RAIS SAMIA AWAJIBU WANAOTAKA KATIBA MPYA - "TUNAGEUZA WATU MAKASUKU, HATA HAWAIJUI HIYO KATIBA"

  Рет қаралды 6,147

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq Жыл бұрын
Hiyo iliyopo imezeeka na inawarinda ndiyomaana munaingangania
@mungunimwemakilawakati1299
@mungunimwemakilawakati1299 10 ай бұрын
MHE. RAIS JAKAYA KIKWETE ALISHAANZISHA MCHAKATO WA KATIBA MPYA 2012. ALIANZISHA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA, IKIONGOZWA NA MHE. JAJI WARIOBA NA WATANZANIA TULISHATOA MAONI YETU. TUNAOMBA YAHESHIMIWE, ITUMIKE KATIBA YA JAJI WARIOBA NA SIO KATIBA PENDEKEZWA!
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
FREEDOM OF SPEECH UNDER MAMA ❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿LAKINI MAMA KIDOGO FANYA MAGU STYLE WALE WAHUNI NDIO WATAKUELEWA VIZURI SANA
@kimweliRobert
@kimweliRobert Жыл бұрын
Nakubaliana na wote wanaosema wanaotaka tatiba mpya. Katiba mpya inaweza kuwa chombo cha kusawazisha utawala, kutoa majibu kwa changamoto zilizopo, na kuboresha uwajibikaji wa serikali.
@PeterMkwambo
@PeterMkwambo Жыл бұрын
Tuna wajibu wa kuhakikisha kwamba mchakato wa kutunga katiba mpya unafanyika kwa uwazi na ushirikishwaji wa kutosha wa wananchi. Hii ndiyo njia ya kujenga imani na kujenga taifa la umoja.
@PeterMkwambo
@PeterMkwambo Жыл бұрын
Nakubaliana na walio ungamkono katiba mpya. Katiba mpya itakuwa msingi wa kujenga taifa lenye utawala bora, haki, na maendeleo thabiti. Tunaitaji katiba mpya mapema.
@FranckDaniel-o2m
@FranckDaniel-o2m Жыл бұрын
Nimekuelewa Sana leo kuhusu katiba mm mwenyew hata siijui
@johntezz55
@johntezz55 11 ай бұрын
Makosa ni ya serikali. Katiba inafaa ifunzwe shuleni.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Ndugu zetu , waafrica wenzetu wamekumbwa na Janga Zito saaana , je Kuna Ujumbe wowote wa Serikali umeenda Ubalozi wa Morrocco kutoa Pole kwa Mfalme? Mfalme anaipenda saaana Tanzania na alishawahi kututembelea na Magufuli R.I.P alimuomba awajengee Bakwata Mskiti Makao makuu, Morrocco hawahitaji msaada ila wanahitaji salam na maombi ya Pole
@gasperandrew3719
@gasperandrew3719 Жыл бұрын
Umeongea point sana mama
@abdallaabdalla4416
@abdallaabdalla4416 9 ай бұрын
Katiba ni ya wasomi na wanasiasa wajanja shida yetu ni maisha bora haki na maendeleo sio kurasa za sheria zisizofuatwa piga mama yetu
@djteknixxkenya5152
@djteknixxkenya5152 Жыл бұрын
Huyu Mama anataka waTz waendelee kutumia katiba iliyotengenezwa na wazungu? 😂 Poleni ndugu zetu
@kimweliRobert
@kimweliRobert Жыл бұрын
Katiba mpya inaweza kusaidia kuboresha utawala, kuimarisha demokrasia, na kuleta mabadiliko ya kijamii ambayo yataleta maendeleo ya kudumu kwa kila raia.
@PeterMkwambo
@PeterMkwambo Жыл бұрын
Katiba mpya itasaidia kuboresha utawala, kuimarisha demokrasia, na kuleta mabadiliko ya kijamii ambayo yataleta maendeleo ya kudumu kwa kila raia.
@Jmedia_Tv
@Jmedia_Tv Жыл бұрын
Punguza mafuta tu na chakula sisi maisha yataendelea,hao wanasiasa waendelee na tamaa zao.
@PeterMkwambo
@PeterMkwambo Жыл бұрын
Ninaamini kabisa kuandika katiba mpya kwa haraka itakuwa kichocheo cha mabadiliko ya kihistoria kwa nchi yetu. Katiba mpya itakuwa dira yetu ya pamoja kuelekea utawala bora, haki, na usawa kwa kila mwananchi.
@kimweliRobert
@kimweliRobert Жыл бұрын
Katiba sio kijitabu tuu. Ndio mwongozo wa nchi. Tunafata msingi ya katiba na utawala bora.
@mujunkatikabakama9852
@mujunkatikabakama9852 Жыл бұрын
Mnataka kuingiza nchi kwenye shida kubwa, hakuna cha mchakato sisi tunakataa katiba hii ya kikoloni inayomfanya Rais mungu inayompa Rais nguvu ya kumilki ardhi yetu, inayompa Rais nguvu ya kutetea amtakaye bila kuzingatia sifa. Leo umemteua mkwe wako kuwa Waziri Tamisemi akasimamie uchaguzi ambao wewe utakuwa mgombea je uchaguzi utakuwa HURU na HAKI? Tunataka Katiba mpya inayojisimamia yenyewe sio hii inayomlinda Rais mpaka anaidharau unwezaje kuilinganisha na vitabu vinavyokinzana? Itoshe kusema umeidharau katiba na sisi tumekudharau. Katiba hii na udhaifu wake ndiyo iliyokufanya wewe kuwa Rais hukustahili ata kidogo lakini kwakuheshimu katiba umekuwa Rais leo unatuita makasuku? Umetudharau vya kutosha sasa tunataka Katba Mpya iyo ya miaka mitatu katengeneze ya chama chako. #KatibaMpyaNisasa
@mayhaji2359
@mayhaji2359 Жыл бұрын
Safi mama katiba ni ya wote ila wana siasa wanaona km yao peke yao
@kimweliRobert
@kimweliRobert Жыл бұрын
Katiba mpya ni fursa ya kipekee ya kurekebisha dosari zilizopo katika mfumo wetu wa utawala na kujenga nchi yenye haki na maendeleo kwa wote. Tunataka katiba mpya sasa.
@Freedom_fighters898
@Freedom_fighters898 Жыл бұрын
Yaani Rais wa Nchi anaongea utafikiri anapiga story na wanawake wenzake! Isingekuwa katiba wewe unafikiri ungekuwa kwenye nafasi hiyo? Umejiunga na majambazi wa nchi yetu hamna maalifa ya kuleta maendeleo kwa kutumia rasilimali zetu bali nikuziuza na kuzigawa❗️ kiwango chako cha kufikiria ni kigogo sana na huna tabia ya kusoma unawaambia fanyeni tu na wale kwa kamba za ulefu wao 😢
@emmykundy4273
@emmykundy4273 Жыл бұрын
Hapa ni chenga tu. Kuelimisha raia kuijua katiba ifanyike shuleni… na kwa raia anayetaka kuijua na akaisome. Kuijua katiba kwa kila mtu ni ndoto sawa na kusema raia wote wawe sawa… Kuijua katiba kwa raia wote hata miaka 100 haiwezekani.
@kimweliRobert
@kimweliRobert Жыл бұрын
Kupate katiba mpya mapema, kutaleta mabadiliko mazuri, kuboresha utawala, na kujenga mustakabali mzuri kwa nchi yetu. Tunapaswa kuwa na azma na kujitolea kwa dhati.
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 Жыл бұрын
Uko vzr mama but jitahidi suala la mafuta tu ndo utakuwa umeipiga mwingi 100%
@PeterMkwambo
@PeterMkwambo Жыл бұрын
Katiba mpya inaitajika sasa.
@PeterMkwambo
@PeterMkwambo Жыл бұрын
Ninaamini kabisa kwamba katiba mpya itakuwa msingi imara wa mageuzi katika nchi yetu. Itaweka kanuni za kuheshimu haki za binadamu na kuhakikisha uwajibikaji wa viongozi wetu.
@annaniasbyarugaba5788
@annaniasbyarugaba5788 Жыл бұрын
Mwamakula anaona Kama mama anampotezea muda tu
@BrianMola-xz3dk
@BrianMola-xz3dk Жыл бұрын
Dah mama wa mchongo
@kimweliRobert
@kimweliRobert Жыл бұрын
Viongozi wa sasa wanakumbatia katiba ya sasa kwakuwa hai wawajibishi wakifanya makosa. Inawapa madaraka makubwa mno.
@mussaelisha3733
@mussaelisha3733 Жыл бұрын
SijaelewA mimi
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 Жыл бұрын
Katiba ya sasa inawapa jeuri,we need changes msitufanye wajinga,hatutaki janja janja.
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Жыл бұрын
Kifungu kipi hicho ama wewe ni wale wakusikiliza politicians
@mwana4599
@mwana4599 Жыл бұрын
Mawazo yalikwushakusanywa tuna taks Katiba.
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Жыл бұрын
@@mwana4599 nakuuliza wewe kipi unataka kibadilishwe si mawazo yako yalishachukuliwa kama unavyoeleza ama ni bendera hufuata upepo
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Tunataka Katiba Mpya ili msiwe na madaraka mnayojilimbikizia .Msitudanganye jamani sio kila nchi lazima wananchi wajue kila kilichopo ata kutuzungusha vichwa
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Mzee Warioba bora ushike tama huyu Raisi fundi wa kuongea ndio maana anapiga maneno. Hasira imenijaa nchi ya longolongo
@makamemussa6482
@makamemussa6482 Жыл бұрын
ITACHUKUWA MIAKA 300 ILI WATANZANIA WOTE WAJUWE KUSOMA KATIBA NA BADO KUNA WENGINE HAWATA IJUWA
@milkabelias448
@milkabelias448 Жыл бұрын
Kwa hiyo tusubili haya wanaozaliwa leo ili wake wafundishwe katba ndo itengenezwe huu Ni ubwanyenye
@CharlesyMbala-mj7rs
@CharlesyMbala-mj7rs Жыл бұрын
Usikatae wewe tuache tukutengenezee huo ndoo utakaoku mkataba wetu na wewe hutauza Tena ngolongolo
@jamesrichard1084
@jamesrichard1084 Жыл бұрын
Kiukweli binafsi naona katiba mpya itatengenezwa pale dunia itakapoisha au nchi ikiwa aina viongozi maana kila kiongozi anaeingia madalakani ataki hili gunia la misumari alibebe yeye so kazi hipo #:Raisi akitoka madarakani kama alikosea ashitakiwe 😂😂 Nani anakubali
@mwana4599
@mwana4599 Жыл бұрын
Tulikuwa ya azma mchakatonuendelee.
@ramadhaniddi1104
@ramadhaniddi1104 Жыл бұрын
Ajawai kutokea rais anayefikilia uchaguzi ujao pindi akiwa madarakani akafanya Mazur ya kuwanufaisha wananchi wa chini sanasana ataingia mikataba ya kijinga na mabepari kwa ahadi ya kusaidiwa kushinda chaguzi
@SaidiKitange-us2ej
@SaidiKitange-us2ej Жыл бұрын
LEO NIMEKUELEWA NAOMBA VYOMBO VYOTE VYA HABARI VITUMIE MWEZI MMOJA HADI MIWILI TUJIKOMBOE MAISHA YETU TUJITAMBUE JAMANI.
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 12 МЛН
Муж внезапно вернулся домой @Oscar_elteacher
00:43
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
WASAFI MEDIA YATANGAZA OFA YA MATANGAZAO KWA WAFANYABIASHARA
8:21
Dato Ingat Dato Malaikat Ke, Padu Ayob Khan SOUND Golongan Atasan
16:45
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 12 МЛН