Inalilah wainalilah rajighun hadi kwetu singida mmekuwa naroho hizo jaman watu wanajitafutia ridhiki achen roho mbaya dunia hii tunaipeleka wapi mnao uwa nyie hamtokufa kila mtu ataonja umauti na hakuna anaekwenda juu wote chini na utafukiwa na tani za udongo😢😢😢😢
@MohdSuleiman-fw2un3 ай бұрын
Yaan mauwaji yame zid mno what the problem jaman?roho za watu zimebadilika vibaya jamn dahh
@yukundapeter82003 ай бұрын
Ee Mungu wangu jamani,hayo mashetwani yakikamatwa yachomwe moto hadharani.
@Aida-qh3jq2 ай бұрын
Inalilah wainalilah rajighun
@so122213 ай бұрын
Kuna watu Wana moyo mibaya sijui Ina damu ya kishetani kila kukicha nchi hii inazidi kuzaliwa mijitu namna hii