Hongera sana Mhe Waziri kwa maelekezo mazuri. Lakini kubwa zaidi ili kusaidiwa upanukaji wa mikopo hakuna haja ya kuhangaika na Leseni kwa wakopeshaji.
@shawwalsharif95795 ай бұрын
Hapa waziri wa fedha hamna kitu dah nchi ngumu sana
@marthaabel-l9i6 күн бұрын
Mikopo inadhalilisha na kuchafua watu jamani😢
@omary_maige50225 ай бұрын
Je mikopo ya kwenya app yenyewe wanaleseni?
@lillianflowergal48335 ай бұрын
Swali zuri hiliii! Napenda kujua jibu lake maana wanakeraaaa
@omary_maige50225 ай бұрын
@@lillianflowergal4833 unafikilia wanamajibu awa
@ElnasBenjamin5 ай бұрын
Motivator of mine👆
@FatnaAlly-go7yt5 ай бұрын
Ooooh allah jaalia kila jambo kuwa wepesi kwa uwezo na utukufu wako yaaaaah rasullillah
@JohnSamwelsilungwe5 ай бұрын
Napenda sana spika anavyombanaga nchemba😂😂😂😂😂
@claudiussilas5 ай бұрын
Mikopo kupitia sm haiumizi sana,shida kubwa iko kwenye microfinance za mtaani zina riba kubwa wekeni utaratibu ili kuepuka adha hii kwa wananchi kwa kutoa mwongozo wa riba nafuu,kumbuka si wote wana vigezo vya kukopa benki
@nazarethally95095 ай бұрын
Mheshimiwa spika upo vizuri sana umejua namna ya kui handle hii ishu
@zephaniachibaya28945 ай бұрын
Wewe mnunge uki vizuri sana
@elicktilia44305 ай бұрын
Very simple but hard
@alexenock78825 ай бұрын
Shida ya hawa wanaojadili sio wakopaji wa mikopo hiyo ndio amaana wanaona mambo rahisi rahisi, ila kiukweli wananchi wanaumia na hii mikopo inayotokana na kampuni za simu.
@tanzaniacarschannel69755 ай бұрын
Hoja mzuri but very unfortunately wqbunge hawaja jiandaa kutoa michango inayofaa
@richzebest20295 ай бұрын
Wabunge wetu wanatupenda sana,hakika wanatutetea kwa uchungu mno..uchaguzi umekaribia
@mwinukafundibombanjombe5 ай бұрын
Mbn wanzunguka wakati micro finance ndio tatizo..iv ni kwel hawajui jmn
@wilfredlucas-nf6yo5 ай бұрын
Mikopo ni mizuri ila wakopaji ndo tatizo hawarejeshi kwa wakati
@ZakariaChacha-ze4mt5 ай бұрын
Mikopo sio mibaya watu ndo hawasimami Kurdisha mikopo
@deusmauka82705 ай бұрын
Kausha damu zipo, simu ya laki 3 unalipa laki 6 ndani ya miezi 6 si uligaji huo, kausha damu zipo kwenye mikopo mpaka kwenye makampuni.
@ahmedkasuku43945 ай бұрын
Huyu kisasi financing ana leseni?
@LusajoKabuka5 ай бұрын
Wakati mkopaji anapikua na shida mtoto kafukuzwa chuo au anatakiwa alipe Hela ya mtihani ndipo anaenda kukupa mitaani anafanikisha mamba yake anapotakiwa kulipa anaanza kulalamika kausha damu kwnn asiende serikalin kukopa!!!t
@lusekelonelson72565 ай бұрын
Wala hela za Mpesa hazitoki kwenye bank yoyote
@zakariamponzi-rm9kc5 ай бұрын
Jamani huyu waziri mbona simuelewi anautani na watanzania hii hali ni mbaya
@costamasuba10995 ай бұрын
Kausha damu,imeshindikana kuzibitiwa kisheria ,hivi hakuna sera zenye unafuu ,kwenye ujasiria Mali kama nchi nyingine.
@ramsomaro91305 ай бұрын
Kwan kausha damu hawapo kisheria
@KudratyRamadhan-cm3xh5 ай бұрын
@@ramsomaro9130 nashangaa naakati unakuta wana lesen inamaan wameluhusiwa kisheria, n kila ofic inariba yake
@lusekelonelson72565 ай бұрын
Mikopo ya Mpesa haiwekwi na Banki ni hao Mpesa wenyewe
@omarisaid73185 ай бұрын
10:08
@hamishassan67845 ай бұрын
Mikopo ya Riba ni tatizo sana na Tatizo kuu lipo kwenye hizi taasisi zilizosajiliwa kabisa kisheria wala sio hao wanaokopesha kimahusiano kupindisha ni kwa kuwa wanufaika ni hao hao ila inaumiza sana
@chechekagire4045 ай бұрын
Kwann tatizo lisiwe Kwa Wakopaji, na je unadhan hizi taasisi zinapoteza pesa kiasi gani?, dah! Judgement with low brain n shida sana
@hamishassan67845 ай бұрын
@@chechekagire404 huwenda ukawa na Brain kubwa lakini ukawa na uwelewa mdogo, na hii inaoesha hata ujui tatizo nini hasa, nakuombea kwa kuwa tayari imeshakuwa na big brain ujaaliwe uwe na uwelewa mpana usikurupuke kijana elewa kilichozungumzwa weka mihemko yako nyuma. Ndiye Binadamu wakwanza kutoona tatizo lililopo kwenye mikopo na uwendeshaji wake. "Salama"!!!!!!!
@AshuraSaid-ep2sx5 ай бұрын
Hivi jamani mpaka mhe tulia awaeleweshe,ni kweli taasisi za mikopo riba kubwa,watu wanajinyonga jamani,sijawai ona ety mtu anakopa laki Moja anarudisha Kwa siku elfu 4,BOT wajua Hilo,jamani futilien,au mnajuana?
@KudratyRamadhan-cm3xh5 ай бұрын
Mbn naona hiy kama gharam y riba yake inakuwa sio kubwa mn ukipiga kwa mwez n 120 saa laki kwa 120 hiyo ofic wapo vizuri,huku kwetu 100 kwa 150 hutak unaacha
@LoseSanga5 ай бұрын
Hivi najiuliza hao nyonya damu wanapita nyumba kwa nyumba au nyie ndomnafata maofisini kwao
@EliaHiluka-uz3ty5 ай бұрын
Huyo wakala wa ofisi ya mikopo
@sebastiansalamba3135 ай бұрын
Hivi Tanzania hii kweli unakuwa na waziri ambaye hamsaidii mwananchi nakuambie spika jamaa wanahusika na hizo Kaushal damu
@ramsomaro91305 ай бұрын
Hao kausha damu ndo nn kampuni za mikopo zote zina reseni mzee
@VictorKahangwa5 ай бұрын
Kuna Tulia trust , Mo Dewji, Jokate nk hizi ni zenye leseni ya BOT?
@AshuraSaid-ep2sx5 ай бұрын
Laki mh wazir wa fedha,mbona we ni mchapa Kaz mzur sana,wapiga kura wetu wanaumia sana,hasa wamama wakaanga mihogo,anapewa laki Moja Kila siku alipe elfu 4,Kwa mwez laki na 20,mtaji alo nao haufiki hiyo elfu 4,kumbe laki alikopa Kwa kulipa Kodi ya nyumba,
@KudratyRamadhan-cm3xh5 ай бұрын
Hiyo mikopo navyoona kama mtu atakopa kwaajil y kulipia kodi radhim ataiona n michungu ila kwaatakae chukua hiyo pesa n kuongezea kweny mtaji wa biashara yk hatoshindwa rudia hiyo sijui elf3 kwa siku
@SadicMgimba-ww8ib5 ай бұрын
Hata angekopa kwingine kwa staili ya hiyo rejea angelica shida ya kufilisiwa tu
@SYLMASVISIONFORSCIENCE5 ай бұрын
What is wrong with mwigulu??
@AshuraSaid-ep2sx5 ай бұрын
Toene leseni na maelezo ya riba,mbona ikiingia hotelin Kuna bei ya vyakula,nyinyi mkisha toa leseni mnasinzia maofisini mnasubiria Kodi yunu tu,hamjui wapiga kura wetu wanaumia, 2025 mnaomba kura,mnakichafua chama chetu,hebu mhe wazir we ni jembe nakujua vizur sana fuatia hili,
@MohamedRashid-py7ro5 ай бұрын
Hapo kuna cheni ya wizi ya kuwaibia wananchi hayo mmabank
@LoseSanga5 ай бұрын
Hivi najiuliza hao nyonya damu wanawafata nyumbani au nyie ndo mnawafata maofisini kwao
@PauloMosha5 ай бұрын
Mh sikuelewi kabisa
@masaluwashima68875 ай бұрын
Mh tulia umeupiga mwingi wana haya ni majambazi hata Kodi hayalipi kwa serikali 💯 riba
@eliaskangabo7795 ай бұрын
Wamesajiliwa na ofisi zipo
@EdenAChoir5 ай бұрын
maana yake uchumi wa wananchi wetu hauko sawa .muheshimiwa waziri mambo haya ambayo unaona ni madogo ndio matatizo yetu hasa.
hayo ndio matatizo ya wananchi wetu na tunatakiwa kuyafanyia kazi .tunatakiwa kujua kwa nini kunakausha damu maana yake kunatatizo kubwa
@samsonpaschal50445 ай бұрын
Mikopo yote ya Mabenki, riba zake ziko juu sana. Serikali imeshindwa ku-regulate hizi riba, wanakimbilia tu market forces. ni kukwepa wajibu. Riba ni za juu sana kuliko hata huko Ulaya. Kausha damu ipigwe malufuku- period. Mambo ya kisheria, wanaojibu ni mawaziri wasio na utaalamu wa sheria. Tuna safari ndefu bado.
@mlangakiaratu92925 ай бұрын
So kausha damu ni interest ipi
@KudratyRamadhan-cm3xh5 ай бұрын
Hizo ofic kupigwa marufuk sio sawa mn kuna watu wananufaika kupitia hizo kweny serilak hakuna sehem mwananch anawez kukopa kwa haraka, kwawalio n lesen hao wamtaani seriakl iweke kiwang cha riba iwe nafuu w mwananch wa chn
@samsonpaschal50445 ай бұрын
@@mlangakiaratu9292 Kuanzia 50 + na kuendelea, rejea maswali ya speaker kwa Nchemba kule Bungeni
@deogratiashaule89585 ай бұрын
Mikopo hii ni mauaji ,watu mpaka wanakimbia majumbani.
@ramsomaro91305 ай бұрын
Aliitwa kwenda kukopa
@wilfredlucas-nf6yo5 ай бұрын
Wanakimbia Sababu ya matatizo yao tu because mtu mwenye akili timamu huwezi kukimbia na hela Za watu
@SamwelMakambuya5 ай бұрын
Kauxadamu nibalaa
@chesconkwera20055 ай бұрын
Mkuu kama kachochorq vile
@BornfaceFumpa5 ай бұрын
Spika unaongea Sana... Wape wabunge nafasi
@AshuraSaid-ep2sx5 ай бұрын
Ety mikopo ya makampuni ya simu inawekwa na benk,msiwadanganye watu, BOT wanajua Leo mi saidi nimekopa mda wa maongez wa elfu 2,riba yake mia 3,acheni kuwafanya wa tz wajinga,
@LoseSanga5 ай бұрын
Hivi najiuliza hao nyonya damu wanapita nyumba kwa nyumba au nyie ndomnafata maofisini kwao