MAKONDA AKATAA MAELEZO YA WAZIRI UMMY KWENYE SIMU "MIMI HUO UTARATIBU SIUJUI, NATAKA X RAY CHATO"

  Рет қаралды 154,403

Wasafi Media

Wasafi Media

8 ай бұрын

MAKONDA AKATAA MAELEZO YA WAZIRI UMMY KWENYE SIMU "MIMI HUO UTARATIBU SIUJUI, NATAKA X RAY CHATO"
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 224
@user-dr8uj9gt7f
@user-dr8uj9gt7f 8 ай бұрын
Jamaa washa juaga wanaongoza maiti zinazo tembea wanabadili sizoni tu Shikamooo Tanzania
@JosephMilinga-nl4zh
@JosephMilinga-nl4zh 8 ай бұрын
Nikikukamata nitakupiga😂😂
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 8 ай бұрын
Mungu akubaliki makonda wengi watakuchukia lakini Mungu akuinue sana
@eliudkapinga9799
@eliudkapinga9799 8 ай бұрын
Mnashangilia mtu anavunja sheria za kiuongozi na kiutawala akimaliza hilo atafamya LA kuwaumiza
@sebastiankatalle2732
@sebastiankatalle2732 8 ай бұрын
Nashukuru sana mungu kunipa elimu najielewa sana
@ludovickanthony3156
@ludovickanthony3156 8 ай бұрын
Mungu amrehemu magu, pacha wakekaridi big up Mh, Makonda uko vizuri
@ezraochora8495
@ezraochora8495 8 ай бұрын
Makonda.hayo.maswali.yanaulizwa.bungeni.kilasiku.na.majibu.nihayohayo.makonda.acha.sanaa
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 8 ай бұрын
Makonda ww nijembe la magufuri 🙏🙏🙏🙏😭😭
@angelambondelo2836
@angelambondelo2836 8 ай бұрын
Izo ni vampeni nyinyi wwanajuwana wote hao
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 8 ай бұрын
@@angelambondelo2836 mtazamo unaweza ukawa uko sahihi tunacho angalia watu wanatatuliwa kazi zao kama wanatatuliwa hakuna shaka
@gulalakitinya7615
@gulalakitinya7615 8 ай бұрын
Sanaa za huyu mwehu pamoja na ccm itawamaliza watanzania.
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 8 ай бұрын
Fikra mbovu
@hamishassan6784
@hamishassan6784 8 ай бұрын
Nampenda sana Mama samia na timu yake kuthamini mchango wako katika Taifa hili na kukuamini tena Hakika watanzania wengi Tunaimaninawe sana tena sana, Madhaifu kwa mwanadamu huwa hayakosekani lakini sio ya kukudhofisha dhamira njema mtu alo nayo huwa nakuombea sana Makonda kabla Sasa na hata Baadae. Mungu akuongoze
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 8 ай бұрын
Mwenye macho haambiwi tizama. Hapa kuna jambo limejificha.
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 8 ай бұрын
Halituhusu hilo jambo
@dikakimishawasumbwahalisit7596
@dikakimishawasumbwahalisit7596 8 ай бұрын
​@@stellamsokwa67852025 utaelewa inakuhusu au la hakuna kitu ninachokichukia katika Manisha yangu kama siasa utapeli wa akili yaani mtu anasomea kuchezea akili za watu
@FrankKashamakula-xb1pc
@FrankKashamakula-xb1pc 8 ай бұрын
JAMAA WAJANJA SANA WANAJUA KUTAFUTA KURA ZA WAPUMBAVU 😂
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 8 ай бұрын
Fikra mbovu
@angelambondelo2836
@angelambondelo2836 8 ай бұрын
Kabisa unachoongea
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 8 ай бұрын
saaaaaana
@yakoboilomo5566
@yakoboilomo5566 8 ай бұрын
Kweli kabisa wanacheza na akili za wajinga wengi
@yohanakananika3586
@yohanakananika3586 8 ай бұрын
Saaana
@goodluckswai7496
@goodluckswai7496 8 ай бұрын
Hiyo ni sanaa ya siasa akuna jipya
@Muda27
@Muda27 8 ай бұрын
Unatakaje bro ?
@Jitu_Lisilofikirika.
@Jitu_Lisilofikirika. 5 ай бұрын
Maigizo hayo
@charlesmanga7362
@charlesmanga7362 8 ай бұрын
Hongera sana kk.........
@ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl
@ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl 8 ай бұрын
Uko vizuri kaka kama magu vile
@justinpeter5172
@justinpeter5172 8 ай бұрын
Mweneziiiiiiii
@user-cp9nd6de7b
@user-cp9nd6de7b 8 ай бұрын
Mungu akulinde baba wa taifa magu wa pili
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 5 ай бұрын
Kumbe umeona eeeeh
@user-lr4pj1hr8h
@user-lr4pj1hr8h 8 ай бұрын
Good performance makonda under Samia SULUU
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 8 ай бұрын
Ze Jembe at Work🎉🎉
@judyngowi391
@judyngowi391 8 ай бұрын
Yetu macho, nisijenikaongea hapa sina hela ya kumlipa wakili
@user-ur6eu8eb9w
@user-ur6eu8eb9w 8 ай бұрын
Hakika wenye Akili tunajua kinachoendelea
@johngibson3089
@johngibson3089 8 ай бұрын
Nakubaliana nanyi. Lakini huyu mtu ni katibu mkuu au ndio uenezi wenyewe?
@judyngowi391
@judyngowi391 8 ай бұрын
Ndio anaeneza hapo
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 8 ай бұрын
@@johngibson3089 Hahahaha,,,,hakuna uenezi kama huo
@fikiriniabiyudi3552
@fikiriniabiyudi3552 8 ай бұрын
Fumbo mfumbie mjinga. Haya ni maigizo na trick ya kutafuta kura wanamtumia huyo. Wameshapangana hakuna lolote
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 8 ай бұрын
Macho yako yanaona mbali
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 8 ай бұрын
Wana akili sana viini macho hivi wakishapata kura tutafurahi na roho zetu
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 8 ай бұрын
Na washangaa hawa wapuuz wanaomsifia huyu jamaa 😢
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 8 ай бұрын
Bajeti ilishapita 😂watawadanganya maboya amna kitu
@joezeno8
@joezeno8 8 ай бұрын
@@ibrahimkibira9943Makonda ni Jembe
@justinbosco8151
@justinbosco8151 8 ай бұрын
Hingera sana kwa kazi zuli unayo fanya makoda tunakuomba kingoma viongozi hujifanya miungu watu umbanguzi wa wanaichi wa kingoma kuonekana silaia niuongozi tunaomba uje utuulizie viongozi wetu sisi wanaichi wa kigoma tunazabingani kuambiwa naviongozi sisi siraia
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 8 ай бұрын
Makonda kweli kama siyo mnatuegitia kazi nzuri
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 8 ай бұрын
Godbless tzd
@AminielMbise-cl3fq
@AminielMbise-cl3fq 8 ай бұрын
Mheshimiwa Makonda ni mzuri lakini ajitahidi kuwa na lugha nzuri ya kiongozi. Apelekwe chuo cha uongozi ili afanye vizuri zaidi.
@grobwairo791
@grobwairo791 8 ай бұрын
Anaropoka Sana Hana break kwa wenzie😂
@aminamkumba3549
@aminamkumba3549 8 ай бұрын
Mr misifa, Hongera lakini
@eliyanorobeth8567
@eliyanorobeth8567 8 ай бұрын
Hiii move nimeipenda
@vamitv873
@vamitv873 8 ай бұрын
Tanzania tunawajinga wengi sana sasa mnashangilia Nini.?
@flova7022
@flova7022 8 ай бұрын
Wapumbavu wengiiii xn
@abasmwika3432
@abasmwika3432 8 ай бұрын
Nchi hii Mungu atuhurumie tu maana kuna viazi wakutosha
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 8 ай бұрын
Ukiwemo wewe mjinga kwani we mzimbambwe😏,tofauti yetu ni sisi tumeshangalia we hujashangilia, 😏utafikili ukipewa nchi utaweza basi kuendesha kama unavyokosoa wengine 😏
@user-nl1zd4zp8z
@user-nl1zd4zp8z 8 ай бұрын
Wabongo mnachekesha yan waziri anaongeleshwa km mtoto utadhani makonda n raisi
@leahngerageza
@leahngerageza 8 ай бұрын
Hii inadhalilisha. Sio sahihi!
@magwinahimself7316
@magwinahimself7316 8 ай бұрын
Unajua kazi ya mwenezi Waziri yupo chama gani? Kadhalilishwa kuuliziwa X Ray wabongo wengi akili kisoda
@seahnchimani4711
@seahnchimani4711 8 ай бұрын
Makonda ni boss wa mawaziri wote mzee acha kukariri eti kadhalilishwa waziri anatoka na chama tawala ambacho ni ccm huyu ni mwenezi na yule ni waziri alietokana na chama hata sasa hivi chama kikimkataa hawezi kuwa mbunge wala waziri
@RichardMluma-oe2vs
@RichardMluma-oe2vs 7 ай бұрын
Atawavuga sana makonda
@fidemgonja1966
@fidemgonja1966 8 ай бұрын
Tumetenga tutatenga tutafanya fakofi tafadhali 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@mashakalonka7767
@mashakalonka7767 8 ай бұрын
Makonda congratulations 👏👏 to you,Chama kinahitaji wasemaji wa aina yako,wanaoweza kusimamia na kumhoji mtoto wao(serikali)na kukumbushwa majukumu yake,bravo bravo Makonda, Kwa mbaali ni kama namwona JPM ndani yako Paul Makonda!.
@noelahmartine6625
@noelahmartine6625 8 ай бұрын
Daaaah😭😭
@ochubrand
@ochubrand 8 ай бұрын
Makondaaa anamsafisha mama😂😂😂 Ccm Akili Nyingi Sana Aya Ngoja Tuone
@ericksonmuhulo1570
@ericksonmuhulo1570 8 ай бұрын
😂😂😂 watu wangekuwa wanajua daaah
@oyay2821
@oyay2821 8 ай бұрын
Yatakuja warudia hivi punde
@sponsor7882
@sponsor7882 8 ай бұрын
true
@nancymakenya917
@nancymakenya917 7 ай бұрын
Makonda sina cha kukula ila na wewe kama sio siasa basi big up
@rashidyusuph2645
@rashidyusuph2645 8 ай бұрын
Kama kuna aina fulani ya maigizo hivi m/mungu tusimamie iwe kweli inshallah 😅
@user-xf1rp6jd4x
@user-xf1rp6jd4x 8 ай бұрын
Chama cha Maig au basi😂😂😂
@chibudenga8977
@chibudenga8977 8 ай бұрын
Bongo movie 😂😂
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 8 ай бұрын
Tuwe na Imani tuone kwa hayo walioyasema tuwape muda kama hawajafanya tutakutana kwenye Box lakini tuwape muda na tusikejeli tuwe na Imani kama wanavyoahidi watafanya chini ya Serikali ya Mama na Chama Tawala ila waache wizi tu kwa kweli inakatisha tamaa kwa wizi
@jahhloveyou4462
@jahhloveyou4462 8 ай бұрын
Kauli hapa ilikuwa ya chini na kiurafiki kwa maswali yake -Umy safi
@iamdjgunz1414
@iamdjgunz1414 8 ай бұрын
Whaaat a comeback mamaeh🙌😂😂😂.. Hapa badooo
@flova7022
@flova7022 8 ай бұрын
Mngefanya hayo kupunguza gharama ya bidhaa mngekuaa safi
@davidmakundi531
@davidmakundi531 8 ай бұрын
Hapo katibu mkuu angekua Pole Pole hii combination ingekua nomà sana
@joachimlorri2484
@joachimlorri2484 8 ай бұрын
😮😮
@ngoshawaboma6180
@ngoshawaboma6180 8 ай бұрын
maigizo tu ayooo uhalisia amnaa apooi
@MCD_Tv_ce7ig
@MCD_Tv_ce7ig 8 ай бұрын
Gd
@martinjosephat4694
@martinjosephat4694 8 ай бұрын
Nampenda anavo jamn
@zanzibarkwanzaola2862
@zanzibarkwanzaola2862 8 ай бұрын
Separation of power
@khadijashaban3218
@khadijashaban3218 8 ай бұрын
mmmh
@julianmsele3880
@julianmsele3880 8 ай бұрын
hii nchi ndo inataka watu watu wa aina hii watu wawajibishwe laivu
@josephdogani3419
@josephdogani3419 8 ай бұрын
Hembu ndg jaribu kidogo kutumia akili yabkuzaliwa,makonda no katibu mwenezi,mamlKa ya kuwapigia simi mawaziri na watendaji wa wizara kayapata wapi? Je hayo ncio majukumu ya mwenezi? Unawezaje kumwajibisha kumpa maelekezo mtu ambaye hikumteua na kimpA majukumu? Maelekezo ya chama yanatolewa mabarabarani ? Inamaana hayo maelekezo salina umi hawayajui ila mskonda anayajua kwa hiyo hawa watendaji wa serikali baada ya mskonda kuchzguliwa inabidi sasa waache maelekezo ya zamani wafuate maelekezo mspya? HV huh upumbzv utaendeleabmpaka lin? HV hawa watu wataendelea kutuona hamnazo mpaks lini
@Werema3760
@Werema3760 8 ай бұрын
Maigizo. Time will tell. Mungu yupo kazini. Makonda ni mzuri lakin kawa chambo tu chin ya misingi mibovu
@williamsunday-yg2bz
@williamsunday-yg2bz 8 ай бұрын
Mwenezi.....😂😂😂
@flova7022
@flova7022 8 ай бұрын
Dar to Lagos by Steve kanumba director mtitu😂😂😂😂😂
@erickjastine1439
@erickjastine1439 8 ай бұрын
Few will understand you 😅
@billgussy6099
@billgussy6099 8 ай бұрын
Kwa jinsi makonda anavyo dhalilisha mawaziri ni wazi wananchi wanapata ujumbe kuwa serikali ya mama Samia ni ya mafisadi na wapiga dili nadhani hii ni faida kubwa kwa wapinzani kuekea 2025. Upinzani unapaswa kufurahi maana jamaa anafanya kazi yao ya kuivua serikali nguo tena kwa ufanisi mkubwa.
@mwl.frankmadembo7472
@mwl.frankmadembo7472 8 ай бұрын
Muda utasema
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 8 ай бұрын
Exactly!!
@user-gu7pb3ko7k
@user-gu7pb3ko7k 8 ай бұрын
Watumishi walikuwa wamejisahau heshima iliyokuwa imeachwa na mheshimiwa jonh ilitoweka ilejeshe maskini nae asaminike
@pendaelmollel1847
@pendaelmollel1847 8 ай бұрын
Siasa ni mchezo mchafu sana. Kama hujitambui unaweza ukaingia mkenge mzima mzima
@ngamanyajoshua839
@ngamanyajoshua839 8 ай бұрын
Ukute ile nchi ya Cuba ina Mawaziri wakuu 3 halafu wananchi wake hawajui
@antonychristian1369
@antonychristian1369 8 ай бұрын
Yaani kiongozi wa chama anamuamuru kiongozi wa serikari. Hakuna mipaka Kati ya chama na serikari
@rucaserasto8154
@rucaserasto8154 8 ай бұрын
mutawadangaya makanjanja mana tushazoea maneno yenu
@ObeckSimkwai-gh2rn
@ObeckSimkwai-gh2rn 8 ай бұрын
Makonda na Ummy ni watani sana hahahaha
@jumamathias8903
@jumamathias8903 8 ай бұрын
Uchaguzi umekaribia aisee ..
@octavianbujiku7853
@octavianbujiku7853 8 ай бұрын
Mh,makonda MUNGU akubariki na akujarie afya njema hakika umeongeza chachu ktk chama chetu CCM. Ubarikiwe sana wewe na aliye thubutu kukupa nafasihii ana upeo mkubwa saaaaana.mungu apewesifa.
@AminielMbise-cl3fq
@AminielMbise-cl3fq 8 ай бұрын
Kwa namna hii taifa litakosa muelekeo. Viongozi wastaafu wapewe heshima zao
@zanzibarkwanzaola2862
@zanzibarkwanzaola2862 8 ай бұрын
Symbol natioal constitution Judiciary Palime Legislture
@issamangapi5486
@issamangapi5486 8 ай бұрын
Ummy Wewe umeweza 😂
@mausonmlondwa1745
@mausonmlondwa1745 8 ай бұрын
Hapo unaona kabisa odds ya 20 inatick alo kasoma quba ataelewa nini namaanisha
@zanzibarkwanzaola2862
@zanzibarkwanzaola2862 8 ай бұрын
Haiwezekani waziri kuhoji ovyo Palement ndo lenye haki lakujadili matatizo
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 7 ай бұрын
Inaonesha kabisa ni usanii. Mnatuona watanzania mabwege Fulani!
@fahadkhamis1562
@fahadkhamis1562 8 ай бұрын
Magufuli kazaliwa tena ❤
@Satier47
@Satier47 8 ай бұрын
😮😊 kura hizo
@nesielias9493
@nesielias9493 8 ай бұрын
😏😏😏
@martinlema7328
@martinlema7328 8 ай бұрын
Si vibaya kujifunza, JITAHIDI UONGEZE ELIMU YA HEKIMA.
@Paplick9
@Paplick9 8 ай бұрын
Wanafki hawaishi duniani
@user-ue6pq8zl3s
@user-ue6pq8zl3s 8 ай бұрын
Sasa nyinyi mnataka nn ? Mtu akitekeleza majukumu yake mnamponda mnasema ataka sifa sasa hizi changamoto nendeni nyinyi bas mkatatuwe , wapuuzi kabisa, mwacheni achangamshe taifa banaaa.
@veronicabwamukuru1265
@veronicabwamukuru1265 8 ай бұрын
Tena hatujitambui kabisa tumezoea mwenye nacho tumsujudie, dar ilikua safi enzi zake nenda Sasa ivi utafikiri mji mzima ni dampo la taka taka.
@zanzibarkwanzaola2862
@zanzibarkwanzaola2862 8 ай бұрын
Sina digirii wala diplama lakini najua nguvu za katiba na bunge Siokiongozi wa siasa
@user-ec8xm5vb1r
@user-ec8xm5vb1r 8 ай бұрын
Makonda umekuja naupepo wa sunami Mimi mpizani lkn ww nijembe kuliko maelezo
@zanzibarkwanzaola2862
@zanzibarkwanzaola2862 8 ай бұрын
Police kuhojiwa nikiongozi wa chama si sheria
@user-mz9vk3qi8k
@user-mz9vk3qi8k 8 ай бұрын
Huyu mwamba siku akija kuwa Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania hii nchi ita pelekwa mchaka mchaka
@dostovan5142
@dostovan5142 8 ай бұрын
Bongo movies party 1,spelling zimekosewa makusudi kusistiza uhalisia
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 8 ай бұрын
Siasa ni utapeli wa hali ya juu😂😂😂
@francissgodlove
@francissgodlove 8 ай бұрын
Comedy tym
@selemankishema5780
@selemankishema5780 8 ай бұрын
Mtanyooka safari hii😂😂😂😂
@mirajintandu9787
@mirajintandu9787 8 ай бұрын
Huu ujinga utaisha lini? Wtz tunapumbazwa sana kila kukicha.. watu wanajuana alafu wanajifanya kupigiana cm
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 8 ай бұрын
NAONA SASAHIV RAIA MPO UPANDE WA BASHITE....SAW BHN
@erickmuli1030
@erickmuli1030 8 ай бұрын
Hii ndiyo bongo eakipiga na wew piga hakuna cha kusubir hiz zote n jot na mpoki.
@zanzibarkwanzaola2862
@zanzibarkwanzaola2862 8 ай бұрын
Kwanza chombo cha dola kiachiwe na mkondowake
@AbelMwanshinga
@AbelMwanshinga 8 ай бұрын
Bongo movie mliosomea acheni kutufanya watanzania mazuzu
@jtheophil5499
@jtheophil5499 8 ай бұрын
Tatizo ukiritimba
@nancylaizer9281
@nancylaizer9281 8 ай бұрын
Ila kiukweli nilikuwa nampenda polepole hatari
@kajentanmjeuri104
@kajentanmjeuri104 8 ай бұрын
Tuliolipiwa ada na wazazi wetu tukae wapi.
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 8 ай бұрын
Vina mda basi😂😂😂😂😂 makonda anataka kumtawala kila mt2😅😅😅😅
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 8 ай бұрын
Ulitaka afanyaje
@alexanderdustan8872
@alexanderdustan8872 8 ай бұрын
Akili za watu bhana
@sefuehango5231
@sefuehango5231 8 ай бұрын
Ndiyo kazi aliyopewa mbona hawapingi?
@mauleenkiwia6022
@mauleenkiwia6022 8 ай бұрын
Siku zote sikuwahi kujua kazi ya katibu nwenezi WA chama kumbe kazi yake ndio hii basi hapo Iko kazi duh
@adammtimali4071
@adammtimali4071 8 ай бұрын
Nadhani ni maelekezo ya kutuhadaa inawezekanaje Katibu mwenezi amkoromee waziri hapana
@user-ug3lu2km4c
@user-ug3lu2km4c 8 ай бұрын
Naomba kuuliza cheo chake kikubwa kupita mawazir hao?
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Ай бұрын
huyu akijaga kuwa President atakuwa hataki mchezo..Magufuli paste
@AOUADSOL
@AOUADSOL 8 ай бұрын
Kumbe chama kina nguvu hivi😅😅
@suleimansuleiman2436
@suleimansuleiman2436 8 ай бұрын
Yaleyale
@zanzibarkwanzaola2862
@zanzibarkwanzaola2862 8 ай бұрын
Makonda nikama nani ataawahoji wanadiplomasia waliobobea
@samwa9496
@samwa9496 8 ай бұрын
Mmmh pesa ingekuwa rahisi ivyo tungekuwa mbali
@RichardMluma-oe2vs
@RichardMluma-oe2vs 7 ай бұрын
Hajelewi
@babalad983
@babalad983 8 ай бұрын
Uchama mapaka maauzi 🤣🤣🤣🤣
@sponsor7882
@sponsor7882 8 ай бұрын
watanzania mnachezewa akili tu
@user-dw1um8rc2w
@user-dw1um8rc2w 8 ай бұрын
Kwann Rais amekuchaguwa
@daisythetech
@daisythetech 8 ай бұрын
Hahahahha jamaa anamuamdalia njia mama Samia 2025 asipate shida kwenye chaguzi.....hii ni mioango ya ccm kumuweka na kumpa cheo kikubwa chaman mtu kama makonda
@Clement-px8eg
@Clement-px8eg 8 ай бұрын
Sasa huyu ni waziri mkuu au ?
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 9 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 70 МЛН
KUNA UNAFIKI MWINGI KWA WASANII | BAADA YA MHE. MAKONDA KUTEULIWA
4:08
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 379 М.
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН