Asante jamani Dr mwaka napenda sana venye unatuelewesha.
@gracejoshua96504 жыл бұрын
Doctor mwaka Asante wanangu wakifikia hatua ya barehe nitawaleta uwafundishe m. Mungu akitujaariya uzima,asante kwa somo.
@deusmauka96264 жыл бұрын
Dr. Mwaka wewe ni master of konyee, wake 5 unaweza kuwamiliki.
@mhogofelwa4 жыл бұрын
Kweli kabisa mwamba dr mwaka mekuelewa sana wape somo vzr hao waelewe
@edinambwambo48474 жыл бұрын
Binafsi nimekuelewa sana Doc,salute sana.
@noorayaqoot12944 жыл бұрын
Mashaallah Dr. Mwaka nimeipenda sana ulivoanza kusema kwa kuswali kwanza. Mungu akubariki daima pia una elimu ya manufaa sana
@francissindimwo95914 жыл бұрын
Dr Mwaka yuko vizuri.
@amourmtungo6234 жыл бұрын
Ni vizuri na muhimu kuomba Mungu lakini kwenye elimu hakuna matusi. Iwe elimu ya dunia au akhera ni lazima tuelimishane bila aibu. Pasueni tu hii ni karne ya utandawazi.
@irankundaemima77924 жыл бұрын
Wariye muelewa dr mwaka tujuwane hapa somo zuri rimenifuza
Thanks doctor kwa maelzo mwafaka kuchangia kiasi hilo tendo yafa lifamike kwamba system ya mwanaume umeba nguvu ambozo ziko na muda wake
@jacksonokatoko30964 жыл бұрын
Hebu na nichukuwe nafasi hii kukupongeza wasemaji wote kwa michango yenu,bali pia naomba kusema kwamba ndiposa mama ujisikie kwamba baba amekufikisha mwisho wa mawazo kitandani ni umulinde poa kwa chakula mzuri yenye madini na usafi wako kipao mbele kando na mengine bomani
@husnahassan62894 жыл бұрын
Nakupenda sana aunty JAMILA maana unaongeaga na macomfidence kama yote Mashaallah hongera sana my aunty
@loner_wolf4 жыл бұрын
dr uko sawa , sisi wanaume tukiwa na mood zetu tunaweza kumpanda demu ambaye hatujamfkiria kbsa ilimradi kutoa uchafu huo wa kwanza
@SafeHaven_TV4 жыл бұрын
Dr Mwaka unajua kazi yako,hongera sana kwa kusema ukweli mtupu na kusaidia watu wengi.
@frenkingoloka98284 жыл бұрын
Somo zuri sana wanawake wengi hawajuwi kumuandaa mwanaume
@innocentkimaro424010 ай бұрын
sema lijamaa limetulinda sana' limekalisha wanawake wanne kwenye Panel na wamechagua kuchezea timu yake.
@msafirimaulidi50549 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@josephwalola67594 жыл бұрын
Dr Mwaka uko vizuri sana
@loner_wolf4 жыл бұрын
mama mwenye chuichui anaakili sana , yuko sahihi ktk point zake ..... madem pia changamoto ktk hili jambo
@SaraSara-yj6if2 жыл бұрын
Uko sawa kabisa thanks so much 👏👏💕
@salimkaingumhambi23664 жыл бұрын
Dr uko sawa kwa kila unaloongea kazi nzuri sana kwa jamii
@itsolutions22384 жыл бұрын
DR Mwaka unaelezeaa vzr sana
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Nice sana docter mwaka ukoseagi 👌
@chrissg40264 жыл бұрын
Doctor Mwaka konki
@ashurashuraym34974 жыл бұрын
Shukran sana Lilian Mwasha na wote muloungana kufanikisha kipindi hiki,kipindi kizuri mno,muzidi kubarikiwa
@riddhacage2609 Жыл бұрын
Dr mwaka everything ameongelea is so far so true,kunawanawake weeeeengi sana wavivu alafu hawajuwi😂😂😂😂😂😂
@babyhamisi53314 жыл бұрын
Napenda Sana Dr mwaka anavyo kuwa mankini kusikiza
@twalibumunisi68694 жыл бұрын
ķweli kabisa lazima kucheza na kuta au eneo husika
@nyumilewema36364 жыл бұрын
Doctor mwaka hatar na anaongea vitu very fact
@benbenedict27204 жыл бұрын
Asante sana Mwaka
@bitishoriziki1113 Жыл бұрын
Amen 🙏🏾 thank you so much for help my woman and men
@siwazablon47034 жыл бұрын
Ulijuaje Lilian yaan nampenda mwaka anaongeaga vitu point sana😍
@delicefezili26172 жыл бұрын
big up docteur Mwaka
@andreakarata81154 жыл бұрын
Dr mwaka nimekuelewa mkuu
@emilyndomba26614 жыл бұрын
Hahahaha nyie watu mnanifurahisha sana,, i learn a lot
@prosperaugustino52924 жыл бұрын
Fact doctor mwaka
@priscillaamossen82494 жыл бұрын
Mimi nimefurahi, mmeanza peana nafasi mkiwa mnaongea.. imekuwa sio kama ugomvi hata wasikilizaji tunaelewa ujumbe.🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽👌🏾
@iloloboy44454 жыл бұрын
Vyakula vy sasa ni tofauti na vya zamani
@tausingomeni25684 жыл бұрын
Dr. Mwaka gwiji kwenye mambo hayo🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌chezea ww
@ernestsanga6254 жыл бұрын
Chadema
@tausingomeni25684 жыл бұрын
@@ernestsanga625 chadema imefany aje
@rogatusduma78224 жыл бұрын
Dr mwaka uko vizuri saluti kwako
@YussufSuleiman-i5iАй бұрын
Da Jamila hongera umeongea ukweli
@amourmtungo6234 жыл бұрын
Pombe nyingi kupita kiasi, chakula kisichokuwa na protein au kufanya kazi kupita kiasi hupunguza muamsho wa nguvu za kiume. Kila kitu ni balance tufanye vitu kwa wastani.
@juliaayieta25784 жыл бұрын
Women matters shukran sana😘😘😘
@fatmakombo75844 жыл бұрын
Dr mwaka kwa kweli unao uwezo hata wa kuowa wake 4 tena bila kutetereka
@eddymaphy10 ай бұрын
Bora DOCTOR asiwe na tabia kama ya MADEBE LIDAI
@azzamahamdu70394 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mnafurahishaaa.afu dada jamila na mama kopa 😂😂😂🤣🤣🙌.Ila dr mwaka ni KIBOKO🤗
@mchumiajuani19934 жыл бұрын
Hata movie sijawah kuangalia saa zima labda ya kufosiwa kwenye bus, ila kwa mara ya kwanza leo nimeangalia, DR MWAKA NTAMPATAJE NIMPE HATA SODA TUH
@mariamothman74044 жыл бұрын
Nawapenda wote😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@majidgashe98564 жыл бұрын
Kweli wasafi mnatuletea darasa huru tunashukulu sana
@pandungozi10724 жыл бұрын
Aise wewe dr mwaka ni dokta wa ukweli kabisaa nakukubali na leo kweli nimeamini kua unastahili kuwa na wake 4. Mungu akubariki aisee😄👍
@thealchemist27504 жыл бұрын
Forward hadi 26:00
@inumbuboyinumbuboy25804 жыл бұрын
DOCTOR UMETUWAKILISHA VEMA SANA
@kidjhdf75684 жыл бұрын
Hii rahaa kweli doctor ni mmoja tuu ila anawapa changamoto wanawake
@mejagenerally37483 жыл бұрын
Dr.mwaka
@fridamushi76124 жыл бұрын
Yaani nina miaka 48 sikuwahi kujua haya ,hongereni sana
@wisdomwasound97593 жыл бұрын
Safi sana dokta
@khaulaomar6864 жыл бұрын
Madda nzuri sana maana,imenigusa,lakini Dr.anaposema kuna njia nyengine za kumstarehesha mwanamke kama kutumia mkono jse hatuoni kuwa anawapa njia ambayo wataficha hilo tatizo lao kuwa wanaume wengi hivi sasa nguvu zao zimekuwa hafifu
@berthamakortha83874 жыл бұрын
Kweri Dr. Wengii hawajui kilelenii
@julietmueke66213 жыл бұрын
Daaaah! Mazito haya!😜 lakini dokta kagonga ndipo tena kanierevusha
@Noah-se3ni4 жыл бұрын
Mambo ni fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥😁😁😁😷
@barakabahati66004 жыл бұрын
Ni kweli kabisa round ya kwanza inakuaga ya faster kabisa
@Hanifa-xc3 жыл бұрын
Kwako ww bro
@bernardmbafu18164 жыл бұрын
Kaka mwaka tunashukuru sana.
@pandungozi10724 жыл бұрын
Wewe lili umenichekesha sanaa! eti tufundishe babaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅
@antoinettemulibinge38133 жыл бұрын
Ninawapenda sana sana kwani siku izi muko wapi
@bitishoriziki1113 Жыл бұрын
Hiyo ni ukweli kbs wamonja wako hivyo KBS sikilizeni hawo wa mama na doctor 💊 mashauri 🥰💕🙏🏾
@bajagihaji89233 жыл бұрын
Ahsante
@hamismwambinde41054 жыл бұрын
Mwaka noma sana umeleweka brother
@Binahmed12344 жыл бұрын
Shukran sana kwa kipindi ya leo +254
@HansBwoi4 жыл бұрын
DR. Mwaka kunywa soda ntalipa
@mutwalesylvie74433 жыл бұрын
Kabisa
@berthamakortha83874 жыл бұрын
Sema ukweri Dr.
@teddymatisha67814 жыл бұрын
Anti itapendeza ukimualika na Dada anaitwa Irene mbowe o bembeleza.asante
@azizakwileka16864 жыл бұрын
Oooh huyu Irene Mbowe ni malkia wa nguvu hakika
@amirclassic83262 жыл бұрын
Safi Dr Year unakimbiza mabibi hao amini mwanaume ni mfalme tuh
@mkalifey40094 жыл бұрын
Doctor mwaka ni balaa na nusu fact tupu unatema ubarikiwe sana
@mandyfitnesstv67384 жыл бұрын
Fact tupu jamaa kapiga
@maimunaathman46644 жыл бұрын
Napenda sana ichi kipindi
@glorynguma35934 жыл бұрын
Doctor umenichekesha leo eti kibamia lakin kumbe.nae n kishimo😂😂
@amimuneymar1054 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@ahmadjabu4 жыл бұрын
😂😂🙏
@hajihassan54334 жыл бұрын
Yaani nimecheka kabla hata sijamsikia
@فاطمةفاطمة-ك6ث4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@najmagudeh2034 жыл бұрын
😂😂😂😂
@richardjuma77084 жыл бұрын
Leo nimekuelewa dockta mwaka
@wachiiwilly65654 жыл бұрын
I hope also Kenyans have learnt a lot thanks👏👏💕
@venancemramba8562 жыл бұрын
.
@mohamedsuleiman72154 жыл бұрын
nashukuru mungu kwa kujielewa na kujifahamu mi ndo mana ninamisimamo yangu na nafata mawazo yangu na njia yangu na kujiamini. wanaume wenzangu wengi wanaharibika kwa kutiwa ujinga na wanawake pasipo kujielewa.wanawake wachoyo sana wabinafsi.
@mutomubaya4 жыл бұрын
Badilisheni baadhi ya matamshi. Mwanaume anahitaji.nguvu za kiume lakini mwanamke anahitaji uwezo tu wa kumuwezesha kutekeleza majukumu fulani ya kike ambayo ni muhimu ayatekeleze ili kutambulisha ukike wake na ujuzi na kiwango cha mapenzi alichonacho kwa mwenzake nk. Sio kama mwanaume ati anahitaji nguvu za kike. Anahitaji uwezo wa kukubali kutekelezewa (mambo ya kimapenzi yale) yanayotekelezewa wanawake.....
@kaveresylvia95214 жыл бұрын
Very true mwanamke inafaa aeleze mwanaume wapi pakushika
@Ukhtyzuhura4 жыл бұрын
Yaani nawapenda Sana dear team nzima iko vizuri Nawapata kutoka Northampton uk....
@itsolutions22384 жыл бұрын
kipindi kizuri sana big up
@benxonpaul93944 жыл бұрын
Dr mwaka ujawai kosea
@tomothybanda9070 Жыл бұрын
Respect doctor
@advocatekarama49174 жыл бұрын
Nampenda sana bi jamila
@danieljefwa20714 жыл бұрын
Doctor uko sahihi
@ritchiexanti95874 жыл бұрын
This was deep....mimi mwanaume but didn't know some shit!!
@sungesonji44124 жыл бұрын
Fahamuni jambo hili, najuwa ni geni kwenu lakini ninacho waambia ni kweli. Fanyeni uchunguzi mtaliona! Shida zinazowakumba wanaume/ vijana ni za kibiologia na maanisha vita tulivyo novyo leo ni hizi chanjo za Wazungu, zimeharibu wanaume kwa wanawake bila kujuwa. Hata sasa bado Wazungu wako mbioni kuhangamiza wa Afrika kwa njia tofauti. Mfano: hata leo mnasikia habari kwa ajili ya world depopulation, na mpango huu wa kupunguza wanadamu unalenga wa Afrika, na chanjo walizodungwa vijana wengi zinaleta maafa mengi hata kuharibu uzazi. Viongozi wetu, hasa viongozi wa Afrika wawe makini na watusaidie kukataa chanjo za Wazungu, zinatuuwa na kuharibu uzazi.
@ummuhaula18484 жыл бұрын
Kwali kabisa
@rajabuomary32583 жыл бұрын
Wewe muongo kabisa mbona wao wa zungu wala hawazai watoto wengi kazidisha sana 2 sie mpaka leo wa 4 huyo ni kidogo
@bajagihaji89233 жыл бұрын
Ulevi kupitiliza na kuanza uhuni mapema
@zerajuma98802 жыл бұрын
1q
@said306nyatu94 жыл бұрын
Luv mwaka
@adavilajoseph50613 жыл бұрын
Hapo umesema kweli doctor maana Mimi wakati nimeoa tulikuwa tukifanya kidogo tuu nikimuliza umefika? anasema ndy lakini saivi amejua nn maana ya kilele yaani ikitokea hajafika analeta Noma sana
@muhammedsaid156510 ай бұрын
Tatizo wanawake wanandoto ya kuolewa na mwanaume fulani then maisha yanampiga anakosa anapata mwanaume mwengine wa kumuoa. Sasa ameingia kwenye ndoa lkn kihisia hayup, yup kwa mwanaume wa ndoto zake. Kwa hali hiyo mda wa tendo mwanamke hawezi kuona Raha zaid ya maumivu tu
@salamanjani21944 жыл бұрын
Ni kweli Kuna baadhi ya wanaume Wana matatizo na hawako tayari kushirikiana na mwenza wake kutatua tatizo Hadi unamfikiria labda Ana masharti ya kipato ya kushirikiana na matokeo yake mwanamke unaamua kuiacha ndoa na kuondoka
@berthamakortha83874 жыл бұрын
Lilian I. Achaa ubishiii ujuiii
@halimamangi6414 жыл бұрын
Sasa yeye ndio mwendeshaji asipo bisha mgeni wake atafungaje? Lily analewa vizuri sana kazi yake ndio maana vipindi vyake vyote huchangamka!
@sadhiyaiman60384 жыл бұрын
Maskini Dr mwaka ujionea mambo😊
@thealchemist27504 жыл бұрын
Kenyans wekeni like zenu hapa 👇🏾
@pennykiruka93144 жыл бұрын
Kenyan in South Africa.
@ellymaz21874 жыл бұрын
Nilikuwa najiuliza hii kitu muda mrefu. Mbona wanaume ndo tunalaumiwa tu, je wanawake wote wako sawa? Mwaka umetoa majibu
@dplusmotionpictures4 жыл бұрын
Kopa anavomwangalia Mwaka 🤣🤣🤣 sana
@doubleafamily70963 ай бұрын
Mashaa Allah very delicious
@gracejoshua96504 жыл бұрын
Hahahaaaa kwa mara ya Kwanza nimecheka saan
@mohamedomar76923 жыл бұрын
Hii ni Tayari Dr Ellie waminiani aliijibu ni kwamba tendon la ndoa ni la wawili sasa hii tabia ya kuachiwa mmoja ndio tatizo akatowa mfano wa sahani ya chakula iko mbele yenu mule kila mmoja ashibe halafu mmoja awe hakushiba na mwengine kashiba sasa asie Shiba amlalamikie nani kwa uvivu wakeeeeee
@mozasaid38694 жыл бұрын
Bi khadija umenichekesha huo tena uzezeta 😅😅😅😅😅, kipindi kizuri sana,
@joventjohansenmushwaimi19884 жыл бұрын
Hiyo ya Housegirl nimeielewa sanaaa hebu nijaribu basi one dayy
@bronzal564 жыл бұрын
Very true my brother 👏🏽👏🏽👏🏽
@eleoncejohn38234 жыл бұрын
hiyo kulowanisha kitanda ipo sana Bukoba na Uganda. mwanamke anamwaga maji ndoo nzima. na ukienda Guest nyingi sana za Bukoba unakuta Godoro limejaradiwa karatasi ya nailon ya kuzuia godoro lisilowe kwa wingi wa maji.
@Ax-xpress4 жыл бұрын
Mama aliyevaa chuichui yupo poa! Kitu hakilali mzeee