UKWELI KUHUSU ALIYEKUTWA AMEFARIKI BAADA YA 'KUDAIWA KUKAMATWA' NA POLISI - "HAWAKUWA POLISI"

  Рет қаралды 20,720

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 161
@audifacejosephat7071
@audifacejosephat7071 Ай бұрын
Huyu kamanda maelezo yake yanachanganya sasa huyo askari hawajui askari wenzake msituone watoto
@bagaileshabani3179
@bagaileshabani3179 Ай бұрын
Kamanda Kwa maelezo yako tu , maelezo yako yanaitaji uchunguzi pia
@arnoldlusambo3921
@arnoldlusambo3921 Ай бұрын
😂😂😂
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
Kwanza HAELEWEKI NI KAMA MSELA WA KIJIWENI TU😢
@AmandablancaavitMassawe
@AmandablancaavitMassawe Ай бұрын
@@bagaileshabani3179 alafu indirect anamtishia mwandishi..
@lailafakhihaji
@lailafakhihaji Ай бұрын
Nyie polisi mnatukatisha tamaa huyo rafiki yake ambae ni polisi alipo shuka kone hilo gari alichikua hatua gani hao watu hawezi kuwatambua afande tuweke wazi
@adamkulwa7194
@adamkulwa7194 Ай бұрын
Duh ko police kashuka kwenye gari kamuacha raia katekwa na watu ambao yeye mwenyewe amefaham sio police na hakufuatilia raia huyo alikuwa anapelekwa wap? Mwisho raia kafa. Mmmmmmmmh
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u Ай бұрын
@@adamkulwa7194 Ndugu police hapo anajua kabisa Sema ndiyo maneno yao kusema watu wasiojulikana. Hivi anakujaje raia kavaa sare za police nakujitambulixha kuwa yeye ni police???. Sijui tujifiche wapi wallah
@jamaldaud-e4d
@jamaldaud-e4d Ай бұрын
Acheni kutishia waandishi mnataka mkiua watu taarifa zisitolewe Hilo lipo wazi kabisa na tunafaham Yani endeleeni tu kutetea uovu ipo siku MWENYEZI MUNGU atawalipeni damu ya mtu haitowaacha salama
@salwamohammed4787
@salwamohammed4787 Ай бұрын
Nyie kataeni tu kwa mungu mutakwenda kataa hivohivo😢😢😢
@BarnetLaston
@BarnetLaston Ай бұрын
Dah kwahio huyo police aliposhushwa hakufuatilia tena? Nilidhani yeye angeenda kuripoti tukio achukue askari wenzie wafuatilie, kama alishagundua sio police na yy ni askari si angekuwa msaada sana,kwa hio hata namba ya gari huyo askari hauweza kuisoma duh,so pathetic aisee
@AmandablancaavitMassawe
@AmandablancaavitMassawe Ай бұрын
Huyu babu anajichanganya.. Police huyooo aliyekua ndio alikua anawapa mchoro watekaji
@BenosLaban
@BenosLaban Ай бұрын
Sasa Kamanda kama huyo afande aliye shushwa alishindwa nini kupiga cm kituoni na kuanza kulifatilia hilo Gari kama alibahatika kushusha?
@charlesseba2000
@charlesseba2000 Ай бұрын
Acheni uongo, kama huyo Polisi ahusiki baada ya kushuka alichukua hatua gani, na Hilo tukio aliona ni la kawaida. Acha kutisha waandishi wa habari na kufanya unao wahutubia ni kama upo radio Tanzania. Hilo jambo polisi wanalo la kujibu
@HappyElias-t9f
@HappyElias-t9f Ай бұрын
Hii inaonyesha jeshi linahusika tangu matukio yameanza kutokea halitoi ushirikiano wa kutosha Kwa wananchi ikiwemo elimu ya kutosha 😏
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Ай бұрын
NA NYIE POLISI WATU WANAJITAMBULISHA KUWA NI ASKARI SASA KWANN MNACHAFULIWA BILA KUCHUKUA HATUA ZA HAO WAHALIFU. C WANASEMA WAO NI POLISI SASA UNABISHA NN? KEMEA HAO WANAOSEMA SISI NI ASKARI NDY WANAWAKAMATA WATU.
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 Ай бұрын
Waliomteka yule mzee wa tanga mwanajeshi mstaafu. Je walikuwa ni polisi ? Na gari lao halikuwa na namba plate...tanzania sheria hairuhusu kutembeza gari bila namba plate je hayo magari mawili yaliomteka huyo mzee yalipita angani hadi kublok.bus alilokuwa ndani huyo mzee... ANGALIENI JAMANI ASKARI WETU MNAOTULINDA MJUE BAADA YA UPOLISI KUNA MAISHA TENA JAMANI PIA KUNA MUNGU PIA
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Ай бұрын
Toeni tamko kwamba kwanzia sasa tukikamatwa tusikubali mpk rpc uje
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Ай бұрын
Afande ifikie wakati jeshi la polisi lijue watanzania wa Sasa wanajitambua hawatishi na kuburuzwa tu hovyo hovyo.. Mtu anakamatwa na watu waliojitambulisha ni polisi na askali mwingine anaambatana nao Kisha askali anashushwa njiani na wala asijue namba hata za Gari? Kisha unashika kipaza nakutisha waandishi kweli? Inasikitisha Sana...
@salyali7807
@salyali7807 Ай бұрын
@@rexgodwill7353 wacha ya hivyo jamaa zake walipopiga simu polisi wamesema kama tunae tutamruhusu baadae kidogo .. wanathibitisha vipi madufu askari laanatullah
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Ай бұрын
@@salyali7807 😢😢
@francismlembwa2733
@francismlembwa2733 Ай бұрын
Ndiyo maana tunasema na tunaomba serikali na vyombo vyake ili kuja kumkamata MTU anzieni serikali ya Mtaa pia inyesheni vitambulishovyenu vinginevyo mtapa lawama na WANANCHI awatawapenda Bali mtazidi kuwa maadui na raia acheni ubavu tumieni Busara, Sasa mnaona kila Jambo la mauaji mnatuumiwa police,
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 Ай бұрын
Nadhani wananchi tujifunze kareti
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
😂😂😂 bora
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Umenene la maana
@JokhaJokhaabla
@JokhaJokhaabla Ай бұрын
😂😂😂😂
@JUDITHMGAYA
@JUDITHMGAYA Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Ай бұрын
Mi hapa nipo mazoezini
@HezroniJonh
@HezroniJonh Ай бұрын
Huyo police inaonekana ndiyo aliyewapigia simu walikuwa pamoja kama kufungulia kesi mfungulieni huyo police kesi inamuhusu
@SamwelSadock
@SamwelSadock Ай бұрын
Askali alitakiwa asaidie kwa kutoa tarifa kituoni kama mtu ametekwa harafu ananyamanza duuui
@IvetaSteven-b9z
@IvetaSteven-b9z Ай бұрын
WATU WALIJITAMBULISHA KAMA POLISI SASA YEYE ATAANDIKAJE
@unuc4100
@unuc4100 Ай бұрын
Utata ni uyo askari kushuka na kama alihisi sio polisi kwanini akubali iyo jamaa kuondoka?
@JokhaJokhaabla
@JokhaJokhaabla Ай бұрын
Kwa nn sasa huyo police akamuacha mwananchi peke yake wakati alikua na wasiwaai nao
@donizzo9570
@donizzo9570 Ай бұрын
Huyo muwakilishi wenu kwanini hakutoa taharifa ili ninyi mfuatilie usiku huo huo
@Anton-t5c2w
@Anton-t5c2w Ай бұрын
Mnajichanganya hakuna kitu hapo kwa mwenye d2 hataamini hayo
@Alphonce223
@Alphonce223 Ай бұрын
Sasa kwanini uyo police aliye pandanae kwenye gari wa kati yeye nipolice kwanini akuwaoji au kwa nini akwenda nao maana police lazima awajuwetu kuwa nipolice au siyo police. Hapo mmetufumba macho maana kumbe alikuwepo police kabisa alafu mtu kapelekwa mpaka kuu wawa
@salyali7807
@salyali7807 Ай бұрын
Anafanya kazi zanzibar ... hajui hata kusema kizanzibari ... 😢 ... yajayo neema tupu
@JokhaJokhaabla
@JokhaJokhaabla Ай бұрын
A nafanya kazi tu ila haoneshi kama ni mzanzibar ni mbongo huyu hhaha
@JAMBOBoy-v3k
@JAMBOBoy-v3k Ай бұрын
DAAAH HUYO POLIS KWANN ASINGEMSAIDIA HUYO MZEE JAMAN DAAAH😢😢😢😢
@kimaroamon9008
@kimaroamon9008 Ай бұрын
Sasawewe unasema alikuwa Polish wakoalienda nayekwanini hakutoa msaada kuripoti Polis mbadalakaomba ashushwe alishidwanini kuchukua no zagari skuripoti kamWewe siyomuongo
@JeremiahRichard-c6x
@JeremiahRichard-c6x Ай бұрын
Nchi hii Kuna tatzo kubwa tupambane wote yamefka zanziba
@MASAFAJISINZA-rc9dg
@MASAFAJISINZA-rc9dg Ай бұрын
Afande hujui Kila kitu walio muua mwizi unawataja, lakin walio huska kifo cha msamalia kumvamia akiwa na Mali yake halali Ila akafanyiwa uonevu tuu, afande hao ndio walikua watu wakutaja majina
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u Ай бұрын
Hawa kuwa police sare za police wanatoa wapi??
@JokhaJokhaabla
@JokhaJokhaabla Ай бұрын
Halafu cha kushangaza alitajiwa kitu wanachompeleka lkn akaona kabisa wanapitishwa hakua na wasiwasi? Au aliua kama sio police ameogopa?
@estermuda5214
@estermuda5214 Ай бұрын
Mh hakuna raia mwenye uniforms za police na gari la police, mnaficha nn?
@AbdulhaamisSoud
@AbdulhaamisSoud Ай бұрын
Sina Imani na ILO jeshi milele
@hawaa341
@hawaa341 Ай бұрын
Huyo asikari agewaambia huyu haondoki bila kitabulisho cha polisi na kama mnabisha napinga simu pilsi waje wawakate wagekibia
@BNT05
@BNT05 Ай бұрын
Nafikiri huyo aliyeshuka atakuwa shahidi muhimu hapa kwa Jamhuri! Maswali ya kujibu rafiki wa marehemu, ambaye ni askari: 1. Kwa nini hakuwauliza wale 'watekaji', maswali kujua kama kweli askari ama vinginevyo? (yeye ni askari angeweza kupata picha halisi juu ya wahusika kabla ya kushuka na kumuacha rafiki yake kwenda kwenye mauti) 2. Kwa nini ashuke kwenye gari kabla ya kujiridhisha uhalisia wa wahusika waliojitambulisha kama askari (as per the RPC words here) yeye kama rafiki wa marehemu na pia askari? Huyo jamaa (rafiki wa marehemu na askari) ana maswali mengi ya kujibu ambayo yatapelekea kupata mwenendo wa hili shauri la kutisha. Mungu ibariki Tanzania.
@josephjohn2114
@josephjohn2114 Ай бұрын
Huyo polis kwa nn ashuke na kwa nini asitoe ripoti kwa wenziwe waende haraka kuwadhibiti wahalifu.
@RomanusElizeus
@RomanusElizeus Ай бұрын
Huyo Mwandishi Kamzidi RPC Akili Ndo Maana Kapanic
@AmissiBitariho
@AmissiBitariho Ай бұрын
Sasa kwanini iyo police aja waeleza nyinyi mkaahugulika ili mjuwe wapi kapelekwa
@mboneamalaki5674
@mboneamalaki5674 Ай бұрын
Sema kazi ya police Dah! Mungu Atusaidie tu
@estonsaimon6671
@estonsaimon6671 Ай бұрын
Hivi hilo ni suala la waandishi au polisi alitakiwa kuripoti baada ya kushushwa on time
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 Ай бұрын
Alikuwa amelewa
@FloridaAdelinus
@FloridaAdelinus Ай бұрын
wale wa mwanzo mtakuwa mmewaonea ndo maana hamkuwataja au wahusika mnawajua mna maslahi nao
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 Ай бұрын
Badilisheni utaratibu wa kukamata watu , pigieni simu mtu aje aripoti. , Hali inazidi kuwa mbaya Polisi mtaumia sasa . Hakuna mtu atakubali kukamatwa na Polisi .
@mashakalukinda2350
@mashakalukinda2350 Ай бұрын
mungu atawalipeni sitahiki zenu vizuri sana
@barnaba3037
@barnaba3037 Ай бұрын
Dah hii nchi imeshaoza. Mifumo imeoza
@FloridaAdelinus
@FloridaAdelinus Ай бұрын
Tatizo ukamataji wenu hauna tofauti na hao kwa hiyo kinachotakiwa badilisheni utaratibu, ndo maana mnaambiwa ni polisi. Badilisha utaratibu ili watu wajue kwamba polisi wanakamataje na wahuni wakoje. usigombe wala usimchukulie hatua acha ujinga, hata nyie mnafanya hivyo hivyo.
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 Ай бұрын
Fact,kiukweli wapo yaliowakuta na watu wanaunganisha picha ndio maana wanatupia lawama vyombo vya ulinzi.
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Ай бұрын
Haswaa ni kweli
@salyali7807
@salyali7807 Ай бұрын
Wale wanaofugwa makambini na serikali ndio wanatolewa kuua watu mmoja mmoja ... YAJAYO NEEMA TUPU
@swabialli8542
@swabialli8542 Ай бұрын
Mboni yupo bize kuwatisha waandishi wa habari tuu. Na wao waandishi wanashindwa kuuliza mboni unatutisha baada ya kuelezea tio
@humoudseyd7310
@humoudseyd7310 Ай бұрын
MBINA MTATUFANYA SIE KAMA MAZEZETA?????
@karloladislaus45
@karloladislaus45 Ай бұрын
Afande mbona maneno mengi sana??... Ume Fanya uchunguzi ukajua sio polisi??.... Acha tabia mbaya za kutishia waandishi wa habari bila sababu za msingi.
@MichaelMaro-hj7yo
@MichaelMaro-hj7yo Ай бұрын
POLICE ALICHUKUA HATUA GANI
@dianaleo6067
@dianaleo6067 Ай бұрын
Tuambieni kama hamuhusiki au ? Nyie polisi tz hatuna imani nanyi. Ongeeni upuuzi wenu tuu😮
@IvetaSteven-b9z
@IvetaSteven-b9z Ай бұрын
KWAIYO TUSIKUBALI TUKIJA KUKAMATWA AU TUFANYE NINI
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 Ай бұрын
@@IvetaSteven-b9z jifunze kareti
@simbahmsini
@simbahmsini Ай бұрын
Afande Mchomvu umeeleza huyo aliyeuawa alikuwa na mmoja wa maaskari wenu akapanda nae gari, wakavuka kituo cha Polisi na alipohoji akaambiwa twende huku kama unataka kwenda na mwisho unasema yule kijana aliyekuwa nae anathibitisha siyo mapolisi swali langu kwako je Polisi alikubali vipi watu wasio polisi kumchukua mtu kwa kujitambulisha kuwa wao ni maaskari? kama aliwatambua kuwa si askari alifanya jitihada gani za kumuokoa huyo rafiki yake na kuwadhibiti hao wanaolichafua jeshi la Polisi? ni hayo tu kwa sasa
@johnmlay8366
@johnmlay8366 Ай бұрын
Mkuu yaan sijui km afande hapo anajua kajichanganya! Huyo polisi wake aliyeshuka njian nahisi ndo mchoma picha. Pili polisi wa Zanzibar waje polis wenzake asiwajue? Au wwje wasio polis asiwajue na aruhusu rfk yake achukuliwe kizembe kbsa? Wasitupange kijinga vile wanajua kila kit...na aliyeshuka km kweli ni polis hafai kabs ni mzembe kupita maelezo
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Ай бұрын
Ni kweli kabisa huyo police anaijua issue Zima kabla hajapanda alichukua hatua gani au alivyoshuka alichukua hatua gani
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Mkuu ka maind but munapaswa kuwasaka hao wanaopita kuwakamata watu na kujitambulisha police ndio wanaowaharibia sio kosa la muandishi hao waliojitambulisha police ndo wakudili nao wanawachafulia jina lenu na kazi yenu
@djhdscratchmaster4110
@djhdscratchmaster4110 Ай бұрын
Lord Eyes kwenye Simba kasema "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, Watanzania wanahangaika kwa kukosa taarifa, Viongozi wanaongea kwa kukosa maanisha"
@richardmaxwell3991
@richardmaxwell3991 Ай бұрын
kwa hiyo aliposhuka, hajataka hata kufatilia mwenzake kapelekwa wapi? i aint buying this shit....
@romanilyimo
@romanilyimo Ай бұрын
Askari bwana eti afande anasema inasikitisha kidogo kwahiyo kufa ni kitu kidogo askari bana
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f Ай бұрын
From 🇧🇮 mimi naona uyo police njo mumuulize
@fredyfile623
@fredyfile623 Ай бұрын
Kwakweli tunapoenda wananchi tusikubali kabisa kukamatwa na mapolice cha kufanya wawe wanapiga sm mtu ndo uende mwenyewe police bcz hali imekuwa mbaya.
@barakamanga5502
@barakamanga5502 Ай бұрын
Kwanini wajitambukishe wao nipolice
@dianaleo6067
@dianaleo6067 Ай бұрын
Mnachafuliwa mpo tuu😂
@immanuelgotifrid2377
@immanuelgotifrid2377 Ай бұрын
Mmh police alishindwa kutumia mafunzo yake kutambua na kumnusuru rafik ake, mmh hiyo hatari sasa
@kisinza6077
@kisinza6077 Ай бұрын
Duuuuh! Mmmh! 😭
@dianaleo6067
@dianaleo6067 Ай бұрын
Polisi mmeshindwa kukamata watekaji. 😂
@mbondelotv8380
@mbondelotv8380 Ай бұрын
Dàaaaaaaah......! Ila apo ata mimi ninge........................
@sudyslaa8278
@sudyslaa8278 Ай бұрын
Rpc achunguzwe pia kwa haya Maelezo 😊
@josephjohn2114
@josephjohn2114 Ай бұрын
Sio kweli bwana tusidanganyane.
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Ай бұрын
SASA KWANN MKIMKAMATA.MHALIFU NA USHAHIDI UPO MNASEMA MTAFANYA UPELELEZI KWANN MSIWAPELEKE MOJAKWA MOJA KUFUNGWA?NA NYIE POLISI WATU WANAUAWA NA MNATAKA WATU WAKAE KIMYA? HAPO BADO HUELEWEKI
@denisshimela169
@denisshimela169 Ай бұрын
Kwanin polis alishuka wakati ndiye anawajib wakuwalinda wanainchi na kwanini hakuchukua hatua mda huo kuwafuatilia mnafanya kaz kwa weled mdgo sana ndoo maana tunasema mnahusikaaaa
@madenge731
@madenge731 Ай бұрын
Sasa mbona unaongea kwa makasiliko?? Nyie mapolisi ndio watekaji na wauaji, shenzi kabisa
@ExcitedCrocodileHiding-fz2br
@ExcitedCrocodileHiding-fz2br Ай бұрын
😂 huongo polic anapowa kaz amutafute police 😂😂😂😢
@michaeltilusasila2992
@michaeltilusasila2992 Ай бұрын
Kwani walijitambulishaje ?
@samirmswahili
@samirmswahili Ай бұрын
Ney wa mitego yko wapi?
@laurencemassawe9100
@laurencemassawe9100 Ай бұрын
Acheni ujinga na damu za watu ndugu msizike mpeni uyo afande akazike
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo Ай бұрын
Afande punguza makasiriko, watu wana machungu na hofu. Tumia busara na weredi wa kazi yako, toa elimu kwa raia watakuelewa. Acha kufokafoka pasipo sababu.
@valentineevarist
@valentineevarist Ай бұрын
Mbona waandishi wana semwa hivyo 😢
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 Ай бұрын
Mwandishi hana kosa lolote
@AliyussufHaji
@AliyussufHaji Ай бұрын
Sasa uyo Askari aliyeshuka kwa nn musianze kumkamata kwa nn akashuka na baada ya kushuka kachukua hatuwa gani
@norbertjosephat7831
@norbertjosephat7831 Ай бұрын
Wananchi wajifunze kareti tu maana hali sio hali
@fareedkhalipher3590
@fareedkhalipher3590 Ай бұрын
Wapuuz hawa Kuna waliowah kukubali mungu awalaani
@CostarbatoniMwaleleka
@CostarbatoniMwaleleka Ай бұрын
Mwandushi akukosea wale walisema sisi nipolic
@ChainesBoufee
@ChainesBoufee Ай бұрын
Mhs ao walimpiga mwiz waachiwe tu .
@manuchochannel5538
@manuchochannel5538 Ай бұрын
Sasa huyo askari aliyechukuliwa na wahalifu akawaambia yeye haendi wamshushe kachukuliwa hatua gani?
@aronimanirakiza5655
@aronimanirakiza5655 Ай бұрын
Nakuuriza. Arapisi. Hiyo. Polish. Arie shura. Ari saidia. Nini. Kikuku. Hiyo. Arie Kamari’s. ? Kama dipoles warie. Husks?
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 Ай бұрын
Weee polisi Unesema hapo Unahitajika uchunguzi maneno yako Yule ametekwa na polisi kutoka kwa yule mtoto wamama wawenyewe kachukuliwa na nyi na katobolewa macho kakufa
@salcle9702
@salcle9702 Ай бұрын
Yani polisi ukija kwangu bila warranty ni mishale unakula ya kutosha
@HarithSalim-l1x
@HarithSalim-l1x Ай бұрын
Waliompiga Tundulisu wako wapi???
@josephjohn2114
@josephjohn2114 Ай бұрын
Polis hamuwezi kujichunguza kamwe haiwezekani bila chombo kingine huru mnatatudanganya tu.
@KelvinMichael-r2r
@KelvinMichael-r2r Ай бұрын
Uyu kamanda hajitambuiii Yan anasimama kutangaza Askari wake aliona mtu katekwa akashuka akamwacha akauwawee sasa kama sio polis ni nani kwa mazingira aya
@JekobuNgwara
@JekobuNgwara Ай бұрын
Afande punguza makalli yamaneno aliekuja kukamatwa alikiita niaskali Sasa anaekamata watu hakujiita asikali? Ndiomana mwandishi anasema asikali
@abdullahissa7548
@abdullahissa7548 Ай бұрын
Mtu yeyote akiisema ukweli kuhusu ccm mnamaind mnamkamata mnampiga au wenye mnasema mnawapoteza
@IvanSaid-ef8tb
@IvanSaid-ef8tb Ай бұрын
Ipo siku ardhi itasema
@arafatimsongo5328
@arafatimsongo5328 Ай бұрын
Mtu anakatwa anaingizwa kwenye gari napolic yupo halafu anashushwa kwenye gari watekaji wanaendelea na safari huyo askari police aliyeshushwa kwanini hakutoa taarifa mda ule hadi kesho yake anakutwa huyo raia akiwa amekufa?
@DavidSemu-gu6wp
@DavidSemu-gu6wp Ай бұрын
Tulio tahiriwa porini tulifundishwa mwanaume usitoke kwako bila hata kisu kidogo cha kukunja wakat ule (okapi) kwa kijitetea inapobidi
@samirmswahili
@samirmswahili Ай бұрын
Hatukuelewi unatulize kua tumeelewa😢
@dianaleo6067
@dianaleo6067 Ай бұрын
Polisi, tupeni utaratibu wenu wa kukamata watuhumiwa basi la sivyo wanaokuja kinyume tuwajue
@denisshimela169
@denisshimela169 Ай бұрын
Huyu polis aliye shuka na kulwacha raia akamatwe ahojiwe anahusika
@promisetenson7258
@promisetenson7258 Ай бұрын
Duuuuu hii ni hatari sijasikia hata kauli ya kusema tunafanya uchunguzi kujua ni akina nani mmmmmh tanzania hatupo salama
@dianaleo6067
@dianaleo6067 Ай бұрын
Polisi zero!
@RobertMshiko
@RobertMshiko Ай бұрын
Ninyi niwaongo mlikuwa naye na kusingizia wanyonge mungu anawaona ila ila haya yanapita siku yenu yaja
@BarakaOchuu
@BarakaOchuu Ай бұрын
Usikubali kukamatwa na polisi
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Ай бұрын
Tukamatwe na rpc
Can You Find Hulk's True Love? Real vs Fake Girlfriend Challenge | Roblox 3D
00:24
СКОЛЬКО ПАЛЬЦЕВ ТУТ?
00:16
Masomka
Рет қаралды 3,1 МЛН
Hoodie gets wicked makeover! 😲
00:47
Justin Flom
Рет қаралды 129 МЛН
За кого болели?😂
00:18
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,8 МЛН
ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE
8:52
Mbengo Tv
Рет қаралды 350 М.
Can You Find Hulk's True Love? Real vs Fake Girlfriend Challenge | Roblox 3D
00:24