Kuweni makini watu WA Mungu hii Dunia ,shetani anainua vibaraka wake ili wamalize kazi upesi na Hawa wananguvu sana mana wanapingana na Mungu Moja kwa moja kwanza hawatambui uwepo WA Mungu , wapuuzeni msitie neno lolote , kuweni makini na watu waletao mizaha wakicheza na jina la Mungu, Bora ukae kimya mana ni hatari sana kushabikia jambo usilolijua mwisho wake
@besttrendingcovers183813 күн бұрын
jana nmekutana na dada mmoja ana shida na elfu 80 imsaidie kuanzisha biashara ya matunda ila ni muumini mzur sana kanisan kwao na kuna michango ya ujenzi wa kanisa anadaiwa. nikamwuliza inahitaji utoe sadaka mara ngapi ili upate hiyo elfu 80 , hakunijibu. nikamshauri tuu ili upate hiyo hela fanya kazi zako utapata siyo kutoa iyo michango kanisani
@christiangideon866311 күн бұрын
Naomba mawasiliano yake huyu
@godwineliya468612 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 kumbe Tunaishi Mbinguni me ndiyo najua Leo 😅😅😅😅
@AsheriKagezi9 күн бұрын
Wachokonozi Ninyi na sisi watu wa dini ni tafauti sana 1 yoh 3:1-3 inasema ni wana wa mungu na kwa sababu hiyo ulimwengu haututambui ninyi wakana mungu hamtutambui
@Erizaphandaudi11 күн бұрын
Ninyi bakini mlivyo mungu sio mwanadamu atawalipa sawa na matendo yenu
@mohamedally12112 күн бұрын
Nawasihi msomeni vizuri yule mchungaji, hamjamjua vzuri au mnamjua juujuu
@AsheriKagezi9 күн бұрын
Mtume paulo 1kor 6:1-4 anasema wakristo hatupaswi kupeleka malalamiko yetu kwa watu wasioamini na kama sisi tunaamini kuwa kanisa la wasabato ni kanisa la mungu na tumuachie mungu yeye atasawazisha mambo maana kila pando asilolopanda Mungu litang'olewa
@philipokakwimba117410 күн бұрын
Kumbukeni Kuna Mungu Mwe Na Mipaka Wakuu Aliye Watuma Mwambieni Kuna Mungu Aliye Na Hukumu Za Kweli
@bongatv2513 күн бұрын
Akipigwa vizuri uyuu atasema uyu
@denniskarito899411 күн бұрын
😂hàmtaki moto wa uhai lmfao ,,,nimewavulia kofia kutoka 254
@JacksonSimbwye12 күн бұрын
Okay nyinyi ni wasabato mulioacha Imani,
@FikiriChilingo13 күн бұрын
Wewe kaka unahatar muombe mungu akusamehe
@washindisingers80412 күн бұрын
Mnachoshindwa kuelewa ni kwamba wokovu sio kwa ajili ya manufaa ya duniàñi bali ni kwa ajili ya maisha ya mbinguni..... Yesu angeweza kuja duniàni na kuleta utajiri kila mtu afurahie maisha duniani maana yeye ni muumbaji badala yake aliamua kuwakomboa wanadamu kwa ajili ya maisha ya milele .. ambako hakutakuwa na chozi wala huzuni ni furaha milele zote. Niwaalike tujiandae pamoja kurejea nyumbani mbinguni
@KilimanjaroSafaris12 күн бұрын
Shida yenu mnajibu kwa MIHEMKO ya KIIMANI badala ya kufikiri kwa KINA na kutumia AKILI ZENU kuhoji na kuweka UKWELI wa WEZI wako wapi na wanaibaje, wanadanganya wapi na WANADANGANYA na KUIBA kwa kutumia njia zipi? kwa nini unapohoji kuhusu WIZI viongozi wenu WANATOA visingizio vya MWISHO WA DUNIA UMEFIKIA na WAPINGA KRISTO watakuja wengi, Je ni nani ALIYELETA adiology hizi za MWISHO WA DUNIA na MPINGA KRISTO.. TUJIFUMZE KUFIKIRI NA KUACHA KUPELEKWA KAMA MANYUMBU na MAKONDOO😮😂😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bangi mbaya sana kumbe sisi tunaishi mbinguni
@marcoemanuel689212 күн бұрын
Unaenda wap ss ukivuka 😂😂 nimecheka mm
@bulayaconfidential721213 күн бұрын
Hili suala la Dini ukiangalia serikali hawawezi kulifanyia kazi maana wao na Dini ni kitu kimoja..
@Solomonnize13 күн бұрын
Mlitutega, mmechanachana, ila Mnatoka Mnaingia kuhusu uwepo wa Mungu👏
@Drepsama13 күн бұрын
Kaka mungu sio mtu ni umungu ni nguvu ilisababisha uwepo na kusimamia utengamao wa uwepo huo.
@GameChumaTz13 күн бұрын
@@Drepsamangumu kumeza iyo mzee umempa
@mugishaedwin542411 күн бұрын
katika yote uliyoyasema, hakuna ambalo ni jipya ,yapo ya kweli na mengi sana ya uongo ... lakini kuhusu uwepo wa MUNGU wapo wengi waliosema na kuamini kama ninyi ... jambo moja muhimu ni kuwa Mungu yupo na anatawala . amewapa pia hadi huo uwezo wa kumkashifu, nafasi ingalipo rudini mkatubu maana kwa maneno yenu mtahukumiwa.
@AsheriKagezi9 күн бұрын
Walikuwepo wakana mungu kama Farao asiyemjuwa Mungu kama ninyi na Nebukadreza wafalme na watu maarufu duniani achana na ninyi mtakao fanywa kama mavi yenu Soma Ayubu 20:7 sawa na wakana mungu wote
@EmmanuelPaul-n5f13 күн бұрын
Wapi unaenda 😅😅😅mbinguni ni hapa
@danielsamwel443213 күн бұрын
True
@MutualPrayerTVstevendarreen778 күн бұрын
Hii kama we husomi Biblia Unaweza kuswekwa na Wapumbavu kama Hawa. Hela hata ipigwe Vipi Hiyo Haina Uhusiano na Agizo la BWANA Kwa mtoaji.... Yesu alimsifia yule Mwanamke mjane Kwa Utoaji wake Katika kipindi ambapo Nyumba ya BWANA ilikuwa zaidi ya pango la wanyang'anyi kiasi Cha Biashara kufanyika Ndani ya Hekalu . Lakini Yesu Bado alitambua mtoaji kama alimtolea Mungu
@LushidulaJidamawi13 күн бұрын
Ninyi munanigusaga saana
@BarnabasFabiani13 күн бұрын
Kazinzuri ❤
@piuslugata493112 күн бұрын
Yule mzee sio masikini msikieni vizuli
@deacleveland481912 күн бұрын
Poleni....this is blasphemy 😢
@Kakule-v2x13 күн бұрын
❤❤❤
@MisheckSiame-si1yo13 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@EmmanuelSimion-d3e13 күн бұрын
Sio kwamba Hawa wachokonoz , WANAJUA mambo lkn wana vitu kiasi kidogo, ni wahuni kama Wahuni tu!!
@StanleyMihambo11 күн бұрын
Ni kama mnataka kueleweka saidieni watu tujijue na kuwa na uhakika na uhalisia katika kuishi na kama mna temple elezeni IPO Wapi Ili watu wake wajifunze!.
@SimonShoo-m4b13 күн бұрын
😂😂😂😂naona umeamua kuwasagia kunguni ya kwanza dk 15 ya pili dk 22 watakukoma
@eliasmapesa11 күн бұрын
Hawa majamaa walikuwag a wasabato kumbe.
@MiagieLangoi11 күн бұрын
Waumini n walala hoi wachungaji wanakula kwa mrija hii hatari
@ShamteMatola13 күн бұрын
Nawapata wazee naelewa
@EvalineJonathan13 күн бұрын
Fact fact mzee
@Masotastv138913 күн бұрын
Mzee leo ndo ameoma hayo ? Miaka 42 yote alikuwa wapi mbona hajasema lolote hapo kabla.
@sauljacob644312 күн бұрын
Nyie ni wa SABATO kumbe
@msafiriaugustino295710 күн бұрын
Last days hakika
@BarakaDentaho8 күн бұрын
Chunga sana katika maisha yako usiguse kuchafua mboni ya jicho la Mungu katika maisha yako fanya yooote ila hapo pita mbali kwa sababu hutakua na mda wa kunisimlia
@jafarimukama470110 күн бұрын
Duuuuuu
@lucasharison244113 күн бұрын
Kwa kusema ukweli wachonozi nawakubali sana ila juu ya Mungu ayupo siwaelewi kabisa ukweli Mungu yupo wapendwa Mungu yupo kwa elimu ya Mungu wachonozi wamechemka bora aongelee ndini na madhehebu zao
@valentinernestkavishe729713 күн бұрын
Kama una miaka 20 itakuchukua miaka 20 kuamini kuwa hakun mungu, but ukiwa na akili nyepesi ni week tu unaamini hakun mungu but ipo nguvu ya ulimwengu unaweza kuiita jina lolote
@GameChumaTz13 күн бұрын
@@valentinernestkavishe7297ndo ipo ivo ukuu katika vyote❤
@EzekielMapalu9 күн бұрын
Hakuna kitu kinachomfurahisha mlevi kama kukutana na mlevi mwenzake,,,wew unaesoma comment hii usitetee udhaifu ulionao kama una dhambi tubu urejee umpendeze MUNGU wa mbinguni, MUNGU yupo acha ushabiki mama yako wakati anakuzaa wew ,alikuwa akimuomba MUNGU ili ajifungue salama leo wew unamkataa aliyemsaidia mama kukuzaa wew🫵
@KelvinKeita-b6o13 күн бұрын
Safi kabsa wanangu hata dokta slaa aliukacha upadri ka7babu ya upigaji wa maokoto kwenye kanisa Catholic 😂😂😂
@AsheriKagezi9 күн бұрын
Huyo pr mwasomola anaonekana kama yuko sahihi lkn kuna mahali ameteleza kwa sababu sisi wajibu wetu ni kutoa kutoa sasa wakiiba hela wanamuibia nani kwani wanachukua pesa zangu? Mimi nilishatoa sadaka sasa ni za mungu mimi zinanihusu nini? Wanamuibia Mungu watajuana na mungu wao hili ni jambo la imani nimeongea
@JaneOnyango-fb7li13 күн бұрын
Naomba niwaambie kitu haya yote yalitabiriwa na Mungu na Kuna ambayo yameshatimia na Bado mengine yanaendelea kutimia ....hata hivyo kanisa la Mungu litatukanwa Sana lakini ukweli utabaki pale pale kanisa la kweli la Mungu na ulimwengu mzima ni kanisa la waadventista wasabato .
@privaushaki739513 күн бұрын
We umelala ukiamka utaelewa umechelewa
@DmgDigitalOnline13 күн бұрын
Afadhali hii akili ipo kwenye kichwa Cha mwanamke.
@FadhiliMarko-dz9ic13 күн бұрын
Ila kamdomo
@HelenaSalum5 күн бұрын
Mpumbavu anasema moyoni mwake hakuna Mungu ndo wewe hapo
@EmilyTembo-k7e13 күн бұрын
O:31 Nilishaga wahi kusema raisi akishinda uchaguzi asiambiwe hongela hadi tuone amefanya Nini katika uongozi wake
@BabaTiffah13 күн бұрын
Wa Africa tubadilike Sasa jamani dini sio kitu harisi ni mifumo ya kutawala Dunia
@richardkonzo571713 күн бұрын
@@BabaTiffah wamekwambia wachokonozi au umefanya tafiti wewe binafsi? Tuelezee huo utafiti wako with evidence ili tukarejee Na sisi! Binadamu habadiriki kwa kuambiwa abadirike.wewe kama umewaelewa hawa Jamaa, basi Badirika, mimi bado sioni la maana kwao zaidi ya kutafuta tu hela kupitia media yao. Waende kwenye midaharo mikubwa huko kama wanaweza
@Bisekoson13 күн бұрын
Na bado unajina la kikoloni, kweli ni shida.
@EzekielMapalu9 күн бұрын
Father YESU anakupenda, kubali kutubu na kuacha dhambi MUNGU atakusamehe,, Wewe🫵 hawezi LOLOTE BILA MUNGU, unamhitaji yeye PEKEE duniani tunapita..
@bahatisaimon601913 күн бұрын
Niliibiwa sana na Mimi kipind Bado nimo humo
@martinejackson306612 күн бұрын
TAHADHALI KWENU mnapoongea mambo ya Mungu msitukane please Mungu yupo anaweza kushughulika na nyie.... Na hapo mlipo ni kwa uwezo wake tu
@richardkonzo571713 күн бұрын
Jamaa wa wachokonozi anayechambua, ana viashiria flani kama akili yake haiko sawa. Anachanganyachanganya mambo sana. Japo yeye anajiona yuko sawa, lakini No! Napata ugumu kidogo. Najua wengi hawatanielewa, lakini nimekuwa Niki mfuatilia kwa umakini sana, naishia kuwa na maswali mengi dhidi yake
@barakaalfred149113 күн бұрын
Mimi nawafatilia sana na ninafaidika na namna ya kufikiri juu ya mambo mengi ambayo awali sikuwa nikifikiri kwa kina.
@besttrendingcovers183813 күн бұрын
@@barakaalfred1491 kiufupi dini ni wizi tuu
@jacemanuel127711 күн бұрын
Hawa watu mwisho wao so mzuri. Huwezi sema hutaki Moto wa Uhai(Roho Mtakatifu) , Makambi, serikali ifute kanisa, etc mambo ya ajabu. Kanisa ni organization na inataratibu zake. Kuna organization zina kusanya pesa nyingi tu na hazi toe hata Senti Kwa maskini. Kanisa Lina miradi mingi shule hospitali n.k. zote zinagusa jamii. ADRA ni kitengo kinacho husika na jamii moja Kwa moja . Hawa watu ngoja tuone😊
@mhadhiliBilalama11 күн бұрын
Kuwa makini unachoongea ,,hasa juu ya kanisa la MUNGU,,litakuwepo na litadumu kuwepo.
@BarnabasFabiani13 күн бұрын
Ina bidi tuzifute
@willenmtafungwa192013 күн бұрын
Yes tujiulize uhuru wanautumiaje!? Great question of the day 😅
@mbatatakiazi167813 күн бұрын
haya ndiyo madhara ya kutokuwa na mwongozo thabiti kwenye mafundisho ya kanisa. Ni chanzo kikubwa cha kukosa uendelezo.
@getajo115313 күн бұрын
Mafundisho ya Kanisa ni concept za mtu kama wewe.... Iangaishe akili yako na wewe kuhusiana na hizo concept..
@joycehaule971713 күн бұрын
Hapana hapo mmechemka kusema eti simuende kutambika so kwa kosa moja la mchungaji mmoja ndio useme eti bora ukatambike kwenu so watu waache kumwabudu Mungu wakaloge na kutambika kisa msabato mmoja kaiba hela , hapana
@schigangermayala770613 күн бұрын
Kwan kanisani hawatambiki
@EmilyTembo-k7e13 күн бұрын
Guys hamufai kuwa viongozi bali mnafaa kuongoza viongozi
@nashonpharessnashon177413 күн бұрын
Mnajua kua juu ni maji pia hebu tuambieni kuhusu hii
@DaydreamHimself13 күн бұрын
kumbe yalikuaga masabato haya majamaa 😀
@danimark330013 күн бұрын
Msabato akijitambua kumrudisha kwenye ujinga wa dini sio rahisi
@EmmanuelMagesa-u1g13 күн бұрын
umeonaa eeeh😅😅😅😅😅😅 na mimi ni mmoja wao
@danimark330013 күн бұрын
@@EmmanuelMagesa-u1g hata mm piaa
@mckobatz586113 күн бұрын
Ndio ujue yako deep kiasi gani😂
@richardkonzo571713 күн бұрын
@@DaydreamHimself Majinga tu kama wajinga wengine, wanapinga Habari za Mungu Na dini, harafu wanashauri kifunguliwe chuo cha uchawi Gamboshi! Nonsense! Mara watu wa dini ni wajinga wachomwe!! Shenzi kweli!! Ukitoa uwepo wa Mungu, kila kitu ni sawa kufanya ili mradi usijulikane, kuua ni sawa, kuiba ni sawa, kufila ni sawa, Ili mradi usijulikane. Hata kutoka Na mama yako Mzazi ni sawa, kama si sawa, si sawa kwa Nani ikiwa Mungu hayupo?
@mohamedally12112 күн бұрын
Toka lini materialist akajua kuhusu idiolism theory? Mnaongea kulingana na fact za uonekano wa vitu
@JohnRmsope13 күн бұрын
Naitwa masinjisa naomba kuonana na nyinyi
@Halilubungulumo13 күн бұрын
Kama wanavyo sema kwenye vitabu vyao vya Dini tuamini ata kama atujasibitisha na sisi tatawaamini ninyi atujasoma
@IbrahimWarioba8 күн бұрын
Mbn mnawalaam hawa vijana mbn hammlaumu mpeleka maada?? mlitaka wasikie kisha waseme nn wanachosema na matokeo ya kile mlichowapelekea
@SaidKashushu2 күн бұрын
KANISA LA WASABATO, LENYE MWONAJI ANAYEONGEA NA MUNGU MTAKATIFU kzbin.info/www/bejne/aaTdc4Kta9uAd9ksi=ufAwwpBVPmVIOV0-
@aronindibalema496413 күн бұрын
Wambie
@EzekielMapalu9 күн бұрын
Aroni YESU anakupenda Kuna maisha baada ya kifo chako.. lisemwalo lipo kama halipo linakuja
@KanteTriphone-it5wj13 күн бұрын
Unafaa kua rais
@jamesmusonda191413 күн бұрын
Acheni kukashifu dini za watu ninyi
@AlfaMwahasanga-j1q13 күн бұрын
Mashetani wakubwa ninyi
@MsangoDiesel12 күн бұрын
Mnacho kisema nilifwatilia history ya Dr slaa aliacha upradri kwajili ufisadi
@JosefNgulinzila13 күн бұрын
Zifutwe 2 hazifai kwetu afrika dini zifutweeeeeeeeeeee!!!!
@benmushi633513 күн бұрын
Kuna eneo mmefeli
@Drepsama13 күн бұрын
Wapige spana.
@LushidulaJidamawi13 күн бұрын
Dini nimifumo yakutawala dunia
@EzekielMapalu9 күн бұрын
Achana na dini lushidula YESU anakupenda okoka,, Kuna watu wanatamani uzima na afya uliyonayo ili wamtumikie MUNGU lakn HAWANA ,, kibali hivi Leo usisubiri kipindi utakapokuwa hawezi
@isaackaitira76548 күн бұрын
Nyie vijana mnaijua imani halafu mnatukana watu wa Mungu kuwa ni mafala kweli? Mnatukana hadi vitabu vya nyimbo za kristo mmekuwa kama Faraoh alivyojibu jibu wanaisrael? Nimesikitika sana hata kwa kutukana watu Mungu na nyimbo za kristo, sipendi na hayo ya viongozi juu ya tuhuma zao, lakini nimeumia kutukana watu Mungu
@HurrysonVasco13 күн бұрын
Some time let's believe what we know...
@EzekielMapalu9 күн бұрын
Hapana mwamini MUNGU na ukazijue njia zake kwa kiasi utafanikiwa, usitetee udhaifu ulionao acha dhambi mwamini YESU atakusamehe,, Kuna maisha baada ya kifo,, Wewe 🫵 unamhitaji MUNGU
@isayasimwinga285413 күн бұрын
Nilidhani mtajadili kuanzia Speech ya Vice president, na mchambue apo kwa kina maana ujenzi wa hoja ya Pr. unaanzia hapo. Sasa ninyi mmetoa tu general attack! Ambazo hazijasemwa na mamlaka.
Moyoni mwako zingatia uwepo wa MUNGU kwa kutubu na KUAMINI neno la MUNGU,,maana hawezi LOLOTE BILA MUNGU
@BabaTiffah13 күн бұрын
Kweli kabisa wasabato unakuta wiki naima wanakaa makambi vijana kibao wanakaa tu najiulizaga hua hawana kazi za kufanya au vp
@moseskaiza444813 күн бұрын
Me huwa nashindwa hata Kushangaa,afu wengi wanamaisha Magumuuuuuuuu.
@joycehaule971713 күн бұрын
Kwahiyo watu waache kutenga muda wa kumcha Mungu kwakua kuna kazi zakufanya hapana .... Hao matapeli wapo kivyao ila siye HATUACHI KUMWABUDU MUNGU ALIYE HAI KISA Wezi flani
@schigangermayala770613 күн бұрын
We toa pesa ....uliwe
@joshuamakota671410 күн бұрын
Wiki moja tu ya ibada sio ishu watu wana ibada tatu kwa wiki mwaka mzima mixer mikesha ya maombi, yani hao chamtoto kuna watu wanapoteza muda haswaaaa.
@FadhiliEmanueli-w3x13 күн бұрын
Nawaomba wachokonoz naomba mchambue kanisa la r.c, Roman Catholic. Pamoja na huyu pope wa r.c mchambue vizuri anayejiita baba mtakatifu
@markoyuda556113 күн бұрын
Utasubili sana kwa Pope, Pope baba lao😂😂😂😂😂😂
@tinnahagustinolyelu424713 күн бұрын
Hicho kipengele
@FadhiliEmanueli-w3x13 күн бұрын
@@markoyuda5561 pope wa kawaida tu Kwan ana maajabu gan na wao siwale wale wakusanya maokoto dunian
@FadhiliEmanueli-w3x13 күн бұрын
@@tinnahagustinolyelu4247 hamna kipengele hapo na wao ni wale wale waokota maokoto dunian
@Manunhya12 күн бұрын
Makao makuu ya dini zote yako nje
@EzekielMapalu9 күн бұрын
Achana na dini YESU anakupenda wew🫵 tubu urejee ili MUNGU akupe uzima wa milele