NILIPATA MTOTO NIKIWA NA MIAKA 15 / DR KUMBUKA NI BABA MTOTO WANGU, SIPENDI MWANAUME ANAONGEA SANA

  Рет қаралды 149,582

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 194
@fadyaabdulhakim1896
@fadyaabdulhakim1896 3 жыл бұрын
Anpendeza akiwa hivi cool big up sis
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 3 жыл бұрын
Mshukuru Mungu Masha, mimi mtoto wangu, nalipa ada mwenyewe, namvalisha mwenyewe, kila kitu mwenyewe na mimi ni single mother, na ukimuona mtoto wangu utafikiri Ana huduma pande mbili lakini haijawahi kutokea hicho kitu, na juzi Ada haijaisha bado miezi sita iishe mtoto kasema shule hawasomi malengo yake hayata timia nisije mlaumu baadae, ada haikurudishwa ya miezi sita, nimemtafutia shule nyingine nimelipa ada upya ya Mwaka mzima, sasaivi yupo uko anasoma, tuulize sisi wenzio, tujenge na mishahara hiyohiyo, tupendezeshe mtoto na mimi mwenyewe kiukweli najipenda na pesa hiyohiyo, Mshukuru Allah Masha ndugu yangu 👏
@bettymwasa1079
@bettymwasa1079 3 жыл бұрын
Hongera kipenzi daaaah kuna mda hofu huwa inanishika ila naamini Mungu atanitendea
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 3 жыл бұрын
@@bettymwasa1079 Usijali mpenzi, usiogope kabisa, na hivi nimepata mchumba na siogopi kushere nae Mungu ndio muweza wa kila jambo,ikiwa rizk yangu basi atanioa na kama hatooa bac sio Rizik yangu kipenzi, ila natemea mazuri toka kwake inshallah 🙏
@bettymwasa1079
@bettymwasa1079 3 жыл бұрын
Aise unanipa moyo wa kuzidi kusimama' barikiwa
@MwanahamisiBwanga
@MwanahamisiBwanga 3 ай бұрын
Tuko went ndgu yanguu
@omjaber5959
@omjaber5959 3 жыл бұрын
yani katika interview zote hii masha amekuwa mtulivu sana
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 3 жыл бұрын
Kumbe masha love she's so cool n polite
@victormuriithi9560
@victormuriithi9560 3 жыл бұрын
ni mafua bro.. otherwise huh?
@udaku..travel8506
@udaku..travel8506 3 жыл бұрын
Jamani masha ongeyeni naye kiswahil mwanzo mwisho
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 3 жыл бұрын
@Fatma Karama link ya nini sister hii?
@judythasiko8648
@judythasiko8648 3 жыл бұрын
More love from 🇰🇪🇰🇪❤️,show iko😘
@biommy6700
@biommy6700 3 жыл бұрын
Hapa nimependa da Masha utaratibu ,polite unajibu Kwa umakini congrat
@fatushabdi2786
@fatushabdi2786 3 жыл бұрын
Masha Leo umitulia uko vzuri🤣 lakini nakupenda bure love
@emmy85sweetie99
@emmy85sweetie99 3 жыл бұрын
Kumbe kuna.muda unakua MTU eeeh big up sana dadake
@saudahassan6667
@saudahassan6667 3 жыл бұрын
Mashaallah mashaaa leo unaonge vizr
@shekhamohammed416
@shekhamohammed416 3 жыл бұрын
Masha nakupenda dada
@zenawahindi2425
@zenawahindi2425 3 жыл бұрын
Nimependa sana huyu dada anaongea vizuri hajamnanga mzazi mwenzie
@dan_platnumz8790
@dan_platnumz8790 3 жыл бұрын
Masha alianza mahusiano akiwa na Miaka 15 ila sai mnamsema Paula ameanza mahusiano akiwa mdogo na yy sai ako 18, na Bado hajazaa, tulieni wambea Paula ni mtu mzima sai
@kanboi5
@kanboi5 3 жыл бұрын
Kumbe we mdada mpole 😍😍
@aishaaboud4406
@aishaaboud4406 3 жыл бұрын
Love you both We have to help each other Life is too hard 💔
@aishambise6529
@aishambise6529 3 жыл бұрын
Tz wa Dada ni warembo mashallah
@subirajohn728
@subirajohn728 3 жыл бұрын
Masha mshukuru Mungu 50000 kwa siku tatu nyingi sana wenzako 20000 ni kwa mwezi
@saadacharasaada1958
@saadacharasaada1958 3 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@saadacharasaada1958
@saadacharasaada1958 3 жыл бұрын
Miaka 13 ya mtoto na miaka 15 yamama jumlisheni apo tupate umri wamasha don dadaetu😀😀😀😀
@saadacharasaada1958
@saadacharasaada1958 3 жыл бұрын
Af jana lasema anamiaka 25 😀😀😀
@saadacharasaada1958
@saadacharasaada1958 3 жыл бұрын
Ila so mkubwa kumbe bado kadogo tu
@subirajohn728
@subirajohn728 3 жыл бұрын
@@saadacharasaada1958 unapata 28!
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 3 жыл бұрын
Kuna mahojiano DK kumbuka aliwahi kusema Mtoto alozaa na Masha alikufa au walizaa watoto wawili
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 жыл бұрын
Vicha wote yy na dk🤣🤣
@roseuwambe893
@roseuwambe893 3 жыл бұрын
Mimi naona wanatu changanya 2😅😅😅🤣🤣🤣
@asmdori7579
@asmdori7579 3 жыл бұрын
sasa masha unanyaka 25 so 28 mana mtoto ananyaka 13 ulipata mimba na 15 sasa 15+13=28 leo ati una 25 mme alokuowa ana 23 sija alewa mimi masha kwa kweli.
@lovirinaa
@lovirinaa 4 ай бұрын
Hachana nae utamuweza😂😂
@chainbre275
@chainbre275 3 жыл бұрын
Mashallah masha muzuri munoo iseee
@saudamohamed2143
@saudamohamed2143 3 жыл бұрын
Masha umepenzaaa sana
@Dalaman10
@Dalaman10 3 жыл бұрын
Lazima awe responsible fully. Yeye baba. Hata kama mama ana kazi ni wajib wa baba. Mama iwe anaongeza tuu kwa mapenzi yake. Lakini wajibu ni wa baba
@jrsaid4270
@jrsaid4270 3 жыл бұрын
Jichanganye ndio maana wanaume siku hatuoi maana baadh ya wanawake mmetugeuza ATM.Elf50 Kwa siku tatu Duuh bora uliachka
@abdulsinga2464
@abdulsinga2464 3 жыл бұрын
Wanawake kama nyingi mko wengi sana...sijui pesa zenu mnataka kujenga kijijini kwenu.
@amaniomballa1855
@amaniomballa1855 3 жыл бұрын
Dada umeenda shule kweli' ?? Akli yako 0 ,,,hyo mtoto atajivunia nin kwa mama Kam hata Mia yako humpi untegemea kwa baba Ake kila kitu thaman yako itakuwa iko wapi kwa mtoto..halfu akikuwa mkubwa unataka akuhudumie ...jitambuen wanawake wa kiafrika hizo dhan zimebadilika Now Ni 50/50 ktk uchumi ktk kila kitu hampaswi kuwa jengea chuki watoto bila sbbu baadae utasikia nililelewa na single mother.nimejifunza kitu sio kuoA tuu hata wanawake wa kuzaa nao inabidi tuchhunge Sanaa wanaume wenzangu
@amaniomballa1855
@amaniomballa1855 3 жыл бұрын
Yaaan Narudia Tena kafanye ..Mental health check-up Mirembe hospital
@Dalaman10
@Dalaman10 3 жыл бұрын
@@amaniomballa1855 mama darja yake haitaki shilingi pumbavu wewe. Kumbeba miezi tisa na kumzaa kwa uchungu mkali , kumnyonyesha na kumlea unaviweza wewe. Allah kampandisha darja mama mara 3 halafu baba. Leo kutoa huduma mavi ya mdomo yamekutoka. Pumbav zako. Leeni mtoe huduma acheni ushoga. Kuweni marijali
@bettyobedy8938
@bettyobedy8938 3 жыл бұрын
Masha leo nimekupenda umeongea kistarabu xana kama sio ww
@zainabukhamisi8076
@zainabukhamisi8076 3 жыл бұрын
Anaumwa
@dangotee5051
@dangotee5051 3 жыл бұрын
@@zainabukhamisi8076 😂😂😂😂😂
@annastaziasanga9699
@annastaziasanga9699 3 жыл бұрын
Yaan afu ni mtu amBaye anaujasili waivyo kwenye kuongea ni ngembe tu za kutafutia ugali😂😂😂 nimempenda bule kumbe hata kwa wakwe atajituliza
@halimashango3808
@halimashango3808 2 жыл бұрын
Nakupenda
@fatmakiruwasha2378
@fatmakiruwasha2378 3 жыл бұрын
Siwezi kumkumbusha mtu majukumu yake km yeye anajijuwa ni baba basi mm km mm nitalea mwenyewe
@violethmapunda3500
@violethmapunda3500 3 жыл бұрын
Masha hajielewi jmn kuna wenzako ht iyo 10 kwa cku 3 hawapati mshukuru mungu ndo mana Dr kumbuka anasemage ww chizi, loho ada nusu wenzio ht iyo theruthi hawaipati wanapambana wenyewe loh.
@princehancesam9892
@princehancesam9892 3 жыл бұрын
Mbn leo katulia iv kumbe anaheshim media
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 жыл бұрын
Basi kumbe mnasaidiana mtoto lazima msaidiane kuhudumia vizuli sana
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu 3 жыл бұрын
Nawarudienetu....ama waonaje...
@joycechaz2840
@joycechaz2840 3 жыл бұрын
😂😂😂 ila wanawake tuna moyo maana kudate na kumbuka mchambaji😂😂😂
@sekelamwambungu356
@sekelamwambungu356 3 жыл бұрын
50000 siku 3 daah watu wanaachiwa 6000 siku 3😂😂😂 ni hela nyingi sana hyo na mshukuru Mungu maana kuna wengine hawapew kabisa.
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
Aniulize mimi...kuna wanawake hawana shukran jmn..dah..50?
@violethmapunda3500
@violethmapunda3500 3 жыл бұрын
Yan hajielewi ht chembe na ndomana hawapatani na dr kumbuka
@happymgatha1942
@happymgatha1942 3 жыл бұрын
Ajabu nayo 50,000 sku tatu aitoshei😂😂😂😂😂😂 masha looooh!🤨
@lucyhusein4043
@lucyhusein4043 3 жыл бұрын
Mh masha kumbe ww unataka upewe lak kila bada 3 kua nahuruma wengine hatuion
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 3 жыл бұрын
Manshallah murembo
@alexandrucarmen3185
@alexandrucarmen3185 3 жыл бұрын
Huyu dada haeleweki alisema anamiaka 20 then amesoma na Ben Paul na mtoto wake anamiaka 13😲😲
@Fetty-i1v
@Fetty-i1v 10 ай бұрын
Masha, mara umeishia darasa la nne, mara la saba, so which is which?
@agnesdidas2790
@agnesdidas2790 3 жыл бұрын
Yani kumbuka hapo anamakosa kisheria kabaka kabisaaa alitakiwa kwanza afunguliwe mashtaka yakumbaka na kumzalisha mtoto
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 жыл бұрын
Umeambiwa KUMBUKA siomwanaumewake wakwanza
@rizikiabdalla3308
@rizikiabdalla3308 3 жыл бұрын
Hahaha kumbuka njooo hukuu kunasalamuu zakooo hukuuuu
@mwangiakila8020
@mwangiakila8020 3 жыл бұрын
@@rizikiabdalla3308 kabisa
@minzamariamcasmir189
@minzamariamcasmir189 3 жыл бұрын
Kabla ya magu sheria ilikua inamruhusu binti kuolewa from 14 years as long as ameridhia so case ya kubaka haiapply
@lucymtui6712
@lucymtui6712 3 жыл бұрын
@@minzamariamcasmir189 ,
@neemamwafuko8516
@neemamwafuko8516 3 жыл бұрын
Masha umrembo ukiwa mpole😍
@lolyngoty4573
@lolyngoty4573 3 жыл бұрын
Nmempenda zangu mashalove wangu 🏊‍♀️😌
@angelbwija9547
@angelbwija9547 3 жыл бұрын
Diva ka sauti mashallah ❤❤❤❤
@ShaimahIssa
@ShaimahIssa 9 ай бұрын
Nyie ndio amjui Masha ni kweli amezaa na kumbuka ila kilicho fanya kumbuka amkatae mtt wa Masha ni bahada ya Masha kumuita shoga ndio sababu kubwa ya kumbuka kumususa mtoto Alie zaa na masha
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 3 жыл бұрын
Halafu mnamutukana Paula ni Malaya ameanza wanaume akiwa mdogo, haya sikilizeni kwa Masha love alizaa akiwa na miaka 15 na alianza kulala na wanaume akiwa miaka 13. Kula bata Paula.
@nuruathman3722
@nuruathman3722 3 жыл бұрын
umeongea vzr xana
@eliudijastini645
@eliudijastini645 3 жыл бұрын
Apo ndobaazi ya wanawake wanafeli kwani mtoto niwakwangu pekeangu eti elfu 50 kwa siku tatu bado haitoshi 😂😂 ndomaana nasemaga baazi ya wanawake wakizaa nawanaume yule mtoto wa na fanya kama kitega uchumi chake kwedraaa bora ata dida umemchana ukweli nawengine wajue ilooo
@joycechaz2840
@joycechaz2840 3 жыл бұрын
Dida tena😂😂😂 sio masham sham mpenzi
@aminahassansoud1535
@aminahassansoud1535 3 жыл бұрын
Dida tena😀😀😀
@bimkubwaothman3726
@bimkubwaothman3726 3 жыл бұрын
Masha filamu ya turufu imekubadilisha hadi raa umekuwa mtaratiiibu
@rahmaabdallah2053
@rahmaabdallah2053 3 жыл бұрын
Wote akili zao sawa mtoto mungu amnusuru
@mwajumahamisi2006
@mwajumahamisi2006 3 жыл бұрын
Ngoj jibu atakalo letewa na kumbuk 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@alisaid5378
@alisaid5378 3 жыл бұрын
Mm namshaur tu masha angerudsha roho wakaishi pmja najulea MTT hakuna alokua hakoseei masha mpz mm nishabiki yako hongera kwakupndeza mwaaaaa
@amourhasaan7242
@amourhasaan7242 3 жыл бұрын
Kidogo nimeona hii ananifanya niwezee kumfatilia ikiwa anadilii na vituu vyaa jamii na sio upumbavu nitakupenda naa nitakusikiliza
@iluminathakapange4220
@iluminathakapange4220 3 жыл бұрын
Diva unajua kuwatuliza watu ,huuyo masha katulia
@MwanahamisiBwanga
@MwanahamisiBwanga 3 ай бұрын
Acha usenge 50 kwa ck3 n ndg weweee dada mshukuru sana huyo mwanaume
@maisarakaitaba4347
@maisarakaitaba4347 3 жыл бұрын
Namtetea masha mwanaume iliukamilike kuitwa mwanaume utakiwi kuyakimbia majukum yako kwaiyo uyo kumbuka inatakiwa alipe hada yote ,kazi yamasha nikumlea mtoto nakusaidia vitu vidogo vidogo iyondo kaz yamwanamke .
@amaniomballa1855
@amaniomballa1855 3 жыл бұрын
Hivi ninyi wanawake mkojee?? Why Alipe Ada yote yy pekee na mtoto Ni wao wote mwanaume nae ana majukum yake huko kwake,, halfu na mtoto kamchukua ana kaa nae hyo mtoto Akiwa mkubwa Tena ndio kwanza Ataanza kutangaza Nimelelewa na single mother cjui baba hakunitunza kila huduma atapeleka kwa mama Ake yaan wanawake wa kiafrika Wana kasumba na huwajaza chuki watoto ebu fikilia mtu Anatum 50 evn a three days na Ada Analipa lakn bado mama Anatangaza ahudumii mtoto hyo mtoto Anakula pesa ebu mtu pumzishe jamn tukiachan wazazi ugomvi usiwahusishe watoto jamn hayo maisha ya kumtegemea baba kwa kila kitu yamepitwa na wakat jaman si mlitaka 50/50 na
@joank7929
@joank7929 3 жыл бұрын
Mimi kama mwanamke nakataa. Wanawake achaneni na hii mentality. Majukumu ya familia ni ya wote wawili, kwanini ada liwe jukumu la mwanaume. Ndio maana wanaume wanaendelea kuwashusha chini na kuwanyanyasa. Hii ni 2021. Hebu tuachane na mentality za mabibi zetu. Kama Kumbuka anaweza tuma elfu 50 baada ya siku tatu, hapo utasema haudumii vya kutosha kweli? Huyu Kumbuka mwenyewe kwa pesa gani aliyonayo. Mtoto walizaa wote, wahudumie wote. PERIOD!
@amaniomballa1855
@amaniomballa1855 3 жыл бұрын
@@joank7929 Bora wewe unaye jitambua Mimi nahisi Ni Elimu pia changamoto Hawa dada zetu Elimu sio kwa Ajili ya kuajiliwa tuu jaman hizi Ni Athari ya ujinga ..hivi mtoto umemuweka tumbon miezi 9 hujiskij vibaya mwanaume kumuhudumia peke ake Raha na fura ya mzazi Ni kutoa Ulicho nacho. Kwa Ajili ya mwanao..ata mtoto pia ataon thaman yako kma mama.
@maisarakaitaba4347
@maisarakaitaba4347 3 жыл бұрын
Nyiyi kaeni naimani zenu ,kwasababu atamimi pia hii ni imani yangu kwaiyo kilamtu abaki naimani yake
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 3 жыл бұрын
@@amaniomballa1855 mwanaume ndo anajukumu la kulea watoto, acheni ujinga hapa.
@MarcoPolo-ol2lz
@MarcoPolo-ol2lz 3 жыл бұрын
Usingemuuliza hilo swali Kumbuka anatoa shs ngapi tungeona huyu fala anaonewa
@badmanno.1650
@badmanno.1650 3 жыл бұрын
Kabisa... Wanawake wanapenda kutupakazia sana
@samiaarimkonekonko5096
@samiaarimkonekonko5096 3 жыл бұрын
Siku tatu efu amsini arafu unasema audumii wewe niurize mimi😂😂😂😂😂😂😂
@getrudajoseph5102
@getrudajoseph5102 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@teychriss3248
@teychriss3248 3 жыл бұрын
😂😂😂
@rahabchep5318
@rahabchep5318 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂hata mia sijewahi pewa n wala ajali
@victormushi6641
@victormushi6641 3 жыл бұрын
MIAKA KUMI NA TANO, UNAAMBIWA KUMBUKA SIO WA KWANZA, DUUUH.. UTAKUA NA SUGU WEWE.
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu 3 жыл бұрын
Uoni ilo domo
@mariamibrahim8725
@mariamibrahim8725 3 жыл бұрын
😄😄😄😄😄
@victormushi6641
@victormushi6641 3 жыл бұрын
@@mdalamgir-gu9hu noma sana..atakua katoka na semi tatu huyu
@fridageorge2809
@fridageorge2809 3 жыл бұрын
Kwasababu yeye kasema! Kuna maajabu ukifunuliwa uyaone utashtuka watu wanaanza toka std 1.
@smurububa
@smurububa 3 жыл бұрын
Mutaratibu yeye mashallah lakini Sasa siku laumu ila wewe umekufuru mungu dada kwa kukata maziwa kuna risk sana
@zaimideko9097
@zaimideko9097 3 жыл бұрын
50000 ndogo mmmh kazikwe rikweri naaikiwawezakoata miya100 awapewi
@nurahyusuph9771
@nurahyusuph9771 3 жыл бұрын
Masha vula🥰🥰🥰
@mwanasitingenya4526
@mwanasitingenya4526 5 ай бұрын
Huyo Doctor jamani mdomo mrefu hivyoo tuu
@vero57
@vero57 3 жыл бұрын
Dr kumbuka kumbe ulitembea namtoto mdogo, 😯
@hopechidera
@hopechidera 3 жыл бұрын
C naye alikuwa kakijana mdogo enzi hizo🤣🤣🤣
@rayahamisi118
@rayahamisi118 Жыл бұрын
Unaulizwa mlifanyaje mpaka mukapata mtato😂😂😂😂
@glorysaimon8238
@glorysaimon8238 3 жыл бұрын
Hahahaha amenichekesha miaka kumi 5 mwanaume sio wakwanza 😂😂😂😂😂😂
@chainbre275
@chainbre275 3 жыл бұрын
Yeah mtoto lazima mujudumie nyote wawili juu nyote niwatagutaji
@ellyswai1801
@ellyswai1801 3 жыл бұрын
Et elfu 50 n kidogo kwa siku 3 hii miwanawake hii bure kabasa
@salimomary6279
@salimomary6279 3 жыл бұрын
Umeanza kuchezea rugu kitambo!!!!!miaka 15!!!!!!!
@anjelanyaulingo7314
@anjelanyaulingo7314 3 жыл бұрын
😁😁😁chiz ww
@angelbwija9547
@angelbwija9547 3 жыл бұрын
Masha ma nyonyo mrembo sana 😍😍😍😍😍
@Habibtyjojo
@Habibtyjojo Жыл бұрын
Kama sio yeye vile masha kapole😃😃
@sadamramadhan9887
@sadamramadhan9887 2 жыл бұрын
Elfu 50 huyo mtu wewe ndo hujatulia mm ningekuwa natoka elfu 15 kwa siku 3
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 3 жыл бұрын
Eti akimuhudumia mtoto wake anihudumie na Mimi hahahaha
@fettymkupasi5962
@fettymkupasi5962 3 жыл бұрын
Jmn masha kapendeza
@agnesdidas2790
@agnesdidas2790 3 жыл бұрын
Kumbe kumbuka Alibaka
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 жыл бұрын
KUMBUKA alikutanjia ishakuwa nyeupe 🤣🤣
@zenawahindi2425
@zenawahindi2425 3 жыл бұрын
Kumbe huyu Dada mpole khaaa
@AngelaYala-t7z
@AngelaYala-t7z 6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@fatmamnyenze7722
@fatmamnyenze7722 3 жыл бұрын
Wachekesha wewe love udumiwe nyoooooko ww😜
@musakhamis6906
@musakhamis6906 3 жыл бұрын
Kumbe huyu Dada ni mpole kiac hiki ss ule mcharuko anaupataga wapi
@amriyalibent8441
@amriyalibent8441 3 жыл бұрын
Km sie vile
@fatushabdi2786
@fatushabdi2786 3 жыл бұрын
Hahaha eeehh Leo amikaa vzuri hana mambo mengi
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 жыл бұрын
Umaarufu unakazi kuutafuta
@chainbre275
@chainbre275 3 жыл бұрын
Île nikazi ndo inampa ugali
@paulebby1552
@paulebby1552 3 жыл бұрын
Tatizo maziwa
@joharikitundu
@joharikitundu 3 жыл бұрын
yaa inamana gani Tuwe tunatumia kiswahili Moja KWA Moja vipindi
@lolyngoty4573
@lolyngoty4573 3 жыл бұрын
Kumbe mashalove Ni mtulivu hivi 😅🤲 sikutegemea
@minabuelysee8
@minabuelysee8 3 жыл бұрын
Ni hatar
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 3 жыл бұрын
Miaka kumi na tano Dk kumbuka alikuwa sio mwanaume wako wa kwanza hatar sana
@fizzoboi6649
@fizzoboi6649 3 жыл бұрын
Pita na kwangu
@abelfrancis8437
@abelfrancis8437 2 жыл бұрын
Usapoti mtoto na mama wakatimumeachana hatakamamumeachana
@habibahabiba7128
@habibahabiba7128 3 жыл бұрын
Diva una changanya maisha na kidhungu chako
@iranangole7007
@iranangole7007 6 ай бұрын
Apo Jibu lake anamudumia vzr
@roseuwambe893
@roseuwambe893 3 жыл бұрын
Muongo huyu miaka 15 ya yeye kuzaa na miaka 13 ya mtoto jumla 28 ndio miaka yake 😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
@mariellerashidi4649
@mariellerashidi4649 3 жыл бұрын
Masha ❤️💖
@ogolakay
@ogolakay 3 жыл бұрын
Saidia mzazi mwenzako 😂
@judyjudy2758
@judyjudy2758 3 жыл бұрын
Masha usituzingue,eti unamume mwengine kisha Dr kumbuka akuudumie,ulisikia wapi wewe
@shamilahussein5294
@shamilahussein5294 3 жыл бұрын
Jamani masha mashallalh
@shushu8105
@shushu8105 3 жыл бұрын
Masha 😂😂😂 akiudumiya mtot akudumiye nawew we moto sasa
@a.k.astudio5351
@a.k.astudio5351 3 жыл бұрын
Dada upo saw uki tulia namependa ila baba mtoto yupo sawa
@rosekaiza2716
@rosekaiza2716 3 жыл бұрын
Huyu masha leo mulimfunda kabla ya mahojiano? Maana kawa mpoleee! Hadi amekua mtamu
@fizzoboi6649
@fizzoboi6649 3 жыл бұрын
Interview tulivuu...
@neemakiswaga4509
@neemakiswaga4509 3 жыл бұрын
Hahha nimecheka et anihudumie mmh nilichokielewa hapo ni kwamba baba anahudumia sema kunachembembe za mapenz hapa
@SamiraseifAlfan-ph4ke
@SamiraseifAlfan-ph4ke Ай бұрын
Leo ni mpole ,unaongea vzr had rahaa
@munirayusuph1297
@munirayusuph1297 3 жыл бұрын
Hi jamani kweri
@raissamugisha1653
@raissamugisha1653 3 жыл бұрын
Kumbe masha mkubw ana myaka 28
@felistersmejumaa5188
@felistersmejumaa5188 3 жыл бұрын
Diva ajifanya Mzungu tu ongea Swahili tu
@pamojaparts6234
@pamojaparts6234 3 жыл бұрын
Iyo mikope sasa
@allymngwaya2831
@allymngwaya2831 3 жыл бұрын
Yaani miaka 15 lkn ulishakuwa na madanga mengine
@angelamarlow510
@angelamarlow510 3 жыл бұрын
Mimi mwenyewe nimeshangaa
@mararegiononline3457
@mararegiononline3457 3 жыл бұрын
Ila leo umekwama Diva mtu anaumwa si ungemuacha apone kwanza???
@tiffahtiffahbaaby8239
@tiffahtiffahbaaby8239 3 жыл бұрын
Kumbe unahudumiwa unajishaua tuuu hamsini kwa cku tatu nyingi saana
@agathadawson5949
@agathadawson5949 3 жыл бұрын
DK.kumbuka Hana kosa hapo
@khalossalim3723
@khalossalim3723 3 жыл бұрын
Halafu mna mtukana paula wakat mtaani miaka 15 tuu watu wanapakuliwa
@mwakahassan7685
@mwakahassan7685 3 жыл бұрын
Hahaha
@zayumar2955
@zayumar2955 3 жыл бұрын
Kwakweli hongera Sana kwa wanawake wenye wanaume wachambaji make uhuuu shuuli binafsi siwez make ntaona kama nakaa na mke mwenza ndani 😄😂😂😂
@benignendikumana8009
@benignendikumana8009 3 жыл бұрын
Diva ilove you
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 3 жыл бұрын
Mtoto anatakiwa kulipiwa full school fees na matumizi yote na baba yake
@violethmapunda3500
@violethmapunda3500 3 жыл бұрын
C hd uwe na iyo bahati
@deelissa2746
@deelissa2746 3 жыл бұрын
Shosti kawa mpole leo😂
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 3 жыл бұрын
Hahahaha
@maryciousbolingo5510
@maryciousbolingo5510 3 жыл бұрын
😂😂
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
ZUCHU ALINIPA MILLION 25 /KUONEKANA KWENYE VIDEO YA NYUMBANDOGO.
9:49
UJUMBE WA DR KUMBUKA KWA WANAOJIMILIKISHA NYUMBA ZA KUPANGA
8:15
Dina Marios tv
Рет қаралды 38 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН