Nashukuru sana Mungu akubariki. Nimejaribu mkate ni mtamu ajabu
@wardakhalid2924 жыл бұрын
Aamin 🙏, asante kwa feedback 💕
@aishasalim12814 жыл бұрын
Ma shaa Allah ,great recipe
@wardakhalid2924 жыл бұрын
Thank you 💕
@jarqueengodfrey62923 жыл бұрын
East and delivious
@KhadijaMujahid21084 жыл бұрын
Trying this on the weekend 🥰🥰🥰 thank you for sharing, nimejifunza
@wardakhalid2924 жыл бұрын
💕😘
@muminspirekids-mixedfamily79214 жыл бұрын
Another top sharing 🌹🌹🌹👌🏻
@salehemsami7 ай бұрын
Inapatikana wapi hapa Arusha.
@zumlatisalehe29012 жыл бұрын
Amazing😋
@fatinaaman2412 жыл бұрын
Mkorogo wake unatakiwa usiwe kama wa keki dr
@rebeccabwashi85623 жыл бұрын
Hi warda cna oven natumia gas je niweke sufuria moja kwa moja jikoni au niliweke ndani ya sufuria nyingine
@wardakhalid2923 жыл бұрын
Hi rebecca , sorry for late reply Ukitumia gas unatakiwa uwenasufuria kubwa uiweke mafika ndani au chumvi au mawe the unaifunika ipate moto kwa dakika 10 kwa moto mdogo mdogo wa jiko la gesi ila usiwe mdogo sana . Then unachukua baking pan au sufuria ndogo inayoweza kuingia kwenye sufuria kubwa iliyoko jikoni. Unaweka mchanganyiko wako then unaweka ndani ya sufuria iliyoko jikoni juu ya mawe au chuma cha kuzuia isikuse chini then unachukua foil paper au kitambaa cha kufunikia sufuria kubwa then unaweka mfuniko mkubwa juu yake kuzuia kitambaa kisicheze wala foil isitoke. Mpaka keki ikiwa tayari unaitoka ikiwa imeiva vizuri kabisa💕