WAPINZANI TUPENI MGOMBEA LEO, KESHO NI MBALI

  Рет қаралды 30,079

SK Media Online TV

SK Media Online TV

Күн бұрын

Januari Makamba anazungunza kama meneja wa kampeni wa Rais Samia. Kuna ujumbe hapo!

Пікірлер: 228
@Worldunite
@Worldunite 6 ай бұрын
Mama awe makini na watu km hawa sbb km anaweza kumuongelea vibaya bosi wake aliyefariki, anaweza kumuongelea pia bosi wake wa sasa baada ya kumaliza muda wake
@rogersiddy
@rogersiddy 6 ай бұрын
Ila binadam sisi wanafiki sana tena zaidi ya sana😳🥺🙏🤲
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 6 ай бұрын
Makamba wewe tunakujuwa ni kibaka mkubwa tuu mwiizii wewe kwendaa huko kujipendekeza tuu MUNGU atawashughulikia mwenyewe
@mbelechimakobola8835
@mbelechimakobola8835 6 ай бұрын
Hakuna kitu ambacho huwa kinanikera sana kwa nchi ya Tanzania, haswa kwa wanachama wa chama hicho kama tabia ya kumwabudu na kumsifu na hata kujikombakomba kwa taasisi ya urais, kwanini wanachama wa chama hicho wanaabudu sana hivyo? Chama hicho kinanikera saaana, Mheshimiwa rais Mheshimiwa rais aah hadi kero. Ilikuwa hivyo kwa mwendazake hadi wengine kumfananisha na masihi, yooh ni pole sana!
@festokemibala5832
@festokemibala5832 6 ай бұрын
Uchawa na unafiki ndo umewajaa. Kiongozi yeyote anapopewa madaraka anatakiwa afuate Katiba ktk kuongoza na ajue wananchi ndiyo wamemwajiri na yeye anatakiwa ndo awaheahimu na siyo wao kumsujudia, anasujudiwa Mungu tu na si mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke na anakufa! Ni ujinga uliopevuka unaotakiwa kukemewa kwa nguvu zote
@mbelechimakobola8835
@mbelechimakobola8835 6 ай бұрын
@@festokemibala5832 Yes
@Revelation1412.
@Revelation1412. 6 ай бұрын
Huyu Jamaa alikuwa anamzihaki raisi bila kujua 😅😅😅
@jofreysaimoni4964
@jofreysaimoni4964 6 ай бұрын
Uhisani wa rais hauta Jenga taifa hata siku moja chamuhimu mfumo washeria utuongoze
@Jamesmwakisambwe
@Jamesmwakisambwe 11 күн бұрын
Hii speech ikibadilishwa kuwa kingerez watu waelewe watatucheka sana kama watanzania duh mungu atuongoze hii nchi watu wanajisahau
@CharlesMwakajinga-r5d
@CharlesMwakajinga-r5d 6 ай бұрын
Tunataka katiba mpya ili mama andele kufuata mfumo wa nchi kuliko wa ccm mumetupotezea muda sana kwa sababu aliye shiba hamujui mwenye njaa
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 6 ай бұрын
Hiki kituko na kichekesho.cha kibashite
@johnmligo6966
@johnmligo6966 6 ай бұрын
Ninamfikiria kwa huruma MAKAMBA bado anahasira na Magufuli.... His Legacy will always prevail. Hata akitukanwa vip!
@AbdallaBakar-u3z
@AbdallaBakar-u3z 6 ай бұрын
Namchukia sana makamba kumsema magu
@getitdoneright1938
@getitdoneright1938 6 ай бұрын
Hawana ubavu kuyazunguza hayo hapa nyumbani bali ugenini ? What a stupid leadership ? Tafuteni tuu sababu za kwenda nje ya nchi na kutorosha fedha za kigeni.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 6 ай бұрын
Labda this time around Diaspora watapiga kura
@hajihassan5433
@hajihassan5433 6 ай бұрын
Ni Katiba gani Rais atakuwa hana mamlaka? Hebu lete sample ya Katiba unayoitaka. Katiba ipo ibara kwa ibara elezea ni ibara ipi yenye kasoro na ni ipi. Tatizo la nchi ni Ukatiba yaani kuheshimiwa na kutekelezwa na sio Katiba . Hivyo hata Katiba Mpya bila hayo ni kazi bure. Ukumbuke pia nchi yetu ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni LAZIMA Katiba ambayo ndio mkataba wa makubaliano ukubalike mote.
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 6 ай бұрын
​@@hajihassan5433swala linalotakiwa ni Katiba mpya ambayo imebeba Tume Huru ya Uchaguzi na mambo mengine mengi. Ccm wanaiogopa maana iko nutral haiegemei Chama chochote cha siasa.
@Revelation1412.
@Revelation1412. 6 ай бұрын
😂😂😂😂Huyu Jamaa Kama ulivyosema ana hoja nzito kwa maneno laini
@aminielkombe66
@aminielkombe66 6 ай бұрын
Usalama upi wakati CDF anasema kuna wakimbizi kibao wako kwenye nafasi kubwa
@mbelechimakobola8835
@mbelechimakobola8835 6 ай бұрын
Cha ajabu hata waziri Mkuu ambaye nilimwona mtu muhimu sana lakini naye ameingia katika kuipigia mapambio taasisi ya urais, sipendagi kusikia chochote kuhusu chama hicho, kinakera sana
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 6 ай бұрын
Ni asali tu
@josephpetro2968
@josephpetro2968 6 ай бұрын
Mwabukusi anaweza
@manchalijob9600
@manchalijob9600 6 ай бұрын
Chizi hili China wananyonga majitu kama haya manafiki sanaaa
@kibbysaidi7813
@kibbysaidi7813 6 ай бұрын
Lakini kwa mtu kama January Makamba tungetegemea aseme nini?! Huyu ni kama Nape, kama Ridhiwani, kama Hussein Mwinyi na wengine wengi ambao wamepewa madaraka sababu ya Wazazi wao... lazima waisujudie CCM
@mwakinyagatv711
@mwakinyagatv711 6 ай бұрын
Asante sk
@mwakasagule
@mwakasagule 6 ай бұрын
Nakutahadharisha SSH kumwangalia January Makamba, kwa jicho la tatu. Pia namtahadharisha January Makamba kuwa makini sana na kauri zake mbovu za kuwagawa Watanzania, na kuendelea kuwaumiza Watanzania kwa kumsema vibaya Hayati JPM Kipenzi cha Watanzania. Viongozi acheni unafki.
@salummohamed2689
@salummohamed2689 6 ай бұрын
Jamani hiki chama sikielewi kabisa maana masikio yangu Bado yanasikia kuwa nchi ilikuwa imefikia uchumi wa kati. Leo huyu chawa anasemaje? "AIBU".
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 6 ай бұрын
Tume huru na katiba mpya ndio swala muhimu hizo taarabu hazima mashiko
@sonnyr1899
@sonnyr1899 6 ай бұрын
Hamna cha KATIBA mpya wala KATIBA Mze tatizo la nchi zetu nyingi za Afrika umimi na usisi ni mwingi mno Yani kwa kifupi ubinafsi Kenya wanakatiba mpya ila tazama kila uchaguzi ukikaribia KATIBA inawekwa kabatini na kunaanza UKABILA na mwisho damu kumwagika. Wanaoteseka ni raia wa chini mimi na wewe
@clemenceparokola
@clemenceparokola 6 ай бұрын
Watuletee wakili msomi Mwabukusi itakuwa kabla ya Misa ya kwanza kuisha
@MussaHuyya
@MussaHuyya 6 ай бұрын
Sifa anazopewa ni za kinafiki huku wakiingonga Samia aspoangalia atavuna mabua
@kapufi2047
@kapufi2047 6 ай бұрын
sidhani kama hii ni shida ikiwa ni utaratibu wao waliojiwekea na umeanza toka enzi za Mwalimu Nyerere, unless kama kuna jicho la tatu la kijasusi sijaliona bado
@mwakinyagatv711
@mwakinyagatv711 6 ай бұрын
Makamba mwizi tu huyo
@knight6757
@knight6757 6 ай бұрын
👀
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 6 ай бұрын
Kibaka mzoefu huyo
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 6 ай бұрын
Unafiki mkubwa alikuwa anajipamba Makamba mbele ya mama yake Samia. Alikuwa hampambi bali alikuwa anajipamba mwenyewe.
@simonsadala2386
@simonsadala2386 6 ай бұрын
Urais wa nchi hii utausikia kwenye Tarifa ya habari
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 6 ай бұрын
Look who is talking.😂 the big thief 😊 hata Magufuli alimfukuza kazi...
@alawikihema8676
@alawikihema8676 5 ай бұрын
Who is magu
@YunusuKantangayo
@YunusuKantangayo 5 ай бұрын
Maono yangu Mama ktk uongozi wa uraisi ameonyesha utulivu na upendo nasema nchi yetu iendelee kuongozwa na akina mama hasa upande huu wa uraisi hatumtaki mwanaume ktk nafasi hiyo ya uraisi muda wote na kwa kipindi kijacho asante ,
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 6 ай бұрын
Makamba acha polojo twambie miladi mingapi imekamilika
@huyu1993
@huyu1993 6 ай бұрын
Kwaiyo wewe hujui miradi mingapi imekamilika ? Kwani hauangalii tv ? Au vyombo vya habari hauvisikii ?
@EmanuelNicholaus-of1qg
@EmanuelNicholaus-of1qg 6 ай бұрын
Ndo imetokea tujifunze
@AllyKija
@AllyKija Ай бұрын
Huo ni u babe sisi wananchi mnatunyima uhuru wetu na haki ya kugombea sio powa
@johnmalale3860
@johnmalale3860 6 ай бұрын
Hili tikiti kabsa;:' miradi hiyo imeanza Awamu gani:; mbona awamu zingine hazikufanyika!; Acha UZWAZWA dogo ;! Chukua chako tu uondoke':
@ChristerShao
@ChristerShao 6 ай бұрын
Baba hoja zipo kwa upinzani,tatizo ni utangazaji matokeo.
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 6 ай бұрын
Anafaa kwao sababu anawapa ulaji lakini kwetu hafai sababu amesababisha maisha magumu,sukari imepanda bei,nishati ya mafuta imepanda bei,mfumuko wa bei ni mkubwa. Makamba na wenzako ni wabinafsi,mnatafuna nchi hii na mnataka Samia aendelee ili mumtumie kupora mali za nchi hii. Dola hakuna mnadanganya watu kuwa kuna Dola
@ErastonhumboHumbo
@ErastonhumboHumbo 6 ай бұрын
Tupeni katiba time huru na maisha bila cy kubwabwaja maneno kama hayo hatuitaji raisi
@PauloShikome
@PauloShikome 6 ай бұрын
Yani nimechoka kwaunafiki huuu jamani tumuogope ALAA
@SabastianRaymond
@SabastianRaymond 5 ай бұрын
CCM MSIJISAHAU. MUNGU AZIHAKIWI. HAKUNA UFALME USIO NA MWISHO HAPA DUNIANI UPO MWISHO WA CCM. MUNGU NDIYE AJUAE.
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 6 ай бұрын
Watu wengine ukiwaona tu hata sura zao, unagundua kuwa hakuna mtu hapo.
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 6 ай бұрын
Asamte kea elimu nzuri
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 6 ай бұрын
Umejipendekeza kuwa kwa hiyo usiseme chama cha upinzani bali tunashida tunataka KATIBA.
@joachimmahoo9786
@joachimmahoo9786 6 ай бұрын
Tundu Lissu Ama tosha huyu mama ambaye alifeli form IV
@hajihassan5433
@hajihassan5433 6 ай бұрын
Nenda wewe uliyepasi.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 6 ай бұрын
Rais wa Tanzania ni LAZIMA awe na academic rank ya degree moja hivyo kama anazo mbili shida iko wapi?
@adenmwakalobo760
@adenmwakalobo760 6 ай бұрын
Dawa ya uchawa huu wote wa kina Majaliwa na Makamba na wengine ni katiba mpya itakayoyatoa mamlaka ya uteuzi wa kila nafasi ktk mikono ya Rais na kwenda ktk institutions ili huu upuuzi wa kusifu sifu na kujipendekeza kwa ajili ya cheo na ubinafsi tu uishe na upotee kabisa ktk nchi yetu! Vinginevyo ikulu panakuwa ni kijiwe tu cha anayepata kuwa Rais kujikusanya na wapambe anaowateua ambao jukumu kubwa walijualo ni kumsifia sifia ili wabaki hapo hata kama hawana uwezo wowote kikazi. Afanye kazi ya nini wakati sifa kuu ktk nafasi yoyote ktk nchi ni kumsifu Rais hata ktk ujinga kabisa na yeye anafurahi kupewa sifa hizo??? Rais shupavu na mwajibikaji atawadai wateule wake WAJIBU na hataendekeza kusifiwa na yeyote!! Lakini Rais dhaifu na asiye na lolote zaidi ya kuteua na kutengua kila uchao, na ambaye kwake ikulu ni pahali pa kupunga upepo yeye na walio karibu yake, atawahitaji wateule wanaokimbilia kumsifu kama hirizi ya cheo hata kama ni wavivu na/au hawawajibiki. Sishangai kofi kupigwa ktk huo mkutano ktk kila alisemalo Makamba kwani watu huandaliwa wafanye hivyo ili kusifu. Kwa hali ya maisha ilivyo ngumu, ajira hakuna, vitu bei juu na taabu nyingine huku ktk kipindi kifupi kisichozidi miaka mitatu cha Rais huyu AMEKOPA MARA TATU USHEE ya deni alilolikuta, ni wapambe tu wanaoweza kupiga kofi! Diaspora ya kweli ina uelewa isingempigia kofi Rais wa hivyo. Anaogopa katiba mpya kwa vile hataki uwajibikaji, anategemea wizi wa kura kubaki madarakani. Unampigiaje kofi Rais wa aina hiyo??
@FedrickNgonyani
@FedrickNgonyani 5 ай бұрын
Makamba oyeee,wapinzani hakuna kitu,wanasubili mihemko
@lekishonmolele1859
@lekishonmolele1859 6 ай бұрын
Mbona hamuongelei Ngorongoro
@gangmore9091
@gangmore9091 6 ай бұрын
Ccm neno haki hakuna wao amani usalama umoja 😂😂haki ndio hubeba hayo yteee
@PhilibetLadislaus
@PhilibetLadislaus 6 ай бұрын
Tunahitaji rais kama awamu ya kwanza mwenye uwezo wa kutaifisha mali za umma zilizo binafsishwa kumangumashi asiye na tamaa ya maisha yake bali ya wananchi afungue au kufufua viwanda, Ardhi kuwa ya umma kwa kuwanyang'anya waliojirimbikizia ardhi kubwa, Anayethamini utu wa mtu,kuwa na sera ya elimu iliyo bora kwa kujitawala wenyewe kwa kuwa na maendeleo kila fani . Tuepukane na uwekezaji serikali inaweza kuandaa wasomi wetu sio uongozi wa kufuata mkumbo.Ni wale wazee waliosoma na kuona tawala mbalimbali za dunia sawa na Nyerere alivyo weka msimamo wa nchi bila kujali tajiri au maskini.
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 5 ай бұрын
Mfanano wako. Mwanamke mzanzibari. Ninanukuu mh Makamba
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 6 ай бұрын
Tena ni hatari sana. Kwa kweli ni hatari sana. Kwani CCM ndiyo kwani wana CCM wote wamewambia kuwa wanamuhitaji? Kwahiyo Makamba na Waziri ndiyo maamuzi ya wanaccm?.
@febby8308
@febby8308 6 ай бұрын
Tumejenga taifa lakini bado sasa tuwainue wanananchi ili wajenge taifa ndi wajenge taifa wenyewe
@malkavoice2570
@malkavoice2570 6 ай бұрын
Mpinzani wake nani sasa kama sio yeye na dingiyake
@traudkamugisha8051
@traudkamugisha8051 5 ай бұрын
Kweli Mama Samia kwenye haya hakika anastahili Heshima kubwa na 2025 mitano tena
@danielkanso
@danielkanso 6 ай бұрын
Kuna haja ya kuwa na mfumo sawa hapa
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 6 ай бұрын
Huyu jamaa hafai kuwa kiongozi hata kidogo
@patrickmunisi7234
@patrickmunisi7234 5 ай бұрын
Hivi si Hawa ndio walimsifu aliyepita hadi kumfananisha na Mungu?
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 4 ай бұрын
Januari Makamba. Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba ndio wale wale sawia na mbunge mmoja aitwaye Kibajaji. Waongeavyo ni kama vile wanatoa "pumzi inayo tokea matakoni"!!
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 6 ай бұрын
Kurudisha Inchi ni kuuza mali za Tanganyika kwa warabu ndiyo kurudisha kuzurura kwa warabu na ulaya ndiyo kurudisha uzuri. Kutumia mali za Tanganyika kwa kuenda kila Inchi ndiyo. Yote Magufuli alifanya kwa wanainchi ni kosa kwa CCM Kutawala ni kuiba na kutalii Inchi za inje maana walikuwa kuwa wanafanyia waliowaweka Kutawala ni kosa. Kweli unampamba au unampangua kwa wanainchi?
@olomweneabongela1717
@olomweneabongela1717 6 ай бұрын
Huyu mkimchunguza vizuri ni mnwyaji wa pombe
@josephamos6636
@josephamos6636 6 ай бұрын
Jamaa anajikombakomba hakuna kitu ufisadi mtupu
@HaulSidney
@HaulSidney 6 ай бұрын
Mr kata umeme,hawa mawaziri wengine,utakuta si raia wa watanzania, mbona hatuoni miradi ikiisha, Zaid ya ufisadi tu, RIP JPM
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 4 ай бұрын
"...ulipo ongia madarakani...Uchumi wa nchi ulikuwa umedorola..." Hii mbona inakinzana na kile tulicho aminishwa kuwa ndicho kipindi Tz ilipopanda kiuchumi hadi kuingia "uchumi wa kati...."!!??
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 6 ай бұрын
Leteni katiba mpya leo kesho mbali
@thebmcblackmiccatcher3949
@thebmcblackmiccatcher3949 5 ай бұрын
Hajui kujenga hoja,
@richardnganya2311
@richardnganya2311 6 ай бұрын
Kurejesha heshima ya nchi inaonesha kulipotea kwa hiyo heshima .. chini ya utawala wa chama kipi ?
@abdullahissa7548
@abdullahissa7548 6 ай бұрын
Ccm waongo Kwan
@frankmwinuka3413
@frankmwinuka3413 6 ай бұрын
Mgombea anayefaa ni Mwabukusi. Ni jasiri, mzalendo, hajawahi gombea nafasi yoyote akashindwa na familia yake yote inaishi hapa nchini, hawezi kutumiwa (kama remote control). Naomba watanzania wenzangu wapenda amani tumuunge mkono ili awe raisi wetu ajaye.
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 6 ай бұрын
1. Wanagombea nini kwani? Tunatafuta kiongozi wa nchi. Jadili leadership qualities za Mwabu..😄 🤣 2. Kuhusu kushinda na kushindwa nadhani huna kumbukumbu sahihi za Mwabu. 3. Maoni yako yaheshimiwe, lakini penye kasoro yasahihishwe.
@HermanZephirne
@HermanZephirne 2 ай бұрын
Aise ci binadamu tuna akili mavi sana
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 6 ай бұрын
Kuwaruhusu Wapinzani kufanya mikutano a vyama vyao ni Takwa la Kusheria na sio huruma ya Raisi. Raisi alitimiza wajibu wake kisheria. Unatetea nafasi yako kwa kujipendekeza ili uendelee kuiba na kuharibu Wizara km ulivyofanya kwenye Nishati
@jiddahmaulidi3572
@jiddahmaulidi3572 5 ай бұрын
Majiziiiiii
@Jamesmwakisambwe
@Jamesmwakisambwe 11 күн бұрын
Huyu afai ata kuwa montor wa chekechea an
@mathiasmichael9915
@mathiasmichael9915 6 ай бұрын
Rais wao... Kipenz chao... Kwahyo yeye hakuwa mtanzania??
@mathiasmichael9915
@mathiasmichael9915 6 ай бұрын
Rais mwanamke,, Mzanzibar,,,.. kwahyo Mzanzibar siyo mtanzania?
@mathiasmichael9915
@mathiasmichael9915 6 ай бұрын
Unamaaanisha kwamba magufuri kuzuia chanjo halikuwa Hana hakili? Je! Ulimuambia?
@mathiasmichael9915
@mathiasmichael9915 6 ай бұрын
Maana yake makamba wewe ni mchonganishi watu gani walikuwa hawapo pamoja na mama?
@mathiasmichael9915
@mathiasmichael9915 6 ай бұрын
Inaonyesha wazi kwamba kwa akili yako makamba magufuri alifanya Mambo ya hovyo na kila alichokifanya akikuwa sahihi?
@hosianamosha389
@hosianamosha389 6 ай бұрын
Kwa upande wangu natamani upinzani wange msimamisha Mwanasheria , Mwabukusi🎉❤
@mkude
@mkude 6 ай бұрын
Utakuwa wewe unamatatizo ya akili😂😂😂😂😂
@winniefridamutakyawa5943
@winniefridamutakyawa5943 6 ай бұрын
Usitusemee hayo ni mawazo yako. Ongelea KATBA na Ngorongoro na CAG ripoti DPWorld Bado bado juna mapungufu mengi acha uchawa. Misitu imeenda hayo pi ni mambo ya kutamfamnya aendelee na urais .Ujiwa mkweli ongea na mapungufu hapo tutakuona kuwa wewe ni msemaji wa kweli.
@chancesholdan342
@chancesholdan342 6 ай бұрын
Kama kweli Mungu yupo bas hawa wala nchi wote motoni
@victorphilipo
@victorphilipo 6 ай бұрын
Yaani tanzania nikubwa kuliko januari huyo nibinadamu rakini mioyo yawengi wantanzania wanajua nchi ikoje katika kumbukumbu zawengi tunajua magufuri atafufuka tumuereze shida zetu hakuna asiye juwa nimuda umeme umetupa shida kwa uliwezaje kula :::: nao nimajuto mwisho wa siku tanzania itabaki kama nchi
@joachimmahoo9786
@joachimmahoo9786 6 ай бұрын
Makamba anajipendekeza kwa mama ago bee ago bee 2030
@abdulally6410
@abdulally6410 6 ай бұрын
We jamaaa nakubaliana na ww barikiwa saana
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc 6 ай бұрын
Hv usalama wa taifa wnamchukuliaje huyu? Hawaoni Kama ni hatali kwa usalama wa tz?
@ufunuoeliya719
@ufunuoeliya719 6 ай бұрын
Mm.naamin nchi yetu inaongozwa na wasomi ila sio na wenye akili natamani siku niipate nchi hata wiki moja hakika hakika niseme mara mbili tu
@solomoneglesias9752
@solomoneglesias9752 6 ай бұрын
Sk bhana 🙄🙄🙄mmemupa muda wooote huo na hakuna la maana zaidi ya kusifu na kuabudu tu oooh mb zangu rudisha🙋🙋🙋
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 8 күн бұрын
Ili umuelewe inaitaji DD
@ConradMbuya-hl7nq
@ConradMbuya-hl7nq 6 ай бұрын
Kwa sisi wapinzani Tuanae LISU anatoshaaa
@sospeterodhiambo6869
@sospeterodhiambo6869 6 ай бұрын
Nyerere aliwahi kusema kuwa mpumbavu akikwambia jambo lisilo na maana na ww ukaipokea hivo atakudharau Hawa naona wanamtosa tu Mama yetu lkn siyo kumsaidia Uchawa umezidi jamani
@suphiandaudimbalazi2488
@suphiandaudimbalazi2488 6 ай бұрын
Makamba yuko smart sana
@abdulally6410
@abdulally6410 6 ай бұрын
Mkundu tuu wewe Ana usmart gan sasa
@suphiandaudimbalazi2488
@suphiandaudimbalazi2488 6 ай бұрын
@@abdulally6410 hakuna asie mkamilifu, hata wewe nia andazi, lakini haimaanishi huna manufaa, wapo watakao kuitaji kwa kitafunio, kwaiyo inategemea unatazama kwa angle gani, makamba ni smart sana kuliko vijana wengi sana wa nchi hii. Kama wewe na wengine wa mfano wako
@GeorgeObute
@GeorgeObute 4 ай бұрын
Kweli elimu ya Dunia nademokrasia isiyo ya kujikomba na ndiyo Sababu umeshidwa wizara ya nishati makamba ufai kabisa
@PeterMagoye
@PeterMagoye 6 ай бұрын
Wengi wataungua sana kwa moto nyambafu
@benny4345
@benny4345 4 ай бұрын
Hakuwa tumechanganyikiwa na hivyo hatukuhitaji mfariji.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 6 ай бұрын
Ndio lengo kuu la miswada mitatu 3 iliyopitishwa na bunge, na sasa ipo mezani pake inasubiri saini ya Mkuu wao wa nchi, Amiri jeshi mkuu, Rais na MWKT wa ccm,Mama Samia asain iwe sheria ya vyama vya siasa kuelekea uchaguzi ambao ndani ya chama chake pamewekwa kizingiti cha demokrasia kuwa ni yeye tu anayestahili kuchukua fomu, ule utamaduni haupo.
@raymondkafyulilo6636
@raymondkafyulilo6636 6 ай бұрын
Watanzania mnaoishi huko Nje hivi kweli na akili zenu masikiliza utopolo huu? Watu wana uawa wana kufa wanadhulumiwa haki yao na ccm. Nyie mnapiga makofi tu. Badala kuwauliza kwanini hawataki Katiba Mpya ?
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 6 ай бұрын
Tunahitaji viongoz kama makamba kwenye nchi yetu
@JoakimKalunde
@JoakimKalunde 5 ай бұрын
Ivi mawazili waliisha mpaka unarudisha shetani wa bumburi mpuuzi mkubwa hufai hujui kuendana na wakati having ulisoma psychology ya wa2 wa jimbo lako mpuuzi mmoja
@nyembobea7285
@nyembobea7285 6 ай бұрын
Kwani tafsiri ya democrasia nini ndugu chawa watu wenye chama chao kama wameamua kuwa na mgombea mmoja wewe unakerwa nanini? nakwambia tena mitano tena kwa mheshimiwa rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania wa tanzania daktari samia suluhu hassan
@ahmedghoth2996
@ahmedghoth2996 6 ай бұрын
Hili jitu Halifai hata kidogo
@ZephaniaNdaki-vq1ti
@ZephaniaNdaki-vq1ti 6 ай бұрын
Kwa maneo ya J. Makamba, mama Janneti Magufuli sjifunze nini kuhusu mtazamo wa viongozi wa CCM na uendeshaji nchi wa hayati mumewe Magufuli?
@liannsambu7264
@liannsambu7264 6 ай бұрын
SHKAMOONI WANAFIKI WANASIASA WA TZ , MUNGU ANAWAANGALIA NA ATASHUGHULIKA NANYI KILA MTU KWA MUDA WAKE , SISI WANANCHI TUNAANGALIA ,MUDA WAJA NA UMESHAFIKA 😢
@sospeterodhiambo6869
@sospeterodhiambo6869 6 ай бұрын
Upinzani kuanza leo ni kwenda kinyume na sheria Tuingie kweli kwenye makosa kama wao Ngoja tutafakari
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 6 ай бұрын
Hizo ni taratibu za chama kinachotawala.Watanzania wote siyo wanachama wa chama tawala.Nchi yetu imepitia katika milima na mabonde mengi sasa na tunajua matatizo tulio nayo. Wananchi wanaandamana kwa matatizo.Haya maelezo siyo majibu ya matatizo ya msingi tuliyo nayo.Kwenye kura tutatoa uamuzi wa nani atatusaidia.
@PeterMagoye
@PeterMagoye 6 ай бұрын
Inaonyesha dhahiri alikua na chuki kabisa na JPM na kama sio mtanzania
@Msemakweli2024
@Msemakweli2024 6 ай бұрын
Ni sawa amefanya lakini tutengeneze maneno ambayo hayaonyeshi dhihaka. Amefanya pamoja na watanzania wenyewe. Afterrall uraisi ni taasisi, yapo mengi ameshauriwa na wengine na Watanzania walilipa Kodi, hajatoa mfukoni mwake
@user-qe5cb7vy6o
@user-qe5cb7vy6o 17 күн бұрын
Hatumtaki kabisa aendelee wewe unampamba kwa sababu kulinda cheo chako.Kwa utekaji na mauaji yaliyopo ndiyo kabisa hatumtaki.Watanganyika wamekosa ajira wamepewa wazanzibar wizi umezidi,rushwa nyingi,denila limepanda nakuiuza Nchi mambo hovyo ni mengi HATUFAI.
@JonathanMwandala-hs3ld
@JonathanMwandala-hs3ld 5 ай бұрын
Watanzania hakuitaka chanjo io,ndege zikwapi,mmerudisha waiz katka serikali ivi nyie hamuoni ziara ya makonda ilivo onyesha ubaya mkubwa unao fanywa na ccm,ccm haitakiwi kabisa Yan r.i.p magu
RASMI, TANZANIA IMEREJEA GIZANI KITAIFA NA KIMATAIFA
27:22
SK Media Online TV
Рет қаралды 43 М.
WATEKAJI, WAUAJI WAMEPATA HAMASA
4:06
SK Media Online TV
Рет қаралды 9 М.
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
Teaching a Toddler Household Habits: Diaper Disposal & Potty Training #shorts
00:16
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 10 МЛН
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 19 МЛН
WACHINA NA TANZANIA: TUPO SALAMA KIASI GANI?
28:46
SK Media Online TV
Рет қаралды 16 М.
"WANAJIANDAA KUTUUA, TUNAJIANDAA KUFA!"
5:03
SK Media Online TV
Рет қаралды 12 М.
🅻🅸🆅🅴 :  MBOWE ANAZUNGUMZA  MUDA HUU....
1:22:12
JAMBO TV
Рет қаралды 35 М.
Bishop Ngonyani- HISTORIA YA TAIFA LA ISRAEL EPISODE 1
34:21
Ngonyani Tv
Рет қаралды 35 М.
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН