2372
@wardboy2372 4 жыл бұрын
Kama unajiua wa shytown weka like yako hapa
@sonten1930
@sonten1930 4 жыл бұрын
Waliofanya freestyle before Naona walikuwa wanatania, hii ndo zile tulitafutaga toka zaman xax imeshafika Tz @Rapchaaaaaaaaa
@howardbillionaire
@howardbillionaire 4 жыл бұрын
Huyu ndiyo young rapper best Tanzania
@thabitmayunga6246
@thabitmayunga6246 4 жыл бұрын
Wanene Bado Young Killer Sasa...
@nivogee9830
@nivogee9830 4 жыл бұрын
Umeua mzeee big up
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 2 жыл бұрын
Wakubwa hawakosei ila magereza wamejaa watu wazima "barz"
@kiredio_
@kiredio_ 4 жыл бұрын
diamond angesepa na hii hela walah
@Kingnelbo
@Kingnelbo 4 жыл бұрын
New king in Town Wa Moto sana we jamaa
@eddytzonlinetvTallMan
@eddytzonlinetvTallMan 4 жыл бұрын
RAPCHA NDO ATAMFUNIKA LUNYA
@Saway_Tz
@Saway_Tz 4 жыл бұрын
Umegundua mzee u ni motoo
@ayoubshoo
@ayoubshoo 4 жыл бұрын
kashamficha kitambo sana, lunya anabana pua, rapcha sauti yake ni Og
@tsoritune555
@tsoritune555 4 жыл бұрын
Rapcha is the real deal. Hana utoto kwa game unlike Lunya
@oswardemil4039
@oswardemil4039 4 жыл бұрын
True
@OfficialKiliPaul
@OfficialKiliPaul 4 жыл бұрын
Mazafaka mwanangu una akili asante kwa kuliona hilo
@emmanueladrehem7694
@emmanueladrehem7694 4 жыл бұрын
nimeshuka kama park kwenye generation yaakina 69
@BongoRecordsTZ
@BongoRecordsTZ 4 жыл бұрын
Kama Pac ( 2pac )
@sportsbiotz
@sportsbiotz 4 жыл бұрын
Rapcha kama Rapcha mwenye bar zake nyingi kama sinza
@cytoplazmducci9474
@cytoplazmducci9474 4 жыл бұрын
Oya rapcha,katika wanao 99 mi ni wa 8
@noblenoble8940
@noblenoble8940 4 жыл бұрын
🐐 ... cyo wengne... akina nan cjui hko
@barzikiztz3397
@barzikiztz3397 4 жыл бұрын
Aiseeee noumaaa sanaaa
@abubakariynassoro9018
@abubakariynassoro9018 4 жыл бұрын
RAPCHA 🔥🔥🔥🔥🔥namuona young killer kwa mbali💣
@patrickmgaza9927
@patrickmgaza9927 4 жыл бұрын
Young k hakamati
@MaggaMudrick
@MaggaMudrick 4 жыл бұрын
Young killer ni K tu kama jina lake la pili
@francewamoyo7917
@francewamoyo7917 4 жыл бұрын
Killer huwa ana wakusanya anawameza alafu anawatema 😙puu
@mgfesto9099
@mgfesto9099 4 жыл бұрын
Wakubwa hawakosei ila magereza yamejaa watu wazima.. cold stuff
@edwardkimario7460
@edwardkimario7460 4 жыл бұрын
You n*** gat flow man rhyme scheme on point....delivery ndo usiseme ....las king of 90's man i gatchu
@bengucci9837
@bengucci9837 4 жыл бұрын
Cjamoker beat cyo poa, Nakubali Rapcha
@luismamba1031
@luismamba1031 4 жыл бұрын
Hatarii mzeeya
@nurdinswai6922
@nurdinswai6922 4 жыл бұрын
Wakubwa awakosei lakn jela zmejaa watu wazimaaaa...HAHAHA NYOKOOOOOOO!
@meneraldmethold6958
@meneraldmethold6958 4 жыл бұрын
Kweli king of 90
@maimunandomba6480
@maimunandomba6480 3 жыл бұрын
Naomba nafasi ya msanii wangu young cheed
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 4 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌if you know you know
@straightkonect1613
@straightkonect1613 4 жыл бұрын
Nakuitaga YOUNGNGWEA Hizo Bar hazileweshi kibosho tu hadi wale wana wa kujumlisha sehemu za siri na kuzitoa mimba wanasweat wakiziskiza
@denismichaels6532
@denismichaels6532 4 жыл бұрын
Rapcha katisha izi bars dahhh
@saidkassim196
@saidkassim196 4 жыл бұрын
this is genius and genuine hiphop
@johnbrain3263
@johnbrain3263 4 жыл бұрын
Rapcha kaficha wote akifuatiwa na mbishi nikki
@nicholasnavigator9892
@nicholasnavigator9892 4 жыл бұрын
Khaaaa😅😅😅mwanang anaend global
@ibrahimaman4625
@ibrahimaman4625 4 жыл бұрын
Wanene mumetisha sanaa
@fourteen_kiid
@fourteen_kiid 4 жыл бұрын
Anaitwa Raptcha ana bars nyingi kama sinza😂 adui mkuu huyo😎
@malcom4105
@malcom4105 4 жыл бұрын
Kila siku unazid kutisha kwenye hii game Rapcha🔥
@emmanuelmushi5
@emmanuelmushi5 4 жыл бұрын
Wakubwa hawakosei ila magereza wamejaa watu wazima,mamaeeee
@kijangapeter5135
@kijangapeter5135 4 жыл бұрын
Mtoto nyoko sana huyuu, wanagawa promo kwa mawack wanaacha madini km haya, big up young blood
@mkaljoh751
@mkaljoh751 4 жыл бұрын
Rapcha nae rapper fulan kiroho xaf nakubar mej n 🔥🔥🔥🔥
@mauchungurepublic6884
@mauchungurepublic6884 4 жыл бұрын
Nakubali rapcha ndo maana nimesubscribs
@vinnielucid6048
@vinnielucid6048 4 жыл бұрын
Dah jamaa bana ....acha nisiseme
@wildlifeexperience5421
@wildlifeexperience5421 4 жыл бұрын
Fresh sana bro
@roi2554
@roi2554 4 жыл бұрын
afu munajikuta mna akili kumbe hesabu mnazojua ni kujumlisha sehemu za siri kutoa mimba 🤣✌🙌🙌🙌🙌👏👏 kama umeskia kipande icho gonga like twende sawa
@Fekirmentali
@Fekirmentali 4 жыл бұрын
Muda ndio huu
@swai5993
@swai5993 4 жыл бұрын
Rapcha 🔥🔥🔥 wakubwa hawakosei ila magereza wamejaa watu wazma
@maasaimedidingi6488
@maasaimedidingi6488 4 жыл бұрын
kweli chalii angu nmekuelewa
@mendempoletv7579
@mendempoletv7579 4 жыл бұрын
Tunamsubili Bosho Ninja mjukuu wa bibi nesi
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 4 жыл бұрын
Ebhanaeeee huyu mtoto anabalaaaa duh!!!!
@quarantine325
@quarantine325 4 жыл бұрын
Mamae 🔥 🔥
@nezadabaddestdj4918
@nezadabaddestdj4918 4 жыл бұрын
Nakubali sana mwamba 💪💪💪
@beentertained4173
@beentertained4173 4 жыл бұрын
Rapcha mchizi wa 99,currently he is the best young rapper
@salummaguo1453
@salummaguo1453 4 жыл бұрын
Noma umekalisha king
@SamuelCharles-111
@SamuelCharles-111 4 жыл бұрын
Wakubwa hawakosei ila magereza yamejaa watu wazima..!!💥💥🙌🏼
@izvibez6823
@izvibez6823 4 жыл бұрын
Kibosho nzima🙌😂😂🎼💣
@hanskidd2290
@hanskidd2290 4 жыл бұрын
Hizi n flowsss za kikubwa
@darviswantana7669
@darviswantana7669 4 жыл бұрын
Heshima kwakoooo mzee
@hkfreeboy9533
@hkfreeboy9533 4 жыл бұрын
Duuuh u kill it rapcha🙏
@alexandermalya_official9304
@alexandermalya_official9304 4 жыл бұрын
asante kijana, hii ni yamoto
@salehfarid1003
@salehfarid1003 4 жыл бұрын
Dogo Ana hatari saana hyu then Ana IQ mzuri saana 💯💯💯💯
@emmanueldrawerhq7526
@emmanueldrawerhq7526 4 жыл бұрын
Eti rappa kichomi ni nani??? Rapcha, king 👑 of 90's
@eugenpaul3194
@eugenpaul3194 4 жыл бұрын
Sikua nmepita huku Mangi wa Shy Town, kazi nzuri sana homeboy💪💪
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 жыл бұрын
Wanene hapa mmetupatia sana wana wa90
@khamisswaleh189
@khamisswaleh189 4 жыл бұрын
Respect youngster rapcha your one incredible dude I salute 🤘
@johnco8756
@johnco8756 4 жыл бұрын
Daimmm you good bro
@saidgawawa8519
@saidgawawa8519 4 жыл бұрын
Raptcha umelimada hili beat!!
Rapcha - Story Nyingine Freestyle
3:46
Rapcha
Рет қаралды 139 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Rapcha - 48 Bars Freestyle (Official Music Video)
2:53
Rapcha
Рет қаралды 228 М.
Sessions ya instrumental ya MARIOO - UNANIKOSHA  by Mocco Genius
17:50
BARUA KWA NANDY - TRICKS HR
2:52
Mseto East Africa
Рет қаралды 2,4 М.
Majani - Moto Unawaka ft TKLA, Msamiati & Rapcha
4:39
Bongo Records Ltd
Рет қаралды 165 М.
Davinci Code - Cholo Brighter
2:20
Cholo brighter
Рет қаралды 50 М.
Wanene Tv Presents: DaVinci CodesFreestyle Challenge
5:34
Wanene Tv
Рет қаралды 245 М.
Conboi Cannabino TILL I DIE Official Video
3:17
Conboi Cannabino
Рет қаралды 363 М.
Nikki Mbishi |Freestyle |REACTION |Wanene Tv Studio Session
10:01
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН