Yanga wapo vizuri kwenye usajiri kwakuwa msajili mkuu na mwenye maamuzi ya mwisho ya usajili anaujua mpira vzuri na yupo smart kwenye kila sajili na anaenda kwa target kwamba anasajili kwakuangalia nini anataka Ukija simba wanaosajili ni watu zaid ya wanne au yeyote mwenye uwezo wakusajili anajisajilia tu coz muda ujao mchezaji aliemleta ataweza kupanda dau na akauzwa bei kubwa na kurudisha faida ya aliemsajili Yule dada hana anachojua kuhusu mpira yeye yupo vizuri kwenye management & organisation na sio mpira kiujumla ndo mana sajiri za simba nizakufuata mkumbo na zisizo na tija hapo mbeleni Kiukweli simba saizi wanadevela sana ukiangalia sajili za mihemko, jezi kusuasua, kuanza msimu japo wameshinda lakini unaona kabisa hakuna future nzuri. vyote hivyo ni kutokana na kukosa kiongozi mwenye vision mwenye anaujua mpira na ubora wa uongozi, kiongozi asieyumbishwa na kiongozi mwenye final say Hersi miaka 4 amekuwa yanga lakini unaona kabisa improvement ya mipango yao hadi sasa kakabidhiwa rungu kwa 100% lakini kwa simba unaona kabisa wana drop dah🥲
@laqboe80672 жыл бұрын
Bigilimana 😅😂🤣
@herbertbathlomeo46502 жыл бұрын
Kwani nani anasajili pale Yanga?
@kelvingeorge86792 жыл бұрын
Unavoongea utadhan kuna kitu unatoa tofauti kumbe ni ushabiki tena yanga kwa kusajili makapi ndo hawajambo kabisa timu unbeaten msimu mzima usajili wote ule unataka kubadilisha nn yan naona momo anaongea mapoint ila ww unataka kubishana na wapinzan ndo shida iliyopo haya kaa na hayo unayoona n miyeyusho ach inyeshe tuone panapovuja
@nuranzubail81342 жыл бұрын
ila akpan hajapewa milioni 200 , sio wa milioni 200 , coastal union wamepewa milioni 100 na akpan amepewa 50M kama signing fees
@daudsimon54172 жыл бұрын
Wa kudere na kuelewa sana
@frankfelix38762 жыл бұрын
Nikweli kabisa simba inahitaji washambuliaji wapya wenye manufaa makubwa sio kuleana wakati simba inahitaji mafanikio makubwa
@rehemaabdullah76062 жыл бұрын
Loooh kumbe nawao wanatoaga Mali kauli wanavojigamba basii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@saidijafari28122 жыл бұрын
Mi ni Simba ila ungozi wa yanga kwenye usajili upo vizur kwel yani hawataki pesa yao ipotee kilamchezaji wanamsajil wanahakikisha atafiti wapo tayar kutoa pesa nyingi ili tu wapate mchezaji wa uhakika kuliko wamajaribio .sio kama wanashindana bali wana uchungu na pesa yao ya usajili
@mwikamwika48512 жыл бұрын
Kwani umetumwa au umeagizwa? Nenda hukohuko Kwa utopolo
@faumahona57692 жыл бұрын
Unaliwa mkundu ww
@amanijtz48312 жыл бұрын
Nakubali
@saidijafari28122 жыл бұрын
@@mwikamwika4851 Kwan timu ya baba yako ulivyoambiwa , Kuna sehem viongozi wanazingua wanachofanya nisawa na kusema nabana baajeti sinunui chakula mchana leo nitakula andaz mwisho wasiku mpaka jion unaona gharama uliotumia imevuka hata ile ya kununua chakula ndio wanachofanya viongozi wetu . Unamkosa Adebayo kwasababu ya RS Berkane sawa unamkosa mchezaji uliemtaka kwasababu ya yanga ! Huu si upuuzi wakati sisi tulitakiwa tuoneshe umwamba tulitakiwa tukafumue kikosi pale pale tukamchukua mayele kesi ingekua ishaisha saa hizi .huoni warabu wanachofanya ukiimalika wakiona unawasumbua wanachukua wachezaji wenu wazur bc .
@saidijafari28122 жыл бұрын
Sasa wewe Kama hujui mpira pesa zinaingiaje bora unyamaze tu naona hata hujui umuhimu wa mashabiki cjui we mwanachama upo upo tu!
Broo umeongea point sanaa ndio maana soka letyu tuna feri sana duhhhhh
@simbajumanne97182 жыл бұрын
Asante sana momo
@joejux13802 жыл бұрын
Shida kusajili bila kuwepo kocha sasa kocha akija anaona hawaingii kwenye mifumo yake sasa hata kama ww ndo kocha utafanyaje unadhani😂
@slumujaibu72052 жыл бұрын
Daaaah jomba uyu mtata sana sijuh taarifa anapata wapi
@flova70222 жыл бұрын
Shida ni kwamba tunasajili bila ma kocha
@ahmedysaidy98742 жыл бұрын
Umetisha momo mm kama msemaji wa wana thimbaaaa nashindwa ata kutoa maamuzi nawangalia tu watu wanavyopiga pesa sina nguvu ndio maana hata sauti yangu haitoki vizuri bajeti ya mshahara wangu tu watu wanakula asilimia zangu leo nimeona bora niseme ukwel nipo tayari kujutoa kwenye usemaje mwezangu manara kule anakula Bata tu.
@rehemaabdullah76062 жыл бұрын
Sasa shidann pole maana unapoteza hata Nuru vumilia yatakuwa Sawa tuu
@mecksonjoseph25222 жыл бұрын
Ukweli ndio huo.. Basi wata umia kuambiwa ukweli
@rashidikawanga29412 жыл бұрын
Imeisha hiyo sema kocha kenge sana 😢
@lamecanton7523 Жыл бұрын
Hapa anamzungunzia kocha zoran kipindi kile anapewa mkataba alitoa masharti na alisema wazi boco, chama, phili, onyango alisema kabisa hawa siyo
@allychautundu67292 жыл бұрын
sahihi asee
@daffangov60742 жыл бұрын
Nakuelewa sn mze
@saidsalum61012 жыл бұрын
Kweli nimeona hayo sawa
@titobernard3832 жыл бұрын
🤣🤣 🗣️ zaaandaaaaniii !!!!😂
@FRANSKALITUSI49372 жыл бұрын
Nakubr Sana
@festovenas5022 жыл бұрын
Nime kuelewa mzee wa kudere viongoz wa Simba waaache ushamba
@omarymlawa52212 жыл бұрын
Uyoo muongo sana tu
@yohanalukindo37372 жыл бұрын
Kocha anataka alete wazungu wengine nini
@maigathomas23532 жыл бұрын
Mbona mzungu hawezi
@issamsangi18872 жыл бұрын
Ila nimekuelewa broo
@mohamedsalum31122 жыл бұрын
anaongea sanaa , ila kama yanaingia akilini hasa hasa hii point ya mwisho
@HafidhJuma-fg2nu Жыл бұрын
Dah
@HassaniNdundu6 ай бұрын
Wew muongo
@mahengomwenyewe42042 жыл бұрын
Simba inahujumiwa na viongozi wake nishasema zamani sana
@kemmyelisha6952 жыл бұрын
Ukweli mtupu wanasimba tuamke 😭 hadi Yanga watatupita
@bakarpaul50462 жыл бұрын
Wawapite mara ngapi
@yoanadaudi49072 жыл бұрын
Mzee wa kuderee unajua
@ismailmbalale-z1rАй бұрын
Tupe za ndani za malaika na konde
@watch53802 жыл бұрын
Momo nomaaa
@yusuphjilala8462 жыл бұрын
Weweeeee
@jacksonmofulu93362 жыл бұрын
Simba tunapigwa sana
@edgarayubu20772 жыл бұрын
Naitwa edger natokea mbeya grean city bana timu yangu ya simba atup raha kama turivo zoea yan kwa kipind hk tunapata shida t
@yusuphjilala8462 жыл бұрын
Kiongo hichooooo
@erickdioniz82772 жыл бұрын
Kocha ana akili sana huwezi ukampa masharti ya nusu fainali shirikisho halafu wachezaji utumbo
@edwarddavid80762 жыл бұрын
Sio shirikisho club bingwa
@raphaelkyando10942 жыл бұрын
Tatizo ni hansipope kufa
@athumanjafar27762 жыл бұрын
Aa nimekuelewa sana umeongea sana wakudele
@othmanjkamhanda42082 жыл бұрын
Mzee wa kudere wachane
@godfreybitakama98452 жыл бұрын
Kama nimekuelewa
@chuchumeta83742 жыл бұрын
Momo, Momo uongezewe ulinzi
@ChikwendeNde8 ай бұрын
Simba iyooo
@plumbingandtilesservce52712 жыл бұрын
Kwel izo zandani kaka
@prosperjuma9052 жыл бұрын
Ukweli mtupu
@florianscarion50852 жыл бұрын
Huyu taarifa zake huwa ni za uongo, yani kinachomjia kichwani analileta kwenye radio, huyu si ndo alitwambia Sakho Hana mkataba na Simba.
@zuli.comedy.2 жыл бұрын
Topsella tv
@assadyabdull51462 жыл бұрын
Poit muhimu ni ya mwisho
@raro55062 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mkataba wa ZORAN kama wa pikipiki....😢🤣🤣
@ezzepuritykamwene21212 жыл бұрын
Hahahaha umenichekesha Ila we yangaaa
@HassaniNdundu6 ай бұрын
Yani yanga usem gamond amtak chama ana tak namba 6 aucho kachoka usemi wewe muongoooo fala wewe
@TravellersTv12 жыл бұрын
🔥
@saidijafari28122 жыл бұрын
Yani viongozi kujikubali saana Kama wanafanya kwa weled Ila huo weled hauna uhalisia , imagine unamuacha AZIZ ki mchezaji abaejituma ambae unajua kabisa Kama atafiti kwenye eti unamuacha sababu kataka pesa nyingi halafu unamsajir mchezaji kwa pesa nyingi Kisha hamumtumii hiyo pesa c bora mungeongezea kidogo tu na nyengine ingebaki mukamchukua azizi ki
Kudere leo umeongea point kidogo biashara za watu wajinga SN sio kwa NN wanakuwepo Simba pale
@edwardkongo15992 жыл бұрын
K kubwa wote hao
@decomarcos74582 жыл бұрын
Imeisha iyo momo
@abiboseleman16492 жыл бұрын
Momo watakuteka ooooooh
@husseinmasangya12722 жыл бұрын
Momo 😂😂😂😂
@handgodmunuo66022 жыл бұрын
Vp
@magneticofficialtz2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iKPXlGd4hJKFiqM mdada wa kazi kafumaniwa wakifanya mapenzi na mlinzi jikoni duh dunia imevaa chupi
@costantinopaul48872 жыл бұрын
Kocha wa simba hatufai haendan na las na uzito wa lig yetu tunaomba uchebe waturudishie klabuni
@salim02tv242 жыл бұрын
Si mlisemaaa bonge la kochaa
@titobernard3832 жыл бұрын
Si tuliambiwa ni kocha wa vikombe huyu au tumepigwa hapa ?
@pesangwasalim52582 жыл бұрын
Mm
@saidijafari28122 жыл бұрын
Viongoz bure kabisa hawa
@ibrahmmgaya3122 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hdmsasa33552 жыл бұрын
Gusa maandish ya blue ukatazame Video nilivyomfunika DOGO BALAA kzbin.info/www/bejne/kInSh42rj6uAr5o
@chollejr_2 жыл бұрын
Ila ila jamaaa .😂😂😂😂
@fressoj-mova56862 жыл бұрын
Akpan
@damarygaratulu91352 жыл бұрын
Huyu nae porojo tu mdomo du kama herufi za mwisho za jina lake
@lightnessabdallah55072 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 umejua kunifurahisha km eruf za mwisho
@pastorpaulokasanga7992 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@rehemaabdullah76062 жыл бұрын
Sasa Endeleen kusema porojo ila mtayakumbukaaneno yake
@rehemaabdullah76062 жыл бұрын
Hahahahaaaaaaa
@thabitngangila85622 жыл бұрын
Mambo yake kama joti!!!
@jonathansirkintungi34402 жыл бұрын
Wapigaji wapo Kwa boss wako gsm Kwa mo hayo hayapo. Sasa tuone Kama utadhubutu kumsema utakosa bahasha kenge wewe usituletee vurugu msimbazi.
@rehemaabdullah76062 жыл бұрын
Tulia ww mkiambiwa ukweli mnanunaa umeona Yanga asahv Wana sajili kihoreraa kama zaman? Mtaumbuka mwaka huu
@jacksonnchimbi19662 жыл бұрын
GSM alikuwa anapigwa zamani sasahivi kazi za usajili zinafanywa na rais enginer hersi said habahatishi anawapandia mwenyewe usibishe watu wanapiga mpunga sana hapo simba wameanzisha kamtindo hako wanamleta mchezaji hata wa majaribio baadae anasepa wewe unafikiri ghalama za kuwaleta nani anahusika yaani Barbra sikuhizi kanenepa sio miss tena anapiga mpunga na ahmedy Ally wake sikuhizi kanenepa hela za michango pia