No video

MBOSSO: MIMI NA MARTHA HATUKUWAHI KUGOMBANA/ FAMILIA YAKE INANITAMBUA KAMA BABA WA MTOTO WAKE

  Рет қаралды 355,481

Wasafi Media

Wasafi Media

4 жыл бұрын

MBOSSO: MIMI NA MARTHA HATUKUWAHI KUGOMBANA/ FAMILIA YAKE INANITAMBUA KAMA BABA WA MTOTO WAKE
#wasafi #refresh

Пікірлер: 421
@trizahwariara597
@trizahwariara597 4 жыл бұрын
The way mbosso is talking surely he is telling the truth and still he is hurt l wonder why martha family saying that he is not there son in law and they did have a kid with there daughter but sooner or later the truth will come out Wow my condolences may she Rest In Peace
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 4 жыл бұрын
Since thy were both upcoming stars thy had to protect their kid.but wazazi saa zingine wana udhi looks like whn they had a relationship mbosso had nothing maskini. He decided to say mtoto hadharani saa hii ndio isije leta shida or those parents my refuse him access to his son .may matha rest in peace
@paulebby1552
@paulebby1552 4 жыл бұрын
Kinge kizingatiwe itifaki
@naimamwaibanje156
@naimamwaibanje156 4 жыл бұрын
Yes, it seems quite Mbosso, he's telling the truth, I don't know why Martha's sisters are rejecting him
@neemalyimo1419
@neemalyimo1419 4 жыл бұрын
Pole inauma Sana
@hopechidera
@hopechidera 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akufariji na kukutia nguvu Mbosso,pumzika kwa amani Martha,Bwana alitoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe🙏🏽
@mustakimabdalah6068
@mustakimabdalah6068 4 жыл бұрын
mambo
@mustakimabdalah6068
@mustakimabdalah6068 4 жыл бұрын
mustakim
@digadigazungu1875
@digadigazungu1875 4 жыл бұрын
Pole mtu wangu mbosso
@stevewanga957
@stevewanga957 4 жыл бұрын
Wale wajanja walielewa wako na mtoto... RIP
@Lizsimaloi
@Lizsimaloi 4 жыл бұрын
Mbosso ..I love ur songs may God gv u strength..support ur son...he needs u ..God will open the way💔❣
@imbugwameltietaz8369
@imbugwameltietaz8369 4 жыл бұрын
Pole sana mboso, I understand and feel you. Take heart Mr.
@tatubenedikto2137
@tatubenedikto2137 3 жыл бұрын
Pole Sana mwambaa😭😭
@saulisichone7394
@saulisichone7394 4 жыл бұрын
Pole Mdogo wangu
@zennakailo8106
@zennakailo8106 4 жыл бұрын
Pole bro 😭😭😭😭 Daaaaa inauma Sana
@mauwapremice7850
@mauwapremice7850 4 жыл бұрын
Inna lillahi wainalillahi rajiun allah akuongoze katika safari yako yamilele marth daah 😰
@janewashe7276
@janewashe7276 4 жыл бұрын
Pole sana Mbosso hakuna kitu kinamshinda Mungu,mtt atakujua tu,Rip Martha
@dahbossqueentalkshow3778
@dahbossqueentalkshow3778 4 жыл бұрын
Pole sana Mbosso R.i.p Martha
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 4 жыл бұрын
siwamajuwa alisema ukweli ya kwamba urafiki yao hakuna atakaye watenganisha kweli jamani walipendana sana mapenzi inasiri sana special Kwa wenye wanamipango za muhimu kuhusu maisha yao ya baadae special ndoa ila kifo hakibishi na hicho ndio pigo Kali pole sana mboso be strong may her soul rest in antarnal place 🙏
@ramadhanimam6323
@ramadhanimam6323 4 жыл бұрын
Judithmelvine Aluchio
@fatimamamlo8041
@fatimamamlo8041 4 жыл бұрын
Mie sawa alivofanyiwa mboss liwesomo kwawengine maana Hamisa mobeto alisema mtoto wa mond mukamuona hanaakili hawezi kula nakipofu kisa hakuficha siri mtazani mmejiumba wenyewe leo mnakua kigeugeu fyuuuu mkome siku nyingine .
@fisadikiwembe9787
@fisadikiwembe9787 4 жыл бұрын
نازوكيه وكذا ndio sawa sawa kbsaa
@remiomar7154
@remiomar7154 4 жыл бұрын
Tofauti ilikuwa dini alafu wazazi walimkataa mbosso kwakuwa alikuwa msanii ambaye anasimamiwa hawakujuwa kuwa mungu huweza kumbadilishia mwanadamu maisha sasa yota inagaa kikubwa tunao subiri kumuona mtoto hebu tujuane
@neemaa.mollel6486
@neemaa.mollel6486 4 жыл бұрын
Wazazi wa Martha hakunaga siri duniani jaman muachrni mtoto amjue baba yake na awe huru.pumzika kwa amani Martha kipenzi
@herifredrickson2040
@herifredrickson2040 4 жыл бұрын
Huyu dada simfaham vizuri ktk tasinia hyo ya uchekeshaji but r.i.p matha safari ni yetu sote.
@winnyandrea555
@winnyandrea555 4 жыл бұрын
Heri Fredrickson Mimi binafsi nimemjua kipitia KZbin apumzike kwa Amani
@aloycemasele7236
@aloycemasele7236 4 жыл бұрын
Kama kuna rfk hapendi kwenda kanisani block! Unaijua hiyo clip?
@georgesimomgeleka2208
@georgesimomgeleka2208 4 жыл бұрын
Sio peke yako mboso Mimi nakuelewa
@royalprincess9435
@royalprincess9435 4 жыл бұрын
No1
@zabronmbeni186
@zabronmbeni186 4 жыл бұрын
jamani nimeelewa kuwa tofauti zao ilikuwa dini
@shamiramussin9254
@shamiramussin9254 4 жыл бұрын
Ulipoona na mimi nmeona hapo hapo Marthar nmuelewa sna alikubar kumficha mtoto ili asiulizwe bba yake nan! Hvyo alkubali kuifcha damu yake ili wanao muheshimu kiimani waendelee kumu heshimu
@peterkyese4516
@peterkyese4516 4 жыл бұрын
@@shamiramussin9254 umeona eeeh dininndo ilikuwa utofaut mkubwa kwaooo Martha kwao walikuwa wakristo Sanaa yaani indeeply
@herikaniugu
@herikaniugu 4 жыл бұрын
mkoloni katualibia, dini ni usenge sana
@mohamedizabura3321
@mohamedizabura3321 4 жыл бұрын
Daaah mipia Dem wangu shida ilikua ni dini mwisho wasiku akaolewa ila moyoni mwake nipo Mimi daah😥r.i.p matha
@dullabritish3277
@dullabritish3277 4 жыл бұрын
@@herikaniugu una maana gani kaka?
@mdmubrak8152
@mdmubrak8152 4 жыл бұрын
Polesan mboss unaonyesha kabisa unaumia sana
@mburababilon4435
@mburababilon4435 4 жыл бұрын
Ooh mae nimoja ya haki ya binadamu
@mwanaharabu82
@mwanaharabu82 4 жыл бұрын
Pole Sana Mbosso
@mauwapremice7850
@mauwapremice7850 4 жыл бұрын
Poleni sana familia mbosso na mwanao ila inauma sana. masikini 😭
@saidmo8392
@saidmo8392 4 жыл бұрын
Kauli ya urafiki wetu hautoisha unamanisha hata wakigombana kuna kitu kinawaunganisha je ni kitu gani hicho akili kichwani mwako
@prettypretty9745
@prettypretty9745 4 жыл бұрын
Hata mie nimeelewa
@nvmby
@nvmby 4 жыл бұрын
Pole sana mbosso kwa mahumivu makali
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania 4 жыл бұрын
No. 2
@michaelkessy5740
@michaelkessy5740 4 жыл бұрын
Inavyo onekana ni kwamba... Alimpa mimba wakati mbosso maisha yake yalikuwa sio mazuri ndugu wakaamua kumtenga Mbosso KWANZIA hapo..... Ndio maana ikawa ni siri
@lydiaakimana7988
@lydiaakimana7988 4 жыл бұрын
michael kessy ni kweli kabisa na unaona alivyokuwa anaongea kwenye hiyo interview walikuwa wanampango mkubwa kwenye maisha yao ya mbele
@visittanzania8998
@visittanzania8998 4 жыл бұрын
Hapo ni dini tu bros
@bintykhana924
@bintykhana924 4 жыл бұрын
Tatizo dini hapo wala sio uchumi cos mbosso alikuwa tayari yamoto band n by that time ilikuwa inahit
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 жыл бұрын
Hap sio Hel ni din
@fatmax8710
@fatmax8710 4 жыл бұрын
@@khadijakhadija6212 jamani dida ushaamka saivi Leo ijumaa ivo au ndio hapa kazi tu hakuna kulala
@lynnanderson6099
@lynnanderson6099 4 жыл бұрын
So sad...pole sana Mbosso...Martha, R. I. P.
@hamadisaid4802
@hamadisaid4802 4 жыл бұрын
Wanaosema mboso anatafuta kiki kwa lipi sasa na ashatisua...na the way mboso anaongea ni kweli maskini mtoto ndio ataumia sana
@irenempimbe2519
@irenempimbe2519 4 жыл бұрын
na atafte kiki atake nin Sasa da
@redscorpionboy2189
@redscorpionboy2189 4 жыл бұрын
Mtoto wa uzinifu anafahari gani ati mtoto wetu !
@jordanjonas4921
@jordanjonas4921 4 жыл бұрын
Daaaah yan mboso kapoa duuuh pole
@delukemusic5539
@delukemusic5539 4 жыл бұрын
Pole Sana Bwana mbosso Mungu akutie nguvu
@kondegangfans7368
@kondegangfans7368 4 жыл бұрын
Khan pole sana 🙏
@mariabahati1264
@mariabahati1264 4 жыл бұрын
Pole Mboso twajua kua tofauti ni dini twakubali anyway yenyewe tunaweza kusema ni majaaliwa
@djmill_tz
@djmill_tz 4 жыл бұрын
pole broo
@latfahaule127
@latfahaule127 4 жыл бұрын
Duh hili nalo gumu pole sana mbosso namungu amlaze mahala pema peponi Dada yetu Kipenzi MARTHA
@margaretgona2836
@margaretgona2836 4 жыл бұрын
Hata nikikuangalia mbosso unamajonzi sana wallah...ila yote ni mipango ya mungu.....mola akupe subra bro kipindi hichi kigumu.🙏
@sinyoritaqueen7435
@sinyoritaqueen7435 4 жыл бұрын
Mbosso kweli pole unasema nauruma Sana 😥😥😥😥😭
@francismatuta1984
@francismatuta1984 4 жыл бұрын
Mwenyewe kaongea kuwa urafiki wao hautoisha wala kukatika.....haya wew unayejiita pacha unabisha,lol
@mourinebey_kenya7027
@mourinebey_kenya7027 4 жыл бұрын
Francis Matuta ndo hapo sasa lile dunde leusi limenisinya sana
@aminahema9714
@aminahema9714 4 жыл бұрын
@@mourinebey_kenya7027 🤣🤣🤣🤣🤣acha nicheke mm hta ckutaka kumuona
@sifunimsungu3370
@sifunimsungu3370 3 жыл бұрын
Daaaa mbosso kwa ujumbe huo hadi machoz yamenitoka
@jumalove2631
@jumalove2631 4 жыл бұрын
Pole mboso khan
@KladesKladseee
@KladesKladseee 4 жыл бұрын
pole sana mbosso
@ibrahimkhamis7963
@ibrahimkhamis7963 4 жыл бұрын
Wa elfu 90 leo
@andrewjuma6824
@andrewjuma6824 4 жыл бұрын
Mungu aiweke roho ya marehem mahali pema peponi Amen
@MA-kh2lr
@MA-kh2lr 4 жыл бұрын
Mbosso alisema kuwa kulkua kuna maneno kws hyo family.. Ni kama hawakutaka Martha awe na Mbosso. Na Alivosema kuwa Martha alisema wasitangaze kama mtoto ni wake. Na hawa walikua pamoja muda wa nyuma. Ila sababu ya familia wakaamua kutengana vizuri lakini kichinichini wako pamoja na wanalea mtt wao vizuri. Ifanywe DNA tuuuu ukweli ujulikane. 😁
@rosechild5021
@rosechild5021 4 жыл бұрын
I can feel like mbosso is telling the truth and why would he lie?
@mohaz612
@mohaz612 4 жыл бұрын
Pole mbosso
@jemsisakala2542
@jemsisakala2542 4 жыл бұрын
Pole sana mboso
@khalfantvmansour8765
@khalfantvmansour8765 4 жыл бұрын
Rip😢
@siamejerry9239
@siamejerry9239 4 жыл бұрын
My condolences mbosso
@marriammarango7532
@marriammarango7532 4 жыл бұрын
Pole sanah bro
@brendaguez4486
@brendaguez4486 4 жыл бұрын
mazto ayoo👐👐
@esterkimario1126
@esterkimario1126 4 жыл бұрын
pole sana mbosso kuna familia za ivo hata kaka angu yalimkuta hayo had na wa leo mtt amjui baba ake
@OfficialChiver
@OfficialChiver 4 жыл бұрын
Pole Khan
@judymukui7171
@judymukui7171 4 жыл бұрын
Take heart mbosso, rip martha
@saidahj2543
@saidahj2543 4 жыл бұрын
Pole mbosso be strong
@KaguttaEdson
@KaguttaEdson 4 жыл бұрын
Kiukweli hii tabia ya wazazi kufanya siri inatesa sana watoto, najua hili maana mtu wangu wa karibu liliwahi mtokea najua ubaya wake. Sijui kwanini wazazi wanahofu wakati washazaa tatizo la kutokukubali matokeo ndo hili. R.I.P Martha
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 4 жыл бұрын
Wengine wanaogopa wazazi wakali
@yustarmakwawa8923
@yustarmakwawa8923 4 жыл бұрын
Nikweli auwezi kuiaha kwakua wana mtoto
@aloycemasele7236
@aloycemasele7236 4 жыл бұрын
Mmh, sina la kusema, mm mmojawapo
@naimahhussein8430
@naimahhussein8430 4 жыл бұрын
Daaaah,,poleee san mboso rest in peace mather
@nereahwakesho3221
@nereahwakesho3221 4 жыл бұрын
Mbosso jikaze wakikupa mtoto lea, wakikatalia achana nae watalea. Usivutane nao kabisa Achia Mungu,
@officialmalika1530
@officialmalika1530 4 жыл бұрын
pole sana mboso naelewa utakuwa katika wakati mgumu
@alimashaban6318
@alimashaban6318 4 жыл бұрын
mbosso mbosso mbosso unaniliza jamani,pole sana kwa kukubali kuificha siri ya mtoto hukujuwa angekutangulia mzazi mwenzako na kukuachia balaa😭😭😭pole sana MUNGU akuzidishie nguvu na ujasiri uweze kumpata mtoto wako😭
@selinacharles1119
@selinacharles1119 4 жыл бұрын
Pole sana
@patriciamrigo886
@patriciamrigo886 4 жыл бұрын
R I P, pole mboso inauma
@daprince2060
@daprince2060 4 жыл бұрын
pole san mboss kwa pigo ulilo pata kwa sasa mzee
@tatoorashedi1787
@tatoorashedi1787 3 жыл бұрын
Pole sana kijana wangu
@dalianakerefu490
@dalianakerefu490 4 жыл бұрын
Pole mboso ndo ukubwa ndo Dunia ilivo mungu akupe hekma kama mtoto ni wako utampata tu mungu ananguvu kuliko mwana damu afanye wepesi katika hili yatapita tu
@robertmalasi259
@robertmalasi259 4 жыл бұрын
Daaa pole sana
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 4 жыл бұрын
Innalillah wa Innalillah wa Rajun pole sana kaka
@zahramauba4821
@zahramauba4821 4 жыл бұрын
Mbosso mungu akupe nguvu na imani
@LUPPER.
@LUPPER. 4 жыл бұрын
Mungu amlaze Martha mahali pema peponi.
@huguettenshid6230
@huguettenshid6230 2 жыл бұрын
Pole kwa familia la Martha
@anitaanita9734
@anitaanita9734 4 жыл бұрын
Daah naiwe funzo kwa wengine yani inauma kweli pole sana kaka
@irenebeatus9481
@irenebeatus9481 4 жыл бұрын
Siri sio jambo zuri tunajifunza
@marinamooh4055
@marinamooh4055 4 жыл бұрын
So Sad R.I.P Martha Mmmhh Mtihani Wallah
@abdallahaswillah5225
@abdallahaswillah5225 4 жыл бұрын
pole dogo Mungu akupe subira
@hayasaboyofficalmusic2902
@hayasaboyofficalmusic2902 4 жыл бұрын
Dah pole bro
@blaiseally6306
@blaiseally6306 4 жыл бұрын
RIP Martha, and sorry mbosso
@rehemakatabi8137
@rehemakatabi8137 4 жыл бұрын
Familia inataka heshima ya kanisa ili marehemu azikwe maana makanisa mengine yanawatenga waliozaa kabla ya ndoa...Eee Mungu mrehebu huyu bint
@ireneernest9729
@ireneernest9729 4 жыл бұрын
Rehema Katabi kweli kabisa
@adolphinadaud47
@adolphinadaud47 4 жыл бұрын
Kweli kabisa dd
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 4 жыл бұрын
Wamtenge kama wao kinadani?hakuna kitu kama hicho mungu ndo huhukumu kwa vyote
@rehemakatabi8137
@rehemakatabi8137 4 жыл бұрын
@@juniorsmart2483 ofcoz Mungu ndio mtoaji hukumu lkn wapo wanadam wamejipa mamlaka yaani mpk unashangaa
@LUPPER.
@LUPPER. 4 жыл бұрын
Makanisa gani hayo? Nimekusikia Wewe kwanza... Pia Wewe dini gani?
@hamismkongwe1769
@hamismkongwe1769 4 жыл бұрын
Huyo dada yake hayuko sawa ni kama amepoteza dira mboso mungu ampe pumziko la milele
@huddahmunny5482
@huddahmunny5482 4 жыл бұрын
Guys do you recall there was this time when mbosso showed up with two kids (boys) bt he didn't mentioned their mothers' name bt gave us a hint that one's mom was a Kenyan n the other was Tanzanian
@sheisgodorait5721
@sheisgodorait5721 4 жыл бұрын
Pole mbosso uko katika wakati mgumu Kwa sasa
@saudrashid2476
@saudrashid2476 4 жыл бұрын
😭😭😭😭😭🙏Inalilh wainalilah lajiuni
@samsonkegokora5523
@samsonkegokora5523 4 жыл бұрын
I know of one thing in loved ones!!! That once in love it is very hard to disclose your privacy to everyone....... Ishanitokea... So kosa lao. Hii ni safari ya maisha.. Bwana mdogo pole sana. Najua wataongea mengi... Piga moyo konde
@mynahassan5637
@mynahassan5637 4 жыл бұрын
Poleni Sana 🙏🙏 🙏
@MaureenChepkirui56
@MaureenChepkirui56 4 жыл бұрын
Rip
@manenoanthonymachaku698
@manenoanthonymachaku698 4 жыл бұрын
Jmn inamana wasifu wa Marehem hua unaandikwa uongo kweri,,mana wasifu unasema Matha ameacha wazazi na ndugu hakuwai kuzaaa,,,na ndugu wa marehem wanasema mdogo wao hakuwai kushika mimba wala kuzaaa hiii imekaaje??? mana yule Dada alikua msaniii bro ucje kua ulikua unatunza mtoto wa dadaake Matha ulikua unadandazwa ki bongobongo!!!
@emmanuelyjoseph2957
@emmanuelyjoseph2957 4 жыл бұрын
Daaah mboss usinifanyee nirie kisa maneno yakoo
@omaryhabibu8725
@omaryhabibu8725 4 жыл бұрын
Kunamakabila Tanzania ya ajabu sana mbosso mdogowangu iyo famiria inamatatizo wanaweka zengwe mbaka kwa mtoto kama damu yako itakuja tuu sio wanavokutusi kwamba unatafuta kiki
@nancyruoruo1025
@nancyruoruo1025 4 жыл бұрын
Nimelilia mtoto wa mbosso apate haki ya babake
@esterbegina1022
@esterbegina1022 4 жыл бұрын
Pole mwaya
@bintykhana924
@bintykhana924 4 жыл бұрын
Pole sana your voice tells your sorrow
@marrionwatima797
@marrionwatima797 4 жыл бұрын
He's hurting u can tell by the voice, GOD is there for u mbosso.
@salhatkarimu5434
@salhatkarimu5434 4 жыл бұрын
Mimi najua hapo familia inapinga inatokana na dini tofauti ndo maana naomba dua kila siku nisiwe na mausiano ya dini tofauti mtihan sana
@angelalfred8128
@angelalfred8128 4 жыл бұрын
Mmm mbosso awezi kutafuta Kiki kwa msiba huo niuongo ameumia anaonesha thahirii familia msifanyie hivyo
@listentoquranandmawaidhach4992
@listentoquranandmawaidhach4992 4 жыл бұрын
Innalillahi waina ileyhi rajiun pole sana Mbosso na familia ya Martha lala Salama Martha ulikuwa mcheshi
@agnesijohn3079
@agnesijohn3079 4 жыл бұрын
Mungu akutie. Moyo
@maryamm7765
@maryamm7765 4 жыл бұрын
Alafu dada zake wasema watafuta kiki dah
@sadruhsnowwhite4679
@sadruhsnowwhite4679 4 жыл бұрын
Mbosso hawezi kuonqopea media bwana mtot wamepata wazazi acheni ujinqa
@catherinejiji8238
@catherinejiji8238 4 жыл бұрын
hey am New here.... mimi mkenya... yale nitasema mungu amlaze mahali pema
@yusramohamed4094
@yusramohamed4094 4 жыл бұрын
May her soul Rest in peace
@bwerumaster6691
@bwerumaster6691 4 жыл бұрын
Interviewer next time kaa level moja na unayemhoji, professionally watazamaji hawatakiwi kuona tundu za pua!!
@mariamnamwa188
@mariamnamwa188 4 жыл бұрын
Umeonae
@mropeclassic166
@mropeclassic166 4 жыл бұрын
Sasa mbona munafeli, Dada wa marehemu anasema hawamjui mbosso na hajazaa na mbosso 🤔🤔🤔
@richplatnumz249
@richplatnumz249 4 жыл бұрын
Msemaji wa familia kasema mtoto wa mbosso ypo
@moussanduwimana4305
@moussanduwimana4305 4 жыл бұрын
Wamekua wame keep secret
@alphoncemagere2289
@alphoncemagere2289 4 жыл бұрын
Duu
@Rashid-ss2wv
@Rashid-ss2wv 4 жыл бұрын
Kwani dada, ulimuona kaojiwa hapo
@vitalesssamwely9890
@vitalesssamwely9890 4 жыл бұрын
uyo.dada.nimkichaa.naee.mboso.katika.maisha.yake.aongee.uongo.mboso.nimtu.wakueshimik.hana.mtoto.marehem.mbona.ameongea.anamtoto.mboso.ana.mtoto.niwababaak
@annitabobo5438
@annitabobo5438 4 жыл бұрын
I don't know what to say coz this is all messed up. Mbosso says this Martha's family saying otherwise so does that mean she was using someone else's kids to exploit mbosso🤔🤔🤔🤔 happened alot in African society but can't judge true will always come out soon or later. RIP
@faizadulla8663
@faizadulla8663 4 жыл бұрын
Sure it looks like that
@janenguru6723
@janenguru6723 4 жыл бұрын
Could be...I like your thinking. Mbosso really looks lost in this situation. Secrets are bad
@annitabobo5438
@annitabobo5438 4 жыл бұрын
@@janenguru6723 Very bad!
@yusufismail3116
@yusufismail3116 4 жыл бұрын
Nimekuelewa sana
@yusufismail3116
@yusufismail3116 4 жыл бұрын
Try to describe it in Swahili language so that majority can understand your message " umegusa ukweli hasa ' hata mbosso mwenyew yuko gizani .
@idarousphotography3302
@idarousphotography3302 4 жыл бұрын
R.I.P MARTHA 😭😭😭
@lidialichad9394
@lidialichad9394 4 жыл бұрын
R. I. p😭😭
@husseinhaidhurojr5469
@husseinhaidhurojr5469 4 жыл бұрын
Pole mbosso hizo ndio tofaut za dini uone hasara zake hata mm nishawahi sailitiwa kisa din nahaswa ukiwa Muslim tatizo hawa wenzetu wanavyotuchkulia take care hill funzo kwa wengi unanyimwa damu yako Leo hiv hivi halaf kwa uchagani.imekula kwakoooooo
@kimutattoo4067
@kimutattoo4067 4 жыл бұрын
Inna illah Wainna illah Lajjiuun...
Boss Martha kwenye stage. Final Edition| CHEKA TU.
6:55
Cheka tu
Рет қаралды 1 МЛН
MBOSSO ATANGAZA NDOA YAKE NA MPENZI WAKE RUKIA
3:32
Wasafi Media
Рет қаралды 295 М.
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,8 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 26 МЛН
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН
Boss Martha kwenye stage| Shule Edition| CHEKA TU
7:08
Cheka tu
Рет қаралды 526 М.
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН