c'est pourquoi j'aime le live, il y a des improvisations qui révèlent le talent. Diamond le meilleur
@alhandroraj80095 жыл бұрын
Kibao namba 1 wote mna talent penda nyinyi sana shida zetu kando raha teleteleee
@binurusm88865 жыл бұрын
Tusiwahukumu, binafsi mimi naona hapa sio ufahari wala nini mi naona hii ni njia mojawapo tu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua aliyoifikia kimaisha, Mungu akuinue Hamonaiz, endeleeni kushikamana kwa umoja wenu Mungu awalinde na atawainua zaidi, Aamina.
@libnaalubnaa84935 жыл бұрын
Tuuu nakuombeana kilaa kheri na barakaa za munguu kuombeana maombii memaa na nawapaa ruhsaa hapaa kwenu mukae vizuri na nitawa ombeaa mubarikwe katikaa group hii mupate point nyingii inshalllah 🙏👍namm ndio nitakua basi
@jaguarmafuvu53555 жыл бұрын
Kama unawakubali awa jamaa gonga like twende sawa jamaa wanajua mpaka wanakera nilicho penda zaidi ni jinsi wanavyo pendana yaaani wapo kama ndg ,kumbe ni mmakonde mmoja na mdendereko wa kibiti bila kusaau myakusa wa mbeya bosi wao muwa mmoja toka pande za kigoma tisha sanaa
@anithathebosslady20265 жыл бұрын
Jmn nawapenda sn mpo vizur karibun arusha 😃 😃😃
@hasnaabduly49455 жыл бұрын
Mbona hiii kaliii 😀😀😀askafirulaaa yani miziki kabisaaa dunia hii jamani allah atupe mwisho mwema jamani na awasamehe mnachokifanya hapo jukwaani
@adelifinadamian42875 жыл бұрын
Hatimae Leo nmekuwa wa Kwanza like zang jmn 😋😋
@kandiliyadiplomasia11865 жыл бұрын
Adelifina Damian nakuongezea na Comment kabisa Boss wangu
@mariamamr24815 жыл бұрын
Wakat mwngn msiwe mnazalilisha dini unavaa kanzuu halaf Unaimba na kucheza hapo hakuna .wenye akili jitambueni hu so mwez wa kijinga hamna akiliii wote we hormoniz ndo chizii kbs hyo so iftar ni mmealikan chakula cha jion jitambuen someni dini mjue maana ya ramadhan
@mariamamr24815 жыл бұрын
Na weee mboso ulovaa likilemba kama umevishwaa sufuria la ugali na huyo diamond ndo wajinga tambueni ramadhan ni nini so mnacheza tu
@zubelijames24105 жыл бұрын
Nyie noma
@kingamani64785 жыл бұрын
Mariam Amr
@marylinantwiwaah94165 жыл бұрын
👊😍Diamond was truly born with music....so creative💖🇬🇭
@Joseph-wall7 ай бұрын
Big up for this art band. Love this music
@alleykidofficial1114 Жыл бұрын
Huu mwezi mtukufu 👏👏👏
@idarousphotography33025 жыл бұрын
DIAMOND NAMKABIDHI NI BEST PAFORMA IN AFRICA UNAKUBALIANA NA MM DONDOSHA LIKE HAP
@mulisalisa24285 жыл бұрын
Never.your dreaming
@idarousphotography33025 жыл бұрын
Haitham Ally kashawah kuchukuwa beat parfoma in afrck
@idarousphotography33025 жыл бұрын
Mulisa Lisa mmhhh
@giliadgodfriend80065 жыл бұрын
True
@idarousphotography33025 жыл бұрын
Mulisa Lisa soma coment ya chini alafu utakubaliana na mm
@vivip.k25705 жыл бұрын
No way... He is singing in Lingala 😳 I love it 👌 🇨🇩
@yedwells93903 жыл бұрын
Ohh damm I love diamond #hope they reunite one day with @harmonize much love from Australia 🇦🇺
@medardpatrice86565 жыл бұрын
Km unamkubali plutnumz na conde boy ndondosha like zenyu jmn
@mariaprincia15 жыл бұрын
Diamond I will never forget this... wowwww this is beautiful you can sing on lingala wow good job diamond tokosssss👌👌👌👏
@Sanga_b5 жыл бұрын
kama umeskia kikongo cha rayvany gonga like 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Danpixel15 жыл бұрын
W.C.B mtabaki kuwa juu Duwa nene kwenuu toleka bakokokatee Big up konde boy salute jah bless you
@winnieokore91255 жыл бұрын
Diamond platinumz you are such a good artist, I love how you can sing like Fally Ipupa.
@iammusic34045 жыл бұрын
Hatari
@katotfug3 жыл бұрын
Good 👍
@aishamambo10725 жыл бұрын
Subhanallah mwaka mzima mnayafanya haya basi hata kujiziwia japo huu mwezi 1 tu wa Ramadhan japo mkapunguza mizigo ya madhambi mlonayo bado mmeshindwa jichunguzeni mbona nafs zenu hazina woga
@winnieachy65375 жыл бұрын
Mondiiiiiiii🇰🇪💖👍👍☝🏻barikiwa.
@davidmacphail55205 жыл бұрын
Its really amazing wen all come together, bravo, mmetengenza siku yangu
@yusufismail31165 жыл бұрын
Huu ni MTIHANI kweli kweli kwa ndugu zetu katika iman.
@bintykigan70145 жыл бұрын
Yusuf Ismail naww unae angalia je ushajiuliza
@yusufismail31165 жыл бұрын
@@bintykigan7014 bila kuyajua wayatendayo(kuangalia) utajuaje kama jamii au mtu anakosea??!!! Maana hata ukiambiwa aliyekusimulia amesikia kwanza ndipo akahadithia.
@ndikumanasadi34075 жыл бұрын
Wa ache hao wa andae Vita na Mungu ipo siku Allah atawaonesha kama yye ndie Mmiliki wa ardhi hii mtu hauwezi ogopa hata Mwezi Mtukufu utaokopa tena nini
@husnajohn74665 жыл бұрын
Hivi MTU alie na dini ya kishetani lini akawa na khofu
@manchuji34085 жыл бұрын
C mnataka futar za bwereree so ndo malipo yake hayoo
@emmanuelherman71865 жыл бұрын
Am team kiba, but Diamond is the top and very talented artist.. Aseee, noma noma xn.... Kam fallyyyyyy vile, duh
@petermasunga24665 жыл бұрын
wcb on fire mpaka kikongo best perfomance from wcb
@skymusicempire20505 жыл бұрын
Daaa hii familia mpk nawaonea wivuuu aiseeeee.... BIG UP NUMBER ONE RECORD LABEL WcB
@tariqmfaume70605 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@simonmwakaniki21595 жыл бұрын
Tanzania hakuna km mond
@dorothyadhiambo19165 жыл бұрын
Mbosso I love u so much your so sweet
@issamatota94875 жыл бұрын
Dorothy Adhiambo chedema
@yedwells93903 жыл бұрын
Much love from Australia 🇦🇺 hope you reunite one day ♥️♥️ diamond is such a god in music the French part 😂♥️🇨🇩
@Furaha-s6n4 ай бұрын
Diamond love you
@tinahtinychristen54925 жыл бұрын
Mbosso really has a beautiful voice naturally 😍oh lord he doesn't struggle
@WesternRee Жыл бұрын
Exactly 😂😂nimerudia hio part sana
@mwanahamisjuma33615 жыл бұрын
Mwaka Jana mlifanya vizur kutoa nasheed ya ramadhan kila mwaka huu mmeharibu huu nimwezi was kufanya ibada tumuogopeni mungu tumepewa miezi kumi na mmoja huu mmoja tu tuupeni heshima yake mmefutarisha vizur mwisho mmeharibu mungu awasamehe
@mariamdigelo78445 жыл бұрын
Mungu awasamehe nyote mkumbuke mlichokifanya mbele ya Allah C sahihi japo sote ni waja msiba wallah😢😢 yan miziki ???eti mnafuturisha iinnah lillahyyy😢😢😢😢😢😢
@thomasmutero19115 жыл бұрын
WCB ni familia kweli...254
@mariaprincia15 жыл бұрын
Wow wow wow beautiful song I Love It I didn't understand anything in Swahili but I get it beautiful! you are the best, family is your family keep your family save and protect no matter what. good job and continue like that big kiss bro wasafi....... never never never never never beautiful song good job
@mohamedshechengashechenga89935 жыл бұрын
Mungu katupa vipaji hata kwenye ftari tunaimba pia coz sio dhambi Bali nikufrahia maisha mtuelewe
@ninweynootagay88385 жыл бұрын
Best team in east Africa WCB always together😘😘😘😘😘
@fatmasaidy35375 жыл бұрын
looooooo laanatuwahi
@salmasalim41365 жыл бұрын
J adore fally ipupa belle présentation en lingala et français bravo Diamond
@bulayaconfidential72125 жыл бұрын
WCB mnaishi maisha mazuri sana, kwa kweli mna upendo wa hali ya juu sana hadi mnaifanya lebo yenu kuwa mfano wa kuigwa👊👊👊👊
@jenipherlubamba18975 жыл бұрын
Mboso nimukukubalii...you got the voice man
@nazyj84025 жыл бұрын
Very strong team dat inspires m alot love u biddies
@elraysugarboymasb95355 жыл бұрын
Aki Mondi imeniuwa naiyo mistari ya Fally ipupa ( torkoss) aka simba
@mohdamini84365 жыл бұрын
Laana tupu unaita futari huku ibilisi amemzunguka , Mungu tumuombe sana sana amtia ufahamu huyu , Mungu hatomlipa kwa kumcheza shere , awasamehe walo hudhuria wakiwa na Imani dhabiti na kukuta hayo.
@muhamedrosicky95705 жыл бұрын
Iyo ni moda ya tarawhe ila wenyewe usiwatembezeyi tarawhe Allah atuongoze wallah
@omaryyusuph32515 жыл бұрын
Hapo Allah kawaumbua wenyewe mnajiona wajanja kumbe mnazingua hvyo msimletee sanaa kwenye ibada yake mnajidai wasfi kumbe wachafu,Hebu tuwachieni mwezi wetu wa ramadhan upite salama hatutaki mishoo yenu.
@chiefandrewkidulile30285 жыл бұрын
We mwenyewe sio msafi na huenda Mungu akawasamehe kwani aliwajua toka wako kwenye matumbo yamama zao. Acha kuhukumu wenzio hata Mungu hapendi kabisa
@omaryyusuph32515 жыл бұрын
Ukiwa si muislam hujui mambo ya kiislam ni bora ukae kimya. Wafanye show zao huko but wasiziingize katika ibada yetu ya kiislam wasije kutuharibia umma wetu.
@aliyomar91405 жыл бұрын
Andrea Kidulile naomba ukae kimya mambo ya kislam hayakuhusu.....apo hakuhukumiwa MTU Bali wanaonywa na kukumbshwa wabavyo Fanya sivyo.....muislm wa kweli hawezi kujaj mwenzio so ikiwa huelewa dini yetu plz tuache
@greisonchoga49945 жыл бұрын
Tatizo wifu tu unawasumbua diamond ndio habari ya mjini
@zainahassani55715 жыл бұрын
@@greisonchoga4994 hatujakataa but why adhalilish din yake yan kavaa vaz la kislam alaf anachez musik wallah ni dhambi kubwa saan kwa allah
@wizover26525 жыл бұрын
Is Wizover From burundi i love so much WCB gonga like if u interested
ONE DAY KONDE BOY AND MBOSSO WILL DEFEAT MONDI #LOVE YOU MY ALL TIME CRUSH MBOSSO FROM 254
@divinemalaika97985 жыл бұрын
The best of africa DIAMOND PLATNUMZ 😚😚😚
@jamalkakoko50235 жыл бұрын
mmetisha wazee wa kaz always you kpng yourself best
@George-w7v2t5 жыл бұрын
WCB got nothing but love for you guys
@2pacshakur9125 жыл бұрын
Hapo hapana futari wala funga wanazidanganya nafsi zao tu Hawatokua radhi wakristo na mayahudi mpaka mfuate mila zao.
@hamishamis99055 жыл бұрын
Really
@muhamedrosicky95705 жыл бұрын
Iyo ni kwel no iftar but show
@abalqassimhalli67315 жыл бұрын
kweli
@antoncharles87105 жыл бұрын
>>>> true msella wangu shettan ni shettan to yan uwez ukambadilisha mala moja.
@zenaamani3715 жыл бұрын
Harmonize usije ukamsaliti Diamond ki vyovyote vile,tukubali tukatae ana mchango mkubwa sana ktk hatua hio uliofikia.Mwenyeezi Mungu awabariki na adumishe umoja wenu mshikamane kwa shida na raha.WCB mpo juu mawinguni(in Piere voice)
@allyaden52615 жыл бұрын
Istaqfurallah🤭ati iftar?May Allah forgive them and purify their souls for Mocking His Holy Month.And finally may Almighty Allah grant them the way out.Remember!Just Remember foxs!Today the soil is under you,Tomorrow the soil may be above you,Repent before you get prayed upon.
@aishayusuph13955 жыл бұрын
Ally Aden umeona hivi miezi yote wameimba hu mwezi moja wameshindwa ftar gani hii
@Theanonymousgorgeous2545 жыл бұрын
May your English be purified too. You need help Sabarry call 911😢
@adamfaraj10745 жыл бұрын
Thats true
@natureisyours36435 жыл бұрын
May Allah show them the old ways
@natureisyours36435 жыл бұрын
@@Theanonymousgorgeous254 so english came from ur family nkt!
@christonemutambo63635 жыл бұрын
nice
@tuffahhappiness33575 жыл бұрын
Master J njoo umuone Harmonize akikupigia NEVER NEVER 😂😂😂
@hamisisha5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@catenzeki6785 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@arwamuqaibal2065 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@tuffahhappiness33575 жыл бұрын
hamisi sheby alimkatisha tamaa kwa BSS
@tuffahhappiness33575 жыл бұрын
Catherine Nzeki Mwau Mwau alimkatisha tamaa kwa BSS
@graciendutah5 жыл бұрын
This is pure talent...
@vincentsunhotlangwe51385 жыл бұрын
Haaaa yani nawapendaa saana , Aksante mungu kutuletea WCB , like nyingi kwao
@reubenfavour5 жыл бұрын
I Love WCB.... Mko Juu Too Sana....
@kombuchahluckyMartin5 жыл бұрын
Live show jama ziliwashindaga kabisa. Pumzi hamna saut zinakataa! Kazi zenu nzuri sana. Lifanyieni ili kaz kua na uwezo wa kuimba live bila kubabaisha. Good job ,blessed
@josephwattay49045 жыл бұрын
I've watched this video more than 100 times.
@dangotesam98455 жыл бұрын
What an amazing family of talent!!
@mrgoochminusone5225 жыл бұрын
Hapo sawa mondi, from MAN GODY JARATENG the upcoming musician
@abdulmajidmuhammad25995 жыл бұрын
Wamuogope allah wallah watakuja kujut ww subili bila kumrudia allah
@updfm78405 жыл бұрын
Watching you hapa dubai
@cydojeezel55285 жыл бұрын
Simba we ni moto xanaa yaani mpaka harmonize, mbosso na rayvanny wameshangaa kwa mistari ya kicongo Hii Game ni yako hakuna wa kukushusha... Simbaa🔥🔥🔥🔥
@esmahnguzo22015 жыл бұрын
Mlifanya vizur sana lakni ndo mshaharib Allah awasamehe inshaallh
@cantyurassa30895 жыл бұрын
Master j njoo mwone BSS failure akiperform live never give up hukuuuuuuu
@allyramson63595 жыл бұрын
Mmeshaonsoa maana nzima ya kufturisha,,,hapo mmegawa chakula manamdhihaki M/Mungu,,,palihitajika Quran na maneno ya dini wallah msamehewe kwa hilo na mpate nusra
@nestorymsacky68385 жыл бұрын
Nakubali kabisa, unipe mpaka kwenye sofa kweliii???
@fredricklyenera65665 жыл бұрын
Kugawa chakula tu ni thawabu tosha kwao.....je wewe ugawae maneno matupu umepata nini.....achakuona wenzio wanamakosa wakati wewe bado hujaiona hiyo pepo..... Mungu pekee ndio mwenye kuhukumu!
@aliyomar91405 жыл бұрын
Fredrick Lyenera kakumabia nani...?huelew sheria za kiisalm so uctie DOA. ..usiangalie uislam kwa kava yake.... Ingia ndani......ucropokwe....
@fredricklyenera65665 жыл бұрын
Hahaaa.....nadhani nitakuwa sijaelewa kati ya uislamu na matendo mema afanyayo mtu kwa wahitaji ni kipi kitampeleka peponi.....ila nijuacho mimi hata huo uislam unasisitiza watu wajitolee kuwatendea wengine wema zaidi ili waione pepo....sasa sijui ni uislam gani ulionao mwenzangu wa kuona walichojitolea hakifai. Usipanic bro RELAX...!!!
@allyramson63595 жыл бұрын
Kifupi muziki na uislam ni vitu viwili mbingu na ardhi tofauti nimekwambia kwa kifupi lkn neno lenye ujumbe ulojitosheleza
@fababindawood83635 жыл бұрын
Yaan ukiipenda wcb hujutii kabisa gonga LIKE km unawakubali wcb.
@colepapichulo44225 жыл бұрын
Apoapo shabiki Wa simba football club
@viootanzania90805 жыл бұрын
yo so good my team i love youuuuuu........
@saummasoud14695 жыл бұрын
Chefuuu na ramadhani hii mlichokifanya sio sawaaa
@maryangela1075 жыл бұрын
Mimi nimelia eti kaka amooo kweli waache waliokuwa wanakucheka ujumbe umewafikia kwa hilo song la ukweli
@user-zh8wg3lc4i2 жыл бұрын
Watoto wangu mnapendeza sana, ni huzuni kuona kwamba mmejigawa,tafadhali rudini kwenye UMOJA WENU MNAPENDEZA.
@libnaalubnaa84935 жыл бұрын
Hamujmbo kakaa zangu dadaa zangu naashukuru nafuraikaa sanaa kuni saport nawapaa shukran nyote 🙏🙏🙏🙏😊na katika mwezi wa march nawambia kwa herini ✋
@buddychampion25565 жыл бұрын
i love this family
@sofiajanuary38405 жыл бұрын
Subhanallah....eti mwafuturisha na ushetan ivyo tumuogopen Allah
@filbertnashon71605 жыл бұрын
Haaaaaa,colable moja nzr 😁😁😁mnatishaa
@ramdeeramdee44535 жыл бұрын
Tuokope mwezi huu jamana Innalillah wa innaillaih rajiuunn
@Tariqxxtenations5 жыл бұрын
👏👏👏
@aminamwende41765 жыл бұрын
Ni jambo la kuskitisha
@ndikumanasadi34075 жыл бұрын
Makafiri hao hawana cha Mwezi mtukufu au ntakatifu hawajuwi wanachofanya hao ila waisubiri iyo Vita ambayo wana iandaa na Mungu atawachapaga fimbo hao subiri tu
@Lahyzeecrucial5 жыл бұрын
@@ndikumanasadi3407 precisely..
@dajimmuabdul76615 жыл бұрын
jahannamu inawahusu mwezi wa kutubu huu lkn wao wanamkacrisha allah
@raphaelbruno27435 жыл бұрын
We need the familly like this which carry love
@carolinemusimbi92325 жыл бұрын
These guys are talented why lie kudos wasafi
@queenkhadijamohamed14405 жыл бұрын
Kwahiyo mlipinda mgongo kabisaa huku mpo kwenye mwezi watobaa subhanallah
@kamalecountiguiwg4555 жыл бұрын
Good
@raphaelbruno27435 жыл бұрын
Big up wcb god give u all love forever
@Bullah_tz5 жыл бұрын
Heshima sana mondi dahhhh bonge la show 👏👏👏👏👏👏
@farajibuteta62585 жыл бұрын
Hangaikeni tuu lakin mjue mungu hamuwezi shindana nae siku yenu ipo yaan ramadhan mnatuimbia manyimbo yenu tena mnanasibisha na iftar
@amissaniyonzima99055 жыл бұрын
Subhanallah eti ftari, hivi njo dini inatufunza?Allah awasamehe na awaongoze
@khadeejaabdullah70835 жыл бұрын
Jamn hata mm cjaelewa ftari na show Allah tunusuru waja wako
@silperaura59815 жыл бұрын
Wacheni wivu
@katotfug3 жыл бұрын
I support you guys my people 🥰🥰
@princessnyawi88915 жыл бұрын
Diamond you nailed it.big up .
@keen_b78905 жыл бұрын
Nakubali bro ujawahi kuboa
@janethjoseph5 жыл бұрын
Nawapenda WCB SANAAAAAAAA mm shabiki wenu dam dam nawapenda mpk nakufaaaa
@laurencepiusmg60875 жыл бұрын
wcb 4 life...kam tup sambamba gonga like hapa👊🏽
@yahyayussuf81225 жыл бұрын
Nan agonge like uo upumbavu
@ismailmaulid16165 жыл бұрын
wale wanao dislike wanatokea mkoa gan 😆😅😆😆😆
@kashababy30675 жыл бұрын
kings of Africa ❤️🥀 nani kama nyinyi sas 👑👑
@deflavourboe99795 жыл бұрын
Hongereni kwa parfomance nzuri I like it
@Thepapsfamily5 жыл бұрын
this guy has got positive vibes meeeeeeeen
@hamidasalim1435 жыл бұрын
ALLAH awaongozee inshallah ameen...
@teresiamutua44875 жыл бұрын
Diamond, harmonize, mbosso, Ravvany,romny WCB nimewaona,leo ni makazu,na vilemba, queen darleen salam alekum, lavlav huko wapi sijamuona,,nimependa hiyo ushirikiano mungu ajalie mkae na huyo upendo more love from 254
@neemaqueen81435 жыл бұрын
Nice ❤️❤️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩👈🔐❤️
@mwantumujumaa16165 жыл бұрын
Kweli mm nawapenda ila kwa ili mmekosea sana mungu awasamehe amjui mlifanyalo wala mlitendalo waislamu jina hao
@sheilacruz64582 жыл бұрын
Hope one day to this team together like this
@jeffmwambe76575 жыл бұрын
Nia ilikua nzuri kuftarisha watu iliwapate ujira kwa allah lakin njia ilikua mbaya mwisho wasiku wamekosa ujira kutoka kwa allah na zambi wamepata.
@jeffmwambe76575 жыл бұрын
@@farajijuma9204 ndugu yangu faraji alihamdulillah allah hii dini imekamili kwaiyo kila mtu mwenye akili timamu ya mpasa kutambua hili ni zambi na hili nikilifanya napata swawabu na huo ndo uislam kikubwa nikushauli usome maana uislam bila elimu hamna uislam sawa ndugu yangu.
@jeffmwambe76575 жыл бұрын
@@farajijuma9204 sasa ndo ujue kama nizambi alafu uislam ni dini ya msimamo ispokua allah ni mwingi wa msamahaa na yeyote mwenye kutubu allah anamsamee yan bora wangetumia nafasi hio kusoma quran wao wenyewe au wangealika wasomi wa quran wakasoma wangepata fazila kwakua huu ni mwenzi wa quran alafu nikuusie ndugu yangu allah anatisha na nimkali wa kuazibu.
@mohamedbinfadhil13965 жыл бұрын
This is not iftar my brothers tuite party tu flani mumeandaa ipeni heshima yake funga na iftar. This is wrong totally..
@halimambwego77065 жыл бұрын
Tatizo moyo kuishinda ibirisi sometime huwa issue
@hawa49685 жыл бұрын
Kujitapua mtihani HAWAA ndio wale walioelezewa kwenye siratul - bakaraa - nyonyoo zao zimejaaa maradhii poleni sana ibilisi anachochea nafsi zenu huku mukiwa mumehafilika na duniaaaaa hamujuw kwamba mwisho WA majigaambo ni kudhalilika na kuharibikiwa huko twendako yuko wapi firaaa'anii basi tafakarini
@leylasaid26165 жыл бұрын
Sema wewe...sasa iftar na hodari na mapenzi wapi na wapi
@nohatredbutlove57865 жыл бұрын
Agreed
@ufalamtawacha64025 жыл бұрын
mohamed binfadhil who said so, so they Need to dress like Arabs and behave like Arabs for you to call it iftar!?.